Haya ndio matukio muhimu ya mechi kati ya Zanzibar na Rwanda ikiwemo magoli yote manne na kosakosa bila kusahau vikosi vilivyochuana.
Пікірлер: 62
@aboubakarmansour11894 жыл бұрын
Karibun kazi itaanza tena naipenda san Zanzibar yngu sis ni Mashujaa
@mussaomar53046 жыл бұрын
Zanzibar ni njema atakae na ajee good luck chama langu na nchi yangu
@mabadhajjih6015 жыл бұрын
Zanzibar ni yetu wazanzibar
@abdulshaban63436 жыл бұрын
yaani kuipeleka taifa star uwanjan bora waipeleke zanzibar cjaona mpira wa tanzania apo
@emmakosta24676 жыл бұрын
Congratulations zanzbar
@musanjama22116 жыл бұрын
Hongera sana zanzibar
@anwarelghazi78386 жыл бұрын
hongera Zanzibar
@samirarsan20246 жыл бұрын
safi sana heroes
@islamubakarpba95615 жыл бұрын
Bado wao tu kwenye soka hatuna undugu na wao wakumbuke malawi tulivo wafanya sikumbuki kufungwa na wao eeeeet samatta anajua kweli ila sio sisi na wao
@tibamantiba96294 жыл бұрын
Habar zenu wadau ivi Zanzibar heroes ya marahii ikoje
@debbymwaka40486 жыл бұрын
hawa wa Zanzibar wako vizuri saana kuliko taïfa stars na mbali
@desultansaid36476 жыл бұрын
Hongeren san zanzibar herous
@ibrahimabeid48246 жыл бұрын
Hongera zanzibar
@alikhamisog34224 жыл бұрын
cuf kwann zanzibar mmeifuta lakin fanyen japo huruma na sisi tujulikane kitaifa ili na sisi tuwe na tim kamili
@mnzavachris54236 жыл бұрын
👌🏿🤜🏿👊🏿🤙🏿 znz!!
@khalfanali26526 жыл бұрын
Safi sana vijana wa kizenji
@fahadfahmy6 жыл бұрын
Goli tatu inapendeza.
@bakarimwinyi33016 жыл бұрын
Tazama hii ndimbooo😂😂😂😂
@jamalijamali64505 жыл бұрын
hamic ulinikonga nafc miez 11 iliopt
@fatinaabdallah17545 жыл бұрын
mapenzi
@yupepe28476 жыл бұрын
sisi 3 wao 1
@abdullnassir18826 жыл бұрын
Zanzibar km vipaj vya mpira tumejaaliwa
@brisketkidari16236 жыл бұрын
Abdull Nassir alafu ss mpira toka watoto tunaanza ila vichogo mpira wanacheza ukubwani hpo ndio tofaut
@ibrahimabeid48246 жыл бұрын
Tunadisha
@fahadfahmy6 жыл бұрын
Timu ya Rwanda wanamajina ya kingazija
@ahmedyoung73006 жыл бұрын
Zanzibar kw vibaji ni number one ila ni hali ya halis ya visiwa
@ibrahimomar75546 жыл бұрын
Zanzibqr yetuu
@silvatushabe34126 жыл бұрын
nyie zanzibar noma sie Tz bado tunajenga timu.
@ahmadajamal75246 жыл бұрын
iyo timu ytu umeiyona haina matengenezo
@muhammadalasar72466 жыл бұрын
bado Tanzania stars
@otmarykiowi41326 жыл бұрын
Keep it up
@brisketkidari16236 жыл бұрын
big up
@isaackbatazary60016 жыл бұрын
brisket kidari Nataka xxxx
@brisketkidari16236 жыл бұрын
+Isaack Batazary kivip mbona sjakuelewa mwamba
@mbishkula18752 жыл бұрын
Huyu FEISAL Pasi zake ni Shida
@dhakomodherooherokoko60374 жыл бұрын
Zanzibar should pull out from corrupt Tanganyika
@TheDinhoDesign6 жыл бұрын
kheri Zanzibar Heroes iwe Taifa Stars
@habibothman53806 жыл бұрын
mia
@famionlineapdates93716 жыл бұрын
am proud of my country Zanzibar
@mnzavachris54236 жыл бұрын
Fami , Zanzibar kwanza .
@ayoubkhamis51544 жыл бұрын
Sanaaa
@rashidsuleiman26636 жыл бұрын
Km sio huu muungano feki zanzibar ingelifika mbali ki mpira lkn caf wametufuta coz sio nchi kamili.😈😈😈😈
@tanzania25596 жыл бұрын
rashid suleiman acha uchochezi, muungano ni halali, na kinachokupa sinto fahamu ni wanasiasa wenye maslahi na matumbo Yao , tukitengana hicho unachofikilia hakito tokea
@ayoubkhamis51544 жыл бұрын
Tunata kuchangiaaaaaaa, wapii tutumee
@mosesmwakifuna20466 жыл бұрын
uef
@alikhalfan95516 жыл бұрын
Sijui kwanini watanganyika mmewaondoa Zanzibar ktk FIFA kiukweli timu ya taifa ya Zanzibar siku zote ni bora kuliko ya Tanganyika
@mnzavachris54236 жыл бұрын
Ali Khalfan blaza ni tanganyika ama caf bloo
@semanasitv83036 жыл бұрын
hajui anacho kiongea
@salehali81033 жыл бұрын
Watanganyika hawatupend wazanzibar atakidogo lkn mungu yupo
nyinyi azam kwann nembo ya azam iko Kati hamuon kama inaharbu ushaur wangu bora iyo nembo ingekaa pemben
@milyboymchaff58946 жыл бұрын
Juma Suleiman isitoshe mtangazaji mwenyewe magori anayotangaza hayana radha kabisa hajui kutangaza mpira et ooh yes mambo motomoto mambo fire ujinga huo Barack mpenja badilika