huyu mzee nampenda sana. natamani kama arudie kuiongoza nchi yetu ya Tanzania nimemic utawala wake bora usio na ubaguzi wa vyama. watu walikuwa huru biashara zilfanyika maendeeo ya watu yalikua kwa kasi napia aliruhusu demokrasia ifanye kazi yake ile sera yake ya maisha bora kwa kila mtanzania tuliiona na hahika maisha tuliyafurahia
@mgosimkome92429 ай бұрын
Uko kama mm Rais Kikwete nampenda Sana enzi zake pesa ilikuwepo ukifanya biashara kidogo tu hela, ajira zilikuwepo. Mungu ampe maisha marefu Jakaya Kikwete.
@mgosimkome92429 ай бұрын
Enzi za Jakaya hakukuwa na visheria vingi vingi Mara ajira umri mwisho miaka kadhaa Kama inavyoonekana saivi mtu anaamka tu anatunga sheria yake ajira umri mwisho miaka 29 , wakati kwa mujibu wa sheria mwisho miaka 45 watu wanagawa makundi wengine wasipate ajira. Mh Rais mama Samia naomba uliangilie hili swala la umri iwe pale pale mwisho wa kuajiriwa miaka 45 , juzi Nimefurahi kuona Bunge limefuta kigezo cha jkt kwenye ajira maana nalo lilikuwa linanyima watu fursa, Tunaomba tena Bunge lifute hiki kigezo cha umri Mbona zamani watu waliajiriwa wakiwa wakubwa na walifanya kazi kwa weledi, tusinyimane fursa kila mtu ana haki ya kupata ajira kwenye nchi hii ni yetu sote, kutungiana visheria vingi haileti tija.
@Bin_dhiyab6 жыл бұрын
Inaitwa AWINO FARM.
@happymeshack-o7s4 ай бұрын
Nice
@samuelpeterkaaya12112 жыл бұрын
My president
@aminaomary55677 ай бұрын
Ongera sana Mh.👍👍
@zulekhabaksh6864 жыл бұрын
Hongera rais msataaf Jk pambana mzee tutakufata
@tanzaniampyakaulimbiu35532 жыл бұрын
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
@wambaamwambaje12726 жыл бұрын
Masha Allah nice one
@queencharles48235 жыл бұрын
I want to learn kilimo from begining. Yani kuanzia chekechea! Help me na!
@abuunasfar60165 жыл бұрын
Find me jmn nkusaidie and be soecific
@abuunasfar60165 жыл бұрын
I am an agricultural engineer.
@kaishazabengesi29715 жыл бұрын
Mheshimiwa unatupa matumaini ya ustaafu.
@magnusnyamba67375 жыл бұрын
HAKIKA NIMEMPENDA KIKWETE KWA KILIMO HIKI NINAFUATA NYAYO ZAKE NAANZA KIDOGOKIDOGO
@TEACHER.CLEOPHAS3 жыл бұрын
Chapendeza kilimo.
@happymeshack-o7s4 ай бұрын
Nataka kujifunza ma kuhusu kilimo cha papai
@James00Bong0075 жыл бұрын
He is rocking some crazy jacket yo
@yusufally68535 жыл бұрын
Mashallah wallah
@tanzaniampyakaulimbiu35532 жыл бұрын
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
@gonsalvamswaga64716 жыл бұрын
nakukubali sana raisi wangu, naendelea kujifunza kupitia wewe
@MasolwaBungulwa20 күн бұрын
Na Mimi nina hitaji kilimo cha papai
@dorothyannan1316 жыл бұрын
Aksante, nimeshawishika
@ibrahimrashid75596 жыл бұрын
Tutumieninamba
@neykokusimwa73356 жыл бұрын
habari jamani hawa wataalam wanapatikana wapi nawahitaji sana
@florianmwaibabile53086 жыл бұрын
Natamani kulima project kama hii jamani watalaamu wako wapi?
@avax57176 жыл бұрын
wanakera manake hata hawatoi contacts wanasema tu kututia tamaa wenzao
@saadsalum32536 жыл бұрын
Kutoka kwenye kiti kikubwa mpk kuwa bwana shamba mhhhhh simchezoo bei gan mapapai
@caristapaul21615 жыл бұрын
nataka eneo la pwani kwa ajili ya kilimo nitalipataje
@caristapaul21615 жыл бұрын
no yangu ya simu 0754476485
@johnsonjoseph5094 жыл бұрын
Kutoka kiti kikubwa hadi Bwana Shamba? Hahaha, unamjua mmiliki wa Oilcom, Halotel je?
@TheAlman6 жыл бұрын
Miss you
@tanzaniampyakaulimbiu35532 жыл бұрын
Tunaomba mchango wa kugharamia harusi ya MBUNGE (David Ernest Silinde (MTANZANIA)) na Mcheza soka (Misa Rodríguez (Mhispania)) ITAKAYOFANYIKA MBINGUNI MBEYA
@zainamuki71096 жыл бұрын
anuani y hiyo kampuni nmb ya simu
@alexmakunga44844 жыл бұрын
Namba zao
@queencharles48235 жыл бұрын
Hapo ata sielewi. Nahisi kichina.
@avax57176 жыл бұрын
Mbona hamtupi maelezo vizuri juu ya wafundishaji?
@goodlucktarimo27165 жыл бұрын
Hakika mheshimiwa Kikwete unaakili nyingi sana,napenda sana stahili zako
@material_liv46746 жыл бұрын
It's GMO
@azaelkitange84276 жыл бұрын
hiyo kumpuni inayotoa mafunzo ya kilimo cha papai inaitwaje . . ., ni WINO farm au WHINO farm, msaada tafadhali
@bonifasiemanueli27086 жыл бұрын
Azael Kitange
@mcraekahura7047 Жыл бұрын
Owino farm
@eliakimsando29194 жыл бұрын
Tunaomba mawasiliano ya wataalamu hawa
@VenaEliki3 ай бұрын
Soko wap maana papai zinaoza mpka bc
@semanasitv83036 жыл бұрын
kati ya mtunda nisiyo penda kula
@shedrackbenjamin79175 жыл бұрын
Saf
@sirkivike54573 жыл бұрын
Mh
@africadolimited66425 жыл бұрын
Kama unahitaji mbegu za papai za kisasa za mda mfupi 0752972727