Mungu tusaidie ili furaha yetu iendelee kudumu kwa wachezaji wetu,viongozi wetu,hata sisi mashabiki Neema na Baraka zake Mwenyezi Mungu ziwe nasi sote🎉🎉🎉🎉
@elidadi13517 ай бұрын
Big up sana kwa klabu yetu Ya Yanga
@petersynto20437 ай бұрын
Najivunia kuwa mwananchi ❤❤❤
@TwahirMohammed-x2h7 ай бұрын
Hongera yanga kwa uzinduzi wa kitabu kizuri daima mbele nyuma mwiko🎉🎉🎉
@haidhabushiri95587 ай бұрын
Jamaa yupo smart sana
@godlistengodlisten75527 ай бұрын
Asante Mwenyezi Mungu Kwa Kunichagulia Timu Yenye Furaha, Na Viongozi Wanaotamani Mafanikio,Amen, 🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎉💛💛💛💛💚💚💚💚💚👏👏👏👏👏👏💛💛💛💚💚💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏✅✅✅✅
@cleophacemasole7 ай бұрын
Nampongeza Sana Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Samia Sulihu Hasani. Kwa maelekezo yake kwa Vilabu vya soka nchini kuacha tabia ya kuleta migogoro na badala yake wawe wepesi kushirikiana na Viongizi wao kuleta mafanikio ya Timu zao. Asante sana Mama.
Yanga mmekuwa kioo. Mtabaki kuwa dira ya nchi katika nyanja ya mchezo wa mpira wa miguu. GSM, Eng. Hersi na jopo lako mmeiheshimisha Yanga na Tanzania. Matukio ya aina hii ni adimu ktk Afrika na hata duniani. Yanga mmekuwa waasisi wengone watafuata. Tunaiombea Yanga ifike mbali katika mafanikio ya Uwanjani ili ilitanhazr taifa letu.
@haidhabushiri95587 ай бұрын
Amiin
@Carolina-sm5zt7 ай бұрын
Amina
@msafiriomary8937 ай бұрын
Kitabu Cha Tanga mnaaxha kuzindua kitabu Cha magufuli arie tujengea madaraja mahospital mabarabara reo tunatembea bra foreni ety mnazindua kitabu Cha Tanga hovyo kabisa
@DoreenMlay-e8g7 ай бұрын
nyooooo huo ni wivu fal wee yanga walipigania uhuru boya wee