Maxi Nzengeli na Clement Mzize wamefunga magoli mawili, Yanga ikishinda 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Kaitaba Bukoba, mchezo wa #NBCPremierLeague
Пікірлер: 289
@fabiandanielkatikiro147815 күн бұрын
Yeah two goals, three points... thanks God. 🏆💛🏆💛
@BimamuosmanOsman15 күн бұрын
Alhamdulillah nashukuru Mungu.. wachezaji wetu nawapenda sana wallahi mauwa yenu hayo mchukue🎉🎉🎉🎉🎉 I Love yanga ❤❤❤❤❤ God bless our team and all the players mubarikiwe sana kwa bidding yenu..l love my team yanga nyi hamuogopi ....
@novatusaloyce15 күн бұрын
Nimeipenda passion ya yanga baada ya dube kukosa goli wamemfuata nakumuambia usijilaumi bdo unaweza
@ArkamHamad15 күн бұрын
Uliwaskia😂😂😂
@BullahSambiga15 күн бұрын
Alihamdulillah kikubwa point 3
@jacksonnyoni197815 күн бұрын
Tumezoea magoli mengimengi aya mawili kama atuhashinda 😂😂
@yohanalukindo373715 күн бұрын
Ndio mwanzo wa anguko
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k15 күн бұрын
Umenenaaah
@carolimganga481715 күн бұрын
😂😂😂 Kama tumefungwa vile hivi vigoli viwili tumeshazoea 456
@Tusajigwe15 күн бұрын
Tena mmeshind kwa mbindeee😂😂😂
@EvahTendwa15 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@johnsonchonja403215 күн бұрын
Mzize ni mpambanaji sana,
@daggerslick15 күн бұрын
Saiv tulikuw tunaongelea 5g anyway muhimu point tatu yanga bingwaaa💚💛🔥
@AmaniMasingot15 күн бұрын
jaman mashabiki tuwe watu mpila ebu tuwe tunarizika na ushindi wowt kikubwa haijapoteza na point 3 mkononi sasa mnataka yanga awafanyie nn il mlizike? kiukwer inanishangaza kwakuraumu!!!!!!!!
@hamooummar729815 күн бұрын
Umeongea point, ss kama bao zmeptkana mbili na point tumepata tatu kma ipaswavyo, tunafaa kjua c Kila mechi tutapata mabao mengi kama mnavyotka, ikitokea timu imeingia kwenye mfumo atakula tano mashabik mfurahi zaidi, ila huu pia n ushindi wanachi tuwe wamoja ndo kwanza tumeanza🎉
@rehemarehema747515 күн бұрын
Yanga juuu zaindi sana tukopamoja nawapenda sana❤❤🎉
@hoithamacha150315 күн бұрын
Hongerani sana yanga
@ZuhuraTwaha-u5n15 күн бұрын
Sio matarajio yetu yamagor 2 tulitegemea 5 Leo, ila tunashukulu tumeondoka n point 3 💛💛💛
@MagdalineMambo15 күн бұрын
Asanteni wanangu kwa kazi nzuri mliyofanya, Mwenyezi Mungu uwabariki sana. Kagera suger kuwa wanapenda sana kupania yanga, Uchawi wao wanaoufanya dhidi ya Yanga umewarudia wenyewe.Thank you god for your protect my team Younger African, Amen Amen🎉❤❤❤❤
@chachabonface778815 күн бұрын
Mzize is turning into a beast in front of goal.....I guess the coming of Dube has made Mzize up his game....
@user-zu9hs2dr8s15 күн бұрын
kweli mzize ni traika namba1 ligi ya tanzania kwa sasa. muchi respect mzize anataka kubisha na abishe nimemaliza
@mtulivu-ir1nq15 күн бұрын
Yanga alipoteza nafasi nyingi alikua na uwezo wa kushinda hata 5
@sangaelly854815 күн бұрын
Uwezo mdogo sana matano ingekuwa ngumu kufunga
@mohamedally159415 күн бұрын
Asingeweza
@mwajumampokileomckapela754115 күн бұрын
Kagera wagum mno yanga wamepambana mno💚💚💚🖤💛
@gregory616515 күн бұрын
hapana tumepoteza nafasi nyingi sana za wazi, timu inayoitwa ngumu ni ile inayozuia wewe kutengeneza nafasi,
@jamesmwita299515 күн бұрын
Mzize bonge la mchezaji
@TwahirAbdalla-j1e15 күн бұрын
Dube leo hana bahati😢
@KhamisAli-o9r15 күн бұрын
Uwanja ni mzuri ❤
@tumwitikemanda760115 күн бұрын
Kagera sikuzote pagumu tumshukuru mungu kwa ushindi
Nimesikitika sana yanga kushinda goli mbili yan kama tumefungwa
@sadahamad615815 күн бұрын
Tumeshinda lakin hatuna furaha 😂😂😂 goal 2 kweli yanga bingwa yanga tamu yanga rahaa ww huogopi 💚💛💪
@mrmartinipaul246415 күн бұрын
Azam naa nyie ifike kipindi muche ushamba TUWEKEEN LIVE KZbin ISIYO NA MASHARITI BHNA KWANI SI TUNATUMIA MB ZETU NANYIE MNAPATA FAIDA YA VIEWER AU🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@Shebe_traLove15 күн бұрын
Kbs uko sahihi sijuwi kwa nini wako ivo chinchii za Waarabu wana weka live you tube
@PeresWatson15 күн бұрын
Nafikiri Wako kibiashara zaidi kwani wakifanya hivyo itaathiri soko lao la visimbuzi bro
@Almas12015 күн бұрын
Ni biashara kuna azam max online mnaweza angalia huko
@SamDevo-wy1cx15 күн бұрын
Hap nakubar uko sahihi
@Tee-King14 күн бұрын
Maisha ayako hvyo ligi inalipiwa kuuza matangazo na azam na sio KZbin ulisha ona wap dunian mpira live unaonyeshwa KZbin. Watu watalipaje ving'amuz labda ingekuwa ni mpira uzaminiwe na serikali.
@qflavreeds15 күн бұрын
Any South African here watching 👀?
@jabu733815 күн бұрын
Mfethu Clement Mzize and Pacome ZouZou yho😮😮Top players
@AmidaMangota15 күн бұрын
Kikubwa point 3
@harunichambo465815 күн бұрын
Wakwanza apaaah likes za kutosha tafadhali😂😂 kwaniaba ya super sub Mzizeeeeee😂😂😂
@juster547815 күн бұрын
Amjui izi timu ndogo zinavotupaniaga sasa cha msingi tuna point 3mkononi
@KarokiaNdirango-lj3wf15 күн бұрын
Ushindi ni Ushindi tu hata gori 1 like za mzize ndonizi hapa 😂😂😂😂
@user-ig4kv9sk9o15 күн бұрын
Magori mengi tutapata mechi zingine tukumbuke kiwanja Cha Kagera kigumu Sana tushukuru tumepata point tatu
@ismailmasoud600115 күн бұрын
Halafu tungewafunga 8 MAKOLO wangesema tumenunua
@josephlorri43115 күн бұрын
Team la makolo bovu.. kuna kolo anasema kagera wamedhaminiwa na GSM@@ismailmasoud6001
@UmmyMsafiri15 күн бұрын
Kila kitu ni riziki tuwaombee wasipoteze mechi badi
@williamsilvester522015 күн бұрын
Mzize clement
@ZenaIbrahim-c5d15 күн бұрын
Yanga kazi nzuri
@francisjames378515 күн бұрын
Like za Mzize Hizi hapa😂 Persistence Positioning Finishing
@tevintevin625415 күн бұрын
KAgera wanatukaziagaa sana bukobaa
@luganopondo176315 күн бұрын
Best player maxi nzengel
@davidweston235215 күн бұрын
Simba kutoka kileleni mtasubiri sana
@abdullahhashimu238015 күн бұрын
Utajua wewe
@LatifaCharles15 күн бұрын
Ajatajwa simba apa punguza mihemko nan kakuuliza sasa?😅😅😅😅😅
@abdulkarimabdallah953615 күн бұрын
Usikimbie lkn
@mohammedkidody561814 күн бұрын
Kabisa yn❤❤❤
@naimasbuguza239515 күн бұрын
Mzinze kaliamsha dude ana mwambia dube ubaya ubwela
@user-ye7wj8gz1l14 күн бұрын
Kagera hongera watitegemea watafunga 6 lakin kimewalamba kwa mbili
@GracieTyno14 күн бұрын
Kwahiyo unawaonea wivu wenzio kupigwa tano kama wewe😂😂😂😂
@Baba-JJ15 күн бұрын
Kweli uchawi upo kwenye mpira, sio kwa kukosa huku kwa Dube.😂
@NtamamiloGibson15 күн бұрын
Kwani alipokuwa Azam ilikuwaje, si hivyo hivyo.
@yuppiesherman521315 күн бұрын
Mzize is the best player
@hansimwamwezi371715 күн бұрын
Hi mechi ilikuwa ya kushinda goli 7 mmezingua sana
@jamesmartin702615 күн бұрын
Kipa wao ni man of the match. Aliwaokoa sana
@klinsmann762715 күн бұрын
Ila sioni shida na dube ....zote shot on target
@pappilonfar15 күн бұрын
Yes kwel kbs n bahat mbaya tu ya game moj moj
@husnmjuba497815 күн бұрын
🙀🙆🏿♂️Huyu mzizee au jiini shkamoo mzize!
@pettermollel253114 күн бұрын
Mzize ❤ on 🔥
@nasonchisota624115 күн бұрын
Clear chances wamepoteza yanga, imeniuma sana
@errydeo886515 күн бұрын
Sio kila chances lazima yawe magoli!
@mohammedkidody561814 күн бұрын
Bado hujasema na utasema😂😂😂
@Masengo-su3mf15 күн бұрын
Kwa wana kigoma mwijaku atuhambiye muyo bozi iko wapi
@salimobeid147015 күн бұрын
Mzize niliwa kusema ya kua ukiweza kutumia nafasi tu hakuna kwa sasa mshambuliaji Africa nzima anaweza akakusogelea ni hilo tu nafasi Tatu mbili tumia utakuja kuona jiweke busy kwenye ufungaji na sasa unaona ulivokua hutupi nafasi safi sana mwana
@shijamakoye601315 күн бұрын
Mmmmh huyu Dube Leo kawa debe tupu sio kwa kukosa nafasi za wazi hivi harafu 3 zote daaah
@ishengomankoko829215 күн бұрын
Mzize ni mtu na nusu aisee
@sebastiansalamba31315 күн бұрын
Leo yanga chini ya kiwango
@danken415315 күн бұрын
uyu dube arudi Azam
@user-rz4mi8og1w15 күн бұрын
Watakiwa umsifie kipi nasio kumlaumu debe
@user-rz4mi8og1w15 күн бұрын
Kipa amefanya kazi yak
@BilaliBilaliamri15 күн бұрын
Namba 6 imetuangushag sana aucho leo amezidiwa kwa kiwango kikubwa mno, yaan ameshindwa kuchezesha team hata ile sab ya mudathir ilifanyika kimakosa aloetakiwa kutoka ni aucho, ilitakiwa aingie abuya au aziz andambwile,
@kolosii435115 күн бұрын
Mimi nimeona wamecheza vizuri sana wote. Ila Dube kidooogo leo katuangusha. Inabidi azidi kutulia.
@gerkombo651215 күн бұрын
Mzize nimeanza kumuelewa
@LeylaSaria15 күн бұрын
Nimeamn uchaw upo sy kwa magoli hayo yaliyokoswa😂😂
@Prince7850.15 күн бұрын
Kwa yanga mnasema uchawi kwa simba mnasema timu mbovu
@user-bn8km3fu1y15 күн бұрын
Mashabiki wa yanga tuwe tunaridhika,tulichokua tunahitaji zaidi ni point 3,intosha,hongereni wachezaji na mungu aendelee kuwapa nguvu zaidi ya kushinda mechi zinazofuata 9:26 9:26
@ismailmasoud600115 күн бұрын
Kweli Mpira sio NYAU, Yaani tumekosa goli 8 za wazi..duh
@erickmsaki938315 күн бұрын
Dk za jioooooooooooooooooooooooooooooooooooooni
@LevoBadiboyBernard15 күн бұрын
We huogopi
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k15 күн бұрын
Sijafurahiwa na matikeo kabisa, maan kushinda kwetu goal 2 ni mambo ambayo sijazoey Mimi
@DavalsonMarlony15 күн бұрын
syo kla mara nkushnda t kna mda walfeli
@LatifaCharles15 күн бұрын
Kafunge ww uwanjani kwako kama hujafurahia ww kufikisha mbili mpk mchuzi wa pweza unaanzaje kusema hvy?😂😂😂😂
@mohammedkidody561814 күн бұрын
😂😂😂😂bd hujasema asaa na utasema
@user-kq1dz2jh2j15 күн бұрын
Wananchiiii 💚💛💚💛💚
@MchungajiNzelani15 күн бұрын
Hawana furaha
@rajabrwambow966015 күн бұрын
Da aisee dube magoli aliyokosa Leo ni balaa
@jamesmartin702615 күн бұрын
Kakosa lakini kipa wao alicheza vizuri sana. Goli 2 si haba
@malietamaliet15 күн бұрын
Aziz na dube Leo hawakua vizuri kiviile tulivyowazoea ila alhamudulilah tumeokota point 3 hivi asisit ya goli la max ni ya pacome ama naona vibaya??
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA15 күн бұрын
Si kweli Ki aziz amekuwa bora sema yale magoal aliiokosa pakome ,dube three goals ndio shida
@salimmalaka25615 күн бұрын
UTOPOLO TIMU LENU BOVU HAMNA TIMU NYIE
@salamSalehhhhh15 күн бұрын
YAANI MAVI MATUPU
@Mobmob201315 күн бұрын
Kolo Kama kolo unateseka Ukiwa wapi? Kila mtu ashinde match zake
@latifamangula679815 күн бұрын
Tafuta yako iliokuwa nzuri pambana na hal yako
@nicholousmtemi390215 күн бұрын
@@salamSalehhhhh Leo kagera alikua na bahati ya mpra kipind cha kwanza tu angefungwa goli zaidi ya nne
@GIRIKIARSENAL15 күн бұрын
Mmeshindwaje ngao ya jamii?
@bsmonline848215 күн бұрын
Kagera wamekuwa na zali tuu zilikuwa kamba kama 5 au 6 hivi
@NickolasNkeza15 күн бұрын
Mimi huyu mtangazaji simpendi akitangaza mech huwa haiwi na magoli mengi anagundu
@TeddyMsafiri14 күн бұрын
Unalolote
@mohammedkidody561814 күн бұрын
😂😂😂
@GracieTyno14 күн бұрын
Kweli,akotangaza gharib ndo unyama😂😂😂
@sakuvedoh_369615 күн бұрын
Wamaliziaji shida.. first half...
@subiramussa142815 күн бұрын
Leo kama tumefungwa😢
@HamisiSamweli15 күн бұрын
Yanga kichwa kila wakat
@AlexMbena-z8s15 күн бұрын
Sema Azam tv kidgo mke zoom camera .naona iko mbli kidgo
@jellysazaina849115 күн бұрын
Kiwango ndo mwisho apo usishangae ndug yetu
@soudyruge-fi9xv15 күн бұрын
Hii yanga inanifanya nisahau kutafuta hata mpenzi
@MchungajiNzelani15 күн бұрын
Wameshinda lakini hawana furaha timu imecheza hovyo semeni ukweli
@matrida.lunyilija519615 күн бұрын
@@MchungajiNzelanina nyiye kagera c ndo huwa mnafungwa nae
@nicholousmtemi390215 күн бұрын
@@MchungajiNzelani tunakosa furaha kwa kuwa wamekosa magoli mengi sio wamecheza vibaya
@Java-king25515 күн бұрын
Dakika za Jiooooooooooooooooooooon😅😅
@user-tk2hd2eh1q13 күн бұрын
Kwa nini simba amehangaika kutafuta wa kucheza nae mechi ya kirafiki hadi Sudan hakuwaona Yanga au ndio kutafuta mnyonge hata hivo kashindwa kupata matokeo
@YohanaMwàkifuna15 күн бұрын
Dule leo katuua maana atujamzoea ivo
@zeddymourice424915 күн бұрын
Siku haxifanani
@mkariwanyota522215 күн бұрын
👊👊👊👊👊👊👍👍👍
@albertvalentino13015 күн бұрын
Hongera kabombe ---- Hata hivyo,natamani kujua utaratibu wa nani atangaze mechi gani --- Huwa mnaomba au mnapangiwa? Kama mnapangiwa, kuna uhusiano gani na wewe kutangaza mechi nyingi za Yanga na Mpenja kutangaza za Simba " mnatuboa "
@malietamaliet15 күн бұрын
Leo dube hatrick angeondoka nayo kocha akae nae nikama kiwewe Cha kutaka kufunga Kila muda imeanza kumuingia akiwa hivi atajitafutia tu presha😢😢
@kudramzee576915 күн бұрын
Ilikuwa suala la muda tu hatimaye wamekaa
@LAFAELYPATA15 күн бұрын
Yanga juuu
@SuzyJohn-rd8vz15 күн бұрын
Utopolo mnalilia nn sasa tukiwambia vitaroo ni friji bovu mnabisha hata sasa fungen nahio kagera bao 6 msimu huu ni ubata ubwela
@samwelikikoti733115 күн бұрын
we si ulikilula mkono au
@simbamwerisimba859415 күн бұрын
Sio vitaroo ni Vital'O mbumbumbu wew
@Johnethan202115 күн бұрын
Lkn kagera kaonyesha uwanaume co nyie mlipanua tunajiingizia tu bila shidaaaaaa au umemisiiiiiii🤔🤔🤔🤔
@Nzota50ty15 күн бұрын
Ww huogopii yn ligii bdo mbichi halfu vitalo km ww tu nyie km mbwa jike yanga mbwa dume anajipigia tu😂😂