Azam TV - Lishe bora kwa ukuaji wa mtoto wa miaka 2-5

  Рет қаралды 46,389

Azam TV

Azam TV

6 жыл бұрын

Baadhi ya wazazi wamekuwa wakipata changamoto ya aina gani ya chakula cha kumpatia mtoto mwenye umri wa miaka miwili mpaka mitano. Dkt.Elizabeth Lyimo, anaelezea namna bora ya kufanya.

Пікірлер: 19
@sarahluzangi85
@sarahluzangi85 6 жыл бұрын
Hongera kwa somo zuri. Ingependeza zaidi hiyo elimu ya picha ikawa ya watanzania kuonyesha uhalisia
@sashercarlos7787
@sashercarlos7787 5 жыл бұрын
Sarah Luzangi sawasawa kabsaaaaaaa
@dianamasawe3930
@dianamasawe3930 6 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri dada
@user-jf8qt6rp9p
@user-jf8qt6rp9p 5 ай бұрын
Jamani mimwanangu nimvivu kula anamiaka sita lakini akiona chakula anasema anausingizi
@PeninaJoseph-rg7nx
@PeninaJoseph-rg7nx Ай бұрын
Umi wa miaka mitano mtto anatakiwa awe na uzito kias gani?
@cillyajoachimchuwa7432
@cillyajoachimchuwa7432 Жыл бұрын
ASANTE SANA DADA NIMEJIFUNZA VYEMA 🙏
@benesiusbenedicto2295
@benesiusbenedicto2295 2 жыл бұрын
Docta shukulan Sana Ila nataka nijue zaidi Mimi mtoto wangu anamiaka 4 mala nyingi anakuwa atoka jasho Sana mala kwa mala ususani akilala hat mchana nipe ushauli docita
@leilahmohamed2225
@leilahmohamed2225 5 жыл бұрын
Wangu mvivu kula jamani hadi Nawaza nimpe dawa gani cjui
@wildflour209
@wildflour209 Жыл бұрын
Lakini mbona mnapenda kuwatumia SANA watu weupe? Kwani hapa kwetu hakuna watoto?
@anatholiamsuri7742
@anatholiamsuri7742 2 жыл бұрын
Nimependa sana elimu hii
@euzebiayotham6459
@euzebiayotham6459 2 жыл бұрын
Asante Sana doctor Mimi mtoto wangu Mara akira cha chakula Mara anaanza kutapika nahatakama amesha meza anatapika
@venantmarko4899
@venantmarko4899 6 жыл бұрын
somo ni zulisana asante muandaji
@rahmaswaleh7073
@rahmaswaleh7073 5 жыл бұрын
Docta Elizabeth naomba no yako maana mm ninashida
@simonhanno8193
@simonhanno8193 6 жыл бұрын
Asante kwa maelezo mazuri, natamani nipate namba yako ya simu please
@estherlushinta9956
@estherlushinta9956 5 жыл бұрын
nice
@hellenjared8378
@hellenjared8378 6 жыл бұрын
Dr.Elizabeth naomba namba yako plz 0719436995
@brigitamsunga6961
@brigitamsunga6961 5 жыл бұрын
Dr Eliza naomb unisaidie namba yako nahitaji unisaidie 0766587281.
@joanaggrey8200
@joanaggrey8200 5 жыл бұрын
Hellen Jared +255 712 778 844
@rahmaswaleh7073
@rahmaswaleh7073 5 жыл бұрын
Docta Elizabeth naomba no yako maana mm ninashida
VYAKULA AINA MBILI VYA WATOTO/6Months+/Baby Food
5:40
Hadija Sheban
Рет қаралды 24 М.
Akikusaliti Fanya mambo haya matatu - Madam Lailah Aboubakar
20:48
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 889 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 6 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 4,7 МЛН
#MuhimbiliTv# Tatizo la utapiamlo kwa watoto
16:01
Muhimbili TV
Рет қаралды 2 М.
Stephen Kasolo "I took the body from Nairobi to kitui" Our leaders where are you??
11:50
Kulia Sana na kukatwa na tumbo kwa watoto wachanga (Infantile colic)
13:14
Dr. Alamin Suleiman
Рет қаралды 27 М.
NJIA 3 ZA KUMFANYA MTOTO AWE NA AKILI SANA/LISHE YA KUONGEZA UWEZO WA AKILI
13:10
Akili na marafiki zake wote | Jifunze Kiingereza na Akili and Me | Katuni za watoto
1:27:51
Akili and Me - Kiswahili
Рет қаралды 2,8 МЛН
Fahamu kuhusu tatizo la SICKLE CELL na dalili zake
17:52
Dina Marios tv
Рет қаралды 6 М.
JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE
6:58
Lishe Bora
Рет қаралды 39 М.
CHAKULA (lishe) CHA KUONGEZA UZITO KWANZIA MTOTO WA MIEZI 6+
5:56
haikael mrema
Рет қаралды 37 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 889 М.