Jacktan Asante sana kwa kutuletea mtumishi wa mungu tuedelee kupona, Baraka Tele. Watching from Denmark 🙏🏽❤
@ruthelia70883 жыл бұрын
Asante mtumishi tumepona kwa jina la yesu
@SofiaMillan-h3z Жыл бұрын
Amen 🙏 mungu wangu nisaidie Yesu usinipite bwana unapozuru wengine Nami usinipite baba
@dokasa91763 жыл бұрын
Dorcah Bonareri, watching from Kenya barikiwa sana watumishi wa Mungu
@leahdaniel2713 жыл бұрын
Bila neema yako YESU na Damu yako hatuwezi chochote Yesu tusaidie
@davidwambura59153 жыл бұрын
Mungu ambariki Sana mtumishi wa Mungu Prophet Astony Adam Mbaya.
@josephinemsekwahalidkijang51833 жыл бұрын
Haleluyah! This is very powerful, PRAISE TO THE ALMIGHTY GOD IN JESUS NAME.
@DenisCasey-kh8ub2 ай бұрын
Asante Yesu Kristo kwa tupenda Baba
@joycekabojela63693 жыл бұрын
Mungu atupe hekima na ulinzi tutii neno Asante.
@neemawanjiku87913 жыл бұрын
Tupo pamoja bwana awabariki na aturehemu sisi sote🇰🇪
@mangalabayndulwa35473 жыл бұрын
Amen Amen mtumishi wa Mungu Aston Adam mbaya ubarikiwe Sana
@Peace.20183 жыл бұрын
Amina, ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Mimi nimekwama hapo kwa kifaranisa kumbe ni kitamu hivi be blessed
@ndayikengurukiyelea20093 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@angelibrahim55393 жыл бұрын
Mngu amubariki uyu mtumishi siku moja tuonane mbinguni
@ryoaishodo3092 жыл бұрын
Amen Amen Praise the lord
@nellydeborah9433 жыл бұрын
Amen amen,vimerejea kwa jina la yesu christo mwana wa mungu
@biblianenolaukweli56163 жыл бұрын
Kaka jacktani mungu akubari kwasababu unafanya jambo yajabu
@reginanduku37463 жыл бұрын
Welcome to Kenya Aston
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
aje Kenya kabisa
@valentinandukuvalentinandu47793 жыл бұрын
asante sana mtumishi wa Mungu kutuletea hii shuhuda
@cadeaumahuridi91983 жыл бұрын
huu ni ujumbe muzito munahubiri kweli kabisa bwana awabariki
@gerardnibikora8393 жыл бұрын
Amen! Very powerful.
@cadeaumahuridi91983 жыл бұрын
amina tunabarikiwa
@johnmkama80743 жыл бұрын
Mahubiri mazuri sana yaenderee zaidi ,mtofaaili wa efatha 2009 hongera sana promover TV amina
@myself41283 жыл бұрын
Efatha ni Imani au jengo??
@SusanAshle-zj8do Жыл бұрын
Amen Amen thanks you Lord Jesus Kwa kuniweka huru
@RebekaShumbi Жыл бұрын
Sifa kwa Yesu
@biblianenolaukweli56163 жыл бұрын
Aleluaaaa ameeeeeeeeen mungu awabariki saaanaaaa
@simbawayuda23283 жыл бұрын
Amen 🙏🏽 barikiwa sana Aston Mbaya
@fatumaminyeko75532 жыл бұрын
Amen amen amen yesunimwema haleluyah
@tausipaschel1553 жыл бұрын
MUNGU AWABARIKI SANA WATUMISHI WA MUNGU. MIMI NABARIKIWA SANA NA MAHUBIRI YENU.
@tamarali83253 жыл бұрын
Ameeeeeeen 💞 Barikiwa sana Jacktan
@fezajoseph79643 жыл бұрын
Amen Que DIEU vous bénisse.
@florencendatila91833 жыл бұрын
Mbarikiwe
@tantinemwemendi87903 жыл бұрын
Que Dieu vous benisse
@simonshija2476 Жыл бұрын
Duuuuh 😭😭😭😭 namfahamu sana huyo baba alikufa na miaka 51 tu daah!!! tufanye bidii kuwa watakatifu
@anastasiagerald44803 жыл бұрын
Mungu akubaliki jactan but na hawo wanao taka kanisa kwaiyo akija mtu mzuli Kama Astoni au zaidi yake watataka kanisa Tena me na dhani chamsingi tu simame katika neno labda kwa wale wenye wapo kwenye makanisa ya sio eleweka
@reginanduku37463 жыл бұрын
I love the sermon,
@florencendatila91833 жыл бұрын
Amina
@dorcasteemy98922 жыл бұрын
Pls can we have the English translation this testimony?
@marywanjiru4382 жыл бұрын
Nakubaliana na wao
@frolacharles67883 жыл бұрын
AMINA
@macamezunguzungu55843 жыл бұрын
Amen 🙏
@erianne4943 жыл бұрын
Hallelua hallelua hallelua mubarikiwe san
@aswilekibona98613 жыл бұрын
Jactan Kwan mpo mkoa gan kwa Sasa?
@aswilekibona98613 жыл бұрын
Jactan Kwan mpo mkoa gan kwa Sasa?
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Dar es Salaam
@gestinakuya81173 жыл бұрын
Amen
@sarifusteven46349 ай бұрын
❤🎉🎉🎉🎉❤❤
@tantinemwemendi87903 жыл бұрын
Amena
@orlandojoaquim453 жыл бұрын
Aleluia
@willym60053 жыл бұрын
Gloire Au Seigneur Jésus !
@orlandojoaquim453 жыл бұрын
YESU NI MWEMA
@Denis-xi8lp3 жыл бұрын
Amem
@rahelyeremiaelisha13283 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya mtumishi wa Mungu Aston Adam na mtumishi Jaktani msafiri kwa kufanikisha KUJA kwa ke Aston Tanzania amefanyika baraka KUBWA KWANGU MAANA nilikuwa naskiliza shuhuda ZAKE tu kupitia You tube. Wakristu wengi wanaishi wanaenda kanisani lakini jambo BAYA zaidi hawajui ni shida kiasi GANI mtu atapata IKIWA atakufa asichukuliwe kwenda Mbinguni na hata BAADA ya kuingia JEHANAMU Mungu Atusaidie twende kanisani tukidhamiria kwa moyo wote kwenda Mbinguni hata tutamwomba Mungu atukague kila siku ili tulipokosea tuweze kutubu JEHANAMU ni milele Haina mwisho wa mateso.
@aminaally41633 жыл бұрын
Asant BWANA YESU kwa Watumishi wako Hawa.
@editarichard35903 жыл бұрын
MUNGU awabariki sana
@godisable20983 жыл бұрын
Amen mutumishi
@millicentayangokunting37283 жыл бұрын
Barikiweni sana
@marywanjiru4382 жыл бұрын
Hawa no nabii WA kweli
@lydiamichael55093 жыл бұрын
AMEEN
@godisable20983 жыл бұрын
Yesu Christo ni mwema
@hobokelajackson19473 жыл бұрын
Hallelujah,amen. Preach brother. Yes, you can
@petermageta49873 жыл бұрын
Hasa ni hatari.
@biblianenolaukweli56163 жыл бұрын
Tunamuona live kabisa
@edwinngumba9733 жыл бұрын
Asante watumishi was MUNGU
@joaochavana70693 жыл бұрын
Aston help please
@EliaFrank-i7e3 ай бұрын
Ndugu zangu mbona nimesikia Mikael malaika ambae sisi tunamjua n malaika wa vita inakuaje Tena yupo KUZIMU kweny Usimamizi wa TV na makosa ya watu na inakuja vipi Kwan kuna malaika ambao ni mikeli wangapi Sasa hapo naomba majibu tunawajua mikeli na Gabriel japo wapo wengi sana BILA idadi
@PromovertvTz3 ай бұрын
Alimaanisha Mikel na si Mikaeli.Asante
@EliaFrank-i7e3 ай бұрын
@@PromovertvTz ahaaa
@mangalabayndulwa35473 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu Aston ubarikiwe Sana
@lilianachiengministries33863 жыл бұрын
Kweli dunia ni chafu...
