Akikusaliti Fanya mambo haya matatu - Madam Lailah Aboubakar

  Рет қаралды 54,328

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Пікірлер: 95
@HalimaHussen-o6z
@HalimaHussen-o6z 10 ай бұрын
Mm wawili wamenisaliti wakwanza baba wa Binti wangi mwengi ni WA pili amechaguwa dada angu inauma sana😔💔
@AlliyKhamiss
@AlliyKhamiss Жыл бұрын
Mashallah madam nimekukubali uko vizuri safii sana Allah akubark.
@LovelyBassetHound-ku1wx
@LovelyBassetHound-ku1wx 4 ай бұрын
Wangu alipoteza heshima na nilivyokuwa namuuliza ananiambia et namkalia niliondoka na alishaoa mara tatu ila alinichosha tuu awe tuu na maisha mema
@AzinatJuma
@AzinatJuma 11 ай бұрын
Allah akuhifadhi sana my love 💓
@ShamyAthumani
@ShamyAthumani Ай бұрын
SHUKLAN. MADAAM KWA KUTUELIMISHA ALLAH AKULIPE KILA LA KHER
@roiyajuma9709
@roiyajuma9709 4 ай бұрын
🌺🌺🌺🌺mashaa Allah maua yako ukhty
@FatoomaFatooma-h8s
@FatoomaFatooma-h8s 4 ай бұрын
Allah akuhifiz nakupenda Sana ❤kwajili ya allah 🙏
@luckymwakyoma2746
@luckymwakyoma2746 3 ай бұрын
Kila mtu katika Dunia, Kuna waalimu wengi Lakini Kila Mwalimu hufundisha kulingana ya aliyo yapitia, kuyafanya na kuyasikia, Lakini yote hayo ni kulingana na upeo wake na hakuna asiye na mapungufu. Tafadhari sana ndugu zangu Mwalimu wa kweli ni MUNGU peke yake asiye na mapungufu yoyote, Sababu mwanadamu hupishana kulingana na kutofautiana na wengine hupatana kutokana na kuelewana, Nawaasa sana ndugu zangu MUNGU amekupa uwezo wengine akili na wengine maarifa mengi tafadhari tumuombe MUNGU awe mshauri wetu ktk yote. Zamani kulikuwa na waalimu wachache ndoa zilikuwa nyingi zilidumu Lakini sasa Kila mtu ni Mwalimu na ndio maana ndoa ni chache na hazidumu. Angalizo ndoa ni taasisi nyeti sana ndiko yatokako mataifa na viongizi wake, ni Agano la MUNGU mwenyewe kwa watu wake
@HADIJAMAYOWELA
@HADIJAMAYOWELA Ай бұрын
Hakika unanena vyema sana mashaallah Allah akulipe
@SophiaGeorge-ym6yg
@SophiaGeorge-ym6yg 2 ай бұрын
Umeongea point sana dada nimekuelewa Ubarikiwe sana
@kazungukakiyo
@kazungukakiyo Жыл бұрын
Nakupongeza saana mm mukenya, mpwani......
@AminahRey
@AminahRey 2 ай бұрын
unaongea kweli dada Allah akubarik
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 11 ай бұрын
Dini yetu haijaacha kitu, kuhusu maswala y ndoa imeelea kwa kina zaidi. Tangu mtu anataka kuposa, hatua zimetajwa mpaka kwenye mifarakano mpaka ikifikia kuachana n baada ya kuachana, Utazungumza vipi suala hili kwa kutumia elimi y dunia au akili tu, hapo ndipo tunapo feli Baada ya kuelimishana inapelekea kupotezana.
@ashrafissa778
@ashrafissa778 Жыл бұрын
Asalam alykm warahmtullah wabarakatuh Dada yetu Leyla shukran kwaushauli wako wamesema vibaya mbona hawafundishi kazi yao kutukana
@ruweidamohammad3020
@ruweidamohammad3020 2 ай бұрын
Allah atuongoze yarab 😢😢
@ZeinabSwabir-h3p
@ZeinabSwabir-h3p 11 ай бұрын
Waogea maneno ya hekma sanaa
@ZidiMaiki
@ZidiMaiki 25 күн бұрын
Dad auwongopi kweri kabisa mwanamke mjinga uvunja Ndoa yake mwenyew
@ShawwalKingungo
@ShawwalKingungo 25 күн бұрын
HUYU DADA SUALA LA USALITI ANALIONGELEA SANA UPANDE MMOJA KWA WANAUME WKT WANAWAKE NDIO WANAONGOZA KWA ASILIMIA 99 KWAUSALITI KWAWAUMEZAO
@MunasAcademy
@MunasAcademy Ай бұрын
More love
@zayshabani5664
@zayshabani5664 11 ай бұрын
Allah akulipe
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 11 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah
@naharhaji639
@naharhaji639 11 ай бұрын
Asante sana madam yaan mm nlijua nikikaa kimya t nd ataelewa lkn kumbe apana ntajitahid nimwambie kwanza ndipo nikae kimya
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht Жыл бұрын
shukran hata mie nmepata kisomo hapa
@TaarabChannel
@TaarabChannel Жыл бұрын
Pitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤
@AsminEmmanuel
@AsminEmmanuel 3 ай бұрын
Mimi nilimfumania mume nichoambulia nikipigo halafu akafanya kama kahalisha hili jambo na na akaharibu mambo mengi ila nimezaa nae najikuta nashindwa kusamehe kwakuwa sijawahi kumsaliti linaniuma sana na wazazi wake wanamsaidia. Naomba ushauri dada
@badalichauchau6983
@badalichauchau6983 3 ай бұрын
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
@ruweidamohammad3020
@ruweidamohammad3020 2 ай бұрын
Inauma sana 😢😢
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 4 ай бұрын
Duh.. sielewi kabisaaaaa
@KuvunaGonda-l4f
@KuvunaGonda-l4f 11 ай бұрын
Umesema kweli daa
@ChukchukName
@ChukchukName 5 ай бұрын
Mashaallah
@JumaNgasinda
@JumaNgasinda Жыл бұрын
Kiukweri dada unazungumza vizuri ,lakini jambo la ndoa ni jambo la kihisia na kimwili na sio jambo la kiroho ,na kesi za ndoa sio kesi za kupeleka kwa baba au mama ,muhimu ni wanandoa ni muhimu kwa wanandoa kuelekezwa namna ya kuboresha ndoa zetu ,na bila ya kusahau tukumbuke ktk mahusiano wa kwanza kupeleka kesi nje ndio mkosa ,muhimu mtu akikukosea ww lenga sababu ,kwanini amekusality huenda ww ndio umemfanya mwenzio akusaliti.tukumbuke daima ndoa ni jambo linalotakiwa kuendesha kiakili na kihisia ,tukizingatia hapo tutaishi vizuri ktk mahusiano ya kijamii na ndoa pia ,tukumbuke daima ndoa sio jambo la kiroho.asilimia 99 kesi za ndoa zikipelekwa kwa watu huvunjika.tuwe makini kuishi mtu ni kujitolea muhanga .
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Kuishi na mzinifu ni kutafuta magonjwa
@alawimohd
@alawimohd 10 ай бұрын
Tena magonjwa ya moyo na magonjwa ya ukimwi na kaswende
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 10 ай бұрын
@@alawimohd Sana
@MariamObote
@MariamObote 5 ай бұрын
Uyu mama anaongea anajimaliza yameshamkuta kweli?
@a.856
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@TaarabChannel
@TaarabChannel Жыл бұрын
Pitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah 4 ай бұрын
​@@TaarabChannelwatu wanaangalia na kisikiliza mambo mema Inashawishi channel yako waone mambo ya laana huogopi muumba wako Human haya hujui vibaya Sheytwani unampa cheo
@IbrahimSalumu-r6l
@IbrahimSalumu-r6l Жыл бұрын
Jamn kma muislam unazijua hukum z ndoa n sheria zake pamoja n hukum y mzinifu alieoa n ambae hajaoa huwezibi kulumbana juu y hili jambo wasie n elim n hilo jambo wanakuaga nwachambuz wazur n wabishi sana nadhani mwenye elim n haya hawezikua mwenye kupinga zaidi kuelekeza kw busara n hekima mwenye kuelewa falhamndulilah
@FatoomaFatooma-h8s
@FatoomaFatooma-h8s 4 ай бұрын
Shukuran San mama
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 Жыл бұрын
Shukran my dear sister leyla ❤
@TaarabChannel
@TaarabChannel Жыл бұрын
Pitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤
@kazungukakiyo
@kazungukakiyo 11 ай бұрын
@@TaarabChannel ,kwani unalipi??faida ya Akhera au hasara ya Moto
@TaarabChannel
@TaarabChannel 11 ай бұрын
@@kazungukakiyo utayaangalia wewe sabasi mayubu usikucha aibu
@NasraMohamedi-e8m
@NasraMohamedi-e8m Жыл бұрын
Shukran sana
@HarunakiongoziMohamed
@HarunakiongoziMohamed 2 ай бұрын
Unaushahidi
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 3 ай бұрын
Kwani Allah ameeka msaliti/mzinifu alooa afanywe nn? Apigwe mawe mpaka kufa ssa Allah hakufikiria wtto itakuaje? Hii kujipangia na kutokumuamini kua Allah ni mueza wa kila jambo na ndio mwenye kueka wepesi penye mazito ndio inayofanya w’me wamekua wazinzi kupita kiasi. Unamfumania unadai talaka hataki kutoa unaendelea na maisha yako na Allah atakufanyia wepesi. Kwa sbbu kiisilam huyo anakua ni mfu.
