Рет қаралды 223,555
IBRAHIM CLASS vs DENNIS MWALE: Mtanzania, Ibrahim Class ameibuka mshindi wa mkanda wa WBF Intercontinental Super Light Weight baada ya kumchapa Mmalawi, Denis Mwale kwa pointi kwenye pambano la raundi 12.
Shughuli imefanyika #NextDoorArena Masaki, Dar es salaam.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz