SHABIBY AJILIPUA BUNGENI ISHU YA USAFIRISHAJI "MAMA ANISIKIE HUKO ALIKO WAPINGAJI WAPO KWAKE"

  Рет қаралды 23,294

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 9 ай бұрын
ifike mahali hizi kodi tujue ni kiasi gani maana kila mahali ni kodi lakini bado mpaka leo tunakopa
@davidmwamgunda7870
@davidmwamgunda7870 9 ай бұрын
Asante sana mzeee wangu namm kama boda boda abilia yoyote natamleta shabib bus
@WamburaJomu-xy2is
@WamburaJomu-xy2is 9 ай бұрын
Point sana
@ernestmwakalambo3938
@ernestmwakalambo3938 9 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu mh shabibi
@roodneykaria6814
@roodneykaria6814 9 ай бұрын
Akili ya wafanyabiashara na wasomii ni tofauti kabisa
@EliusPeter-o4g
@EliusPeter-o4g 9 ай бұрын
Salute shabiby
@SaidShemkieti
@SaidShemkieti 9 ай бұрын
Ila mbunge wa morogoro mjini mh abood unazingua sanaa yani mpk mwenzako wa gairo akusemee kuhusu uwanja wa ndege morogoro mjini shame on you mwakani hatukutaki tena tunahitaji mbunge atakae tusemea vzr bungeni
@MrRamsonVidal
@MrRamsonVidal 8 ай бұрын
Ana biashara zake hao...Morena hotel so lazima apige debe
@vediowkiritasi3163
@vediowkiritasi3163 9 ай бұрын
Very Good point
@starjay3052
@starjay3052 9 ай бұрын
🤣🤣😂😂🤜🤛 aminia shabiby
@SalminaSalim
@SalminaSalim 9 ай бұрын
Jamani hilo la ndege kweli tulikaa mda Ndege tulikuwa tunasikia kwenye bomba. Kwa uwezo wake Mungu ........ tukaanza kujivinjari na Ndege mpaka home Ma Basi tukaya sahau kwa waenda mbali Asante Mungu kupitia kwa ..............
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 9 ай бұрын
Uko sahihi shabiby
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 9 ай бұрын
watu weng number ya NIDA hawana kwaiy ukinunua boda boda au Bajaj ukimpa kijana mkataba akimaliza ndio mwisho wakupa latra mana mpaka mtu awe na NIDA kwanini msingeweka Na vitambusho vingne kama Driving License au kitambulisho chakula sasa mmeweka hivi matokeo yake watu weng wanashndwa kupata kibali wanafanya janja janja2 selikali inakosa mapato
@HassanUpunda-bz5vr
@HassanUpunda-bz5vr 9 ай бұрын
Wazir mkuu mh kasim majaliwa, kazi anaijua lakin anavunjika nguvu nabaadhi yaviongozi wanakula rusha, nguvu yakuwaastopisha kaz anashindwa kwasababu anamamlaka, atabandarini anashindwa kukagua ndio sehemu yenye madudu, makamu waraisi fanya mpango wakwenda, nastend kuu, upole ukizidisana aunamaana.
@mikemutabuzi3665
@mikemutabuzi3665 9 ай бұрын
nanukuu, 'Mama sijui mpole? Ccm ,ingekuwa upinzani wengi wangetaka taarifa😂😂😂. Tuamke tuseme changamoto za wananchi, sio Mapambio kila kukicha, Mama ameondoa utekaji, Hivyo tujitoe muhanga kama shabib
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 9 ай бұрын
Ujio wa SGR Kutoka dsm hadi Dodoma sidhani kama Mhe anafurahia, Pole Shabiby ndio ujasiliamali , hii sawa na kupata ushauri wa Kifedha kwa Loan officer wa bank au kama vile mteja kupata ushauri wa madawa kwa muuza madawa, Mungu anajua zaid na ndio mwenye hekma
@theophilmawe9776
@theophilmawe9776 8 ай бұрын
Shabiby ni Ginineous
@Museveniseverine
@Museveniseverine 9 ай бұрын
Hongera mh
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 9 ай бұрын
Kweli shabiby morogoro ni center ya mikoa mingi kwanin hamna uwanja mkubwa wa ndege halafu Kuna mbuga ya wanyama mikumi sio mbali na moro mjin kwanin hamna uwanja wa kisasa morogoro
@salumadam2862
@salumadam2862 9 ай бұрын
Kweli wambie
@kazimoto-eq2th
@kazimoto-eq2th 9 ай бұрын
Umeongea baba kweli tajir
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 9 ай бұрын
Kweli kabisa
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 9 ай бұрын
Hongera mh walao unaongea ukweli
@adongoodluck9487
@adongoodluck9487 9 ай бұрын
HONGERA MWENYEKITI WA BODI YA SHULE GAIRO SECONDARY 2003-2006 MUNGU AKUTUNZE MZEE
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 9 ай бұрын
Ndio kila kitu utasikia wanampinga mama
@kesphaanyitike7751
@kesphaanyitike7751 9 ай бұрын
Very fact...
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 9 ай бұрын
boda boda kulipa TSH 17000 sio tatizo tena iyo ndog ingekua 50000 mana huwezi kununua pkpk milioni tatu Na laki tatu halafu ushindwe kukata kibali cha TSH 17000 mbona dar Salam boda boda wanaotumia bolt au tx on line wanalipa 35000 ila wame tengenezewa mazingila magumu sana kwa wale wanaotumia bolt ya gari mpaka madereva sasa watoa plet number ya biashala wana weka play vate ili kukwepa usumbufu bala balani kodi inapotea nying mno wasomi wetu sijui wamesoma Nini dar Salam tx boda boda Bajaj nikalibu vyombo milioni moja na point ila wanaolipa kodi pengne ni% 2 tu
@kazimoto-eq2th
@kazimoto-eq2th 9 ай бұрын
Kwel
@peterlove4g869
@peterlove4g869 9 ай бұрын
Kuna latra ya D4 yani kwamba ni kwa ajili ya vyombo vinavyofanya kazi online sasa hapo niaajabu kabisa yani Boda, Bajaji, gali wote wanalipia 35000
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 8 ай бұрын
Alah awajaalie mtende haki inshallah
@Yohanamboka
@Yohanamboka 7 ай бұрын
mngu atusaidie
@Worldunite
@Worldunite 9 ай бұрын
Umeongea ukweli 100%
@MaryNehemia
@MaryNehemia 9 ай бұрын
Una visa na mkoa wa njombe Inaonekana hutaki maendeleo ya mkoa huo
@kazimoto-eq2th
@kazimoto-eq2th 9 ай бұрын
Kweli tajiri
@mwanakupona
@mwanakupona 9 ай бұрын
Leli!!! We mwarabu matamshi yako mabovu..hasala....mologolo kwani hukusoma hata madrasa..Abu. Mwambieni
@HassanSaid-e1w
@HassanSaid-e1w 9 ай бұрын
mhhh
@pauloropian2367
@pauloropian2367 9 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@MarckMaganga
@MarckMaganga 9 ай бұрын
Muongo huyuhhuhhh
@jumaally4263
@jumaally4263 9 ай бұрын
Kwahiyo bodaboda wasisome sheria za barabarani. Hapo umekosea barabarani ni barabarani tu muheshimiwa
@bensonelisa3225
@bensonelisa3225 9 ай бұрын
Bungeni watu wanawakilisha masilahi yao binafsi na vyama vyao vya kisiasa sio hata for 40 parcent uwakilishwaji wa mtanzania wa maisha ya kawaida wale ambao katika idadi yetu ya watanzania million 60 wao ambao kwa idadi labda n million 50 kati ya million 60
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 9 ай бұрын
Muheshimiwa uko Sawa kabisa
@zihirwamchomvu
@zihirwamchomvu 9 ай бұрын
Hili ni jembe Mzee dah
@AmazingFactTz
@AmazingFactTz 9 ай бұрын
conflict of interests
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Zelensky is ready to talk with Putin / Border closure
13:18
NEXTA Live
Рет қаралды 685 М.
Tundu Lissu Amjibu Fatma Karume Sakata la "Ubaguzi"
16:37
The Chanzo
Рет қаралды 161 М.
Հարցազրույց Արամ Սարգսյանի հետ
35:31
Լուրեր
Рет қаралды 101 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН