SIRI ZILIZOKO WAKATI WA ASUBUHI

  Рет қаралды 95,266

Apostle Mtalemwa Bushiri

Apostle Mtalemwa Bushiri

Күн бұрын

Пікірлер: 217
@J.PierreItangishaka
@J.PierreItangishaka Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe Asante kwa kuiona asubuhi ya leo iwe baraka kwangu
@annmaina3142
@annmaina3142 3 жыл бұрын
Na iheshimu Sana hii madhabahu, imenifundisha mengi ya kumnjua mungu zaidi.
@eliadahmhina4125
@eliadahmhina4125 3 жыл бұрын
NAKUPENDA SANA MTUMISHI ,UNANIBARIKI SANA
@LevinaLupenza
@LevinaLupenza 11 ай бұрын
Ameen Mtumishi Asubuhi yangu iwe nafuraha,rehema,upendo nafadhili,uaminifu
@sallygrace1495
@sallygrace1495 3 жыл бұрын
Furaha yangu asubuhi na mchana wng wote utakuwa na furaha 😊 Glory be to God!
@RuthMomanyi-bh3ez
@RuthMomanyi-bh3ez 6 ай бұрын
Nami nimepokea ili somo kwa furaha maana najua vivungu lakini sina uelewa balikiweni sana mtumishi kwa somo nzuri kwa bwana hakuna kujielewa. Asante nami asubuhi yangu yaja ninaimani kwake kwa matarajio makubwa
@mrsnzilomgisha2687
@mrsnzilomgisha2687 3 жыл бұрын
Napenda mafundisho yako sijutii madhabahu ya ECG
@emmyhamic1416
@emmyhamic1416 3 жыл бұрын
Bwana akubariki mtumishi wa Bwana hakika umeniokoa mimi na nafsi yangu nami nitamrudia Bwana
@sintacollin2204
@sintacollin2204 3 жыл бұрын
Nabalikuwa sana na huyu mtumishi wa Mungu
@majumamasinde1953
@majumamasinde1953 3 жыл бұрын
Amen and amen asante sikujua nashukuru nimeelewa andiko la mungu na siri kubwa la asubuhi
@kilianasafimapunda2891
@kilianasafimapunda2891 3 жыл бұрын
This Philosophy is beyond PhD level This is Heavenly teaching from Holy Spirit. Thank you Papaa
@monicalaizer7596
@monicalaizer7596 Жыл бұрын
Amen
@sabinaleonce8243
@sabinaleonce8243 2 жыл бұрын
Amina
@vickiemerere4056
@vickiemerere4056 3 жыл бұрын
Hata mimi sipendi nyimbo za kimbea mtumishi...Mungu akuweke
@rithalukas4263
@rithalukas4263 3 жыл бұрын
hakika Mungu ni mwema kwangu,Mungu nisaidie nisiusahau wema wako katika maisha yangu,ewe Kinga yangu.
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Mungu Anakuona mpaka anashangaa!!umeniponya kwa maneno yako matamu yenye kuponya nafsi za watu:MUNGU akubariki
@zainabukimaro5240
@zainabukimaro5240 3 жыл бұрын
Napokea majibu asubuhi ya leo
@erickmtui3137
@erickmtui3137 3 жыл бұрын
Asante kwa kujua maombi ya hasubui pia nimejua mambo ya kufanya hasubui moyo wako umepata jambo la heri ubarikiwe sana
@reymasenya6450
@reymasenya6450 3 жыл бұрын
Kwa Kweli Umenijenga Kihimani Ubalikiwe Sana
@sundayherrieth9460
@sundayherrieth9460 11 ай бұрын
Nimepokea mafundisho haya na ninaanza kuyafanyia kazi, kwa kweli umegusa moyo wangu
@VictorBambo-ir7wp
@VictorBambo-ir7wp 6 ай бұрын
Shalom nafarijika na maombi yako MUNGU ni mwema
@lynnemelline1627
@lynnemelline1627 3 жыл бұрын
'Utapata resistance kwa sababu ni wakati wa nguvu za giza. Wakati wako ni asubuhi ' Naitumia asubuhi yangu vizuri kwa Jina la Yesu 🖐️🙏🙏🙏
@rhodaademba4451
@rhodaademba4451 3 жыл бұрын
MUNGU BABA,Umeetishaaaaaaaaaaaaaa..........Hakika hili ni neno langu. Napokea kwa furaha neno hili,asante Yesu kwaajili ya mtumishi wako Apostal Mtalemwa.Nakupenda mnoo.
