Kuna watu wanajiona ni wakamilifu sana na wanachukua nafasi ya Mungu kuwahukumu wenzao. Mungu atuhurumie. Alichokifanya baba Askofu kimenitoa machozi, kimenikumbusha mbali. Mungu atusaidie.
@victormtani71702 жыл бұрын
Mungu akuzidishie Mtumishi wake Mungu kwa kukiri na kuomba msamaha kanisa. Nanyi Waumini mjue kuwa huyo ni mpakwa mafuta wa Mungu nanyi msipojichunguza huo Msamaha utakuja kuwa laana kwenu msifikirie mumemkomoa kwa kusema mumsamehe sawa hata yeye ni Binadamu na ukosea ila waumini mjitathimini pa kubwa.
@jactannziku86843 жыл бұрын
Hakika huyu mzee anamoyo wa tofauti sanaa. Mungu ambariki kwa sababu ya naendeleo ya kanisa
@eliamwakalong61607 жыл бұрын
Safi sana ukinyenyekea Mungu hukuinua
@herykyando29216 ай бұрын
Mungu ambarikii sana huyu Askofu kwa kuwaomba msamahaa washarika na kusema Mm ni mwanadamu naomba washarika mnisamehe
@noelngowitechnicalsolution3 жыл бұрын
Hongera mtumishi
@newchemchem5673 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu nimejifunza,
@halimajamaniamekuwamndeme96173 жыл бұрын
Nimesikia machozi kunitiririka,barikiwa sana Mtumishi wa mungu
@invocavitmbise52962 жыл бұрын
Soo heart fully very sorry Bishop..congrats for been humble before them....
@sarahantony33193 жыл бұрын
Safi askofu Ndio utumishi,, Mungu akupe rehema zake
@blessedtumaini5163 жыл бұрын
Mungu Baba akupe neema juu ya neema. Hongera kwa ujasiri huo.
@bonangatuni80773 жыл бұрын
Aombae msamaha na asamehewe.Hongera baba Askofu nimejifunza kitu kutoka kwako mtumishi wa Mungu .Ubarikiwe sana.
@lazarosoja65229 ай бұрын
amefanya vizur nmempenda sana na abarikiwe na ameshasamehewa
@jumahassanjuma65416 жыл бұрын
Barikiwa baba, umefanya kama masihi wa Bwana. Ole wao kama walikuwa wanakusingizia. BIBLIA inasema tukisingiziwa twasihi./ twaomba msamaha
@ezekielpolenisanabulugu92263 жыл бұрын
Hapo ni mfano wa kuigwa hakuna aliye mkamilifu mtumishi yakini ubarikiwe japo sijui yaliyo kusibu mungu wa kweli akutie nguvu Amina.
@janekuloba9266 жыл бұрын
Asante sana mtumishi ume nifunza mengi nisiyo yajua MUNGU wambinguni akusameehe
@fredymbilinyi63233 жыл бұрын
Barikiwa askofu kwakujishusha
@KADALAtv2556 жыл бұрын
Aisee watu wanadhani kitendo hicho cha Askofu kulala chini na kuomba msamaha wanadhani ni rahisi kumbe kphukumu ya Mungu si ya wanadamu. Angalieni wengine wenu wasije wakaondoka na laana. Furajphieni hamjui mtendalo. NAKUPONGEZA ASKOFU KWA UNYENYEKEVU. lakini leo ni mmoja wa waliosimamishwa kazi hiyo. Ombeni sana wazee na viongozi wa kanisa msije kuwa chambo.
@mchg.zainachengula35027 жыл бұрын
Nafurahi kumuona baba yangu na Mchg wangu M/ Askofu Ngwema. Uishi milele baba.
@victormtani71702 жыл бұрын
Usikufulu ww aishi milele anayeishi milele ni Mungu na wale tukimkiri Yesu kristo baada ya kifo tutakuja ishi milele
@theresiateddimboya10793 жыл бұрын
Askofu kuwapigia waumini magoti daa pole sana baba askofu ila laana ya mungu iko juu yao
@alexandrinadomaino98686 жыл бұрын
Ubarikiwe baba safi sana.
@lucianambalamwezi18647 жыл бұрын
barikiwa mtumishi kwa utii na utashi
@evalineemmanuel81783 жыл бұрын
barikiwa mtumishi wa mungu kwa unyenyekevu
@mchg.zainachengula35027 жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu aliyekupa roho ya kujishusha! N
@deborahmgedzi632 Жыл бұрын
Mungu Baba Mwenyezi Akutunze
@barakamlili63623 жыл бұрын
Bishop una heri wewe ,mungu akutie nguvu ,ujaangalia cheo wala hadhi yako,maana wew ni mtumwa wa mungu umekubali kukiri ,wengi wemeshindwa kufanya hivooo.
