"ATA MIMI PIA NI MSANII MJE MCHEZE" RC CHALAMILA AWAACHA HOI USIKU WA HARMONIZE AWAAMSHA KUCHEZA

  Рет қаралды 55,831

Millard Ayo

Millard Ayo

24 күн бұрын

Пікірлер: 54
@Maryc2G
@Maryc2G 22 күн бұрын
Homonize umetisha sana, nakupenda kwani unaakiri nyingi, unajua kutumia fursa mtani wangu, hongera kazi nzuri 💚💚💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹🌹🌹🌹🥀🥀
@godwinkasembe6139
@godwinkasembe6139 21 күн бұрын
Unaakiri au unaakili alafu ni harmonize sio homonize😂
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 21 күн бұрын
Hpo furasa ipi iliyopo.
@EvaJuakaliTV
@EvaJuakaliTV 22 күн бұрын
Harmonize anajua kutumia fursa, safi kabisa. Kama umependa gonga like
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 22 күн бұрын
Harmonise very gifted artist
@zerotempa
@zerotempa 22 күн бұрын
sisi ambao tulikuepo Mambo yalikua bam bam ♥️ ❤️ uku online ndo mnaona sauti kma haiko sawa
@ericanodoriano1012
@ericanodoriano1012 22 күн бұрын
One love , nyumbani kwanza ✌️✌️✌️✌️
@sarahrkumbulu
@sarahrkumbulu 21 күн бұрын
Mama umependeza sana🎉🎉🎉🎉🎉 Mwenyez Mungu akulinde Mama yetu
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 22 күн бұрын
Hamonize nibjembe❤❤❤
@claudshuya3243
@claudshuya3243 22 күн бұрын
Mwanza namba one
@sawegasper9670
@sawegasper9670 22 күн бұрын
That was live performance,ameimba vizuri sana.
@Bugandotalents613
@Bugandotalents613 19 күн бұрын
Bila hata kampeni mama kura zote kwako ujio wako kama rais ni zawadi tosha iliyokuwa imejificha ila mungu katupatia na sasa tunaufurahia uwepo wako I never saw a wonderful and blessed President like Dr Samia Hassan. Hatuhitaji hata upige kampeni mambo uliyotufanyia na unayafanya ni zaidi ya kampeni. Tunakupenda na kukuombea udumu miaka mingi Rais wetu. We are sure that God blesses you daily that is why you always do the best things. Thank you God for this gift you gave us.
@user-vu6fv2gq4k
@user-vu6fv2gq4k 22 күн бұрын
Harmonize hongera sana
@mwadawaibrahimmohamed6089
@mwadawaibrahimmohamed6089 21 күн бұрын
Hongera sana kwei upo sawa kijana huna makuzi
@susankitila2898
@susankitila2898 21 күн бұрын
hongera HAMONIZE
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 22 күн бұрын
Mama anataka acheze protoco inambana
@user-jn7co3nx1v
@user-jn7co3nx1v 22 күн бұрын
Mama samia kapendeza sana
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 22 күн бұрын
Engineer Uko wapi sauti ina toka mbaya hadi raha hamuna
@allenikaduma1488
@allenikaduma1488 22 күн бұрын
Kijana unajitahidi ila tabia yako ya kumchokoza chokoza mwakinyo sio nzuri ww ni kioo cha jamii
@babalao910
@babalao910 22 күн бұрын
Atapigwa afe tukose mziki shauri yake
@user-rx7te2px5d
@user-rx7te2px5d 22 күн бұрын
😂 game linapoa wanaamua kwema angle nyingine kuchokoza😅
@abdallahsalum6762
@abdallahsalum6762 21 күн бұрын
😂😂😂
@ramadimbegu7996
@ramadimbegu7996 22 күн бұрын
Mm mzara lalkin kuanzia leo n kondeboy kwa maana .mingumi boy😀😀
@JosephKingwere
@JosephKingwere 22 күн бұрын
Kweli hamo anaupendo ila kwa vile vijana hatupendani heeeeh
@hamisichioa469
@hamisichioa469 22 күн бұрын
😂😂bambo mume muona
@tato8979
@tato8979 22 күн бұрын
😂😂😂ana enjoy
@muniraahmed624
@muniraahmed624 22 күн бұрын
Chalamilaa bhnaa😂😂😂
@user-vn7ew6di3t
@user-vn7ew6di3t 20 күн бұрын
Mama ww ni kiongozi, nakukubali sn huna baya Mama,ni nakukubali sn
@Bugandotalents613
@Bugandotalents613 19 күн бұрын
Sijui kama tutakuja kupata rais mwenye upendo wa ajabu kama huyu anajishusha na kuwaunga mkono watu wake na mpenda maendeleo mungu mpe miaka zaidi ya 1000 tuvune wema wake much respect to our president Dr Samia Hassan
@elizageorge2414
@elizageorge2414 21 күн бұрын
Hongera
@jumahassan273
@jumahassan273 22 күн бұрын
Safiiiiiii
@abdulymaeda2697
@abdulymaeda2697 20 күн бұрын
Ila harmonise
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 22 күн бұрын
Sauti jamani. Mashairi Mazuri ila Harmonize Leo umeimba chini ya kiwango
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 21 күн бұрын
Mama umependeza sana .
@Kautharkabanga
@Kautharkabanga 21 күн бұрын
Nakubali mkuu wa mkoa
@MarthaBura-or8fe
@MarthaBura-or8fe 22 күн бұрын
Sauti jamani mbona hivyo
@PatrickSummit
@PatrickSummit 21 күн бұрын
nakukbali sana hamo
@salomewandya7257
@salomewandya7257 20 күн бұрын
❤❤❤🇹🇿🇹🇿
@eadancer2887
@eadancer2887 20 күн бұрын
Harmonize yuko vzr san siyo siri jaman
@sanaf8367
@sanaf8367 22 күн бұрын
Yaani serikali nzima imekuja ktk uzinduzi wa album vijana munaona munathaminiwa lkn wanasiasa sio watu wa kuwaamini sana
@user-zj1ep6hn4p
@user-zj1ep6hn4p 20 күн бұрын
Jamaa nyimbo katungia stejn hyo ndio album 😂😂😂
@MATIKO9640
@MATIKO9640 21 күн бұрын
Chalamila unaongea vizuri, you're speeches are well organized like written ni dhahiri kwamba IQ yako ni kubwa sana.
@user-ny7vl2jr8s
@user-ny7vl2jr8s 22 күн бұрын
Sana jeshi
@chandewaleo3853
@chandewaleo3853 21 күн бұрын
Bambo kwenye moja na mbili
@Zedizediismaily
@Zedizediismaily 19 күн бұрын
Hana baba na hereni zake
@NissileStephen
@NissileStephen 20 күн бұрын
Bambo 😂😂😂😂
@TharcissCiza
@TharcissCiza 19 күн бұрын
Hongera kwako Mhe Rais ,hongera bwana mdogo Harmonise kwa hatua hiyo but always respect your brother Diamond !!!
@PatrickMwamba289
@PatrickMwamba289 21 күн бұрын
Harmonize hajiamini Tena kimziki...ndio maana ameamua kua Mchawi Popo 😮😮😮😮😮😮
@priscamrekoni3451
@priscamrekoni3451 15 күн бұрын
👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎☻
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 22 күн бұрын
Sinkanka
@rahplenyengerahplenyenge722
@rahplenyengerahplenyenge722 22 күн бұрын
Harmonize umunyunye uyo umbwa nayo jiyita raisi
@user-rx7te2px5d
@user-rx7te2px5d 22 күн бұрын
Pambana na hali yako.Watu wasaka 💰 wewe unasaka maneno 😂
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 21 күн бұрын
Mbona umejiingiza mahali sipo. We ni wa nchi gani maana kiswahili tu sio mtanzania . Ulizaliwa na shetani gani ?we shetani mtoto.
@user-rx7te2px5d
@user-rx7te2px5d 21 күн бұрын
Inakuumae
MTANZANIA ANAELIPWA KWA KUCHOMA MAITI ZA WACHINA TANZANIA
15:04
Millard Ayo
Рет қаралды 294 М.
PINK STEERING STEERING CAR
00:31
Levsob
Рет қаралды 20 МЛН
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 61 МЛН
MAKONDA NA POLISI ALIYEMPIGA BIBI NYUMBA ARUSHA KWA LAK 5
12:16
CHAMPION TV
Рет қаралды 108 М.