MNASEMA TUKAANGALIE MFUGALE, MBONA MBALI RADAJA LA VETA MBONA LIKO VIZURI SANA NA SERIKALI NI HII, HILO LIMETANULIWA KATI SABABU MWENDOKASI ZITAPITA HAPO CHINI...
@aminatanzanya74752 жыл бұрын
Safi tz inaendelea sas
@barakarobert10292 жыл бұрын
Zimejengwa chini ya kiwango sna ebu pita mfungale au pale ubungo ndio utajua wabongo hatuna wazalendo
@johnmlay47592 жыл бұрын
Ubungo na mfugale Kuna nini ndugu embu elezea ili ambao hawapo maeneo hayo waelewe hoja yako
@berthatz2 жыл бұрын
@@johnmlay4759Ubungo(Kijazi flyover)Mfugale flyover zimejengwa kwa viwango sana tofauti na hiyo mpya ya Kamata..Ndo alichomaanisha huyo mdau.🤝
@johnmlay47592 жыл бұрын
@@berthatz na pia zimejengwa na kampuni tofaut na Hawa wanajenga brt phase 2 na 3 ambao ni sinohydro
@modestwenceslaus9 Жыл бұрын
Ebu wakati mnaleta comments zenu kuhusu viwango au ubora wa kazi za ujenzi katika maeneo husika karibuni Kuambatanisha na vielelezo husika ikiwepo michoro ilikuepuka kutulisha Matango poli,
@hajimgwami5224 Жыл бұрын
HALIJAPINDA KWA BAHATI MBAYA LIMEPINDISHWA COZ MWENDOKASI ZITAPITA HAPO CHINI NA HAZITAPIA JUU, SAA ZINGINE MUWE MNAFATILIA TAARIFA ZA SERIKALI SIO KUKAA KULAUMU TU, JPM, JPM MFATENI BASI....
@modestwenceslaus9 Жыл бұрын
Asante Sana kwa ufafanuzi mzuri na Daraja bado ni bora Sana kwa matumizi Isipokuwa baadhi ya Watanzania kila kitu kinachofanywa na Serikali wao kazi yao ni kupinga tu,sijuhi ni shetani gani anayewayuma.
@abdallamasoud7734 Жыл бұрын
Kaka Asante kwa kuaelimisha hao hata huko ulaya huaga yanapindishwa ikibidi..
@hajimgwami5224 Жыл бұрын
DARAJA LA BANDARINI PALE CHINI PIA KAMA ULAYA, WAKANDARASI UFANYA JAMBO KWA MAANA SIO MANENO TU...
@allysalehal-jaber48222 жыл бұрын
Madaraja yaliopinda baada ya kupindisha uwajibikaji.. Rushwa imeshatembea hapo, atakuja kiongozi kufungua bila aibu yoyote. JPM asingekubali aibu hii.
@elinamilyatuu7337 Жыл бұрын
Sasa wewe ndio mkandarasi?uyo unaemtaja ndio alikua mhandisi wa madaraja?acheni upuuzi
@charlesolomi95142 жыл бұрын
Huu ujenzi una vimakosa vya kuyoosha ruler lakini poa tu foleni itapungua
@kiatu Жыл бұрын
Wenyewe wanasema eti kwa makusudi 😅
@hajimgwami5224 Жыл бұрын
HALIJAPINDA, LIMETANULIWA HAPO CHINI INAPITA MWENDO KASI