VITASA | Twaha Kiduku alivyomtwanga Dullah Mbabe - 20/08/2021

  Рет қаралды 1,827,593

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 343
@johnbupimali5019
@johnbupimali5019 3 жыл бұрын
Twaha ni mtu mmoja yuko makini sana, kingine anapigana na mpinzani wake feya play maana alikuwa na uwezo wa kumuumiza Dulla mbabe. His bravo
@paulmwangi1439
@paulmwangi1439 3 жыл бұрын
Uyu bondia tuna mpenda sana. Ako na eshima sana anakuanga na eshima sana ❤️🇰🇪 ❤️
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
💖💖
@ahmedlao7273
@ahmedlao7273 3 жыл бұрын
Laa ilaha illa Allah muhammad rasul Allah. Kiduku big up bro keep it up. Allah atulinde sote mm na wewe na kila anaekupenda na atuongoze.
@benedictmsami4966
@benedictmsami4966 2 жыл бұрын
Refa man of the match, ile twaha kuanguka raund ya kwanza na kusukumiwa kumi zaidi, rwfa angemaliza
@fiderisedward2076
@fiderisedward2076 3 жыл бұрын
Mungu abarik kazi yako brodher hujabebwa ngumi zmeonekana tunakukubar miaka 💯
@giuseppegumina5576
@giuseppegumina5576 11 ай бұрын
Congratulations Is Italian Boxeur. I LOVE BOXE ❤ I LOVE AFRICA ❤ I LOVE AFRICAN CULTURE ❤ I LOVE AFRICAN PEOPLE ❤
@tolepeter3538
@tolepeter3538 3 жыл бұрын
Hongera sana mabondia wote. Ila kile ningeweza kusema ni kua ,ni vyema kukubali uamuzi wa majaji, kwani huu ni mchezo wala si vita.Cha pili, kama mchezaji hakuridhika na pambano basi kuna nafasi ya kuomba pambano liregeleo tena. Tusionyeshe hasira tuwe wapole tu.Otherwise hongera sana watanzania. Salamu kutoka Kenya.
@Lumegilemukata
@Lumegilemukata 3 жыл бұрын
Nilichokiona dulla ni mvumilivu,laiti angekuwa bondia mwingine angepigwa KO,,big up Kiduku💪💪
@alicejames893
@alicejames893 3 жыл бұрын
Gh
@husseinkinaa9445
@husseinkinaa9445 3 жыл бұрын
Big uuuuuup twaha kidogo umemshikisha adabu mawe maweeeeni!!!
@galuyegaluye2813
@galuyegaluye2813 3 жыл бұрын
Mmmh kwa Wimbo Wa Dulla Bingwa Alikua ameshapatikana kwenye Intro Tu🤣🤣🤣🤣
@aishamaulidi7425
@aishamaulidi7425 3 жыл бұрын
Hongera Twaha umecheza mchezo mzuri sana show show kaza buti tupo p1
@muhamadmaulid694
@muhamadmaulid694 2 жыл бұрын
Boy kiduku kifaru , respect kiduku nakukubali mwano .show show......
@ShaqueeBlackrapper
@ShaqueeBlackrapper 3 жыл бұрын
TWAHA KIDUKU NEVER DISAPPOINTS
@ashrafuhussein5544
@ashrafuhussein5544 2 жыл бұрын
Mwakinyo
@roqerz
@roqerz 3 жыл бұрын
Hapa Hakuna Mabondia,, Wote Akili Wanatumia kidogo Nguvu Nyingi Ndio Maana Wakitoka Nje ya Nchi Wanapigwa, Mwakinyo Still On Top
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 3 жыл бұрын
Hayo nimawazoyako
@hanashhanash535
@hanashhanash535 2 жыл бұрын
Twaha uko sawa sana Ila jaribu zoezi ya kamba kuruka juu uko na nguvu Sana Ila miguu inahitaji power ✍️ anyway your champion 🏆
@JuliusTasius
@JuliusTasius 7 ай бұрын
Twaha hongera kwa kazi nzur
@aminamwangile4020
@aminamwangile4020 3 жыл бұрын
Ahsante twaha kwa kutuwakilisha vyema wana morogoro
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 3 жыл бұрын
Nimefurah sana hata mm Dada amina wa morogoro mwenzangu Moro sehemu gani my sister
@soundjorge4468
@soundjorge4468 2 жыл бұрын
Tanzania boxing mko vizuri Sana , 🥊🥊🥊🔥🔥🔥🔥🔥
@MasoudNyoni-g8o
@MasoudNyoni-g8o Ай бұрын
Hongera kwa ujumbe mzuri
@aishaalliy3131
@aishaalliy3131 3 жыл бұрын
Team kidukuuuuu oyeeeeee
@emmakrish2853
@emmakrish2853 3 жыл бұрын
Mologor ushind ni wao
@fatmarashid3629
@fatmarashid3629 3 жыл бұрын
Msiwe mnachelewesha video bhn, sio vizuri
@godblessnkyale8980
@godblessnkyale8980 3 жыл бұрын
Dulla mnyonge 😂 Aliingia Amesukaa kilichochomktaaa Hadiii nyweleee zilifumkaa amaà kwerii ujanjaaa siii kuwaiiii ujanjaaa Ni kupataaaa😂😂😂😂😂👏
@themountaintv6625
@themountaintv6625 Жыл бұрын
Morogoro ni mji wa vipaji Hongera twaha ukae kunogo
@stevensimbakila5383
@stevensimbakila5383 3 жыл бұрын
Ukimtegemea mungu yetu Yana wezekana
@lastsimbatv1497
@lastsimbatv1497 2 жыл бұрын
Moja sheria ya bondia.bor ni anajua ku kwepa ngumi htrahi hlo kwa kiduku kapass then antupa ngum nying san sem akipa da nguv za miguu na kumove kwenye position sahihi atakua ka win sana
@venturejackson6357
@venturejackson6357 10 ай бұрын
Twaha unatakiwa urudi kwenye huo mfumo ☝️ ulkuwa mfumo noma xan amin brother
@josephclemence4441
@josephclemence4441 3 жыл бұрын
Kiduku oyeeeeeeeeeeeeeeeee🙏🙏🙏
@issubajaji7924
@issubajaji7924 3 жыл бұрын
Twaha ww ndiyo tanzania one. karibu sana mtwara ata huku tunataka raha
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 2 жыл бұрын
Twaa inatakiwa usimamizi mzuri uyu ni Tyson wa Tanzania
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 3 жыл бұрын
Dula hamuwezi Twaha, ajipange tena mwakani!!!
@mbarakahmed3892
@mbarakahmed3892 Жыл бұрын
Twaa pia Ako sawa sana kwakweli
@fakihassani3
@fakihassani3 Жыл бұрын
Dlla jasiri maashaallah
@peterjohn8405
@peterjohn8405 2 жыл бұрын
Twaha ana nguvu ,ila anatakiwa mwalimu wake amfundishe kuhifadhi pumzi na kupiga target. Anarusha ngumi na mwili mzima mzima. Akipata bondia makini anayeweza ku defend vizuri anaweza akapigika vibaya.
@hanashhanash535
@hanashhanash535 2 жыл бұрын
jamaa ako kama Tyson 💯✍️ alafu akuwe na foot work position
@zuberimohammedi201
@zuberimohammedi201 2 жыл бұрын
Safi,tatizo kiduku ni walimu wake in reality kiduku walimu wake si walimu wa ngumi bali wa kubeba vitu vizito
@kimscharos9156
@kimscharos9156 9 ай бұрын
Tatizo lilianzia hapa!
@icclcharters3389
@icclcharters3389 3 жыл бұрын
Maoni yangu Twaha bondia mzuri,nguvu anazo isipokuwa punches bado shallow lazima aongeze bidii to get maximum power from the ground to legs hips shoulders and fist must deliver it,kifupi improve stamina and techniques,atulie asipige kwa jazba:end result ya knockout zilizompata ni weak stance. dulla mbabe:Good punches but medium power,lazima aongeze nguvu, defence is weak when blocking punches anatakiwa ajifunze ku redirect force not to fight against it. Overall results:Crown wangeikata nusu(draw match)👍
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 3 жыл бұрын
Nice game, bravo Twaha kiduku 👊 🥊🥊🥊
@victorbais6215
@victorbais6215 2 жыл бұрын
Mm nilifurahishwa na mtangazaji😂😂😂😂
@alinyange8186
@alinyange8186 3 жыл бұрын
Pamoja twaha kazi tumeiona
@MRKp-zk7xs
