hapo ndo utakumbuka kauli ya ukikosea kuoa umekosea maisha bro umepatia kuoa,mke wa kuishi nae utamjua ktk focus yake ktk maisha sio entertainment tu muda wote,lazima awe anakupa mawazo namna ya kuongeza kipato na sio kutumia tu.big up
@TEACHER.CLEOPHAS3 жыл бұрын
Great job. A learning experience for the water melon farming.
@abdimuna7 жыл бұрын
safi sana, na hongereni kwa kutupatia bidhaa hizi muhimu kwa jamii
@josephgomalo416 жыл бұрын
Watanzania wenzangu mna nipa moyo sana na mimi nitajiunga nanyi .. hivi karibuni katika kuendeleza kilimo..
@mnzavachris54236 жыл бұрын
Joseph Gomalo kaka acha tu.,mimi najichanga hapa na hakika tuungane na kushirikiana mafanikio yapo tu ni kujuhudik na kazi tu hakuna namna
@stevenalex-kv2kq Жыл бұрын
Kazi nzur sana kareen
@filbertsulusi89632 күн бұрын
Nice
@salimhusseni47844 жыл бұрын
Safi sana nimeipenda
@jacobeksor60885 жыл бұрын
What the name of that banana very short easy to cut ? I am Montagnard indigenous we planted many banana varieties but we didn’t have this kinh of banana.
@TheCvm2295 жыл бұрын
Only found in Tanzania lol
@anafisuleimani70836 жыл бұрын
Safi sana
@wambaamwambaje12726 жыл бұрын
Hongereni sana
@adammassawe96396 жыл бұрын
Asante Dada
@georgendunguru62075 жыл бұрын
Nimependa
@mariamm27243 жыл бұрын
Machine hiyo ni bei gani??
@TheCvm2295 жыл бұрын
Sasa mtu ukidislike hii video wee ni nini unataka? Una pepo tu... Nimewapenda bure