I started to bet long ago and have to say that this is a very good additional income.
@loishiyesamwel13742 жыл бұрын
Hongera sana Taifa star, pole Mamnyeto kwa kujifunga.
@mohamedabdi98012 жыл бұрын
Farhan Mohamed you well done ✅🇸🇴🇸🇴♥️
@ikulunimahalipatakatifu76422 жыл бұрын
Ongereni sana Taifa star Somalia wamekuwa Sana kisoka na ilikuwa timu ngumu Sana.. Safi sana Sopu..
@kilogreekachananawatuwasio40542 жыл бұрын
BRAVO STAR🙏🙏🇹🇿🇬🇷✊
@malmavoice89892 жыл бұрын
Serikali inatuibia sana wananchi mpaka tunashindwa kuhudhuria uwanjani kuishabikia team yetu inabidi tuitazame mtaani tu kwenye vibanda umiza. Ila wao wanazo hata wakija uwanjani ni wachache aibu
@nakalikyumile32342 жыл бұрын
Somalia nchi yao ingetulia hakika wana "kitu katika soka" taifa stars isijisifu"taifa stars inatakiwa ijitafakari
@nayftyjumanayftyjuma75612 жыл бұрын
Taifa stars oyeeeee
@piussimtala51112 жыл бұрын
Watanzania jamani!! Sawa,hongereni!
@nakalikyumile32342 жыл бұрын
Ningekuwa rais ningepiga marufuku KUJISIFU mkiifunga timu dhaifu kama Somalia nchi isiyo hata na ligi! Kwangu washindi ni somalia
@mr.sampaelias18852 жыл бұрын
Nakupenda Sopu❤️❤️❤️❤️
@nakalikyumile32342 жыл бұрын
Yaani timu yetu bado sana, kwa aina ya soka la Somalia waje wakutane na Zambia hakika fifa itaingilia kati
@georgemadinda85142 жыл бұрын
Kwani umeshawahi kusikia Somalia kafungwa ishili, au huwa hakutani na timu kubwa?
@richardmaseke41432 жыл бұрын
Naanza kuona timu yenye mvuto Taifa stars
@mossesdazlar19512 жыл бұрын
👊👊👊nzuri iyo
@daudkhatib46782 жыл бұрын
Kumfunga. Msomali. Wala. Si. Ishuu
@abdinasirhaji2 жыл бұрын
Wats is issue 🫵
@maryjames8492 жыл бұрын
Taifa stars 🥰🥰🥰💚
@Peteredwin562 жыл бұрын
Big up
@simonzelote59982 жыл бұрын
Kibu Denis jamani pambana mbona mwili wa mpira unayo
@gynae84072 жыл бұрын
Yanga na Simba kubwa kuliko Stars
@naimunaimu23122 жыл бұрын
Tuna team nyingine yakucheza na uganda au ndo hii hii
@kabwelasutiviraka47652 жыл бұрын
Tanzania ingejiondoa kwenye michezo ya mipira ya kitaifa kwa timu ya taifa, nakujenga timu na kuwekeza kwenye timu. Somalia haina ligi ya maana na bado wamewasumbua kuwafunga , so disorganized Taifa stars walivyocheza ilitakiwa kuwafunga hao wasomali hata goli 6
@mathiasulaiti56652 жыл бұрын
Sijui hata ulitakaje
@kabwelasutiviraka47652 жыл бұрын
@@mathiasulaiti5665 naona quality ya mpira wa Taifa stars ni mdogo haziendani na resources na input zinazoingizwa kwenye mpira. Ni bora uangalia upya nini cha kufanya na nchi zingine uwa wanajitoa ili kujenga timu zao
@watotochaneltv24812 жыл бұрын
Ulichosema ni ukweli mtupu asante kwa mawazo ya ukweli ila kwa kua nchi hii ni ya wa..... wengi
@kabwelasutiviraka47652 жыл бұрын
@@watotochaneltv2481 mkuu hilo mimi nimeliona ni aibu nchi isiyo na ligi na viwanja vya maana wamesumbua sana Taifa stars
@nakalikyumile32342 жыл бұрын
Kabisa yaani,
@abubakarnabahani49942 жыл бұрын
Well done
@wilsongeorge13532 жыл бұрын
Mwamnyeto kasha jichokea hata namba pale yanga angalie xna anaweza akaivaa jobu
@mettebus12492 жыл бұрын
It’s like elephants are playing against little chiwawa’s. Somalia can’t even hold a ball for 5 seconds 😂😂😂😂
@ziadafute77702 жыл бұрын
Kapuni
@dahlainismail68372 жыл бұрын
Ndo maana tunajaza wageni kwenye ligi maana wachezaji wetu wote wamchongo
@coolzeddy_official92162 жыл бұрын
Dickson job mrithi wa Erasto Nyoni kupga penalt
@denisimaliyaweni91832 жыл бұрын
Sopuuu ni hatar
@hassanndauka96852 жыл бұрын
Hakuna mashabiki. Sisi tunazpenda simba na yanga tu. Kwasababu ya kubishana mambo ya kijnga
@papaadialoo2 жыл бұрын
Hii timu itaenda kukutana na kitu kizito zidi ya Uganda
@abelmbilinyi12622 жыл бұрын
Vijana
@antonykaswahili24472 жыл бұрын
Mwamnyeto alitaka kumjibu sopu kuwa na yeye analijuwa gori
@abdirahmanhazazi76772 жыл бұрын
Tanzania down
@zehrahaji15662 жыл бұрын
Hivyo mchezaji WA Utopolo kafanya hivyo ingekuwa majirani weeee bakari mamnyeto kafanya yake
@zaidyabdalah36912 жыл бұрын
Timu Haina lolote kabisa, na hapo ndiyo mwisho waganda hatuwawezi hata chembe, ndiyo tukome kujaza wageni katika ligi yetu wazawa hawana nafasi tunategemea nini kwenye mashindano kama haya
@deuelileonard19722 жыл бұрын
Kwani wageni ndio wanacheza au? Acha ushoga
@emmadora78482 жыл бұрын
Wazawa hawajitumi ng'oo kwenye timu ya taifa, hao hao waangalie wakiwa kwenye vilabu vyao
@asfiwemkumbwa55202 жыл бұрын
Inawezekanaje unaibeza tim yako Mungu mwema waombeee
@axmeddayib2452 жыл бұрын
Siilka hoyadin tanzania😅👎
@mnyamatv5052 жыл бұрын
UTAMU WA TANGA RAHA NDO HUU SASA kzbin.info/www/bejne/h4TXnYuQjsegnpI