@petermageta49873 жыл бұрын
Nilitarajia kwamba amekuja kujibu maswali mengi ambayo yamekuwa kigugumizi kwetu, sasa nashangaa kuona mtumishi anatuelezea ushuhuda wake tena,sawa labda anataka wengine ambao hawakusikia kwenye mtandao nawao waweze kupata kusikia.
@lilianachiengministries33863 жыл бұрын
Have patience,the journey has just started.
@petermageta49873 жыл бұрын
Ok my dear
@myself41283 жыл бұрын
Swali gani ambalo Roho mtakatifu hajakufunulia au Biblia haijakubu?? Maandiko uliyonayo hujayamaliza unaanza kuwa dukuduku eti una maswali??mwanadamu Lini utaridhika???
@myself41283 жыл бұрын
biblia ishasema katika deautronomy 29:29 mbo yaliyofunuliwa ni yetu yaliyofichwa kwetu ni ya bwana,siku ya mwisho tutaemda kuyajua yote hata paul kaandika hakuna nabii anayeona kitu kiza tunaona nusu nusu tu nje ya glass Mambo ya Mungu ni mapana mno kwa hii miili ya damu na nyama huwezi beba maono!! simamia imani yako na neno laMungu linatosha na ndio unabii usiobadilika
@flm15303 жыл бұрын
Sijaelew ile account ingne ya jacktan msafr ndo unawekwa au huk
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Zote
@piusnkwale3 жыл бұрын
Jactan hapa ni wapi?eneo la kanisa
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Kinyerezi Dar es salaam
@piusnkwale3 жыл бұрын
Amen .
@paschalndarokulwijila5463 жыл бұрын
Tuko pamoja
@pelagiekalavi6033 жыл бұрын
Wakati gani tutauliza maswali?
@jesusismyking52923 жыл бұрын
Amina, Amina
@michaelyohana44673 жыл бұрын
Amina Sana balikiwa Sana watumishi wa MUNGU alie hai Aston mbaya ongera Sana kwaujio wenu hapa Tanzania kwakweli tunabalikiwa Sana kwaujiowenu natunajifunza mambo mengi pia jaktani endelea kuchapa kazi ya BWANA hakika utalipwa usipozimia moyo maana unajuhudi sijapata ona
@moyojubeki63303 жыл бұрын
Asante Mungu kutufundisha kupitia mtu huyu
@officiallymawazo11593 жыл бұрын
Amin mimi ninabarikiwa sana sana Mungu Akubariki
@dianastemile69763 жыл бұрын
Hii ni kweli tupu
@marianachriss24443 жыл бұрын
Tupe namba ya aston mbaya anayotumia hapa Tanzania
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Hawezi kuzungumza kiswahili wala kiingereza
@marianachriss24443 жыл бұрын
@@PromovertvTz basi muulize hawezi kuanzisha kanisa Tanzania jamani,tunatamani tupande kanisa linalioeleweka jacktani ,tusaidie
Jacktani muulize hawezi kuanzia kanisa hapa Tanzania?
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Tayari linaanzishwa
@marianachriss24443 жыл бұрын
@@PromovertvTz Ameeen, Haleluyaaaa
@chamipeter7783 жыл бұрын
@@PromovertvTz Linaanzishwa wapi?
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Tutawatangazieni
@nsiahassan55703 жыл бұрын
Anahubili wapi mtumishi barikiwa sana
@leahdaniel2713 жыл бұрын
Kwanini hao watu waliokufa hata wakizikwa bado wao wanatangatanga nini maana yake?
@milkafabian5723 жыл бұрын
Unaokufa ni mwili my dr lakin roho zao hazikufa na ukisikia roho zinatangatanga mana yake wameondoka dunian kabla ya wakati wao waliopangiwa na Mungu hivyo muda ukifika Mungu atazipeleka hizo roho sehem husika amen @ leah