Рет қаралды 54,493
Kutokana na wasiwasi wa kupotea kwa mila, desturi na tamaduni za kabira la Wairaqw, Mzee mwenye umri wa zaidi ya miaka 70 ameamua kuchukua jukumu la kukusanya na kuhifadhi historia ya jamii hiyo inayosadikika kutokea nchini Ethiopia.