Highlights | Tanzania 2-0 Ivory Coast | Kufuzu WAFCON 26/09/202

  Рет қаралды 27,345

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

KUFUZU AFCON WANAWAKE: Timu ya Taifa ya Wanawake, #TwigaStars imeitupa nje Ivory Coast kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya kupindua matokeo ya 2-0 na kufanya matokeo ya jumla kuwa 2-2.
Ni katika mchezo wa marudiano kuwania tiketi ya kufuzu AFCON kwa Wanawake #WAFCON uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Kwenye mchezo huo, Twiga Stars imepata mabao yake kupitia kwa Donisia Minja dakika ya 50 na Opah Clement dakika ya 52 kabla ya kenda kwenye matuta....
Haya hapa magoli mawili na mikwaju yote tisa ya penati.

Пікірлер: 9
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 11 ай бұрын
Tuwasupport dada zetu kwakweli wanafanya vizuri sana ❤❤❤ .. kudos to them❤❤!!
@othumanomari1589
@othumanomari1589 11 ай бұрын
Congratulations 🎉🎉
@DaudiAlliy
@DaudiAlliy 11 ай бұрын
Kiukweli sasa hivi soccer la TZ ni fire 🔥 asee, tumekaza kote kote...
@franccoz94
@franccoz94 11 ай бұрын
Huyo kipa wa stars n fire
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 9 ай бұрын
Mungu hawaongoze ktk usahihi maana mko kwenye mtihani dada zangu
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo 11 ай бұрын
Dada zetu wanajitahidi sana
@josephat66
@josephat66 11 ай бұрын
Asnt dada zetu ila nae hongera
@user-ns4cj1rf7c
@user-ns4cj1rf7c 11 ай бұрын
Azam hawana kipa kipa uyo
@mkata_umeme_kante
@mkata_umeme_kante 11 ай бұрын
Kwani Haya madem hayatombani?? Mbona yananguvu hivyo? 😮
Highlights | Tanzania 2-1 Somalia | Kufuzu CHAN 30/07/2022
16:22
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 26 МЛН
Yanga SC 1-3 APR FC | Highlights | Mapinduzi Cup - 07/01/2024
11:31
QWC 2014 Tanzania vs. Morocco 3-1 (24.03.2013)
4:54
1986soccerman
Рет қаралды 8 М.
0% Sportsmanship but it gets increasingly more disrespectful
12:27