@rachaellusava9326
@rachaellusava9326 3 жыл бұрын
Naipokea neema mpiya kila siku asubuhi katika jina La yesu,amen amen amen chief apostle, mungu akuzidishie upako huo, natazama kutoka kenya
@kombeonaumishenaritv642
@kombeonaumishenaritv642 2 жыл бұрын
Waebrania 4:1-6, 9-11 (KJV) Basi, ikiwa ikaliko ahadi ya kuingia katika raha yake, na tuogope, mmoja wenu asije akaonekana ameikosa. Maana ni kweli, sisi nasi tumehubiriwa habari njema vile vile kama hao. Lakini neno lile lililosikiwa halikuwafaa hao, kwa sababu halikuchanganyika na imani ndani yao waliosikia. Maana sisi tulioamini tunaingia katika raha ile; kama vile alivyosema, Kama nilivyoapa kwa hasira yangu, Hawataingia rahani mwangu: Kwa maana ameinena siku ya saba mahali fulani hivi, Mungu alistarehe siku ya saba, akaziacha kazi zake zote; na hapa napo, Hawataingia rahani mwangu. Basi, kwa kuwa neno hili limebaki kwamba wako watu watakaoingia humo, na wale waliohubiriwa habari ile zamani walikosa kuingia kwa sababu ya kuasi kwao, Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu. Kwa maana yeye aliyeingia katika raha yake amestarehe mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyostarehe katika kazi zake. Basi, na tufanye bidii kuingia katika raha ile, ili kwamba mtu ye yote asije akaanguka kwa mfano uo huo wa kuasi.
@bernardmkuffya5171
@bernardmkuffya5171 3 жыл бұрын
Kila fundisho kutoka kwako linakuwa na kitu kipya sijawahi hata kufikiria.mfano siku kuanza usiku.Praise the LORD?,God bless this Man of God.
@sarahwaswa5819
@sarahwaswa5819 2 жыл бұрын
Asante mungu kwa mafundisho tunae jifunza jupitia mutumishi wako 🙏🙏🙏
@ruthnyanza1887
@ruthnyanza1887 Жыл бұрын
Ame nimebarikiwa Sana na haya masomo Mungu akubariki mtumishi ktk jina la yesu
@angelkanoga2175
@angelkanoga2175 3 жыл бұрын
Ntahakikisha Asubuhi yangu naitumia vizuri kumbe ndio maaana ikifika saa kumi nakuwaga macho usingizi uwa sipati mpaka saa kumi na mbili kumbe ndio muda Mungu ameniamsha niombe
@joelsagide9607
@joelsagide9607 Жыл бұрын
Umenitoa ujinga ambao cjui nani angenitoa Mwenyezi MUNGU akuzidishie Ulinzi wa Maisha.
@gladysgladys7393
@gladysgladys7393 3 жыл бұрын
Amen mtumishi umeniunua kiroho I have learnt something hoo yes I have received
@AtuKyando-q6b
@AtuKyando-q6b Жыл бұрын
Najiungamanisha na mazabahuni ya MUNGU wa MTUME BUSHILI
@agnesjacksonphilip3382
@agnesjacksonphilip3382 3 жыл бұрын
Amen Apostle Asante nimepata kitu kipya Asante ninazidi kukuwa kiroho bleed you
@zainabukimaro5240
@zainabukimaro5240 3 жыл бұрын
Mungu akulinde mutushi nimepata nguvu
@peninahndinda2874
@peninahndinda2874 2 ай бұрын
What a revelation.......kwa hakika asubui yaja.
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 3 жыл бұрын
Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa. Hili neno lina maana kubwa sana. Bali ni wachache sana watakaofunuliwa huu ukweli. Ila ukiamua kumgeukia mungu wa kweli hakika hujachelewa
@mariamungaji7187
@mariamungaji7187 3 жыл бұрын
U bless ma soul prophet of God.Mariam Kenya
@yuvenaltesha2582
@yuvenaltesha2582 3 жыл бұрын
Mungu akupe hekima zaidi
@maryjaselly5276
@maryjaselly5276 2 жыл бұрын
Nampenda Sana mafundisho yako mtumishi wamungu yananifungua najifunza mengi sana
@gladysgladys7393
@gladysgladys7393 3 жыл бұрын
Hi God am waiting the miracle in Jesus name nimepokea kwa damu ya yesu fro Kenya
@vincentnzwalila3683
@vincentnzwalila3683 3 жыл бұрын
Ahsante Sana Apostle.
@trezynjeri8288
@trezynjeri8288 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa malifaa ili utufungue macho maana nimenjifunza mengi sana kutoka kwako
@godsfavour5665
@godsfavour5665 3 жыл бұрын
Ameeen napokea majibu yangu katika jina la yesu🙏🙏🙏asante kwa mafunzo mema
@esterdonald5497
@esterdonald5497 2 жыл бұрын
Nimekuelewa apostle umebarikiwa Sana 🙏
@jayzeem14
@jayzeem14 2 жыл бұрын
Nime Barikiwa mno!! Asante Yesu!!
@selinamwakiluma7968
@selinamwakiluma7968 3 жыл бұрын
Kweli mtumishi nilishawahi kuambiwa na Padre kuwa nikiamka asubuhi nijiangalie kwenye kioo alafu nitabasamu na kweli kila nikifanya hivyo asubuhi,uwa ninakuwa na Faraha sana.
@isackboniphace9934
@isackboniphace9934 Жыл бұрын
Imeenda hiyoo👏🔥🔥🔥🔥
@annarichardrichard960
@annarichardrichard960 3 жыл бұрын
Mtumishi ninaguswa sana na maombi yako nimekua nikifuatilia sana natamani kufika kanisani kwako
@brendahwekesa8892
@brendahwekesa8892 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu ,Bwana Yesu asifiwe, nashukuru mungu nimepata mafunzo yako , Yameponya moyo wangu .sikuwa na amani ndani ya moyo , lakini najua mungu anaenda kutenda ndani ya maisha yangu.Mungu akubariki na azindi kukuinua. Nitazidi kufuatilia mafunzo yako .Amen
@brigithhappy1143
@brigithhappy1143 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi sisi wachungaji ni kweli kushughurika na akili ni kidogo sana.
@kombeonaumishenaritv642
@kombeonaumishenaritv642 2 жыл бұрын
Waebrania 4:9, 12 (KJV) Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu. Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.
@eveanangisye1999
@eveanangisye1999 3 жыл бұрын
Hakika wewe Mungu ni mwingi wa Rehema, Fadhiri, Upendo mwingi na Mwaminifu kwenye maisha yetu kupitia Mtumishi wako Apostle Mtalemwa naanza kwa upya kila asubuhi kwa kuwa neema yako yakupata maarifa haya yenye kutuinua zaidi Kiroho.
@kombeonaumishenaritv642
@kombeonaumishenaritv642 2 жыл бұрын
Kutoka 20:1, 8-11 (KJV) Mungu akanena maneno haya yote akasema, Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
@alicekadzotsofwatsofwa8618
@alicekadzotsofwatsofwa8618 2 жыл бұрын
Amem nimepokea Kwa jina la yesu
@cleopatrakimath787
@cleopatrakimath787 2 жыл бұрын
Amenn
@peninamwailunda8813
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
Ahsante Sana apostle, umenipa siri kubwa Sana asb ya leo
@sussynasimiyu8467
@sussynasimiyu8467 3 жыл бұрын
Amen Amen Amen mungu wa mbinguni akubariki mtumishi Asante nabarikiwa tu Sana
@eliadahmhina4125
@eliadahmhina4125 3 жыл бұрын
AMEEEEEEEEN BABAAAA
@lydiakanah4478
@lydiakanah4478 3 жыл бұрын
Yes. God is FAITHFUL he will fulfill his promise early in the morning in JESUS CHRIST of Nazareth Amen
@suzanne9517
@suzanne9517 2 жыл бұрын
Amina amina amina
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Yes hakuna Kama MUNGU wa mbingu na NCHI MAANA ANANIKINDA usiku na mchana
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 3 жыл бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
Mtumishi unanijenga kiimani kila ninapo kukusikiliza 🙏🙏🙏 be blessed
@prinsesnandy3224
@prinsesnandy3224 2 жыл бұрын
Baba napenda sana vile unatupa chakula cha kiloho hakika unanibaliki nashiba haswaaaa
@ashuraSalum-cn2vr
@ashuraSalum-cn2vr 5 ай бұрын
Asante sanaa mtumishi nimekuelewa
@clairemuchai623
@clairemuchai623 2 жыл бұрын
Aimen
@claudiayvonne6352
@claudiayvonne6352 2 жыл бұрын
Amen pasteur Mungu akuinuwe zaidi na zaidi👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 nime jifuza sana
@guidolezile1141
@guidolezile1141 Жыл бұрын
Fresh morning in jesus name
@rizikinibale6748
@rizikinibale6748 2 жыл бұрын
Asante sana MUNGU atulinde na akutie guvu mtumishi wa bwana AMEN 🙏
@annarichardrichard960
@annarichardrichard960 3 жыл бұрын
Mungu akulinde na kukubariki
@pst.favourisaac8148
@pst.favourisaac8148 3 жыл бұрын
Waw apostle i'm blessed. Since i came across of you on Yutube i'm blessed by the word of God thru you. From Mombasa Kenya.
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 3 жыл бұрын
Napokea nguvu ya kuanza upya asubuhi hii kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazarethi
@marinemodest1798
@marinemodest1798 3 жыл бұрын
AMEN NAPOKEA ASUBUHI YANGU NJEMA KILA KITU CHANGU KITABARIKIWA KATIKA JINA LA YESU KRISTO
@patientlazaro6930
@patientlazaro6930 3 жыл бұрын
Apostle ubarikiwe nimekuelewa sana. Nilikuwa najua asubuhi inanguvu ila nilikuwa sijui kiundani niliwacha maombi ya asubuhi ila ninayarejea maana umefundisha nikaelewa napokea kwa jina la Yesu.🙏
@elijahkioko6593
@elijahkioko6593 3 жыл бұрын
Like father like son,, Apostle does it like Major 1 does it!!👏👏
@monicagindo8737
@monicagindo8737 3 жыл бұрын
Kwa kweli tunapokea maarifa
@perisperiske4398
@perisperiske4398 3 жыл бұрын
God bless you man of God...watching from Saudi Riyadh...you bless me alot... I'm kenyan
@lynnemelline1627
@lynnemelline1627 3 жыл бұрын
Hello sister. I'm Also a kenyan from Riyadh. Do you mind tukijuana?
@perisperiske4398
@perisperiske4398 3 жыл бұрын
@@lynnemelline1627 why not...send me your WhatsApp number... I'll text you
@kimaromwasepankras
@kimaromwasepankras Жыл бұрын
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 Ameen
@IddaLyimo-v4d
@IddaLyimo-v4d 8 ай бұрын
Mafundisho ambayo ubert angle alifundisha kuhusu morning worship
@davidnjenga9972
@davidnjenga9972 3 жыл бұрын
Nimebalikiwa Sana tangu ninjue hii you tube yako.Mungu akubaliki
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
cha kwanza im blased, cha pili namshangaa Mungu sijawahi sikia mafunuo ya ajabu namna hii.
@dorayesaya4424
@dorayesaya4424 2 жыл бұрын
GOD bless you Pastor.Unanibariki Mnooo
@lazarodoma6666
@lazarodoma6666 3 жыл бұрын
Appostle mtalemwa I' have blessed your teaching My God bless u
@janethtilia1446
@janethtilia1446 3 жыл бұрын
Nimepokea jambo jema
@neemachiloweka623
@neemachiloweka623 3 жыл бұрын
Amen tuko pamoja
@neemadaud5337
@neemadaud5337 4 ай бұрын
Nisipo comment neno hili nitacoment ninin thank you Jesus
@stellaerick2735
@stellaerick2735 2 жыл бұрын
Asante sanaa kwa soma zuri Mungu akubariki
@lydiakanah4478
@lydiakanah4478 3 жыл бұрын
It's time 👏👏
@teresahjuma9305
@teresahjuma9305 9 ай бұрын
Amen amen
@rithalukas4263
@rithalukas4263 3 жыл бұрын
nimebarikiwa sana na somo hili,Mungu akubariki
@neemasusan1768
@neemasusan1768 3 жыл бұрын
Ameeeen Apostle
@rosemarymallya4458
@rosemarymallya4458 3 жыл бұрын
Wat a revelation🙇‍♀️🤲IN THE MORNING📌 PRAYERS :- from Heaven to Us🤲🔥🤲 WORSHIP:-from US to Heaven🙌🔥🙌
@danielkimambo6748
@danielkimambo6748 3 жыл бұрын
Asante Bw Yesu kwa neema ya ufunuo huu kila asubuhi. Namtukuza Bw anayempa Mtumishi siri kuu namna hii. Asante Apostle nakuombea kila siku.
@meshackdieudonner6558
@meshackdieudonner6558 2 жыл бұрын
Asante Sana,Kwa mafundisho mazuri
@anitajacob3641
@anitajacob3641 11 ай бұрын
Asante sana mtumishi 😘
@jacquelinesamson
@jacquelinesamson 3 жыл бұрын
Amen and I'm Connecting faith through Christ Jesus and I Agree and Believe and receive this Powerful Prayers upon my life and my Son and my family because our help comes from Jehovah God the maker of the Heaven and earth and no weapon formed against us will be able to prosper Because God is with us and no body can against us and all things are possible with God and Joy comes in the morning in the mighty name of Jesus Christ Amen and Amen Hallelujah Glory be to God
@doreenkudondo1086
@doreenkudondo1086 3 жыл бұрын
My first time to watch your teachings... You're a God sent servant of God.... May you be blessed beyond measures🙏🙏🙏
@kombeonaumishenaritv642
@kombeonaumishenaritv642 2 жыл бұрын
Yes
@graycestewart7984
@graycestewart7984 3 жыл бұрын
Amen amen Man of GOD, God bless you Nimejifunza mambo mengi katika SoMo hili juu ya kuitumia asubuhi vizuri 🙏🙏🙏🙏
@zainabukimaro5240
@zainabukimaro5240 3 жыл бұрын
Asante yesu kwa asubuhi njema
@rosemarymallya4458
@rosemarymallya4458 3 жыл бұрын
THANK YOU LORD FOR THIS KNOWLEDGE BLESSINGS TO THE MAN OF GOD🙌🔥🤲🙌🤲🔥🙌🔥🤲🙌🔥🤲
JINSI YA KUOMBA WAKATI WA MCHANA.
1:00:57
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 112 М.
UAMKAPO ASUBUHI FANYA HIVI.
6:34
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 300 М.
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 10 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 96 МЛН
Amazing remote control#devil  #lilith #funny #shorts
00:30
Devil Lilith
Рет қаралды 16 МЛН
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 32 МЛН
NINI CHANZO CHA MIPANGO YAKO KUHARIBIKA?
43:38
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 31 М.
HUWEZI KUFANIKIWA BILA KUFUATA HATUA HIZI
1:17:12
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 53 М.
ISHARA 7 ZINAZOONYESHA ROHO MTAKATIFU YUMO NDANI YAKO - Innocent Morris
1:07:20
KUUWEZA MWEZI MPYA || PASTOR CHARLES PROSPERITY
1:05:51
THE COVENANT TV
Рет қаралды 83
SIRI ZA KUPATA UTAJIRI KANISANI
1:25:39
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 45 М.
FAHAMU SIRI YA MUDA WAKO BINAFSI NA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA || 08/09/2024
2:19:24
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 82 М.
KUFICHUA SIRI ZA WACHAWI PART 4
1:40:24
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 33 М.
ARDHI INASIKIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
19:35
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 37 М.
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 10 МЛН