The first and best comedian in Tanzania.. Kwanza hahusiahi matusi kwenye vichekesho vyake...
@enockbunyika17358 ай бұрын
Kwangu mimi Eliud Ni #1, mharifu mkubwa huyu 😂😂 top top comedian
@adamkisheta84398 ай бұрын
Yaan mtambue katk cheka tu nzima uyu nd habar Yao atumii nguvu maneno bila jasho unacheka iyo nd original stand up comedy.. big up eliud
@noelmarapachi18088 ай бұрын
Halafu yeye anatembea na chochote, nahisi anaweza panda amejipanga na jokes zake halafu mazingira yakamfanya asitumie joke hata moja😅😅, he is really talented
@catherinemwakasege11518 ай бұрын
@@noelmarapachi1808san
@JninjaH2R8 ай бұрын
Kuna mnyama Leonardo na ndaro
@RichardMabula-wr7io8 ай бұрын
Nampemda sana huyu jamaaaa
@haikawilson2168 ай бұрын
Nawashangaa eti Leonardo...wkt eliud ndo kila kitu
@bahatirngulika44938 ай бұрын
Nnavomuona Eliud na mamake namuona kbs Alvin wangu ipo siku atanishangaza
@vitalisvedastus51918 ай бұрын
We Bahati 😅
@florageofrey94867 ай бұрын
Amen
@Divaniahadam7 ай бұрын
Amin na iwe hivyo tena zaidi mtoto wako afanyike baraka kweny maisha yako
@CynthiaMokiwa3 ай бұрын
Ameeni
@WITNESSSANGA-n5i2 ай бұрын
🎉
@hanashhanash5358 ай бұрын
My favourite comedian 😂😂😂😂
@uongofu_tv8 ай бұрын
Jamaa nampenda maana anaishi kwenye uhalisia
@Dadeeclassic5 ай бұрын
Sana na ndo inatakiwa❤
@georgehajji97908 ай бұрын
Huyu jamaa anajua namna ya kuchekesha bila kutumia nguvu
@tricemollel67398 ай бұрын
Eliudi!! Nakupenda! Nakukubali! Na ninakuombea sana!! Maana hakika unajuaaaa❤❤❤
@emmanuelkyandochali9908 ай бұрын
Woo barikiwa sana Kwa upendo ulionao
@Stanley-pd2nsАй бұрын
IPO siku na mm mama yangu atakuja afurahie matunda yangu mbele ya umati mkubwa wa watu 🙏🙏, eliud unajua sana kaka MUNGU akuongezee uendelee kwenda mbele
@KenrogersEdwin8 ай бұрын
Uyu jamaa ni talented Sanaa
@exprodigitaltechtv55718 ай бұрын
Top talented jamaa hatumii matus ka wengine
@dorahmushi-we6ts8 ай бұрын
Ndicho ninachompendea
@ShiningLightChurchTz8 ай бұрын
Kwasababu ameokoka,unajua ukiwa na YESU matusi yote yanakukimbia
@maribahanyora84787 ай бұрын
Wala hatumii nguvu
@AbigailMadelem-mk2et2 ай бұрын
Kwel kabisa@@ShiningLightChurchTz
@MorryUshindi8 ай бұрын
Aisee unakipawa kaka mungu aku bariki kwa kumuheshimisha mama 😢😅😊😊 😊 😊 ni furaha najua ulitamani kulia basi ni kazi ukajikaza hongera kaka hongeraaaaaaa
@bensonlanga2161Ай бұрын
Eliudi anatumia akili sana ,siyo wale wengine wanaolazimisha watu kucheka . Hongera sana
@lilianeerica33188 ай бұрын
Eliud umebalikiwa na kipaji cha ukweli ukweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@mashramadhani19898 ай бұрын
RAHA SANA MAMA AKO AKIFURAHIA UNAVYOMTUNZA
@salomewandya72578 ай бұрын
Saana
@juniorgabriel236Ай бұрын
Hizo baraka zake mtu asikuambie ...
@ThereziaApendekiАй бұрын
Kipaji cha kipekee kbs Mungu akubarikii saana 😂😂
@stellahwilfred5762Ай бұрын
Ahsante MUNGU kwaajili ya kijana na Mama
@charleskapala68758 ай бұрын
Eliud unajua sana my best comedian😂😂😂
@Lastbornecadet8 ай бұрын
Uyu jamaa ni level nyingine
@lukasielibariki31818 ай бұрын
Eliudi anajuwa hatukani
@pendokissatu9378 ай бұрын
Eliudi Ni msanii Wa Vichekesho mwenye Mapinduzi makubwa
@annamulungu28766 ай бұрын
Best comedian ever!
@gayomwasonzwe80195 ай бұрын
Nakupenda sana eliud yaan kupitia ww jina la mungu linasikika ubarikiwe sanaa
@christineneema30088 ай бұрын
Hatumii nguvu nyingi hata hii nikipaji cha another level ❤
@dorahmushi-we6ts8 ай бұрын
ELLIUD UNAWEZA KUMTAZAMA VICHEKESHO VYAKE UKIWA NA WATOTO WAJUKUU WAKWE WAZAZI NA WACHUNGAJI...HAVINA MANENO MACHAFU KAMA YULE , cjui kalelewa na nani yule, hapana hajalelewa ametunzwa na nani yule? Kuna kumlea mtoto na kumtunza.
@janethmramba9898 ай бұрын
Kabisa dear , maadili yamezingatiwa
@Bushman0008 ай бұрын
Yule nani😂😂😂
@AthanasGabriel-j9p8 ай бұрын
Sana yaan Hana lugha chafu😎😎
@barackiadam56118 ай бұрын
hkik kk
@NageMsuya8 ай бұрын
Mungu akutunze Eliud na Mama jmn.
@EllyMturo21 күн бұрын
Elyudi namba1 kwauchekeshaji barikiwa sana
@LambertKyakwe8 ай бұрын
Hongera eliud unamjali mama
@yusuphaman34498 ай бұрын
Mwenderezo jamaa namkubali sana😂
@dorahmushi-we6ts8 ай бұрын
Kitu nimejifunza wasanii asilimia kubwa wanawapenda sana mama zao...Diamond,mama yake anainjoy, anakula mema ya nchi😂 Harmonize kasababisha mama kushhikana mkono na mama Samia.,na kawajengea mjengo, leo tunamuona Eliud na kapu la mama😂😂😂😂 Tusiwazuie watoto kuwa wasanii jamani😂
@kennyjohn37638 ай бұрын
Hiyo ni tafsiri halisi ya kwamba mpe nafasi mtoto afanye kitu anachopendezwa nacho hali ya kuwa ni halali na chema machoni pa watu na Mungu ataweka Mikono yake na si kulazimisha mtoto afanye vile Wazazi watakavyo.
@claralucy42308 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@ROZITHOMAS-y4q6 ай бұрын
Kabisa mimi mtoto wangu nilimkosea sana. Tangu primary anapenda mambo ya computer ameendelea kupenda hadi sekondari. Ila nilivyompeleka sekondari hiyo shule hamna masomo ya computer hivyo akirudi nyumbani likizo yupo busy na computer. Sasa nimemwambia akimaliza form four hata awe na divion 1 atakwenda chuo kusoma anachotaka
@stevenemwakasimba-pt8er8 ай бұрын
Eliud kamwingiza mama kwenye nfumo tusubiri mzee wake 😂😂😂😂
@esterrupia84708 ай бұрын
Na huyu inaonekana kabezi Kwa mama yake tuu
@ShaluaEliud17 күн бұрын
Eliud ndo mchekeshaji number 1 Tanzania
@deejeydaev8 ай бұрын
Jamaa ni mnoma sana..pure talent
@changarawekitigani34308 ай бұрын
Nyie watu mnaujua huu msemo UMMENYE MWAMPOSA PLEASE LIKE KWANGU KAMA MNAUJUA KWENYE BUNJI ❤
@EliazaryHusseniАй бұрын
Eliud ongela sana mungu akuinue sana unakitu
@minaelnathanael18468 ай бұрын
Ahsanteni kwa kumtunza mama🎉🎉🎉🎉
@eliudezekiel86158 ай бұрын
Yani wenye majina woteee ya ELIUD tuko vizuri Sanaa Yani kila kona
@erickdeogratias77188 ай бұрын
Eliudiiii bwanaa we ninomaaa❤❤❤❤
@AleniNanyaro8 ай бұрын
Kwa Yesu yote yanawezekana
@jamesfanuel45958 ай бұрын
Hakika Ni Neema juu ya Neema
@aishakimosa24925 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 eliud nawaza sanamu lako likajengewe wapi. ❤😂
@shaddybmc83423 ай бұрын
Saf sana. Hakuna kama mama, big up eliud😂❤
@aishakimosa24925 ай бұрын
Ahsante kwa kuniongezea siku za kuishi. Sijutii bando langu aisee.😂😂😂😂
@philipomichael89558 ай бұрын
Appreciate you Broo unamtambua mama yako👏
@kimpalambapj8 ай бұрын
Hongera sana kwake, Eliud. Kipaji halisi 😅
@Jollylove-b5c8 ай бұрын
Top talented 👏 👏 big up Eliud
@Flaviana-re4ts8 ай бұрын
Ila eliudi msicheke mama wa wenzenu 😂😂😂
@jeedymasoud42698 ай бұрын
Eliudi ulistahili ushindi wa kwanza Wallah
@dramanishabani938 ай бұрын
Kwakweli si kila kuchekesha lazima utumie matusi, Mungu akubariki kwa Atlanta hii
@EliazaryHusseniАй бұрын
Eliud kwanza nampenda anampenda mungu , kila akichekecha anamtaja mungu
@MerisianaBatholomeo8 ай бұрын
Uyu jamaa anajuaaaa❤
@gileskandege49508 ай бұрын
Kipaji cha kweli
@phenysamba2885Ай бұрын
😂😂😂😂 this guy I like him already @Eliud
@mcgabby8 ай бұрын
Kumbe hakua namba Moja kwenye Cheka tu mlimuonea sana walahi😂😂😂
@leilaahamad89898 ай бұрын
Eliud atumii nguvu😂😂😂
@LovenessJames-r9l8 ай бұрын
Alotoa ela nyungi nipeni namb zake manq nishaona mwanamme wa ndoto zangu yuko uku😂😂😂
@cathypaul30118 ай бұрын
Wew habu amka hapo utalibwanda😂😂😂
@SaraEmmanuel-f9d8 ай бұрын
Haki nimm nimemuona ndio mungu aliniandalia
@LovenessJames-r9l8 ай бұрын
@@SaraEmmanuel-f9d hahahahhahhahahahaaaaq
@minaelnathanael18468 ай бұрын
Hapo sawa Eliud. Nyanza za juu uchagani😂
@kcrktv82558 ай бұрын
Ukiona 2000 ni ya Mnyakyusa mwenzio eliud 😅😅😅😅😅😅
@salymomar81048 ай бұрын
Kwaiyo mnacheka mama wa wawezenu
@sheckycobb52408 ай бұрын
😂
@fatmaallyabdul17328 ай бұрын
Eti ukiona elfu mbili ya mnyakyusa mwenzio😂😂unampa mama wamwenzio mia tano!!?😂🤣🤣
@lovenessmwaitege5324Ай бұрын
Kama nawaona mlio tupa watoto miaka kama ya Eliud mnawazaaaa sana
@MorryUshindi8 ай бұрын
Nipo pekeangu ila nimepiga makofi aisee eliud et amelemaaaa
@fotunatusiMsongole8 ай бұрын
Ukiionaaa 2000 ya mnyachusaa mwenzio😂😂😂
@ernestmwanalinze26128 ай бұрын
safi sana Mungu ampe maisha marefu mama
@emmakipalula90978 ай бұрын
Nimecheka Kama chizi....dah he is the best
@FunaTab7 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@maryjames74388 ай бұрын
Kweli hakuna kama mama hongera sana eliudi
@AbigailMadelem-mk2et2 ай бұрын
Ila eliud nakukubal mwamba uko juu yan vitu vya kawaida ila unawavunja tu mbavu dah
@yuzotv4588 ай бұрын
kitu nimependa eliud hua hatukani kwenye uchekeshaji wake.