@aboubakarjimmy5465
@aboubakarjimmy5465 4 ай бұрын
Assalam alaikum wa Rahmatullahi wa Barakaatuh. Apo mwanzo mlituonyesha baadhi ya Dali zikidhihirika kwa upande wa mume ima wa mke ikatosha kushtukiya kuwa mwenzi wake Kamsaliti. Sasa apa imefikiwa kipengele cha kushika uwamuzi baada ya kusalitiwa. Naona umejihusisha saana na Hatuwa aweza zikamata mwanamke baada ya kusalitiwa na mumewe. Zipi sasa Mojawapo mwa Hatuwa Aweza zikamata Mume baada ya kusalitiwa na Mkewe ???
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po Жыл бұрын
Tatizo la wanawake wengi mnatuhitaji zaidi wanaume kuliko mahitaji ya wanaume huo ndo ukweli
@RosyKaemdin
@RosyKaemdin 10 ай бұрын
😂😂😂😂 wengine wanafikia hatua had kuoa wanaume ndo Kila kitu kwao Yan mtu anaona huyo mwanaume ndo familia ya pekee aliyonayo utafikir alipotoka hakua na familia.. waswahil wanasema anaekulisha ndo huyo huyo atakaekushindisha njaa
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 5 ай бұрын
❤❤❤
@charleslupenza3879
@charleslupenza3879 Жыл бұрын
Kimsingi sijapaona pahala Laila Alienda TOFAUTI na misingi ya UISLAM. LAILA ANAELIMISHI NA KUSHAURI. TUWACHE ATUMIE KIPAJI CHAKE TUSIMKATISHE TAMAA NAFASI HIYO HAIPO. BINADAMU NYIE HAPANA NA NIKISEMA ROHO YA HUSUDA HIYO SIKOSEI. MWACHENI LAILA
@muridundhikri
@muridundhikri Жыл бұрын
Katika uislamu ukifumania kwa ushahidi jambo linalopewa kipaumbele ni kuacha
@badalichauchau6983
@badalichauchau6983 3 ай бұрын
Ngumu kumeza hiyo
@ZagazagaTanga
@ZagazagaTanga Жыл бұрын
Yawesekana wanawake ndio vichaa ndio wanaharibu familia mara nyingi undani wamambo yamejificha je mwanamke kimfumania inakuwaje sema unajaribu kusema wanaostahiki ninani nanini cha kuomua hadisi katika ndoa sio kweli wanawake ndio waharibifu wafamilia
@TaarabChannel
@TaarabChannel Жыл бұрын
Pitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 23 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪👍🤝❤
@swalehsalim5569
@swalehsalim5569 11 ай бұрын
Kwani mwaowana nyinyi twaona wengi wamewekana tuu
@MariamAlly-hk7io
@MariamAlly-hk7io 5 ай бұрын
Kwa I hatujui dini Wajua wewe yu
@AbimeleckRichard-hy1mw
@AbimeleckRichard-hy1mw 11 ай бұрын
We wajaze ujinga, wakiufuata 100% watjijua
@abdullahsaid4072
@abdullahsaid4072 10 ай бұрын
Aslm aleikum dada nmekuelewa ila mm Kama mwanaume hapa umechemka sana na nahisi wanawake wakiiskia hii habari yako bc talaka zitaongezeka Sababu mm Kama mwanaume sifuati kupendwa na mwanamke Mm nataka mke anaenikubali sana katika maisha hasa katika kua kiongozi wa family kuwa provider kulikubali jasho langu katika utafutaji na kuifurahisha family pia Nafuata wema wa mke na ukarimu wake kwangu Kuniheshimu pia Hayo mengine ya kwako yatazalisha ushindani na yatamfanya aone mm anaweza kunidhibiti kwa adhabu na mwanaume ukishindana nae ndio unamfanya azidishe anachokufanyia Na unachomnyima atarudi kwengine atakipata kwa mapana So hamna dawa hapa kwa mwanaume tafuta nyengine au tuulize cc jinsi YETU tutakwambia
@hawamohamed5584
@hawamohamed5584 5 ай бұрын
Kuacha uzinz aaaah
@AkitakaHuwa
@AkitakaHuwa 11 ай бұрын
Hapana dada kuomba taraka ni haramu
@FatumaMuzamil
@FatumaMuzamil 7 ай бұрын
Dada mm nimefumania kiukwel sikufanya kitu niliamua kuondoka na nikawaacha na mambo yao,alipo rud sikumwambia kitu ila dada haluwa na haha
@AmriAmri-hy6sg
@AmriAmri-hy6sg Жыл бұрын
Hamnaga heri mtu anajitoa kwakile alichonacho atuelekeze nyie wasomi mpo kimya kukosoa2
@TaarabChannel
@TaarabChannel Жыл бұрын
Pitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤
@NasraMohamedi-e8m
@NasraMohamedi-e8m Жыл бұрын
Yaan comments usitegemee chanya tu wengine ni wabishi waasili,,but naamini hazitomyumbisha mfundishaji
@namisunasuleiman8728
@namisunasuleiman8728 Ай бұрын
shida inakuja hata huyo msgenga unamwambia ila inafika wakt anakucheka pia kiufp mtu kaa na lako mtu upambane nalo
@nasramusaro
@nasramusaro Жыл бұрын
Lakini hapa unataja usaliti na pia unataja uoaji hii imekaaje? Na pia dini imeruhusu wake mpaka wanne
@EgallSamsam
@EgallSamsam Жыл бұрын
Mi naona bora nikimfumania naenda muita Imamu namfungia ndoa kwani sitaki usinzi iliakome kuzini
@mamii7935
@mamii7935 Жыл бұрын
Msaliti ni mume au mke alie kwenye ndoa Kisha akachepuka ndo "usaliti"
@TaarabChannel
@TaarabChannel Жыл бұрын
Pitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤
@TaarabChannel
@TaarabChannel Жыл бұрын
​@@EgallSamsamPitieni na kwangu ka videos na shorts zakusisimua ❤❤❤
@rehemajuma5559
@rehemajuma5559 2 ай бұрын
A,aleykuh, km ndo hivyo uqty wanaume wote wana hiyo mamy sickness maana wanaume wote kasumba yao kubwa ni sisi wanawake kutupendanda,Mi nikimfumania mwanaume solution solution nnayo mwenuewe wala simshitaki kokote.
@kalamuMedia
@kalamuMedia 2 ай бұрын
IPI hiyo rehema
@kalamuMedia
@kalamuMedia 2 ай бұрын
Waalaikumussalam warahmatullah
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 11 ай бұрын
Mtu unatakiwa usome kwanza kwamza ndio usomeshe, usiingilie mambo ya dini km hukujui, dini inapatikanwa kwa kusoma n sio kutumia akili. Tudikurupuke tu haswa sisi wanawake, tunatakiwa tujistiri n tusijianike, m Mfano himu mitandaoni
@HanifaJuma-c9t
@HanifaJuma-c9t Жыл бұрын
Swadka
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 11 ай бұрын
Dada yangu nakushauri kasome dini, kwa sababu umeelezea vitu vinaenda kinyume kabisa na dini. Km mtu hujui bora nyamaza na jikubalishe kia hujui ili ukajifunze, Na sio ukajiona unajua kwa udhoefu wako ukapotosha watu. Mwisho Tuma muomba Allah atuongoze sote na atujaalie elimu yenye manufaa.
@nuruhassan9707
@nuruhassan9707 11 ай бұрын
Naomba unukuu point moja aloieleza inayoenda kinyume na Dini?Niko pale nasubiri jibu lako
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 11 ай бұрын
@@nuruhassan9707 Mwanamke haruhusiwi kumnyima mumewe tendo la ndoa, Mtume swalallahu alyhi wassalm Amesema mwamke atakae itwa n mumewe kitandani kumtakata kufanya nae tendo la ndoa halafu mke akamkatalia, basi hulaaniwa na malaika usika mzima.
