HISTORIA YA CHIFU MKWAWA: Alikuwa na wake 62, alitumia mtambo kumbaini mke ‘aliyechepuka’ (MAKALA)

  Рет қаралды 72,657

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Azam TV imefika katika ngome ya Chifu Mkwawa, Kalenga mkoani Iringa mahali lilipo fuvu lake ili kuipata kwa undani historia ya Chifu Mkwawa pamoja na kabila la wahehe.
Miongoni mwa mambo tuliyoyashuhudia ni fuvu la Chifu Mkwawa na mtungi maalum ambao alikuwa akiutumia kubaini endapo kuna mke wake aliyechepuka (aliyetoka nje ya ndoa) na kama akibaini akimbaini, adhabu yake ilikuwa ni kukatwa masikio yote mawili.
Vingine ni risasi alizokuwa akizitumia katika vita na ma
Fuatilia hitoria hii ujionee maajabu

Пікірлер: 60
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 5 жыл бұрын
Chief Mkwawa alikuwa military genius pamoja na kipawa cha utawala.
@leonardkigutu7716
@leonardkigutu7716 5 жыл бұрын
History nzuri sana,nimeipenda...kwa kuona fuvu la chifu Mkwawa nimeshangaa sana...binadamu kweli in watu wa kupita,Von Wisk hayupo, Tom Von Prince hayupo,Mkwawa hayupo..imebaki historia ya kuvutia sana...km hadithi vile kumbe ni mambo halisi yaliyopita nimewaza sana .daaa!! huu ni utajiri wa Iringa na Tanzania kwa ujumla.
@kuzigajafari4587
@kuzigajafari4587 5 жыл бұрын
Leona d Kigutu
@jonathannkoba3806
@jonathannkoba3806 5 жыл бұрын
Mwelekezaji umemeeleza vzr sana nimemwelewa vzr Mkwawa
@franciscakimbe8124
@franciscakimbe8124 3 жыл бұрын
big up kiongozi wetu asante kwa kutuongozea njia tutayaishi hayo yote
@bakariluhala7332
@bakariluhala7332 5 жыл бұрын
Mkwavinyika chifu Wa wahehe hakika alikuwa sumbua sana sana
@hamadali5062
@hamadali5062 3 жыл бұрын
Hii history ni nzuri Sana. Imeelezwa vizuri Sana.
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Historia nzuri sana nimeipenda
@gabychaki158
@gabychaki158 5 жыл бұрын
Saloot chifu Mkwawa jemadari. Tatizo nyakati hizi tunajikita ktk masomo ya sayansi mno na kupotezea masomo ya arts mfano.. History ikiwa Ni pamoja na kusahaulika kwa mila na desturi zetu. Tunapotea
@nice5671
@nice5671 5 жыл бұрын
Na jivunia sana kabila langu mungu ibaliki iringa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
mnogage!
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Hongera Mkwawa wahehe walijitahidi sana, anayesimulia amesema walitumia Gobole, sasa huyu mwingine anachanganya anasema dhana za jadi
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
htr tupu!
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 5 жыл бұрын
Nice haya ndio mambo vijana tunahitaji kufahamishwa na kuwajua mashujaa wa nchi hii waliosahaulika,na kumbe chifu mkwawa alikua muislam na alikua anajua mpaka kuandika kiarabu vizuri tu,hii mashuleni hatukuambiwa,thanks azam TV na kazi nzuri Sana amefanya msimulizi wa makumbusho,anajua kazi yake sawasawa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
alibadili dini baada ya waarbu kumhifadhi kuona ana akili kwa wao kumpatia nguo zao avae
@hamadrashid8212
@hamadrashid8212 4 жыл бұрын
waTanzania tusisifie historiyatu nivizuriserekali idaifidiya kwazulmanauvamizi tuliofanyiwa nawakoloni ss niwakatiwakudaifidiyatu ilinafsiyakipenzi mkwawa iliozulumiwa ionehakiyake haikupoteya.
@amanijolam4140
@amanijolam4140 5 жыл бұрын
iringa ina utajiri mkubwa wa maliasili ikiwa na mbuga kubwa kuliko zote Tanzania ifahamike
@orthospeedafrica5335
@orthospeedafrica5335 3 жыл бұрын
Wajerumani watulipe kwa kuua Babu zetu
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Tutakuja asante sana
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
twende lini ss
@mahegesalimbakari7264
@mahegesalimbakari7264 4 жыл бұрын
Mkwawa akuaa muhehe wahege wali betrerd us and joint with jamany and chifu mkwawa ascapy to Mozambique with help to leoperd
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Najua walitumia Gobole, maana babu alisema askari wa Mkwawa walitumia Gobole
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Shujaa wa mashujaa
@mahegesalimbakari7264
@mahegesalimbakari7264 4 жыл бұрын
Sio kweli mama take alirushwa yellow stoin
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 5 жыл бұрын
yaani nimehamasika kutembelea Iringa kabla sijaenda kokote halafu mtangazaji na masimamizi wa makumbusho hongereni sana maana mnajua kuzitendea haki kazi zenu, big up muendelee hivyo hivyo
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
ulifanikiw kufika
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Wahehe hoyee kwa ushujaa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
kaah!
@makaramayatibamrmichaelkih3683
@makaramayatibamrmichaelkih3683 5 жыл бұрын
Hakika
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 жыл бұрын
Iringa hoyeeee
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
oyoooo!
@MusaMgogosi
@MusaMgogosi 3 ай бұрын
Igomtwa
@uhengewilson6573
@uhengewilson6573 5 жыл бұрын
Hicho sidhani kama kitakuwa kichwa chake, mkwawa alikuwa na akili sana, kwa nini kichwa kilionekana kwenye moto kimeungua, huenda akwa alimuua mlinzi wake na kumtupa motoni ili kuzuga na kupunguza mihemko ya wajeruman
@EmmanuelHaulenjombe
@EmmanuelHaulenjombe 5 жыл бұрын
unachoongea naa afiki kwan kuna mwandishimmoja anasema mkwa alijitupa katika mto huyo alie pgwa risasi alikua mlinzi ila wajeruman walfany figisu na kutuaminisha kua ni mkwawa
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Siyo kweli ni kichwa chake Mkwawa maana alipoona wanataka kumteka, akajishuti kichwani, make wake alisema ni ndani ya andaki, nyinyi mnaobisha msipotoshe jamii
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@lilianluhasi311 wmaanisha nn hapa, " make wake alisema ni ndani ya andaki"!?
@casttraining1575
@casttraining1575 5 жыл бұрын
Maskini pamoja na u chief huo vizazi vyake hawamjui Yesu wameishia kuzimu..
@athumanngozi868
@athumanngozi868 4 жыл бұрын
Acha imani isiyokuwa na faida
@salimmbilu4524
@salimmbilu4524 2 ай бұрын
Anawivu kama mm
@queenm1875
@queenm1875 5 жыл бұрын
hatariii
@peterjames4317
@peterjames4317 5 жыл бұрын
historia nzur sana
@simisausojamhehe6108
@simisausojamhehe6108 4 жыл бұрын
Duuu wake 60
@tonyspencer1928
@tonyspencer1928 5 жыл бұрын
Kipindi kizur kinatukumbusha tulipotoka
@norascombedule1057
@norascombedule1057 5 жыл бұрын
poa xana
@ramashariff7540
@ramashariff7540 5 жыл бұрын
Alipewa mavazi na Abushir wa Pangani,,Akafundishwa Kiarabu kuandika na kukisoma(Qur-an)!!!,,,Kwakweli sijawaelewa mmepita juujuu sana,,kwani mkizungumzia imani yake kuna shida gani?!! Siamini kama ktk historia kuna haja ya kuficha kitu.
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Alijuwa mkristo baadaye akasilimu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@lilianluhasi311 co kwmba ni shu3 wake aliyempeleka pangani, SAPPI ndo alisilimishw lkn yy alivaa tu mavazi lkn hakusilimu!?
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
ss dini halafu???
@MasatuElly-kr4hj
@MasatuElly-kr4hj 2 ай бұрын
Poa
@andrewsmassar5839
@andrewsmassar5839 5 жыл бұрын
Kama wajeruman 300 waliuwawa je waafrika wangapi waliuwawa
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Raundi ya kwanza walikufa wajerumani 300 na waafrika waliuawa wachache tu, raundi ya pili ndiyo walijufa waafrika wengi, umeelewa?
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@lilianluhasi311 duuh!
@juliasmwitahiikwelininjaay349
@juliasmwitahiikwelininjaay349 5 жыл бұрын
Kwa maelezo hayo kumbe Tanzania ilikuwa selekali kabula ya nyelele, alafu Tanzania ikumbe ilipigana.
@christophermlaponi534
@christophermlaponi534 5 жыл бұрын
Mtangazaji hajatulia !!
@khadijamosha3591
@khadijamosha3591 5 жыл бұрын
mustaf
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
??
@aloycemwakatala2634
@aloycemwakatala2634 5 жыл бұрын
Ningeomba hilo fuvu lizikwe, kulikoni fuvu la ndugu yetu kiwe kivutio?
@geophreymhangala2586
@geophreymhangala2586 5 жыл бұрын
Aloyce Mwakatala wivu tu
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
@@geophreymhangala2586 duuh!
@loykissambu8503
@loykissambu8503 4 жыл бұрын
May the body of our role model Mkwawa rest in eternal peace
HAILE SELASSIE: Mfalme  Aliyeuawa Na Kutupwa Chooni!
16:02
Global TV Online
Рет қаралды 900 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 23 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 12 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 103 МЛН
Mjue Chifu wa Wahehe, Adam Abdu Sapi Mkwawa
5:39
Azam TV
Рет қаралды 67 М.
Simulizi ya historia ya shujaa wakihehe chief Mkwawa
40:45
ITV Tanzania
Рет қаралды 5 М.
MCHUMBA Part 1 - (Abdallah Mohamed, Jenipha Temu (Official Bongo Movie)
59:44
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 23 МЛН