@mzeewamadodoso18167 жыл бұрын
umenibariki baba..hakuna aliye mkamilifu
@tusubilegemtafya55323 жыл бұрын
Nimeshtuka!!!ila ni kheri mkubwa awe kama mdogo...Mungu akupe kheri askofu
@evelynengoma55177 жыл бұрын
Mungu akubariki
@richardmboka74677 жыл бұрын
Safi Sana MUNGU akulinde
@gesusgegangphray76893 жыл бұрын
Safi sAna askofu,,tumekusehw
@silasteven66327 жыл бұрын
Asante askofu kwa roho ya toba na wakusamehe amin
@naomimoses42103 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana mtumishi kwahekima ulio tumia
@neemaiman14023 жыл бұрын
Nimekupenda baba MUNGU akupe maisha marefu.
@zeblufingo83617 жыл бұрын
Pengine ombi la Msamaha huo mpaka kulala chini kwa askofu kukageuka laana nzito kwa waliomshikia bango kama wakati Kola alipo pambana na Musa. Toba hiyo sio tu alama ya unyenyekevu, bali ni hukumu. Je hao wengine mbona hawakupata nafasi ya kuomba toba? Inamaana wao ni watakatifu au wana Kiburi cha Uzima? Najua lolote litatokea kwao au kwa familia zao kwaani Mungu huwalinda watumishi wake kwa gharama kubwa!
@kindolek92576 жыл бұрын
ZEB LUFINGO hyo picha tu hakulala
@happymsaki17204 жыл бұрын
Yaani uko vizuri sanaaa ndgu yngu hiyo ni Laana sio kawaida
@jamesjoseph68253 жыл бұрын
Hakika, Ni laana
@omegamwaikuju94673 жыл бұрын
Kanisa lijiulize vzr hii Toba sio salama kwa kanisa,
@PK-ba8go3 жыл бұрын
Umenena mtumishi. Ni mbaya Sana hii. Nakumbuka mama yangu mzazi alishawahi kuniomba msamaha kwa kupiga magoti. Nililia Sana wiki nzima sikuwa na amani. Ni mbaya sana kwa mtu ambaye hukutegemea akuombe msamaha akaomba msamaha.
@pastor.aderickkalugila5543 жыл бұрын
Jamani Asante Baba
@evvajohn92097 жыл бұрын
Ashukaye mungu humukweza ubarikiwe Asikofu mungu amekuona.
@mbuyahonest10407 жыл бұрын
Ana heri yule atubuye pindi anapotenda dhambi Kwa kuwa mwanadamu sio mkamlifu.
@محمدالقايد-د6ب3 жыл бұрын
Ubarikiwe na Mungu pia akubali msamaha huo
@atupakisyeambokile83963 жыл бұрын
Kwakweliii.kwa apo alipo ameshuka
@lucykebacho34463 жыл бұрын
Amina kubwa
@gloriamwakibolwa69727 жыл бұрын
amina Amina barikiwa
@elizajeremiah33617 жыл бұрын
Mungu akusimamie
@riverblackmusic15343 жыл бұрын
Wewe ni mtakatifu mzee wangu
@rogatiusscarion7263 жыл бұрын
Hakuna mwanadam mtakatifu
@chesconkwera20052 жыл бұрын
Mnaendeleza Aibu ndani ya Kanisa
@ashaathuman14723 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@Assanidesign-n5d2 ай бұрын
vraiment❤❤
@marykarebeti94103 жыл бұрын
Askofu nimekupenda bure. Hekima ya Mungu iendelee kukufunika.
@tumainkitomary20376 жыл бұрын
BarikiwA Mtumishi wa bwana kwani Kila ajishushae ukwezwa
@gracemima52345 жыл бұрын
Kanisa hili limejaa mafisadi na wadhumaji. Kuna watu wenye tamaa na wanyanyasaji wa masikini kwenye kanisa hili. Watu wenye tamaa hawaogopi kuwaibia masikini. Wao kwa wao wanagombana ndani kwa ndani ni pesa na tamaa. He Mungu tusaidie na utuepushe na hawa wahubili wa uwongo.