@G.S9852 ай бұрын
Eliud wewe ni mchekeshaji huna mpinzani😂😂😂
@phenysamba2885Ай бұрын
Eliud he is funny😂😂😂
@phidolineprivatus90788 ай бұрын
Eliud unajua sana bro
@joevang46858 ай бұрын
nmecheka sana😂😂😂😂😂
@NewstarKitunzi8 ай бұрын
Ee Mungu nam niandalie Brayan wangu awe mtu wa watu umuinue kwa uwezo wako
@deborabrownsentimea39018 ай бұрын
Wanyaki wenzio tunakukubali kaka, unaiwakilisha green city vzr sana, ubarikiwe sn
@glorytogod28068 ай бұрын
Asante eliud nimecheka
@cristaezekiel10368 ай бұрын
😂😂😂😂😂Sukari eliud 😂
@bonphacehamisi7 ай бұрын
big up mwanafyalee
@NiyonkuruFabrice-v7f8 ай бұрын
He's very talented
@IsayaIlomo-ib1yh2 ай бұрын
Malafyale umetisha
@MchagaUk8 ай бұрын
Natural talent
@mwarobaini35718 ай бұрын
Kupitia kipaji changu,ipo siku mama utafurahia maisha
@mustafanguyahambi43466 ай бұрын
Eliudiii wewe ni NYOOOKO😂😂😂
@AbdallahAbel-t6oАй бұрын
Iphone 2 😂😂😂😂😂😂 nani kama mama
@PatrickPaul-p8lАй бұрын
Ware wote mlio na mama zenu mpaka sasahi nawaonea wivu sana watunzeni sana
@AyubuKaiza-ow1xh3 ай бұрын
Respect saana
@kefangendwa33367 ай бұрын
❤❤❤😂😂😂😂 balaa sana😂😂
@EdsonEdwin-e4f3 ай бұрын
Blessed mkal
@SolomonKisanga8 ай бұрын
On the top. Men keep on
@elibarikinelsonnsenga39497 ай бұрын
Talented man.😂😂
@happybalama35916 ай бұрын
Dah noma sana😂😂😂
@patrickwanje64338 ай бұрын
Mama apa ndio ofisini bro uko vizuri😂❤
@sheckycobb52408 ай бұрын
Heshima kaz
@mariamkimati58578 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Ila eliud
@AvelineWalubati8 ай бұрын
Super star😊😊
@WinifridaMwakifuna3 ай бұрын
Hatari sana malafyale
@KwizeraNasri5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wallh eliud unacekesha kwl
@williumjoel14108 ай бұрын
ukiona elfu mbili ujue Niya mnyakyusa mwenzio 🤣🤣🤣🤣
@lumulyimage48268 ай бұрын
FORM FIVE SELECTION kzbin.info/www/bejne/fYC5aH2rr6mkgcU
@hemedshalua2002Ай бұрын
Baraka ilioje
@AthanasGabriel-j9p8 ай бұрын
Lamata Leo cyo wewe hahaha yaan eliud bonge la comedian kwel
@bahatirobert10092 ай бұрын
Yaani eliudi hii huwa narudia mara kwa mara hiki kichekesho