Awaomba Msamaha WAREMBO wa KENYA baada ya kusema Kenya hakuna Wanawake wazuri, ashambuliwa Mtandaoni

  Рет қаралды 10,437

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 164
@kimah9855
@kimah9855 4 ай бұрын
Jirani jirani jirani sisi mnatudharau vibaya, lakini kila mtu mungu alituumba na tuna uzuri wetu. All I can say is let’s respect each other
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 4 ай бұрын
Samahanini majilani awa machura tu
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 4 ай бұрын
Muko wazuri jirani bana huo ni utani tuu msijali tupo nayinyi
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 4 ай бұрын
Huyu mwanamke asituchafue kabisa ujirani uzidi tumekusamehe😢
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 4 ай бұрын
@@paulinewangila-cs6ys nitumie namba yako nikutongoze
@cynthiawanza3977
@cynthiawanza3977 4 ай бұрын
Majirani zetu nyi ndo wachokozi
@Bahati47
@Bahati47 4 ай бұрын
Hivi karibuni kuna mdada wa ki kenya alitusema vibaya sana akawasema mpaka wasanii wetu vibaya sema unajua sisi wa tz hatnaga mda yani tulimuona km punguani vile
@FelistersMejumaa-xi2ge
@FelistersMejumaa-xi2ge 4 ай бұрын
Alitumia kingereza na nyie wa Tz hamuelewi ndio maana mlinyamaza
@berthatz
@berthatz 4 ай бұрын
Umeona ee..hawa wala hawakutakiwa kuomba msamaha…
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 4 ай бұрын
Tuwasamehe tu jamani...we both a human being..no one is perfectly..(only lord)
@benjo_brighter
@benjo_brighter 4 ай бұрын
Lakini si ameongea kutokana na mtazamo wake au 🤔
@fredrickmaitha4427
@fredrickmaitha4427 4 ай бұрын
We mwenyewe tembea kenya ujionee warembo alafu ukuje utupe matokeo kenyan oyee🎉 alafu huyu akisema stori za warembo awe mrembo kwanza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 ай бұрын
Achana nao na mikorogo yao ,ikiwa niwarembo hizo makeup za nini?
@BrianHuncho-kc5zs
@BrianHuncho-kc5zs 4 ай бұрын
Hiyo ni midoli inaongea ..Bullshit awajui ata kuoga...
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 4 ай бұрын
Wapo wazuri ila kwa watz mkasome
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 ай бұрын
@@khamismgunya4519 sio kweli, wakenya wazuri na hawajitangazi,acheni mkorogo mjione vyenye mko 😄🤣😂😆
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 4 ай бұрын
Bado sana
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 4 ай бұрын
Nyie wakenya ni ndugu zetu kabisa yani, Mtusamehe bhana, kwa niaba ya hao wasichana, sote ni wa Mungu na mavumbini tutarejea, no one is better than others 🙏🇹🇿🇰🇪 ASalaam alykum 👋
@LindaMakalaya
@LindaMakalaya 4 ай бұрын
Nyie wa Tz hamtuwezi kwa lolote kwanza huo si urembo huo na makeup sisi tunajivunia urembo wetu juu si urembo wetu ni natural pili tz hmna pesa na swli lngu ni je mbna mwapnda kuja kufanya kzi uku
@zayumar2955
@zayumar2955 4 ай бұрын
Ni ukwel tu Kwa uzur Kenya tunawazidiiiii hata walete makasirikoo
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 4 ай бұрын
Mimi sipokei uo msamaha na nabaki na msimamo wangu kua Kenya hakuna waremboo kwanza ni weusi kama matairi ya gari
@rizikimwero1767
@rizikimwero1767 4 ай бұрын
Wenyewe kama simikorongo sijui ingekuaje
@berthatz
@berthatz 4 ай бұрын
Wala siyo mkorogo huo..wadada weupe hao..kama mkorogo unang’arisha kapake nawewe tuone kama utang’ara..wivuu tuu😝
@SaidiYahya-t1c
@SaidiYahya-t1c 4 ай бұрын
Ww omba msamaha Ila mm kaka ako nimekaa kenya 15 years najua kule maajabu zero alaf utamaduni wao wa kizungu wanatumia karatasi nyeupe hawapendi mma wabaya bwana weeh
@Munshid_Rajab
@Munshid_Rajab 4 ай бұрын
Watu wanaomjua mungu wanaogopa utani..big up sana👏👏👏
@christianrukurugu4341
@christianrukurugu4341 4 ай бұрын
Hata kama umewaomba msamaha lakini message sent. Hawajui kuvaa.
@nancyg8664
@nancyg8664 4 ай бұрын
😂😂😂kabisa
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 4 ай бұрын
Sisi hatujui kuvaa but kwa akili tumeawaacha mbali upo😂😂😂 yani mbaliii😂😂
@jacquelinerayamu3187
@jacquelinerayamu3187 4 ай бұрын
Mbona matusi jamani..kisha huko huko kenya ndio mkitaka kuinuka mnaomba Kenyans wawaboost shame ..shame on you kwa uzuri gani Kenya we lead others follow..we try Kenyans u cry... Kenyans are smart globally we lead ...makosa sana mbele ya Mungu hakuna Alie bora zaidi umetukwaza sana na tunavyowapenda jamani so 😢
@nancyg8664
@nancyg8664 4 ай бұрын
@@yasminoluoch169 bado hujasema
@Bahati47
@Bahati47 4 ай бұрын
Mbona wa kenya wakitokosea hawatuombi msamaha? Kwani wao ni kinani?
@NicksonJuma-wo8nl
@NicksonJuma-wo8nl 4 ай бұрын
Huku ni Kenya nani
@HassanAbdallah-f6o
@HassanAbdallah-f6o 4 ай бұрын
Kweli ww mzuri mashaallah
@najashdawood9680
@najashdawood9680 4 ай бұрын
Yupo sahihi dada
@MsNajma-e6e
@MsNajma-e6e 4 ай бұрын
Wakenya wanasura za bba zao wanawake kama wanaume hawajui kuvaha
@zainabzain3434
@zainabzain3434 4 ай бұрын
Astafirullah
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 4 ай бұрын
Good for them
@Quran-hidayat01
@Quran-hidayat01 4 ай бұрын
wawo wenyewe mamekapu tuu vibaya
@JmmJacky
@JmmJacky 4 ай бұрын
Ww mwenyewe una sura gani ..mh sura kama nyani.
@LindaMakalaya
@LindaMakalaya 4 ай бұрын
Mimi sipokei msamah and think before you talk
@aaa64sa13
@aaa64sa13 4 ай бұрын
Ushapata msamaha wangu ❤🇰🇪🇹🇿🎉
@dogofiy6277
@dogofiy6277 4 ай бұрын
Sote n w Allah huwez kumkosoa Allah sote ametuumba Allah muhim kusem alhamdulilah hmn mbaya mbele y Allah huwez kumkosoa Allah
@alibinali_
@alibinali_ 4 ай бұрын
Siku nyengine mambo kama hayo yaki tokia musiseme wakenya simeni wa Nairobi hao wabara hawana heshima
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 4 ай бұрын
Ukwel ndio huo Kenya wadada wazuri niwakuhesabu aseeh we know them, afu wakiambiwa wanakuja juuu😂 sie waTz hata watutukane vp we always never care them.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 ай бұрын
Mokorogo Tanzania number 1,vigodoro usiulize, hajui wakenya ajitulize tu, mimi mwenyewe mdigo lakini kwenye family yetu tukijikusanya bila makeup na tunawashinda ,hakuna mtanzania atasimama kwenye camera ajitangaze kua ni mrembo bila makeup, kama niurembo wa makeup sawa mko mbele
@aishaarusha894
@aishaarusha894 4 ай бұрын
Wewe usijisifu wewe Tanzania ni wazuri kushinda wakenya huo ndo ukweli lazima uwaume
@aishaarusha894
@aishaarusha894 4 ай бұрын
Alafu kuhusu mikorogo kawaulize wa Congo man😅
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 ай бұрын
@@aishaarusha894 mkiacha makopo mtakua kama kina mwafulani, 😄😄🤣😂😆😄🤣, wakenya niwarembo tena wa asili, mikorogo itawauwa ,hamna urembo wowote Tanzania na huo ndio ukweli,
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 ай бұрын
@@aishaarusha894 mkorogo Tanzania inaongoza alafu mnasema mko asi ya kiarabu 😄🤣😂😆😄🤣,
@aishaarusha894
@aishaarusha894 4 ай бұрын
@@fatumamwalimu5765 sisi asili yetu wa TANZANIA ni weupe kabisa wanaojichubua ni wakenya na wakongo walio kimbia nchi zao kusema ukweli nyinyi ni wabaya wa tabia na kila kitu sasa vitu vya kipumbavu mnavishikia debe tunawangojea siku muuane wenyewe kwa wenyewe alafu tuwapokee kama wakimbizi
@user-sw6uo6rv6j
@user-sw6uo6rv6j 4 ай бұрын
Tunao umia ni cc wenye asil ya nchi mbili daaah Tanzania nahama wallah
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 4 ай бұрын
Sasa Kwan Kenya Kuna warembo 😂😂😂
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 4 ай бұрын
Umeanzaa watu wanasonga mbele unatafuta ugomvi😢
@lakasid3860
@lakasid3860 4 ай бұрын
​@@paulinewangila-cs6ys mtusamehe 😢
@HassanAbdallah-f6o
@HassanAbdallah-f6o 4 ай бұрын
Walizani kujua kiingereza ndio kuwa wazuri, wakenya kweli wabaya😂😂😂😂😂😂
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 4 ай бұрын
Nimeona Titok tushakusemehe ddangu ila muombe Mungu pia ss sio wakamilifu
@oro_instru
@oro_instru 4 ай бұрын
Ethiopia 🇪🇹 is number one
@salimbilali5174
@salimbilali5174 4 ай бұрын
Bahati yake
@khamismgunya4519
@khamismgunya4519 4 ай бұрын
Wapo pia wakenya wazuri ila huo ni utani tuu
@AhmedCastrohart257
@AhmedCastrohart257 4 ай бұрын
Hhhhhhh yani kama uyo yuko anawaponda wenzake yan sijaona ata maajabu anayo mana yeye mwenyew mbovu sana
@MamodelPark
@MamodelPark 4 ай бұрын
Kunya anye kuku akinya bata kaarisha kuna choko mmoja wa kenya alitutukana Tz nzima apa tukakausha wao kuambiwa mambo ya uzuri povu zinawatoka Mxieeeeeew Kwnza kwann ameomba msamaha kaniboa
@Pauline-t5k
@Pauline-t5k 4 ай бұрын
Acha kutumia makeup first Kenya atumii makeup
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 4 ай бұрын
Vile ametukanwa huyu tiktok😂😂😂😂 dah kenya achaneni nayo 😂😂😂
@touristmorgan4090
@touristmorgan4090 4 ай бұрын
Niliona mahali picha zao alafu jamaa kasema," vipua kama firimbi ya jehanamu, du ilikua kali😂😂
@Michealfarah-n1w
@Michealfarah-n1w 4 ай бұрын
Mkorogo mwingi jisura kama kinyago Hana uzuri wowote uyo binti
@Sakinaamani-o1t
@Sakinaamani-o1t 4 ай бұрын
Mmmm maskini hata haelewi anachokisema
@nancyg8664
@nancyg8664 4 ай бұрын
Wakenya labda felicity shiru ndo mzur😂
@mercymulwa8917
@mercymulwa8917 4 ай бұрын
Mkorogo ndio mnasema nyinyi wazuri? Urembo wa maana ni kuwa na akili
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 4 ай бұрын
Point mwenzangu urembo au uzuri ni ziada tu, ila kuwa na akili na ukajua kuzitumia vizuri ndio muhimu
@EstarMichael
@EstarMichael 4 ай бұрын
unataka kusema nini?? akili ninywele ama hujawasikia wahenga😂😂😂❤❤ alitania tu sio kasema halisi..mbona nyie mnasemaga hatujui English nahatujaandamana
@Pauline-t5k
@Pauline-t5k 4 ай бұрын
Sura bila akili
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 4 ай бұрын
Sasa kaomba msamaha wa nini ndo mtazamo wake ht angekuwa ni mimi ningesema ivyo
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 4 ай бұрын
Wakenya msimlaumu muelewe tu ni kienyejii wetu Tanzania ndio kwnza kafika mjini bado hajatembea sana 🤣🤣 Mweenyewe akitoa hio unga aliopaka atafanana poulpogba
@wemakalama6458
@wemakalama6458 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 4 ай бұрын
Kwa maumbole gani hayo yakuchongesha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 4 ай бұрын
Ehh wamekuwa mastarr
@htx1873
@htx1873 4 ай бұрын
Ningekua Mimi nisinge omba mtu Msamaha , kwani hawajui maana ya opinion??? Pumbavu
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 4 ай бұрын
The shes shes rate
@Qqambaa
@Qqambaa 4 ай бұрын
Akuna mbya mbele ya Allah wabongo wanaroho nyepesi kweli
@shanimombasa9480
@shanimombasa9480 4 ай бұрын
Minaona huoweupe tu kama ndio uzuri
@GeorgeKatana-vl6cv
@GeorgeKatana-vl6cv 4 ай бұрын
Njoo Kenya, uzunguni
@daprince7545
@daprince7545 4 ай бұрын
Wanawake wote duniani ni warembo.
@aishaarusha894
@aishaarusha894 4 ай бұрын
KENYA NI WABAYA KABISA 😂
@GeorgeKatana-vl6cv
@GeorgeKatana-vl6cv 4 ай бұрын
Tanzania wanatafuta kiki kwa wakenya
@KhadijaDija-ir2hq
@KhadijaDija-ir2hq 4 ай бұрын
Ila asikwambie mtu ukweli unaumwa😂😂maana si kufika mbali hivyoo
@berthatz
@berthatz 4 ай бұрын
Sana🤣🤣
@surusuru1994
@surusuru1994 4 ай бұрын
Wadishi tee wachaganishi😏😏
@user-rt8ff3dm2o
@user-rt8ff3dm2o 4 ай бұрын
Mikorogo inawadanganya saana
@nancyg8664
@nancyg8664 4 ай бұрын
😂we utakua mkenya wewe
@RoverRoom
@RoverRoom 4 ай бұрын
😢Unajua aje?watu WA zuri Na watu WA mbaya ni kina Nani?
@evemurugi3399
@evemurugi3399 4 ай бұрын
Next time think twice, wakenya tutakupea depression ,the world knows that's 😂😂😂😂😂
@Qqambaa
@Qqambaa 4 ай бұрын
Ethiopia will always win alafu eritrea djibout somalia comoros ni mtazamo 2
@allykassim1120
@allykassim1120 4 ай бұрын
😂😂umesema kweli dada usiombe msamaha
@AAa-it7nx
@AAa-it7nx 4 ай бұрын
Mlikua mnabeap eaty eeeh kumbe mpesa zetu ziko full 😅😅
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 4 ай бұрын
Kiustaarabu tu hayo maneno sio mazuri Kwa kuwa inajumuisha wengi hasa nchi kwani ,izuri ni rangi ya asili au ni mchanganyiko Wa makeup na rangi asili, Mimi mnisaidie navyojua urembo ni nyongeza ya vipodozi lakini Uzuri ni asili ya ngozi ya mtu ,so huyu alimaanisha uzuri au urembo
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 4 ай бұрын
Kama nyinyi ni Wa zuri mbona mume toka Number 3
@nancyg8664
@nancyg8664 4 ай бұрын
😂😂😂top 3 unaijua lakin
@millymack1370
@millymack1370 4 ай бұрын
Watoe makeup walizo jazz usoni alfu waje waseme tena Kenya hamna warembo
@MohamedHuseein-s5i
@MohamedHuseein-s5i 4 ай бұрын
We have beautiful ladies in Kenya
@NuruJara
@NuruJara 4 ай бұрын
Mm mbona naipenda Tanzania tuu mmmh mmenikwaza Kwa mkorogo huwo ndio uzuri chefu hiyo anaongea basi mm useless mwiko mjinga huna hesma na hekma maybe msamaha kiama
@maryamsaid7521
@maryamsaid7521 4 ай бұрын
Na hio make up ni natural. wakwanza hio kwiyo😭😭😭
@mscantraah8210
@mscantraah8210 4 ай бұрын
Kuongea vizuri bt matokeo ni jihanamu
@graciouskazuri2327
@graciouskazuri2327 4 ай бұрын
Nimekuwa hapo kwa live wakiomba msamaha😅my fellow Kenyans tuwasemehe tu jmn ❤
@mesaidikazungu4299
@mesaidikazungu4299 4 ай бұрын
😂😂😂Nilijua watakuja omba msamaha
@graciouskazuri2327
@graciouskazuri2327 4 ай бұрын
@@mesaidikazungu4299 watajuwa hawajui🤣🤣🤣
@naishoruamooke
@naishoruamooke 4 ай бұрын
Wamechomwa na mikorogo Yao ,hawatoki nje mchana,they stay indoors during the day to avoid sun rays,black is beautiful .😂😂😂😂
@lydiahmartinz925
@lydiahmartinz925 4 ай бұрын
If u disregard kenyans be ready for all critics including tracing where u come from😂 no jokes. Apology accepted dear
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 4 ай бұрын
Warembo wako wapi hapo au ni hizo make up walizopaka, mrembo ni yule ambaye hana make up na anavutia kama mimi
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 4 ай бұрын
Wala asingeomba msamaha wowote kwani si maneno tuu hata kwenye kanga yapo. Wakenya wangemwambia former rais wao awatake radhi kutoka hadharani kalewa chakarira. Hao vera na huda fake kuanzia sura umbo mpaka rangi. Usingeomba radhi yoyote. Kwa lipi. Mbona wao huyasema tele ya watanzania. Kwendeni kuleee. Mna gubu la kikenya tuu
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 4 ай бұрын
Mikorogoo msitumia na make up Tz😂
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 4 ай бұрын
Nyie Kwa utani hamjambo nyie watawajia
@KareemRezaki
@KareemRezaki 4 ай бұрын
Sawa nyinyi wazur wa mkorogo..na surgery,sisi wakenya weng n original..Sasa makeup ndio za wasitir
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 4 ай бұрын
Ukisema surgery ipo kila mji Sasa ivi na tunawajua waliyofanya ivo na juzi tu mmoja katengeneza mdomo hapo nadhani unamfahamu ila hao walikuwa wanatania tu jamani
@KareemRezaki
@KareemRezaki 4 ай бұрын
Kwan uko kwenu sio wote wamefanya hizo surgery za midomo e.g uwoya na wengine wote..Kenya hatutumii filters
@Niget-us1np
@Niget-us1np 4 ай бұрын
​@@KareemRezakiutakuwa ulewe utani hakuwa selias mbon nyie Kila siku munatsnis mpk raid wenu pia wa tanzania atujui English kwn wote hat ujui lkn si utani tu Nan kapanik sas alafu pia yeye muungwan pia kaomba radhi
@KareemRezaki
@KareemRezaki 4 ай бұрын
@@Niget-us1np vile alianza ndio tumejib..kama ingekuwa n sisi mungeenuka nyote..hatutak shobo
@JosephKingwere
@JosephKingwere 4 ай бұрын
Umez mashauz
@Pauline-t5k
@Pauline-t5k 4 ай бұрын
SS wewe unijieka Kwa wazuri
@Massey-xx8td
@Massey-xx8td 4 ай бұрын
Kwa uzuri gni huo fyuuu
@MamyHamso
@MamyHamso 4 ай бұрын
Nyie wenyewe mmesaidiwa na hilo jivu mwasema ni makeup alafu namba kubwa ni surgery ndio mnashoboka hapa😂😂😂
@Lingisa47
@Lingisa47 4 ай бұрын
Yeye mwenyewe amesaidiwa na make up ata io make up haijamkaa bullshit kabisa hawo wasichana ata nje ya mji wao hawajatoka
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 ай бұрын
Kimemramba
@roselynealima3618
@roselynealima3618 4 ай бұрын
Next time kujeni bila make up na mikorogo guoka guoka silly
@SheikhaSheikha-ee6is
@SheikhaSheikha-ee6is 4 ай бұрын
U
@l.marley_2542
@l.marley_2542 4 ай бұрын
Sio makosa Yao Hawa hivi wanaijua Mombasa au 😊
@TatoOman-s5t
@TatoOman-s5t 4 ай бұрын
😂😂😂
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 4 ай бұрын
Lakini wakenya sio wazuri kweli wengi wao hawana hata muonekano mzuri wa kuvutia wakaka ndo wabayaa kwakwel😩😩😩na wanawake baadhi yaooo khaaa 💔😂😂😂
@JamalAhmed-j7s
@JamalAhmed-j7s 4 ай бұрын
Kukumako
@Mammy-eq7ef
@Mammy-eq7ef 4 ай бұрын
Anzini kujikubali kwanza
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 4 ай бұрын
@@JamalAhmed-j7s mama ako ana memory card au si anayo hio hio mbwa wewe
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 4 ай бұрын
@@JamalAhmed-j7s ya mama ako nenda kaitafutie jina
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 4 ай бұрын
@@Mammy-eq7ef sasa anzini nayo ni nini…?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wabaya tu kwakweli
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 4 ай бұрын
Makosa ya muuliza swali si wewe
@wemakalama6458
@wemakalama6458 4 ай бұрын
Wajinga nyie mwanangu pekeake anawatoa nduki kwa uzuri mxieeeeu😏😏😏#karibuni kenya.
@Fgldesigns
@Fgldesigns 4 ай бұрын
Kumbe unajijua ni mbaya ndomaana unataka kumshindanisha mwanao na si wewe😅😅😅
@eastkanye254
@eastkanye254 4 ай бұрын
Tz nyinyi ni watu wajinga kupindukia. Upgrade your education ndio mjue Kenya si level yenu. Nyie shikaneni mikono mukule ujamaa😂😂
@Fgldesigns
@Fgldesigns 4 ай бұрын
Nyie ni matahira na mnanuka.
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 4 ай бұрын
hawakuwa serious matako yao wakome kuropoka kazi kukalia tu filter, mikorogo nk kichwani akili hakuna warudi shule kwanza mxieww
@alecbayrine7161
@alecbayrine7161 4 ай бұрын
Hatuombe msamaha kwa kweli maana ukweli unauma, na imetuuma sana. Lol
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 4 ай бұрын
Wakwanza mimi nawaombea msamahaa awa ni chura achanane nao awa
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 195 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 24 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 16 МЛН
SNAKE BOY | ep 38 | final mwisho | SEASON TWO
26:41
CLAM VEVO
Рет қаралды 67 М.
TULIISHI MIAKA MITANO TUKAACHANA | NILIKUA NAMILIKI KAMPUNI YA UTALII | MAISHA YA SERBIA
55:41
Fix You: Namna ya Kujitengenezea Mtazamo chanja juu yako mwenyewe
1:02:17
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 2 М.
PENZI JIPYA | NAMPENDA SANA  MUONEKANO WAKE HELLO MR RIGHT
10:43
ST BONGO TV
Рет қаралды 151 М.
MREMBO AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUAMBIWA UKWELI NA MR RIGHT
1:20
ST BONGO TV
Рет қаралды 211 М.
MPOKI ATAMANI REALITY KAMA GIGY/MAMA NI HATARI/MIMI NIMEPENDA
3:13
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 195 МЛН