@selinasamson27047 жыл бұрын
Balikiwa mtumishi
@jonathannzagamba52536 жыл бұрын
fanyen kaz ya mungu achen mambo yasiyo wahusu mbna mnapondea tu hata hamsifii namashaka na waraka wenu mgeukie mungu tz bad tunapenda amn na rais wetu ana hatua nzur kimaendeleo i lov tz
@atupakisyemapuli86373 жыл бұрын
Nimesikia kusisimuka mwili, lakini Mungu ampe heri Mtumishi huyu
@kaminyogemwachelwa98846 жыл бұрын
Ndugu zangu wadadisi hivi hizo Pete kubwa wanavaa watu wengi maarufu xina maana gani ama ni kawaida maana naona wanavaa matajiri na watu maarufu
@sciencearusha59517 жыл бұрын
Huo ndio uongozi uliotukuka
@f.a60436 жыл бұрын
Hapa na cc wote tujifunze kuomba msamaha kunaleta uponyaji wa ROHO ZETU NA AMANI TELE KATIKA MAISHA HUU NI MFANO KWETU WOTE MAANA HATA YEYE NI BINADAMU KAMA CC MUNGU AKUBARIKI KWA KWA KUJINYENYEKEZA MAANA HAYA YOTE NI MAFUNDISHO MATAKATIFU YA YESU KRISTO
@korosotv6 жыл бұрын
Mungu wetu ni wahuruma ... Umesamehewa
@experiuskamugisha68633 жыл бұрын
Mungu amekusamehe baba usi hofu baba
@gracemima52343 жыл бұрын
KKKT ni kanisa la wafanya biashara wadhulumaji wakubwa wa aridhi za wanyonge.
@reganshao3 жыл бұрын
Kkkt walichonifanyia sitosahau wamenirudisha nyuma sana lakin Mungu akasimama , wanaamini katika pesa tu , Yan Kama huna pesa wewe sio kitu kanisan labda uimbe kwaya
@meshacklissu85693 жыл бұрын
Wengi mnaona sawa mchungaji kuwapigia magoti hii sio salama kwa ww mshirika kosa lolote la mchungaji wako MUNGU anashughulikanalo yeye na sio wewe
Askofu Mungu akwinue kwa kukili kwa watanzania nyie ni kioo chetu. Unyenyekevu ni kuomba maarifa kwa Mungu.
@richarddavidmk3 жыл бұрын
Muumini mwenye ushawishi mkubwa ????????🤔
@rosebaitani57273 жыл бұрын
Mungu azodi kukuitia nguvu. Ni ujasiri kuomba msamaha.
@sulemanmadahatv16916 жыл бұрын
ubarikiwe Baba Askofu
@hermanaaron69456 жыл бұрын
Duh hiyo laana............
@rhinaregina58066 жыл бұрын
Aombae msamaha msemehe 7mara 70 that Jesus said for give each other 7by 70 asante watumishi wa Yesu
@harunaharulna32533 жыл бұрын
Mbona kama vile analazimisha kusamehewa
@allanjames76337 жыл бұрын
Matendo 2:42
@edwardkasubi14956 жыл бұрын
daaaaaaah sijawahi kuona aiseee mkubwa kuomba msamaha kule wakuu ktk siasa wao hawakosei kabisa
@anastaziamartin88247 жыл бұрын
amina,badilika kweli
@aminasakara65606 жыл бұрын
Anastazia Martin . tiba mbadala
@liberatusmassawe56016 жыл бұрын
Mna laana mnaomshikia bango Askofu atubu, asiye na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe. (MNAFUNUA UTUPU WA BABA YENU) Huyo aliyeirusha kwenye mtandao nahisi anatumika, alikuwa anataka iweje!!!!!
@erickmalindi46522 жыл бұрын
Nakukaribisha Sana Mtwara mpendwa. Umenena sahihi , mipango ya watu wachache kulichafua kanisa na waliweza ,lakini Sasa Huku Mtwara kweli imeanza kujulikana . Laana inawatafuna mchana peupe
@hamisilukanda10083 жыл бұрын
Anatubu bado amebaki kwenye ukafili naa anawapotosha watu
@magrethommary90893 жыл бұрын
Balikiwa baba
@lukagulagekidehele57883 жыл бұрын
Huo ndiyo Ukristo wa Ukweli
@janviersobhane64923 жыл бұрын
Umenifundisha unyenyekevu
@stivutitus9633 жыл бұрын
wamtaka mtu au ibada ela yawausunn ukishatoa sadaka usiulize amnaakil
@gracepelezi16453 жыл бұрын
sisi wote wakosefu waku samehe bure
@mwinjilisti.wayesu61967 жыл бұрын
AMINA ASIKOFU WETU KKKT ASANTE SISI WADOGO TUMEFURAI MAANA NINYI NDIO KIOO
@richardkalinga1636 жыл бұрын
Nimependa ulivyo kili makosayako Mungu akusamee.
