correct decision first whistles for foul and after the pamba's player scores so no advantage
@rockcitynative9985Ай бұрын
Kosa la mwamuzi sio kubwa na hajachangia sisi Pamba kutokushinda. Mchezaji wetu kachezewa faulo nje ya 18 refa akapeta maana ni Pamba ndio tulikuwa bado na mpira sasa mcezaji wetu kaunawa mpira japo kwa bahati mbaya kisha kampasia mfungaji sasa goli haliwezi kubaliwa maana lina assist ya mkono. Sema tu refa alitakiwa kumpa kadi ya njano au nyekundu mchezaji wa Azam alicheza faulo kuzuia mchezaji wa Pamba asifunge.
@bennagemeestate820Ай бұрын
Barikiwa sana you deserve to be a leader
@OswardKinyataАй бұрын
Asa mbona alionesha mpira uende pamba af umepgwa kwenda azam😂😂😂
@angelosonge2389Ай бұрын
Jamani hata mimi nisiejua mpira hili ni goli. Huyu mchezaji kafanyiwa faul na wakati anaugusa mpira alikuwa chini na mpira ulimgonga. tukumbuke alifanyiwa faul akaenda kidondoka ulipo mpira.
@JechaMakameIssa-gs2blАй бұрын
Jikazeni Azam hv mnajuwa kama nyinyi mmetabiriwa atakuwa tena nafasi ya pili simba nafasi ya nne ila wachambuzi wa Bongo bhana vilaza kweli 😅
@AgnesJohn-f1rАй бұрын
Nafasi ya 4 utakuwa wewe
@jumanneenos2481Ай бұрын
Hii ndo Azam ninayoijua mimi, itaendelea kumpa Raha Fei toto
@warriorsun6356Ай бұрын
Huyu mchezaji kuanzia mapema tu hakuwa na nidhamu na mwamuzi alimvumilia saaana hivyo kadi nyekundu Sidibe alijitakia.......na kwastaili hiyo ataua kipaji chake mapema mno
@AdamuRobert-xu1bwАй бұрын
Ndio maana hata michuano ya club bingwa wameshindwa kuendelea azam 7babu hawana uongozi mzuri na msemaji wao azam anajua kuongea2 lkn mengi mabua hawana jambo nakuishia kula kadi nyekundu
@StevenkmjshickАй бұрын
Goli halali😮
@Mudathir-tx1mdАй бұрын
Akachezeshe Simba Queen shd iko wp Ushawahi ona CAF champion league kuna Tatu malogo kule kuna wakina Elisasii tu
@martinmsacky2069Ай бұрын
Wanawake na mpira wapi na wapi? Hii gender balance hiii ,. Enyway tuendelee kumfundisha Mungu situnajikitaaaaaa,. Shabashiíii
@bonisachubwa1046Ай бұрын
Mpila wetu tatizo ni vigumu kutofautisha mpila wa kijijini na wa mjini tatizo ni viongozi wetu hebu jiulize eti Goli la MAMA hela inayotolewa pale wakiunganisha VRA HAIWEZI KUKOSEKANA TATIZO MIPANGO YAO NI YAKUTAFUTA USHINDI KWENYE CHAGUZI ZA UONGOZI
@ceciliaathanas3135Ай бұрын
Angalia mpira achana na mambo yanayokuzidi nguvu
@kabwangaselemani5228Ай бұрын
Mambo ya siasa na mpira ndio unasababisha Azam wafeli? Au viongozi waingie wacheze mimi nadhani Azam wanafeli kwenye benchi labufundi na aina ya wachezaji wanaosajiliwa kwa sifa na mihemko
@RamadhanJuma-p7uАй бұрын
Azam msimu huu nafasi ya tano
@mr.lawimagupa3914Ай бұрын
Marefalii wa kibongo wanaudhiiiiiiiii😢😢😮😢😮😢😮😢😮😢😮😢😮😢😮😮
@omarysaid8725Ай бұрын
Sema pamba wamezulumiwa goli halali kabis
@SumaAthumaniАй бұрын
Jamani tujadili kwanza ingetokea aliepiga lile shoot angekosa je ingekuwa siyo faulo na kipi kilianza ni faulo au goli? Me naona mshika kibendera alikuwa yuko sahihi
@angelosonge2389Ай бұрын
@@SumaAthumani Yuko sahihi sana aliyekuwa na lile shuka upande wa msitari namba 1.
@angelosonge2389Ай бұрын
@@SumaAthumani Yuko sahihi sana aliyekuwa na lile shuka upande wa msitari namba 1.
@sherallyabdallah248Ай бұрын
Ile ni faulo ila lzima utoe advantage kwa timu inayoshambulia
@barakamtelani2313Ай бұрын
Tim ikiwa inashambulia mchezaji akafanyiwa faulo ila mpila ukashikwa na mwenzio Refa anaacha advantage ilo goli halali kabisa
@malietamalietАй бұрын
Hii azam fc inachekesha muda meingine ikikutana na yanga utazani mchezo wao una points 15 kumbe 3 kama za pamba😂😂😂😂
@ip_headerАй бұрын
Tatizo la kulazimisha Wanawake wachezeshe mpira wa Wanaume. Ladha yote ya mchezo inaharibika kwa maamuzi ya kipumbavu kabisa😢
@davidyongolo8102Ай бұрын
A clearer goal but the referee is biased
@VicentMkudeАй бұрын
Pamba wameonewa
@LoyceMathiasАй бұрын
Hii nimbaya mno Kwa halo hii mpira wetu hauend mbal. Azam hovyooo
@muhammadmuhammad5043Ай бұрын
Mshurini Tatu Mgombo Refa Azam..
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHATАй бұрын
Advantage to gaol ....badae unasema faul iendee pamba...badae faulo iende Azam bila kadi ya njano..hizo Sheria mnasomea ila hata wanafunzi darasani wanamaliza mambumbumbuuu😅
@josephnsolo3550Ай бұрын
Raha Kwa fei pamba wamyima goli jamanii marefa Hawa!!!!
@MkungwaNgwarumbwaАй бұрын
Sikilizeni nyinyi players wa azam fc hamna speed passes za kuifungua teams pinzani mnaplay very slow passes ni rahisi kwa team pinzani kuwadhibiti kwa aina mchezo mlionyesha msipo jerekebisha km mkioneana haya kuambiana madhaifu yenu mjijue kbs kuingia top four hamna ubavu huo......
@SaidMkwabi-ho8yyАй бұрын
Yani hii ndiotanzania hata waamuzi wanazibeba sana hizi timu ambazo zikifungwa hazijaungana zikishinda mama weeeh nishidatupu mnawakatisha tamaa timu hizi ndogo hiosiopoa kwakweli niaibu
@fabiangwandu6375Ай бұрын
Hakuna refa pale upumbavu tu
@ClaveryChristopherАй бұрын
Sikia ilikuwa faulo sawa lakini alipewa faida naaliye pewa faida akaushika hivyo ikabidi kurudi eneo la faulo sijui umeelewa🤔🤔
@MursalLusindeАй бұрын
@@ClaveryChristophertumeelewa ila hatujaelewa 😢😢😢
@FrankLuhaha-dt5shАй бұрын
Hiii timu bila feisali hamna kituu 😂😂😂😂😂 hapa
@eded5950Ай бұрын
Huyo Feisal hakwenda Rwanda kucheza na APR??
@CrispinSamson-hj8tfАй бұрын
Mmmmmmh! Hii timu xjui imelaaniwa!
@nseyantemiАй бұрын
Azamu bwana haki yamtu haipotei bule mtakuja kukutana nawanaume zaidi l ya hao tutaona make niunyanyasaji😢
@Peter-fy3gfАй бұрын
Kudadeki alivoenda kuweka faulo mi nikajua mpira unaelekezwa goli la Pamba kwamba mpole kashika mamae😅😅
@saidsalum6101Ай бұрын
Refa huyu mama kawazulum pamba ndiyo yalikuwa wameshinda ila huyu refa hakutakiwa kuwa refa aende tu akapikie watoto nyumbani
@victorcephas3618Ай бұрын
Tangu wanunueb mechi na Kagera sugar Azam hakuna kitu
@MichaelMathew-j3fАй бұрын
Azam ya 12 kwenye msimamo ligi kuu Tanzania
@AgnesJohn-f1rАй бұрын
😂😂😂
@EmanueliWildausoniАй бұрын
Huyu refa kiraza kweli kawanyima madogo goli
@lowkeybongoАй бұрын
Mmenikosesha milioni 5 kwa ubishoo wenu
@AgnesJohn-f1rАй бұрын
Yaani hawa Azam pesa za bhakresa hawazitendei haki kabisa yaani msimu huu ndo wako sagara kabisa
@MwitaPetro-e9zАй бұрын
@Haya ni manyanyaso hili mbn goli imekuaje hawa malefa vp
@Izzoh2021Ай бұрын
Hohohohohoho huu ni upuuzi wa kiwango cha lami sijawahi kuona refa aite mpira kati alafu mwisho aseme ni faulu tatu malogo umefel unastahili kufungiwa mbwa ww
Na gori tumenyimwa😢😢😢 weee 3 tatu,3 nmekuita malà3,maliza na malogo😂😂😂😂
@AbuuThabitiАй бұрын
T FF huyu mwamuzi hatufai kabisaa toweni wamz wote wadada waeendekulea watoto na mabwana zao majumbani
@mosesjacksonkarashani2642Ай бұрын
Huyu refa afungiwe
@NtamamiloGibsonАй бұрын
Haka kadem kalikuwa unga au? Gori halali anabadilisha kuwa faulo. Mama weee😂😂😂😂
@Maalim_Seif_-_ZanzibarАй бұрын
Fei njoo Simba bhana
@elikanamyula1667Ай бұрын
Na tareh 26 mtapigwa kama ngoma
@AbisinaRashidi-c8dАй бұрын
Gori la wazi azm wamefungwa
@PendoJackson-um6jhАй бұрын
Lilikuwa goli2 sema ndo ivo
@Yuleyule-u6cАй бұрын
HUYU MUAMUZI ASIPO FUNGIWA BASI TFF WATAKUWA HAWANA SABABU YAKUENDELEA KUWEPO.
@elishakayagwa9371Ай бұрын
Azamu mwaka huu inashuka darajaa😂😂😂
@IsayaMilyaАй бұрын
Tatu nenda nyumbani uwapikie wanao hapo kweli sijui ulikuw unawaza nn
@Leo-i9xАй бұрын
Mambo ya hovyo kabisa. Hivi huyu mama ni lazima awe mwamuzi!
@isayarevelian9698Ай бұрын
Kwanza VAR waloisema Iko wapi mbn haijafanya kazi
@GiftNzikuАй бұрын
Hawa ndugu zetu
@BarakaThomas-i3uАй бұрын
Azam wakanda ngano hamna kit hapo
@ChristopherSingaileАй бұрын
Ngoja waanze yanga yote utayaona haya kwa kulalama
@EmmanuelHaji-tf4viАй бұрын
Wanawakeee wakaee nyumbaniii sasa 😢
@usatoenglandvegas4046Ай бұрын
Awa waamuzi awa daah😂😂😂😂
@JoelWalter-i2oАй бұрын
Emerson Dale
@benjaminchristopher219Ай бұрын
Huyu refa si afutwe tu kwenye urefa mbona anamakosa mengi sana
@stevenmichael9264Ай бұрын
Lakin mwamuzi tusiwah kimlaumu, amepuliza kipyenga kabla ya goli kufungwa, je unafkiri kuna advantage baada ya kipyenga ? au ingekuw advantege angeacha kupuliza kabsa? Naomba kwa anaejuw zaidi anifafanulie kwani binafsi naona mwamuzi yupo sahihi
@@lawrencetesha5936tatu malogo uwa ni mjinga jmn ila anapewa kuchezesha
@boniphaceonlinetv3878Ай бұрын
hamna refa apa
@Nufaila442Ай бұрын
Yale makosa ya Kibanadamu ndio Haya sasaa
@Yuleyule-u6cАй бұрын
🤣🤣Hatari sana Tz
@karebopatrick9758Ай бұрын
Nyoo nyoko zenu waamuzi wa TZ shenz kabisaaaa
@Jey_9Ай бұрын
Jamani tuwafanyaje hawa
@omarhamadomar8832Ай бұрын
Mpira wetu bado marefa wanaharibu na huyu tatu malogo hafai kuchezesha
@AlbertOlalde-v7sАй бұрын
Doyle Port
@omarysaid8725Ай бұрын
Ila mareflii wetu bhana kila msimu hawakosi kutoa boko
@MusaJastini-po8hmАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 pameaza kuchamka
@allywilson4155Ай бұрын
Ingekuwa mimi ninge makofi huyo malaya
@KENETHANDARSONАй бұрын
Kweli mpila wetu mauzauza huyu lefa kweli ??
@HasaniMakonoАй бұрын
Sio yatanotu yakumi
@Zainabkhamis-d2sАй бұрын
Dah niaibu kwakweli 😂😂
@AbisinaRashidi-c8dАй бұрын
Azam wameoza wauze TU ukwaju
@kichwaMasta-ys6wtАй бұрын
Sasa mnaiweka huku tuangalie nn
@AnnaHellen-i9bАй бұрын
Refa mpumbavuu san
@RaphaelAnthony-i8dАй бұрын
Mwaka huu hata 10 bola Azam haitokuwemo😂😂😂
@MohdAli-r2yАй бұрын
Kwakwel tatu mwalogo haifai atakucheza na watoto na chizi wakutiwa kamba
@akwinobenarddyАй бұрын
😅😅😅😅acha nikae kimya
@HuseinPembeАй бұрын
refa mwanamke hata maziwa hana kifuani kosa ndo limeanzia apo
@angelosonge2389Ай бұрын
Ubinadamu braza, sio swala la mwamzi mwanamke na Hana matiti. hiyo ni kashfa braza. Akakosea kama wanavyokosea marefa wengine.
@husseinamri6219Ай бұрын
Wanabebwa tu
@DenisSanga-bj5udАй бұрын
Kazi kukata uno tu kutafuta point tati haaa
@isdorchuvu6280Ай бұрын
Hivi uyu mwamuzi anajua kweli sheria za mpira au ndo wamemuokota mtaani wamempa firimbi achezeshe ,, kuna kitu kinaitwa advantage ,, licha ya mchezaji wa pamba kuchezewa faulo lakini walifanikiwa kulimalizia shambulizi lao na kufunga hiyo ndiyo advantage ,,sasa lefa alivyokuwa chizi anafuta goli anaweka faulo . .. ingekua soka la mtaani uyu refa tunamalizana nae apo apo...
@benjaminchristopher219Ай бұрын
Kweli kabsa
@everlastingmessage7663Ай бұрын
Alooo
@sumbaonline4002Ай бұрын
Kumanyoko zako refa refa mwenzako kaita kati wewe unakataa
@AbisinaRashidi-c8dАй бұрын
Fei Toka uko Azam ni aibu
@SaimonEmmanuel-h9tАй бұрын
Lefa kabet matokeo nn
@TassyomyАй бұрын
𝐓𝐚𝐭𝐮 𝐌𝐰𝐚𝐥𝐨𝐠𝐨 𝐇𝐚𝐧𝐚 𝐁𝐚𝐲𝐚 𝐍𝐝𝐨 𝐊𝐚𝐰𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐘𝐚𝐤𝐞..😂😂
@NikolasPius-fk9fnАй бұрын
Hawa wanakulahela zabakhelesa bule fukuza ote
@nelsonwilliam6392Ай бұрын
Hawa wamz bhan
@ZaidAKissinzaАй бұрын
Azam Coach, Mr.Taous,put it in your mind that you are hired by Azam sports team to fired, you don't have a team to match with many top teams in the premier league of our Country. So ya Habiby get ready to be fired sooooooooooooon.