@MRKp-zk7xs 5 ай бұрын
Ningekuwa na kibunda iih dabi ingerudiwa 👊
@yustasaid4785
@yustasaid4785 3 жыл бұрын
Ama kweli dula amechezea vitas.big up twaha
@saidomari001
@saidomari001 2 жыл бұрын
majaji wako sahihi,hupenda kuregelea kutizama hii fight kwasababu ni nzuri hii fight
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 жыл бұрын
Vizuri sana kwa la ilaha ila illah mohamed rasul allah dini yake ni uslaam bismlah arahman alrahim mimi kutoka makaa nimefurahi kwa kaka wetu twaha
@tiffahsalimsalim500
@tiffahsalimsalim500 3 жыл бұрын
Hongera twaha kiduku
@davidmajor9807
@davidmajor9807 3 жыл бұрын
Kumbe shida ilianzia kwenye nyimbo ya dura kaingia na taarabu
@nadhifaswai-sj5xx
@nadhifaswai-sj5xx Жыл бұрын
Asante sana TWAHA KIDUKU👍👍
@yussufkansela8118
@yussufkansela8118 3 жыл бұрын
refary yuko vizuri sana
@abmropeamadeus7286
@abmropeamadeus7286 3 жыл бұрын
Ilo Jamaa la morogoro linanguvu Sana, kashida kwa haki kabisa
@anthonsylvester2400
@anthonsylvester2400 3 жыл бұрын
Hyo mjamaa wa Morogoro ni noma xan
@francismwandia5265
@francismwandia5265 3 жыл бұрын
Vgjj
@georginaluoga731
@georginaluoga731 3 жыл бұрын
wimbo alio ingilia dulla mbabe🤣🤣🤣🤣 ndio man alishindwa
@saidomari001
@saidomari001 2 жыл бұрын
sijaona sababu ya Dulla kulalamika na maamuzi,akubali matokeo Twaa yuko vizuri kumliko
@abrahampalanjo2306
@abrahampalanjo2306 3 жыл бұрын
Naikubali sana
@soundjorge4468
@soundjorge4468 2 жыл бұрын
Great fight , real warriors TANZANIA BOXING RESPECT ' 🥊🔥🔥🔥🔥
@hanashhanash535
@hanashhanash535 2 жыл бұрын
huyu Twaha anakaa kama Tyson 💯✍️
@halfahalfa9728
@halfahalfa9728 3 жыл бұрын
Mmechelewa sana kupandisha highlights za hili pambano KZbin
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 7 ай бұрын
Watu wanamsifu kiduku,,,,lakini asijaribu pambano na Mwakinyo ataumbuka.
@assab3167
@assab3167 2 жыл бұрын
Kazi kazi
@ramsokundowela7134
@ramsokundowela7134 3 жыл бұрын
Twaha kiduku
@ZuberyMisigaro
@ZuberyMisigaro Жыл бұрын
Hili pambano lilikuwa noma sana
@AlmasiMajaliwa
@AlmasiMajaliwa 9 ай бұрын
Twaha nihatari Sana
@ngwanasongowelero7153
@ngwanasongowelero7153 2 жыл бұрын
Mmmh noma sana
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 3 жыл бұрын
Kamati za ufundi vitasa, waganga wapo au hawapo🤣🤣🤣
@elizayanga9756
@elizayanga9756 3 жыл бұрын
Mbavu zangu mie 🤣🤣🤣 Dullah alibaki kuwai kumkumbatia Twaha na kumkumbiakimbia muda mwingi
@dipletitus9967
@dipletitus9967 3 жыл бұрын
Huyo referee sio professional kabisa kwani ni lazima fighters wa touch gloves 😅 , and the craziest thing she said ety sintoruhusu pambano mpaka mtouch gloves
@Drkagoro
@Drkagoro 3 жыл бұрын
We ni professional mchambuz au hater tyu
@aidongitau7214
@aidongitau7214 2 жыл бұрын
Yani wacha nkucheke tu😅😅 hii si Wrestling usiwe mbumbu katika masumbwi kazi ya referee mwanzo nkupeana General instructions 1, Obey my commands at all times 2, Protect yourself at all times 3, Any questions? Kisha utaskia referee akisema touch them up (yani touch gloves) na kila bond anarudi kwa corner yake na referee anaendelea kuwa sawia na majudge na time keeper.
@rizikijaha3390
@rizikijaha3390 3 жыл бұрын
Mwenye kushindwa ngumi zake nzito ako poa sana Bora awe faster atakua deontay wilder junior kwa knock out
@Hamisi-ol1nf
@Hamisi-ol1nf 7 ай бұрын
Siwezi nikakaa mwezi kama sija angalia ii game mahana sio powa uyu twa ukowapi namkubali sana
@patrickmangale1594
@patrickmangale1594 2 жыл бұрын
Nakubali kiduku🤜🤛
@JacksonFanuel
@JacksonFanuel Жыл бұрын
ANAJUA SANA
@kaismwanjonde7771
@kaismwanjonde7771 3 жыл бұрын
Dulla mbabe alijpanga
@hasanjambi9871
@hasanjambi9871 3 жыл бұрын
Mungu ndo Kila kitu
@mikebaltazar2402
@mikebaltazar2402 3 жыл бұрын
Anae jiuona mbabe akapigane na efe ajagba Nigeria
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 3 жыл бұрын
Nenda wewe unaemjua
@bonifacelugo2941
@bonifacelugo2941 2 жыл бұрын
Hii nyimbo aliyoingilia twaha kiduku inatwaje jamani naombeni munijuze nimeipenda
@christianfelex5078
@christianfelex5078 2 жыл бұрын
Bilinas mafilonso
@immanuelsanga8046
@immanuelsanga8046 2 жыл бұрын
Mafioso
@fatmarashid3629
@fatmarashid3629 3 жыл бұрын
Dullah ana kiburi ndo maana kadundwa
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 жыл бұрын
Dullah mnyonge
@allyseleman7787
@allyseleman7787 Жыл бұрын
Naomba pambano na dullah
@PascalChales-r7o
@PascalChales-r7o 8 ай бұрын
Unatufa😅😂
@leticiarugakira2367
@leticiarugakira2367 3 жыл бұрын
Twaha tuna believ in u
@kngshassan5202
@kngshassan5202 2 жыл бұрын
Hivi upiganaji huu ndio mnaweza kupanbana na mwakinyo ndio kweli ngumi hazina mwenyewe ila kwa upiganaji huu dah mwakinyo hebu muacheni kwanza yy yupo kimataifa zaidi.
@godytz6874
@godytz6874 2 жыл бұрын
Mwakinyo ndo nani
@habilmeshack9462
@habilmeshack9462 2 жыл бұрын
Huyo mwakinyo muuza mapambano melete
@kambaajunior842
@kambaajunior842 2 жыл бұрын
Wewe ngumi zenyewe hujuw naxdhani km unajuwa Sheria zangumi
@faisamsaid254
@faisamsaid254 2 жыл бұрын
Jidanganye
@VerroAloisi
@VerroAloisi Ай бұрын
Hakuna Wakupiga Namwakinyo Happ
@hamza.abubakarhamza.abubak997
@hamza.abubakarhamza.abubak997 2 жыл бұрын
Hi
@cellinethomas4715
@cellinethomas4715 2 жыл бұрын
Show show 🤓🇹🇿👋
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 2 жыл бұрын
Moro town stand up✌️
@BONGELANEEMA
@BONGELANEEMA 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/g4CwfqqMnt58l7c
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 2 жыл бұрын
Ila kiduku anajitaidi sana azidishe tekiniki na mazoezi
@anthonysangawe8094
@anthonysangawe8094 3 жыл бұрын
Safi
@mohamedzuber3830
@mohamedzuber3830 3 жыл бұрын
Safi sana
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 3 жыл бұрын
Tanzania is doing good in Boxing nowdays
@ewhite2806
@ewhite2806 3 жыл бұрын
Hakuna wa kupigana na Mwakinyo hapa
@udiabdullah5261
@udiabdullah5261 2 жыл бұрын
Kiduku uyu jamaa anapumzi mzur sana
@samsongwambiye9704
@samsongwambiye9704 3 жыл бұрын
Mwakinyo anaweza kumuua kiduku
@erickmsigwa88
@erickmsigwa88 3 жыл бұрын
Kabisa kiduku gut zake huyoko makini nazo mwakiinyo noma atalegeza tumbo lake ataomba poo kiduku
@jichomtandaoni8281
@jichomtandaoni8281 2 жыл бұрын
7:45 Uzoefu unahitajika sana, baada ya dulla kumdondosha twaha alitakiwa akimbilie kwenye neutral corner ili refarii aanze mapema kumhesabia twaha, matokeo yake anazunguka zunguka tu kama mwehu😀 referii katumia muda mwingi kumuelekeza yeye aende kwenye Kona anayotakiwa kwenda na huku twaha anatumia muda huo ku recover
@gwantahbrainhalisi3527
@gwantahbrainhalisi3527 2 жыл бұрын
Umechambua kitaalam sana.
@bernardjenga3737
@bernardjenga3737 2 жыл бұрын
And kengere ya kumaliza round imegongwa sekunde -10 baada ya round kuisha...so wamepigana dakika 3:10 so Dulla alipewa advantage ya kuendelea kushambulia..