@jakelema63253 жыл бұрын
Okokeni achaneni na dini hazina faida yoyote
@mattarmohd616 жыл бұрын
Njia siyo iyo fanyeni muingie kwenye uislam
@mugemainyas52416 жыл бұрын
Shao mwandikie haraka waraka.
@imanimoshi43516 жыл бұрын
Jamani tumieni Akili ile amri ya kwanza mmeipoteza saiv inatumika Imani ya utatu..yani Mungu baba na Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu nawakumbusha tena Amri ya kwanza inasema ivi Mimi ni Bwana Mungu wako usiwe na Mungu mwingine ila Mimi. Usijifanyie sanamu ya kuchonga mfano Wa kituchochote juu mbinguni au chini duniani au chini majini usivisujudie au kuvitumikia kwakua Mimi Ni Bwana Mungu wako ni Mungu mwenye wivu nawapitiliza wana wamaovu ya baba zao hatakizazi cha tatu na cha nne wanichukiao tafakarini watu mnaotumia agano jipya asanteni
@sharonyasin75213 жыл бұрын
Unamaanisha nini??
@violetmwambungu42723 жыл бұрын
Ngoja ni waambie hayo maneno huyu mchungaji ameyatoa lkn ni liana kwa kanisa assayed na afahamu I hope kitendo kitaondoka na watu .Mwenye hekima aomberehema kwa Mungu amwangukie mtumishi wa Mungu has wamepakwa mafuta hutakiwi kumtia masingi hata kama amekosea kuna procedure
@violetmwambungu42723 жыл бұрын
Mungu akubariki baba ila Mungu atakulipia ukiwa unaona
@erickmalindi46522 жыл бұрын
@@violetmwambungu4272 maneno yako yanaishi. Mungu ameshaanza kujibu na ukweli unajulikana Sasa.
@violetmwambungu4272 Жыл бұрын
@@erickmalindi4652 ameen mtumishi Mungu anabaki kuwa Mungu tu
@muhetv21613 жыл бұрын
Huo msamaha msiufurahie kabisa hiyo ni laana
@zephanianapegwa6327 жыл бұрын
umesamehewa dhambi zako zote enenda zako usitende dhambi tena
@nelibaba3 жыл бұрын
Nimefurahi kuona umetubu mbele ya waumini
@williammajani21527 жыл бұрын
Msamaha Wa kuhani ni pigo kwa kanisa subiri kidogo Mtaona matokeo
@georgenchimbi17446 жыл бұрын
William Majani Nimependa hii comment na ipo very clear.
@mikachristopher82406 жыл бұрын
William Majani Nasikitika kanisa langu linapoendelea
@fredymbilinyi74295 жыл бұрын
Pigogani tena ikiwa alikosea kweli
@nyabahailani31693 жыл бұрын
Hakika wewe ni mtu wa mungu umesamehewa baba
@gabrielnnko89436 жыл бұрын
MUNGU uwapinga wenye kiburi bali huwapa wanyenyekevu neema
@danielelfasi71723 жыл бұрын
Police ajira
@jamillahmansoory36526 жыл бұрын
Laana za waraka na mtaumbuka mmoja hadi mmoja sadaka zimepungua makanisani ndomana mnampigia kelele rais wetu mpendwa
@uyanjojambi68947 жыл бұрын
Mungu yuko kama Ni kiongozi akimweka MTU LACMA ampe hekim
@masepoadam25627 жыл бұрын
xxx vide0s
@dallydominick16733 жыл бұрын
Msamaha ni utu
@ferdinandnkamu86386 жыл бұрын
UTUKUFU KWA MUNGU JUU NA AMANI DUNIANI KWA WATU WENYE MAPENZI
@iminzaiminza58136 жыл бұрын
Umesamehewa heri mwenye kukubali makosa
@emmanuelmogela58713 жыл бұрын
Munga nae ndio kauzu asieomba msamaha
@pastorypatrick94723 жыл бұрын
Hivi askofu anavaa pete kidole cha mkono wa kulia!! Swali, akifungisha ndoa anaweza kuwavalisha Pete wanandoa kwenye kidole cha mkono wa kulia??
@joycesamweli12193 жыл бұрын
Askofu Pete ya mkono wa kulia hiyo ni Pete ya mamlaka anavalishwa kwa vile ni askofu