@nuruhassan9707
@nuruhassan9707 11 ай бұрын
@@zulekhaa6817 Soma uelewe,usikariri,unajua moja ya mambo yanayoweza Fanya mwanamke ajivue Ndoa?Jibu hilo afu ntakuelewesha namna alichosema madam kinavyooana na sheria ya kiislam
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 11 ай бұрын
@@nuruhassan9707 Mtu akisema kweli anambiwa anakariri. Mm sishindani, na mlengwa sio ww, Ww unataka kuongea yako ungea Ila usihalalishe lililo haramu. ,
@ziadajoisa8752
@ziadajoisa8752 2 ай бұрын
Kiukweli usaliti unauma. Wanaume wanatumia uzaifu wetu katka Imani.​@@zulekhaa6817
@JumaNgasinda
@JumaNgasinda Жыл бұрын
Ndoa ni jambo la kimwili na akili ni muhimu zaidi kuwapelekea wataalam ndoa mean wanasaikolojia lakin sio kuwapelekea watu wa kiroho ,hapo kuferi lazima.twaambiwa hivi kuishi na mtu inabidi uishi nae alivyo ,ila kumpenda mtu inabidi umpende ulivyo.so hauwezi kumpenda mtu alivyo utaferi ,maana watu huwa tunabadilika utamkataa,so ndoa ni jambo la akili ,tuwe makini na mafundisho munayo tupa
@AkitakaHuwa
@AkitakaHuwa 11 ай бұрын
Dada umesimama kama muubili wa kiisilam lakini mamemo yako hayana hata aya wala hadithi yaani unatoa mawaidha kulingana na maono yako na mitazamo yako mmmmmm jamani
@jamilakhamisshaaban4752
@jamilakhamisshaaban4752 4 ай бұрын
Huyu mwana saikolojia sio muhubiri wa kidini kwa undani
@AkitakaHuwa
@AkitakaHuwa 4 ай бұрын
Ukiangalia hapo chini nilimwambia kuomba taraka ni haram sikatai ukisemacho lakini tuwaangalie wale wanasekorojia wa kikiristo kama akina Joel nanauka huwezi kuona anaruhusu kitu ambacho kimekatazwa na dini yake bali mada yake inakuwa inaendana na mafunzo ya kikiristo lakini sisi kwa wanasekorojia wa kiislamu hawalindi mipaka ya dini yao
@HadiaKhamis-bs9px
@HadiaKhamis-bs9px 3 ай бұрын
Huyu ni psychologist sio mhadhiri, jua kutofautisha
@SelemaniJuma-f9l
@SelemaniJuma-f9l Жыл бұрын
Huyu mwnamke hajielewi anaongea kufuru kumbe mtume wake ni kichaa ipi hukumu hii mpaka muumba wake anamtoa akili
@kazungukakiyo
@kazungukakiyo Жыл бұрын
Wapi kakufuru eleza ,,kwani kichaaa si niugonjwa tuu,,, au kamunasbisha wapi na muumba wetu. Una FAA upelekwe muhimbili.
@nuruhassan9707
@nuruhassan9707 11 ай бұрын
​@@kazungukakiyoAmekariri uyu mjinga,ulicho muuliza Hawezi kukujibu
@ibrahimmalabeja3692
@ibrahimmalabeja3692 11 ай бұрын
Mie naona Madam Leila yupo vizuri tu. Kwa kuwa anachotoa ni Ushauri Kwa jamii nzima (waisramu na wasio waisramu) M/Mungu akubariki Sister. Japo muda mfupi tangu nimeanza kukufatilia lakini naona manufaa makubwa Kwa jamii itakayochua Ushauri wako.
@Zainabuabdalah-vw1xw
@Zainabuabdalah-vw1xw 2 ай бұрын
❤❤❤
Mkeo akifanya haya muache - Leilah Aboubakar
13:14
Kalamutz
Рет қаралды 60 М.
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
Ndoa na Umuhimu Wake.Kutoka kwa Madam Leila Abubakar
1:13:17
Al Noor Online Tv
Рет қаралды 10 М.
SIFA HIZI ZINATOSHA KUMTULIZA MUME
20:12
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 80 М.
SAIKOLOJIA YA MWANAMME
53:34
Elmi TV
Рет қаралды 46 М.
Njia rahisi ya Kuitambua Siku ya Kubeba mimba
13:03
Topten Tv
Рет қаралды 3,3 МЛН
Rafiki ni Sanda au Chanda | @MadamLeilaAbubakar
32:55
Radio Nuur Tanga
Рет қаралды 4,8 М.
Ufanye nini ikiwa umesalitiwa na mtu uliyemwamini sana
4:45
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 4,7 М.
KUMNYIMA HAKI YA NDOA NI UKATILI PIA (HUBBUL HALAL)
29:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 10 М.
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН