Kasema ukweli wazungu tunaamini ni wabaguzi na km alivyosema watunyanyasa sana. Tumesha wasamehe wote 👐👐 Mungu ibariki Tanzania
@farhatfatma125 жыл бұрын
Hawasameheki kwasababu hataki kubadilika. Damu yao imejaa hatred.
@mwandeagrovetandsupplies25495 жыл бұрын
Tutakupa uraia uko vizuri Sana bongo zozo uko tofauti Sana wazungu wengine
@naimaikopoanaema55655 жыл бұрын
Nakupenda jamani mungu akulinde. Akupe maisha malefu
@justingeofrey5995 жыл бұрын
Nmekuelewa vzur sana BONGO ZOZO!,kuna kitu kikubwa sana kwenye maneno yako
@leahedward80635 жыл бұрын
kama umesikia wazungu wa uingereza wanavyotamka bongozooo gonga like😅😅😅😅
@matthiask20874 жыл бұрын
Ooooo
@tedymwandara54805 жыл бұрын
Watu km hawa wanaishi maisha marefu ni full shangwe! Yuko so positive! Hakuna chuki.
@musaking59913 жыл бұрын
I guess im randomly asking but does anybody know of a method to get back into an instagram account? I somehow lost the password. I appreciate any help you can give me
@shifaaal-baity45035 жыл бұрын
Masha Allah..mcheshi sana
@charlesmgonja86893 ай бұрын
Bongo zozo uko vizuri aisee.
@allenmlelwa79505 жыл бұрын
Aisee bongo zozo upo vizuri sana.mungu akubariki sana
@allymachanokeis37645 жыл бұрын
Hongera Mtanzania wa hiari. Bongozozo.
@leahedward80635 жыл бұрын
shemejiiiii ni 👌👌👌
@habibukitwana15525 жыл бұрын
ukimkuta Diva wa clouds anajifanya kiswahili hajui😄😄😄
@mbarakabdallah46314 жыл бұрын
Hyu bongo comedy sanaa daah
@MARTINNDOMONDO5 жыл бұрын
Ni makala nzuri.
@sangomamourice94255 жыл бұрын
Safi Sana hongera
@boniphacejames64375 жыл бұрын
Watoto wako ni watoto wangu,na watoto wangu ni watoto wako. Fanya hivyo uingereza watakuitia polisi.Dah!,Bongo Zozoooooo
@eliasbenjaminmk32105 жыл бұрын
Bongo zozo namkubali sanaaaaaaaa
@harunimfaume62805 жыл бұрын
Saafi sana bongo zozo mzee wa fujo isio umizaa
@wahidashabaz59825 жыл бұрын
Watanzania tunakimbikia ulaya na kuongea kingereza ila wazungu wanapenda afrika na kiswahili
@harunimfaume62805 жыл бұрын
Baruhani muhuza ufanye mpango umuite tenaaa aje kwenye kipindi
@mdsadiq25695 жыл бұрын
Safi sana
@mirajihazard21175 жыл бұрын
haha nashukuru sana bongo zozoz kwamba umejua kuwa wazungu wameiharibu na kuiuwa sana wakanyang''anya vitu sana Afrika kwaiyo narudia tena kama nilivyosema hapo wali kuwa wazungu hawawapendi watu wa afrika daima wala tusijidanganye kwa hilo hata umuone mwema vipi ila moyoni atabakia kuwa na roho ya kizungu milele habari ndi hiyo na ukimuona mzungu kapenda nchi ya afrika ana sababu zake za msingi ila sio mapenzi kutoka moyoni Ahsante sana
@pasiensiabel72785 жыл бұрын
Genius Bongo zozoo👏👏👏
@khalfanibobewe42784 жыл бұрын
Kwel bab wawe makini
@issaahmady96445 жыл бұрын
Libiya waliingiziwa vibaraka hivo hivo sasa huyu bwana tumwanglie vzuri
@allykutenga28625 жыл бұрын
Issa Ahmady;ila na huko ulaya wapo wabongo wamepata uraia sasa na wao wachungunzwe ama vp??!!.
@jumamakaja88025 жыл бұрын
Acha kuwaza Kama mtoto.
@raymondkipipi5164 жыл бұрын
@@jumamakaja8802 ha ha ha--------
@oscarmosha91705 жыл бұрын
hongera sana bongo zozo wewe ni shemeji yetu
@prosperutwa22605 жыл бұрын
Huyu kakuria kilipo jaa English lkn kaamua kuongea kiswahili bila kuchanganya English lkn cc wa kibongo mara
@josamenezammbuji17685 жыл бұрын
You know you know it's like 😂😂😂😂😂
@pendael025 жыл бұрын
Wajiona ni wazungu
@suhailaali41755 жыл бұрын
Utaskia "am, so , actually, ha ha haa wabongo bhanaaa in shiddah!
@sharifamfaume93425 жыл бұрын
Ruga ngeni ni Tam mdomoni na ndio maana kila mwenye nayo mdomoni mwake anajisikia Raha kuiongea kwaiyo kawaida tu
@mekumeku24845 жыл бұрын
Umeona kiswahili kilivyo na nguvu sio
@awadhijumaa9395 жыл бұрын
Bongo zozo ni 🔥🔥🔥🔥
@dinocastico84955 жыл бұрын
Kweli ni muingereza na lugha yake ya asili ni english . Ila hapa kaongea kiswahili kwa asilimia 99% . Ajabu kwa mswahili aliye fikia kidato cha 4. Embu tuthamini lugha yetu ndio utambulisho wetu.
@sharifamfaume93425 жыл бұрын
Ruga ngeni tamu mdomoni nandio maana Ata yeye anajisikia raha kuongea
@dinocastico84955 жыл бұрын
Raha kamwe haisikiki ila sauti na ngurumo husikika. Raha ni hisia zenye mzizimo kwenye moyo wa mwana dam. Mswahili na lugha yake ni kitu cha kujifagharisha . Sio kuongea huku ukichanganya maneno ya lugha zingine ikiwa hadi sasa walio soma hio lugha na kuielewa asilimia 45 hawafiki.
@dimboyo99145 жыл бұрын
Bongo zozo noma sana heshima kwako
@khaulatmohammed37655 жыл бұрын
Kumbe wahehe wanahasira ndo mana mm nimerisi🤔🤔
@bwagaboe54385 жыл бұрын
Izo ela zipo soko ndo halieleweki .
@allykombo40365 жыл бұрын
Daaah umelonga
@shaabanramadhan67705 жыл бұрын
Hyu bongo zozo leo ndo nmemuelewa vzr san ni mjanja sanaaa anaakili nyingi san sio mtu wamchezo mchezo km tunavyo muona na ucheshi wake na vituko vyake kuna kitu kikubwa san anakihitaji hapo tz na atakipata kwa bahati nzuri amezaa na mtanzania basi kesha fanikiwa malengo yake
@farhatfatma125 жыл бұрын
Watanzania wenzetu hawalioni lengo lake... wao kama kawaida wanashangilia tu. Mzungu atapiga hela apote wasimsikie tena.
@enockhamis55925 жыл бұрын
Pongez sana bongo zozooooo
@allyomary81304 жыл бұрын
Mtazamo wako. Hiyo ndo asili yetu
@georgemwalukasa1185 жыл бұрын
Mahojiano bomba sana
@mudymudy32635 жыл бұрын
Bongo zozo safi sana
@harunimfaume62805 жыл бұрын
😁😂😂😂😂😂😂 Hahahaaa aisee jamaa huyu ni mtoa buludan saana yuko vizur koz anachangamsha akili za watanzani
@issaahmady96445 жыл бұрын
Kwa kawaida huyu jamaa utamchukulia kawaida lkn kwa macho ya mbali huyu bwana mimi ninawasiwasi naye
@josephnjelekela65125 жыл бұрын
Unaweza kuta anatega mabomu sisi hatujui
@khamisfaki46404 жыл бұрын
Uhakik na tuwe makin jaman hbu waulizen walibiya hhhhhhhhhhh noma xna
@bakarymbega63203 жыл бұрын
myaka 23 tz kazi collector???
@shabanimbungo26515 жыл бұрын
Safi bongo zozo
@loner_wolf5 жыл бұрын
Shemeji wa Taifa....
@MARTINNDOMONDO5 жыл бұрын
😆
@charlesmakuri7925 жыл бұрын
Huyu jamaa ana mambo mengi na anaongea mambo mazuli tuna mpenda sana
@lameckmugetanyaruga42094 жыл бұрын
Bigup bongo zozo wewe ni Mtz
@TeamKRX4 жыл бұрын
Walah usingizi sina wee zozo mama yuko wapi na baba n ndugu zako wako hivi mbavu zangu 😂😂😂
@jofreympwapwa61225 жыл бұрын
Katika MTU natamani tumvute wcb ni muhuza fundi huyu
@alexmwalingo51205 жыл бұрын
Wengine hawa wanakuwaga wapelelezi
@kambamazig020245 жыл бұрын
Hizo tuhuma zako zinakuwa hazina msingi, na mawazo yako ni kama ya wale wanaodai urai pacha watu watakuwa wasaliti. Mbona Zitto na Tundu Lissu ni wasaliti lakini husemi lolote ama kwa kuwa rangi yake nyeupe?
@alexmwalingo51205 жыл бұрын
Kila mtu ana mawazo yake na mtazamo wake, maana hapa hayupo Lissu wala Zitto
@khamisfaki46404 жыл бұрын
Iiii iseee noma xna tuwe makin watz this secrety plan details agent.
@johnlugwaza38663 жыл бұрын
Nipe no yako bongo zozo
@abujuhaifah74615 жыл бұрын
Hili jamaa asa lina akili hatar
@J4UPro5 жыл бұрын
Huyu jamaa namkubari sana
@peterkatete56454 жыл бұрын
Kihamba cha asili bongozozo Tanzania ni nyumbani.
@anthonykihamba52294 жыл бұрын
Peter Katete @ tuwasiliane Tafadhali
@awadhimbarak23495 жыл бұрын
bongozozo unajifanya una wivu na mwanao sio ?
@vonostus5 жыл бұрын
Shabiki kindakindaki
@jacqulinekasondera53265 жыл бұрын
Bongozozo uko vizuri kwani unasema kweli. Naomba namba yako ya simu. Tuwasiline kwa namba hii 0784795190.
@sabrachala58015 жыл бұрын
jamani hichi kipindi marudio yake lini?
@aronndossy98985 жыл бұрын
Nitumie namba yako bongo zozo
@farhatfatma125 жыл бұрын
Wacha kujipendekeza Aron.
@TeamKRX4 жыл бұрын
Walah nimetokwa na machozi niliko vizee tunavilea sisi manyani mtoto anakuja mama kashaondoka duniani anabaki kuliza masuali
@TeamKRX4 жыл бұрын
Zozo uraisi usikupite 2020 Pls mbona raha jiunge chadema
@amanimwidowe6535 жыл бұрын
Huyu jamaa kafata pesa za zamani zilizopo mbeya kule na sehemu mbalimbali wakuangaliwa hapa tz
@selemanijeanpierre79315 жыл бұрын
Nimecheka sana
@alexchandi23354 жыл бұрын
bongo zozo,,iringa sehemu gani ulipokuwa? Kibwa,kihesa,ipogolo,mtwivila,kitwilu,,
@theresiangunda22985 жыл бұрын
Huyu ni Moja ya masonic mchezesha kamali na upatu bahati na sibu
@mekumeku24845 жыл бұрын
Mhehe kuliko mchaga hahahaa
@hamidmohamed78065 жыл бұрын
Badilisha viatu Bongo
@deadcrush5 жыл бұрын
Uki waumiza zaidi, watakuwa wajinga zaidi.
@bwagaboe54385 жыл бұрын
Bongo zozo me nina izo ela 2fanye biashara kwa mawasiliani zaidi 0767503668
@danifordndoza65455 жыл бұрын
Acha tamaa
@bwagaboe54384 жыл бұрын
@@danifordndoza6545 sio tamaa izo ela zipo na ninazo bola ungesema soko amna ningekuelewa
@emmanuelkapaya77794 жыл бұрын
Nichek Kama inawezekana tufanye biashara 0789140464
@maxwellwilliam16635 жыл бұрын
Mwambie ninayo ile yenye tobo aje tuongee biashara chap
@emmanuelzao5 жыл бұрын
😎
@farhatfatma125 жыл бұрын
Baruani, wewe ukipewa passport ya Tz na ya British utachagua ipi? Majibu ya wengi wa Watanzania tunayajua Sijui kwanini umuulize mtu suali kama hili la passport ? Suali hili hili la passport niliona kaulizwa Salim kikeke kuhusu mwanawe ambae kazaa na mkewe ambae ni kutoka Welsh. Nashukuru Salim alikua mkweli moja kwa moja akasema atabakia na passport yake ya British .
@oketchoketch73515 жыл бұрын
Huyu jamaa ana akili sana....ukiachana na ucheshi wake
@denischacha91045 жыл бұрын
Oketch OketchGud
@adnankhamis62355 жыл бұрын
Ninaomba bongo zozo anitafute nipo na pesa nyingi za zamani anitafute kwa namba hii 0777432072
@emmanuelkapaya77794 жыл бұрын
0789140464 nichek tafadhali
@mdsadiq25695 жыл бұрын
Safi sana
@oketchoketch73515 жыл бұрын
Huyu jamaa ana akili sana....ukiachana na ucheshi wake
@farhatfatma125 жыл бұрын
Ana akili sana kwasababu kagundua Watanzania hatuna akili kwahiyo ana mipango yake atapiga pesa kirahisi.
@artisthusnatalal30992 жыл бұрын
Sio akili ni ujanja. Lazima uwe mjanja utaitwa SMART 😂😂😂
@alexchandi23354 жыл бұрын
bongo zozo,,iringa sehemu gani ulipokuwa? Kibwa,kihesa,ipogolo,mtwivila,kitwilu,,