Рет қаралды 47
Askofu mkuu powell Mfinanga amewataka Wachungaji kueendelea kufungua makanisa nchini na kutanua mwili wa kristo, Mfinanga amesema hayo mbele ya waandishi wa Habari hku akisema anataekeleza ahadi aliotoa nchini baada yakukaa mda mrefu Marekan.
Mfinanga Amwwataka watanzania kuudhuria mkutano wa siku 8 utakaofanyika Boko Nyakasangwe kwa kipira kwanzia Tare 19-02-2023 hadi 26-02-2023 kwa nzia saa 8 mchana hadi 12 jion.