Azam TV - CECAFA2017; HIGHLIGHTS: Tanzania Bara 1-2 Zanzibar

  Рет қаралды 87,466

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@amehassanrehaniznz737
@amehassanrehaniznz737 2 жыл бұрын
Hivi mashindano haya yanaanza lini nimeimis kuion Zanzibar heros tena
@gyeong5972
@gyeong5972 10 ай бұрын
Hakuna tena Zanzibar Hereos Imemezwa Kwa kisingizio cha Muungano
@salehkhamis9560
@salehkhamis9560 6 жыл бұрын
Zanzibar vipaji vipo ila wenzetu tanganyika wanatubana hawatupi fursa ya kuingia Fifa au mnaona tutawafunika kisoka
@abdulshamte4593
@abdulshamte4593 6 жыл бұрын
Mungu azidi kutusaidia Zanzibar tuzidi kufika mbali kisoka
@famionlineapdates9371
@famionlineapdates9371 6 жыл бұрын
Abdul Shamte aaamin
@takdirmahmoud
@takdirmahmoud 6 жыл бұрын
Zanzibar tunaweza
@yussufkhamis4631
@yussufkhamis4631 6 жыл бұрын
mungu atuwekee inshalla
@usher_bambi94
@usher_bambi94 6 жыл бұрын
Kaz nzur mubebe kassim khamis mido10
@achimleli3305
@achimleli3305 6 жыл бұрын
Mashalaàh nzazibar taifa star mjiuzulu wote
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
Achi Mleli kili star shehe
@issasuleiman5207
@issasuleiman5207 6 жыл бұрын
Zanzibar juu
@rashidmohamedomar8300
@rashidmohamedomar8300 6 жыл бұрын
Tanzania bara ama tanganyika ya zamani inanishangaza sana. Kwangu imekuwa ni kawaiada kuifunga ilihali wachezaji wao wapo juu kimajina au sijui ndo ni media zinawaharibu, zinawafanya wanalewa sifa. Nakumbuka nilipokua chuoni tulikuwa tunawafunga sana ijapokuwa timu yao inaonekana bora kwa majina ya mchezaji mmoja mmoja na karibu timu yote ya chuo inaundwa na wao. Lakini hao wachezaji watatu au wannene kutoka Zanzibar tunakua ndo mihimili ya timu kiasi kwaba hakuna significant replacement na sana safu ya viungo na washambuliaji, tuliobaki tunacheza kwa spirit ya hali ya juu, cha kushangaza wengine tunaonekana uwanjani wakati wa mechi tu. Matokeo hayana tafauti na haya 2-1, 3-1, 2-0, 2-2, 3-1. Kwa pale chuoni sababu nilioifikiria ni kipaji na kujitunza (kuepuka starehe za kupoteza energy and materials)
@dulakess8928
@dulakess8928 5 жыл бұрын
rashidmohamed omar
@abdallahsalum4806
@abdallahsalum4806 6 жыл бұрын
Timu nyingi za Taifa jezi zke zinachukua sura ya bendera ya taifa,like Brazil, spein Cameron na mataifa mengine,kwa nn sisi jezi zetu azifanani na hali halisi ya bendera zetu?
@omarabeid8891
@omarabeid8891 6 жыл бұрын
tanganyika hamna wacheza mpira kuna wauza sura magezetini wacha wanywa urojo waoneshe nyambavu
@yahyamzee2013
@yahyamzee2013 6 жыл бұрын
soka zuri twacheza na kutandika wagojwa pia twawatandika
@hijaabbas897
@hijaabbas897 6 жыл бұрын
Tunataka nafac ya fifa mutuachie ili ulmwengu ukaone hyo nusu bendera ya tz ikiwa ktk znzbr maana mudhaletewa mpaka wazngu kutoka brazil ila bado ni vichwa vya samaki tu tupeni nafac tukauoneshe ulmwengu kwenye fifa
@dullahkesi9547
@dullahkesi9547 5 жыл бұрын
hija abbas i
@PanduPandu-xo7uh
@PanduPandu-xo7uh 6 жыл бұрын
Hawana mambo hao tanganyika.
@daviegamah5370
@daviegamah5370 6 жыл бұрын
how come country playing against its own city team ...??.... I need to be told I dnt understand pliz
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 6 жыл бұрын
Zanzibar is a country which form union with Tanganyika and has internal authority within Tanzania
@mahadshekh398
@mahadshekh398 6 жыл бұрын
Mtaacha kupotea wapi na wachezaji wenu wa magazeti.Kufunga kwenye mechi na Stand United na Njombe Mji basi watasifiwa kama wachezaji wa maana kumbe hamna lolote. Mpira ni uwanjani magazeti yapo maktaba.
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
Mahad Shekh we bhna we acha kabx ani aibu yetu asee!
@bonifacemsigwa5324
@bonifacemsigwa5324 6 жыл бұрын
Hao taifa stars tunazidi kupata homa mpya, hatuna raha hata kidogo zaidi ya kuzitia hasara timu zetu, wachezaji wanagharamiwa fedha nyingi na clab lakini vilabu vinaingia hasara kubwa za kukosa huduma za wachezaji, aa! jamani inauma sana cyo siri, ona majeruhi ya Yondani jana hasara kwetu wanayanga tayari. Soka la Tanzania tusubiri sana hadi mwaka2900 ijayo.
@agnesreuben6585
@agnesreuben6585 6 жыл бұрын
duuuu stars kwa mwendo huo kweli turafika
@yussufkhamis4631
@yussufkhamis4631 6 жыл бұрын
kamwe huwez kuchukia kipaji
@afropanorama4730
@afropanorama4730 6 жыл бұрын
Zanzibar vipaji vipo vingi ila soka la tanzania ni siasa tupu utanganyika na zanzibar unalitafuna taifa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
nilitabiri angalau tunaeza kuwa watatu haya mashindano lakin sasa naona hata makundi kupita napo kazi kaa!
@rashidmohamedomar8300
@rashidmohamedomar8300 6 жыл бұрын
Mnzava Chris Polelini watanzania wenzangu musiogope ila mujiangalie na timu yenu ni ya kwetu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
wewe umekua kiasi siyo kama wavisiwani wenzio!
@jumamisinzo9234
@jumamisinzo9234 6 жыл бұрын
kwakweliiii
@bakarymussa9944
@bakarymussa9944 4 жыл бұрын
Oy vp
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 6 жыл бұрын
TANGANYIKA WASHENZI LAZIMA TUWAUMBUE VIKALI
@sulegboy2375
@sulegboy2375 2 жыл бұрын
4
@qaraiserq6532
@qaraiserq6532 6 жыл бұрын
tuna potea tanganyika
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
kizzi chetu bado ni cha kubutua wengi walihisi ngongoro heroes ingecheza mechi hizi ingekua poa sana
@yahyamzee2013
@yahyamzee2013 6 жыл бұрын
history inajirejea wenyewe... mpira wa Tanganyika ni maguvu akili kidogo.... Soka liko Zanzibar.... Tanganyika ni gumzo tu la vyombo vya habari ndio linalowaendesha matege kujiona wanaweza ila hawana lao...
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
Yahya Mzee ila hivi ni kweli maan nasikia mna timu 20+ kwa kisiwa kimoja upande wa ligi?! maan kama ndivyo ndoman mna timu nzuri ya taifa + timu za ligi mbovu maan na nyie ndomn hamfiki mbali kene ligi
@silvamsophe4392
@silvamsophe4392 6 жыл бұрын
Kwani kufungwa goli mbili ndio shida huo Ni mpira
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 9 МЛН
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 8 МЛН
The Day Cristiano Ronaldo Singlehandedly Destroyed Bayern München
13:57
BABA YANGU KIPOFU Full episode /40/ #love
23:10
BabaJoan
Рет қаралды 28 М.
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 9 МЛН