@jichomtandaoni8281
@jichomtandaoni8281 2 жыл бұрын
@@bernardjenga3737 🤝uko sahihi isipokuwa unakosea kusema zile sekunde za nyongeza Dulla amepewa "advantage" aendelee kushambulia, kwenye ngumi sekunde zikiisha kengele inagongwa bila simile sio Kama kwenye mpira kwamba Kuna dakika za nyongeza, ikiwa refarii anaona kuna tukio linapoteza muda ambalo halijasababishwa na bondia kwa makusudi basi atamuelekeza mtunza muda asimamishe muda wakati huohuo sio kuja kuongeza muda mwishoni! Kwa hiyo yale yalikua ni makosa aidha ya mtunza muda kujisahau au anaye display muda tunaouona kwenye screen
@stevenbertman9852
@stevenbertman9852 3 жыл бұрын
Namkubali twaa kiduku
@rajabupetermoses7338
@rajabupetermoses7338 3 жыл бұрын
Dulla mbabe alishinda Kwa ko Kwa Sheria za ngumi
@twaibuiddy6851
@twaibuiddy6851 3 жыл бұрын
Unazungumzia sheria ipi iyo Dullah angeshinda endapo Twah angeshindwa kuweka guard
@kibokoyaotz4509
@kibokoyaotz4509 3 жыл бұрын
Angeua km anaweza ukiona twaha ameendelea na amempiga dulla maana yake anamuweza..
@KhamisSaid-e2k
@KhamisSaid-e2k Жыл бұрын
Dulla akiwacha kiburi basi atafanikisha ndoto zake
@thomasmapunda1772
@thomasmapunda1772 3 жыл бұрын
Vitasa
@gfunk7440
@gfunk7440 3 жыл бұрын
Kiduku🔥
@chacoboy2486
@chacoboy2486 3 жыл бұрын
Kiukwel twaha ni nomaaa dullaa akasomeee na akapambane na wengine twahaa siyo saiz take😡🌈🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@chacoboy2486
@chacoboy2486 3 жыл бұрын
Uuuwiiiii
@kngshassan5202
@kngshassan5202 2 жыл бұрын
Hivi tuseme ukweli upiganaji huu kweli ndio mnataka kupigana na bondia mwakinyo tusitaniane jamani wacheni ushabik uchwara hawa bado sana wanapigana kama kuku majogoo
@ochengcollines
@ochengcollines Жыл бұрын
Correct score.
@lamecksilayo5689
@lamecksilayo5689 3 жыл бұрын
Piga huyo mzaramo 🤓🤓🤓🤓
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 жыл бұрын
kweli Twaha n boxer no 1 Tz sasa mwakinyo ndıo acheze na twaha! mbona anakuga rpund ya pili
@richarddabryin9126
@richarddabryin9126 3 жыл бұрын
Yaani nyimbo tuu inaonesha nani mshindi
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
mwakinyo asthubut mzık wa Twaha atajamba checherr yy asubir wazungu wanakula mayaı cıo mıhogo moro n kıla kıtu ngum moro -Tz.
@kiya0910
@kiya0910 Жыл бұрын
Bado nacheki hii pambano dulla aliyakanyaga na Jena pia akayakanyaga Kwa katopa daah kiduku smtu poa
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m Жыл бұрын
Tuko pmja
@kngshassan5202
@kngshassan5202 2 жыл бұрын
Waendelee tu kupambana huku huku chini kwanza
FULL FIGHT: FRANK SHAGEMBE VS ASEMAHLE WELLEM
26:05
MafiaOnlineTv
Рет қаралды 55 М.
Lissu Ataja UTAJIRI WAKE, Nchi YATETEMEKAAAAA!!!!!
17:15
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 234 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 10 МЛН
Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022
23:51
Azam TV
Рет қаралды 5 МЛН
PS5 | Bruce Lee vs. Cool Grandpa [EA Sport UFC 4]🥊
24:27
ᗷᖇᑌᑕE ᒪEE ᖴIST Oᖴ ᖴᑌᖇY
Рет қаралды 786
NJIA PANDA FULL MOVIE
1:39:29
MWAKATOBE
Рет қаралды 222 М.
Steven Seagal Aikido Techniques
0:15
Fight Club
Рет қаралды 7 МЛН
Из чего сделан Волкановски?! 😱
0:41
UFC Russia
Рет қаралды 46 М.
Zagueiros Kid - Memes
0:11
Maurilio TV
Рет қаралды 20 МЛН
Chelsea 3-0 Wolves | Premier League Extended Highlights
9:51
Chelsea Football Club
Рет қаралды 919 М.