ATHARI ZA MIZIMU

  Рет қаралды 72,226

Apostle Mtalemwa Bushiri

Apostle Mtalemwa Bushiri

2 жыл бұрын

Пікірлер: 153
@pendomtenga
@pendomtenga 2 жыл бұрын
Chief huu ni ufunuo wa next level I wish Watanzania wote wasikilize hili somo maana hizi Roho Za wafu zinatesa vizazi na vizazi na mbaya zaidi wengi hawaelewi kuwa wamefungwa na hizo Roho Za Mizimu .Thanks Chief be blessed.
@swedyjovano8275
@swedyjovano8275 2 жыл бұрын
Amen. Somo nzuri sana. Ubarikiwe. Nimefatlia hii somo nikiwa nchini🇨🇦 .nimejifunza mengi na nimebarikiwa . Ni kweli kabisa yanenavyo maandiko " watu tunapotea kwa kukosa maarifa " ni kweli tena kwamba" Hakika Bwana hatafanya jambo lolote bila kuwafunulia watumishi wake n'a manabii wa Bwana siri zake" neno la Mungu lasema ivo.
@juliusmutie7634
@juliusmutie7634 2 жыл бұрын
Thanks! This is so powerful I can see clearly the truth, actually I relate this at home I understand much better the problem,
@jumaona8352
@jumaona8352 2 жыл бұрын
Dah ad nmebarikiwa sana mtumishi apo kwa musa na eliya nimekua na maswali mengi sana ila jibu nimepata Mungu akubariki sana
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 2 жыл бұрын
hii roho ya mizimu ina sumbuliwa familia yetu sana nandomana atufanikiwi ata kidogo tuko watu wakuzarauliwa sana, Mungu tusaidiye mimi pamoja na familia yetu tupate kushinda roho ya mizimu
@stellahokworo6561
@stellahokworo6561 2 жыл бұрын
Am always blessed with the sermon am following you from Saudi Arabia please remember me too during your prayer time
@user-ce4wg5de8c
@user-ce4wg5de8c 4 ай бұрын
Powerful msg Apostle
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 2 жыл бұрын
Somo zuri Eee Roho Mtakatifu fungua akili za wote wanao msikiliza huyu Mtumishi wako wapate kujua na maandiko. Ubarikiwe Apostle 🙏
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 4 ай бұрын
Mungu tusaidie maisha haya bila wewe Yesu hatuwesi
@sautisevarino1656
@sautisevarino1656 7 ай бұрын
Asante sana mtumishi kwa kutufungua macho na masikio
@pastorkennypauls9486
@pastorkennypauls9486 2 жыл бұрын
Apostle sasa watu wanaenda Nigeria kutafuta nini, mbona Tanzania Upo wewe!! I believe Wa Nigeria very soon watawarudisha Wa Tanzania wanapoteza Nauli kwenda Nigeria wakati Tanzania kuna Chief Commanding commander, Sir Apostle endelea ni kwa ajili yetu wewe hata hufaidiki na chochote ni sisi ndo tunaofaidika, Thank you for what you are doing for the sake of our generation, you have not failed us, we are learning sir, I look at you Apostle I see a better tomorrow!!
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Kule wanamfuata Baba yake wa Kiroho Chief Bushiri
@vj8313
@vj8313 2 жыл бұрын
@@trophywilson7211 Bushiri si yuko south Africa siyo Nigeria
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 2 жыл бұрын
Bushiri hayuko SA na haruhusiwi kukanyaga kule
@vj8313
@vj8313 2 жыл бұрын
@@happinessmwenda2773 He! Kumbe hakurudi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@vj8313 duuh ngoja atangetange Mara Kufufua wazima hahaha
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Mtalemwa vs josephati gwajima huwa nawasikiliza sana masomo yao yanaenda deep sana unajikuta unapata ufahamu ,jamani ukipata muda ingia you tube sikiliza masomo yafuatayo ya gwajima 1. Akili iliyologwa 2. Vifuniko vya kichawi 3. Kalenda za kichawi 4.kesho iliyopigwa kona 5. Roho ya yezebeli 6.vita vya kukaribia kupata
@vj8313
@vj8313 2 жыл бұрын
Asante
@irenemfinanga7441
@irenemfinanga7441 2 жыл бұрын
Asante Mungu kwaajili ya somo la injili ya leo...naomba unipe nguvu ya kuishinda nguvu ya mizimu! Mimi na uzao wangu nataka kumtumikia Mungu wa mbinguni. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@prophetjoshua1457
@prophetjoshua1457 2 жыл бұрын
Asante sana Chief Apostle kwa mafunzo yako hakika unatujenga kiroho sana. Mungu akuongezee Neema zaidi ya kufundisha. Amina
@joycemaige8683
@joycemaige8683 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana na azidi kukutumia Hili ni neno langu kabisa silipingi mwezi wa 12 nimeshiliki kiwachangia watu waliyo enda mkoani kujengea makabuli lakini walipo fika na walicho kifanya dah wanajua wao kwakweli sijawahi ona nguvu ya Mungu ikitenda kazi ndani yangu kwa kuniazibu kwanza nilianza kuota mandoto nikiwa vijijini Yani mpaka nakuja kuambiwa shida nini na adhabu ninazo pitia sikuamini Ila leo sasanajua ukweli zaidi nanamna ya kujifunza kukataa kuchangiachangia michango ya jambo usilolijua Mungu azidi kutu rehema hakika pia Mungu akubariki Sana kwakukutumia kutusogezea hili neno maana Mungu amakutumia kunichambulia maana ya kuchangia michango ya kila miezi ya 12 na safari za mwisho wa mwaka na maana yake apostle Mungu anakutumia Sana huu ujumbe ni wangu sipingi na nilipata maonyo Ila tunajiitaga sisi bado niwachanga kiroho Ila Mungu alimwambia yeremia wewe siyo mtoto kwasasa nataka nikutume asante kwa ujumbe Mungu atu rehema Sana tulipo kosea
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 2 жыл бұрын
Asante kwa kuendelea kufungua vifungo vya mizimu. Koo, familia na ndoa nyingi zinataabika na roho hizi. This is a master key of curse in our society.
@oscarngati1224
@oscarngati1224 7 ай бұрын
Thankyou Appostle for the mizimu teaching be blesse
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣💪Amen nimeacha ushirikina kwanzia leo.
@johntiokoepungure9941
@johntiokoepungure9941 2 ай бұрын
Wonderful teachings
@joank7929
@joank7929 2 жыл бұрын
Powerful teachings.
@estinakadinde9344
@estinakadinde9344 2 жыл бұрын
Chief haya material unatoaga wapi aseeee yaani wewe God bless you so much tunaomva utusaidie tunatokaje sasa maana mpaka hapa bado tumefungwa usitusahau kutupa somo la jinsi ya kutoka
@ramsdenjames9782
@ramsdenjames9782 2 жыл бұрын
Achana na mizimu fuata maagizo ya Yesu hyo ndo solution
@mumbinarankaik313
@mumbinarankaik313 2 жыл бұрын
Thank you Man of God, I wondered Moses died how did he appear to Jesus, now I know
@shikeniwilliam5531
@shikeniwilliam5531 2 жыл бұрын
Powerful teaching. Amen 🙏 mtumishi. Nimejifunza mengi apa. Ubarikiwe 🤗🙏
@fatumamichael5664
@fatumamichael5664 7 ай бұрын
Mungu nisaidie .Mimi na familia yangu kushinda roho za mizimu maana ndo zinatesa familia yangu
@annewamaitha1488
@annewamaitha1488 2 жыл бұрын
Heeh, umetufunza mtumishi, ubarikiwe maana maandiko yanasema " watu wangu waangamia ni kukosa ufahamu". Ee Mungu tuelimishe. Asante mtumishi wa mungu.
@liliansolomonofficial8373
@liliansolomonofficial8373 2 жыл бұрын
You are a blessing Apostle may God help us to keep our my faith,, thanks for rebuilding my faith.Glory b to God 🔥🔥
@zawadijoel7516
@zawadijoel7516 2 жыл бұрын
Chief Apostle, hujawahi kosea. MAfundisho yako yanaleta uelewa wa mambo tunayo pitia kila siku. Mungu wa Major1 akubariki na azidi kukutumia kwa viwango vya juu, mtumishi wake. Hakika mafundisho yako ni baraka kwetu.
@rachaellusava9326
@rachaellusava9326 2 жыл бұрын
Amen amen mtumishi umebadilisha maisha yangu sana mungu akuzidishie hiyo neema witching from Kenya
@sifumungu2
@sifumungu2 2 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI KABISA ,HOMME DE DIEU 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@janethjoseph7966
@janethjoseph7966 2 жыл бұрын
Hakika Mungu amenifunulia yaliyosirin kwenye familia yangu ,ubarikiwe sana mpakwa mafuta wa Bwana .nakwenda kushughulika nahizi roho sasa huu mwaka lazima kufunguliwa
@user-gs3ji9eg3m
@user-gs3ji9eg3m 6 ай бұрын
Amen amen barikiwa sana Nabii wa MUNGU somo ni zuri sana 🙏🙏
@faustinriziki6787
@faustinriziki6787 2 жыл бұрын
Amen, Amen Asante Sana Apostle kwa mafundisho yenye baraka kwetu , barikiwa Sana mtumishi 🙏🙏
@leahtimothy7273
@leahtimothy7273 2 жыл бұрын
Amen amen hallelujah apostle mtalemwa 🔥watching from Saudi Arabia pray for me daddy
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Apostle kwa somo hili nimekuelewa nimejifunza.
@angelkanoga2175
@angelkanoga2175 2 жыл бұрын
Jesus Baba Asante sana kwa Ufunuo huu yan mimi kuna nguo nilikuwa nikivaa nawashwa siku moja nikasema natakasa nguo izi kwa damu ya Yesu nilivaa sikuwashwa tena na zile nguo.
@joannelson1137
@joannelson1137 2 жыл бұрын
Chief apostle we thanks God for you 🙌🙌🙌🙏🙏❤️❤️
@josephmallya5525
@josephmallya5525 2 жыл бұрын
kwa hili nmefunguliwa sana
@vivienshubi8746
@vivienshubi8746 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu, Mungu akubariki kwa mafundisho yenye mafunuo makubwa, akuinue zaidi uzidi kutulisha neno lake
@yohanamomburi2312
@yohanamomburi2312 10 ай бұрын
You are truly the Man of God.... you are a blessing to us.
@pastorkennypauls9486
@pastorkennypauls9486 2 жыл бұрын
thank you Chief Apostle ❤️❤️❤️, eh Mungu nipe kutambua na kushinda nguvu za mizimu
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Amen
@billyclinton8
@billyclinton8 2 жыл бұрын
Amen
@stellangowa1893
@stellangowa1893 2 жыл бұрын
EE mungu nipe kutambua na kushinda nguvu za mizimu.Amen.
@vj8313
@vj8313 2 жыл бұрын
Be blessed sana servant of God.
@friedamkiramweni9500
@friedamkiramweni9500 2 жыл бұрын
Asante, Mtumishi wa Mungu nimejifunza somo muhimu. Mungu aendelee kukupa mafunuo na kukubariki.
@deborankya2342
@deborankya2342 Жыл бұрын
Amen my mental, nimejifunza nisivyovijua lakini tunaishi navyo. Mungu akubariki Chief.
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 2 жыл бұрын
Eh Mungu mimi na familia yetu utupe kushinda roho ya mizimu katika jina layesu christo amen
@emmasidi9446
@emmasidi9446 2 жыл бұрын
ameen ubarikiwe pastor apostle nimebarikiwa na hili neno
@enriqueganywamulume570
@enriqueganywamulume570 2 жыл бұрын
Heheeee Come on homme de Dieu !! Tena ufunuo maalumu. Oh yes !
@janethtilia1446
@janethtilia1446 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtu wa MUNGU unatufungua macho kweli inatuweka huru
@estinakadinde9344
@estinakadinde9344 2 жыл бұрын
Chief wa watu God bless you
@lucymziray7285
@lucymziray7285 2 жыл бұрын
These teachings ni fire fire 🔥🔥 I cant wait for my three years in Dar again kupata hili neno tena moja kwa moja! I miss you my mentor!
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 2 жыл бұрын
Asante kwa kumiza kichwaa sana kuandaa somo zuri sana haya kwetu yapo nimeyaona ila Sasa wanaoigwa na maombi wameanza kuokoka
@silvesterryaga7365
@silvesterryaga7365 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana. Mungu akubarikie Afya, Hekima na Shauku ya kuendelea kutufunua akili.
@lucianaemilyo9545
@lucianaemilyo9545 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi by Iraq Baghdad
@evamanyama8268
@evamanyama8268 Жыл бұрын
Neno tamu sana barikiwa sana mtumish umenigusa
@mchungajisecilia8029
@mchungajisecilia8029 2 жыл бұрын
Amen,,, Amen,,,, Amen.
@alicekalemela7435
@alicekalemela7435 2 жыл бұрын
Shalom Apostle, Asante Sana kwa mafundisho mazuri ya kutuvusha. Mimi binafsi nilipapambana na hii roho ya mizimu , namshukuru Mungu nimeshinda. God bless you and keep you.
@ramaaman4020
@ramaaman4020 11 ай бұрын
Kama Mungu anawezakutumiakitunakuongea basi yesu sio mwanaeamungu ni mtumishiwa Mungu,mboanawengine hawakubali
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 2 жыл бұрын
Big up for your teachings Apostle
@sallygrace1495
@sallygrace1495 2 жыл бұрын
Blessings you may of God 💝
@festokachunkwa4268
@festokachunkwa4268 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa fundisho la roho za mizimu ( tuliamo mtaremwa)
@Estherm309
@Estherm309 2 жыл бұрын
Asante sana asante sana nimejifunza nimejifunza nakataa maroho ya walio kufa kwa maisha yangu
@felistargabrielly1236
@felistargabrielly1236 2 жыл бұрын
Ameeen chief, mimi binafsi nimejifunza vitu ambavo nilikua natamani Sana siku Moja nipate hili somo, maana hata mimi inanisumbua Sana🙏🙏🙏
@joyamani4746
@joyamani4746 2 жыл бұрын
Asante sana! Can’t wait for part 2
@pastorkari8802
@pastorkari8802 2 жыл бұрын
Apostle uko sahihi Sana, ubarikiwe
@WinnerJ_
@WinnerJ_ 2 жыл бұрын
Powerful 🔥🔥🔥 waiting for part two eagerly
@Estherm309
@Estherm309 2 жыл бұрын
Amen Amen nashukuru my angle kanipiganiaasante sana baba
@billyclinton8
@billyclinton8 2 жыл бұрын
Hilo Neno Lina nguvu sana
@alexluwaha6768
@alexluwaha6768 2 жыл бұрын
Pactor ubarikiwee nimesikiliza somo la Leo nimekuelewa vzur tunashukulu kwa ufafanuzi Mama Angu Anateseka na mizimu miaka mingi anasumbuliwa na mizimu ya mababu nilikuwa naomba msaada kwa hilo 🙏🙏
@floramongi1410
@floramongi1410 Жыл бұрын
Roho hizi za mizimu zimetufanya sisi wa Afrika kuwa maskini tufundishe baba tuelewe
@churchofrepentanceofchrist139
@churchofrepentanceofchrist139 2 жыл бұрын
ubarikiwe mtumishi wa Mungu maana uko kiroho kabisa
@alfredbomani8047
@alfredbomani8047 2 жыл бұрын
Siyo Mlokole lkn nimekukubali. Upeo wako mkubwa mno. Some gum umelifafanua vzr sana. Pia mistari ya Biiblia umeihusisha vyema ktk kujenga ufahamu. Bila mbwembwe. Asante sana
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 2 жыл бұрын
Amina. Apostle
@violetamati2571
@violetamati2571 Жыл бұрын
Thank you man of God
@samwelinyaku3810
@samwelinyaku3810 2 жыл бұрын
Asante kwa kuendelea kufungua fahamu zetu za kiroho na kimwili baba
@dilurai4204
@dilurai4204 2 жыл бұрын
Chenye umehubiri ni kweli kabsa ata sisi kwetu tunasumbuliwa sana juu ya chele tulizochanjwa na shangazi
@marthafransi9868
@marthafransi9868 2 жыл бұрын
Ee MUNGU wangu Mimi na nyumba yangu tukutumikie wewe utuongoze katika njia zako kuu
@floramongi1410
@floramongi1410 Жыл бұрын
Uko vizuri ubarikiwe
@dilurai4204
@dilurai4204 2 жыл бұрын
Amen Amen
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 2 жыл бұрын
Asante kwa masomo, barikiwa sana
@danieltungira3837
@danieltungira3837 2 жыл бұрын
Be blessed Paster
@liliankira1074
@liliankira1074 2 жыл бұрын
lilian matengele flom tanga niombee baba
@sifumungu2
@sifumungu2 2 жыл бұрын
Ufunuo kweli 🙏🙏🙏
@jacklineikoki6653
@jacklineikoki6653 Жыл бұрын
You're too much chief very very very true chief
@gladnessmajala3295
@gladnessmajala3295 Жыл бұрын
Amen 🙌
@simonzakaria4770
@simonzakaria4770 9 ай бұрын
Ee Mungu nisamehe sirudii tena
@mildredwekesa5844
@mildredwekesa5844 2 жыл бұрын
Asante saana mtumishi najifunza zaidi
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 6 ай бұрын
❤❤❤❤ Aminaaa
@lydiakagai5808
@lydiakagai5808 2 жыл бұрын
Asante sana tunangoja maombi yakuharibu roho hizi mbaya
@Flevydan
@Flevydan 2 жыл бұрын
Be blessed Son of Major one you really bless me each and every time I listen the word of God through you listening out from Kenya
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 11 ай бұрын
Ninakuelewa sana ilatunaiepuka vp mizimu
@mwanahamisifafi7483
@mwanahamisifafi7483 2 жыл бұрын
Amen
@lwanjiedna5233
@lwanjiedna5233 2 жыл бұрын
Asante apostle mafunzo mazuri
@churchofrepentanceofchrist139
@churchofrepentanceofchrist139 2 жыл бұрын
sawa mtumishi
@karlymathew5500
@karlymathew5500 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa somo zuri nimefunguka maana mizimu inatesa watu wengi
@martinisadru9899
@martinisadru9899 2 жыл бұрын
Mungu nisaidie
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 2 жыл бұрын
Somo zuri sana japo gumu kumeza
@kadzomasha8539
@kadzomasha8539 2 жыл бұрын
Nikitaka kutowa sandaka Nita fanya nini juu Niko mataifa za inje🇩🇪⭐🙏⭐
@sululungasa3849
@sululungasa3849 2 жыл бұрын
ameniii 🙏
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 11 ай бұрын
Mimi ni Islam lkn nakuelewa hadi machizi ,niukweli ulioje wengi tunasumbuliwa nahaya mamizimu ,nanimigumu kukuacha ,
@jumarama778
@jumarama778 2 жыл бұрын
Haleluya👏👏👏👏🇰🇪
@karlymathew5500
@karlymathew5500 2 жыл бұрын
Na mimi ni muanga na haya ma roho ni Mungu ananisaidia
ATHARI ZA URITHI/ATHARI ZA MIZIMU
1:24:13
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 22 М.
VITA YA KIROHO
47:42
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 11 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
DAWA YA ADUI YAKO HII HAPA
23:32
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 162 М.
NI MAPENZI YA MUNGU UWE MASIKINI?
1:20:22
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 27 М.
KUWAFUTA WACHAWI KATIKA MJI
1:14:07
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 24 М.
JINSI YA KUOMBA WAKATI WA MCHANA.
1:00:57
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 110 М.
SIRI ZILIZOKO WAKATI WA ASUBUHI
1:09:02
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 93 М.
MAFUNDISHO -- JINSI YA KUTAWALA FEDHA NA MALI.
51:00
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 51 М.
MATESO YATOKANAYO NA VIFUNGO VYA FAMILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:01
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 41 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН