C.D Primeiro de Agosto 1-3 Simba SC | Highlights | CAF Champions League 09/10/2022

  Рет қаралды 1,082,452

Azam TV

Azam TV

Жыл бұрын

Simba SC wameendelea kuwa mwiba ugenini baada ya leo kuitafuna C.D Primeiro de Agosto ya nchini Angola kwa kichapo cha mabao 3-1, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja 11 de Novembro
Magoli ya Simba kwenye mchezo huo yamefungwa na Clatous Chama, Israel Mwenda na Moses Phiri huku De Agosto wakipata bao lao pekee kwa penati iliyopigwa na dago.

Пікірлер: 354
@daddybenny
@daddybenny Жыл бұрын
Wakimataifa gonga like..
@youngkidor3296
@youngkidor3296 Жыл бұрын
😄😂😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@alphonsfabihan9435
@alphonsfabihan9435 Жыл бұрын
🦁🦁🦁🦁🦁🦁nguvu moja
@maurim.5172
@maurim.5172 Жыл бұрын
Uruguay✌️
@yasinsalih592
@yasinsalih592 Жыл бұрын
Big difference between Simba and Yanga. Love from Sudan we support u Simba
@zuhuraadinani5452
@zuhuraadinani5452 Жыл бұрын
We love you guys!!
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Thanks bro for the wonderful wishes. It’s obvious that Simba are among the giants and tremendous club in Tanzania and Africa when it comes the issue of football. The other ones jokingly known as UTOPOLO are just escorts in all international games they participate..
@officiallcoolest_khid3223
@officiallcoolest_khid3223 Жыл бұрын
@@noelbryson7840 🤣🤣MAKOLO
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
@@officiallcoolest_khid3223 Shida yako ni moja tu, unashabikia timu mbovu, kila mwaka hata makundi hifikagi..
@yasinsalih592
@yasinsalih592 Жыл бұрын
@@noelbryson7840 I know how u guys feeling because we have a team here called Al Merrikh and they behave just like Yanga.
@piarachipuzi1569
@piarachipuzi1569 Жыл бұрын
Kama unaamini mnyma hatua ya makundi lzm gonga like hapa ❤️
@oseikwadwojunior707
@oseikwadwojunior707 Жыл бұрын
How I wish kalala was in ur team. I'm from Ghana 🇬🇭🇬🇭🇬🇭🇬🇭🇬🇭
@ramadhaniomary2998
@ramadhaniomary2998 Жыл бұрын
Okrah
@georgemmbando1219
@georgemmbando1219 Жыл бұрын
Who is kalala?
@aliseif9986
@aliseif9986 Жыл бұрын
Mungu ibarki simba ....kwa iman nasema iv mar hii tunfka nusu final kw uwez wa allah
@rehemabakali494
@rehemabakali494 Жыл бұрын
Aamiin
@mamalamama7010
@mamalamama7010 Жыл бұрын
Inshallah
@huguetteigiraneza4760
@huguetteigiraneza4760 Жыл бұрын
InshaAllah
@emmanuelchaplingi9050
@emmanuelchaplingi9050 Жыл бұрын
Amina
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 Жыл бұрын
Viva Tanzania 🇹🇿..Viva Simba sportsclub
@Mr_Ben255
@Mr_Ben255 Жыл бұрын
Ahimidiwe Mungu kwa hili🦁🔥🔥👍👍 #NguvuMoja
@emmanuelchaplingi9050
@emmanuelchaplingi9050 Жыл бұрын
Amina
@husseinkhaji895
@husseinkhaji895 Жыл бұрын
Mimi ni yanga ila simba ni wakimataifa hakika wapo sliously na mashindano. Yanga tunawachezaji wazuri nafasi wanapata wanazichezea mtani hongera unastahiki kushinda ni kweli niwakimataifa mmenifurahisha.
@mickdadybakari6052
@mickdadybakari6052 Жыл бұрын
Tuko pamoja mtani
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
Lakin Hii Timu ilipigwa Holi Sita Na Namungo,
@maryamrashdy3574
@maryamrashdy3574 Жыл бұрын
@@lama6310 kwan namungo ni timu mbovu unavyofikirii
@lama6310
@lama6310 Жыл бұрын
@@maryamrashdy3574 Basi Kama Sio Mbovu Basi Ni Bora Kuliko Simba Kwa sabab ilishinda Goli Sita,Nyinyi Mmeshinda Tatu
@irinikoipai3936
@irinikoipai3936 Жыл бұрын
@@lama6310 ukumbuke pia hao mliodroo nao sis tuliwafunga 4
@shelyboyshely2928
@shelyboyshely2928 Жыл бұрын
Asante mungu kwa ushindi uliotupatia
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 Жыл бұрын
Wahoooooo jmm Sumba yangu hatari sana hiii wow asante Baba kwa zawadi ya ushindi huu mnono ugennn waje home wapate ten tatu walale wahooo simb yangu nkupenda san
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 Жыл бұрын
Tanzania is so beautiful..from the ground to the pitch..from the team Simba to all people
@laitonkabelege
@laitonkabelege 10 ай бұрын
❤️sywwe
@ramadhaniamri3465
@ramadhaniamri3465 Жыл бұрын
Nimefurahi Sana......Mungu ibariki Simba SC.....Aamiin
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Жыл бұрын
Siku ya Leo nime enjoy mno❤️❤️❤️❤️🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
@allahisone6386
@allahisone6386 Жыл бұрын
Naam 💯%🤝
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Жыл бұрын
@@allahisone6386 Yaan damu damu🦁🦁🦁🌹🌹
@allahisone6386
@allahisone6386 Жыл бұрын
@@mariyamsalalah8204 Simbaaaaaaa💖
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Жыл бұрын
@@allahisone6386 Nguvu Moja💪💪💪💪
@allahisone6386
@allahisone6386 Жыл бұрын
@@mariyamsalalah8204 kbsaaaaaaa 💯%🤝
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Hongereni sana Mabingwa wa Nchi Simba. Aking'ara Diamond Plutnumz na ninyi huwa mnakuwa pale pale hampotei,hili jina lina mambo makubwa na mazuri sana nimegundua safi sana.
@festojoseph25
@festojoseph25 Жыл бұрын
Simba hii inakwenda nusu fainali kimy kimya🙌🙌🙌
@bravoteka3617
@bravoteka3617 Жыл бұрын
Gonga like kwa mnyama
@mkemiamagege8477
@mkemiamagege8477 Жыл бұрын
Matunda na baraka za mafanikio ya SIMBA yaliwekwa na JOHN POMBE MAGUFULI. let him RIP. JPM aliwakuza kiakili mara mia zaidi na simba wakafunguka hata kesho simba kimatafa uwape mechi, wanafanya vizuri sana. Kwa ligi ya ndani wanaweza sana ila ufanyiwaga fitna na timu moja tu ambayo inasababishaga pia na yenyewe kimataifa isifanye vizuri.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Simba ni chama kubwa miaka yote ila hapa uliposema simba ni nzuri kwasababu ya Magufuli nakataa mwanasimba mwenzangu.. Kwamba mafanikio ya simba ni Magufuli?? Huyo Magufuli mwenyewe hakuwa na mzuka wa mpira hata siku moja..
@alcherausmalinzi2033
@alcherausmalinzi2033 Жыл бұрын
Kenge kweli
@renatusmatungwa2508
@renatusmatungwa2508 Жыл бұрын
Umesema ukweli
@godsonishengoma5378
@godsonishengoma5378 Жыл бұрын
@@noelbryson7840 kaul za JPM ktk mpra wa kbongo “NATAKA IKICHEZA SIMBA AU YANGA SHABIKI WA PANDE ZOTE WAUNGANE KTK KSHANGILIA.TIM YA NYMBN”.. Pia aliwambia SIMBA6"KWA MPRA HUU MLOCHEZA HAPA HAMUWEZ KLETA KOMBE LA AFRCA," akaongeaa mengnee badae akamalzia "NATAKA MUWE WA KWANZA KULETA KOMBE LA AFRIKA TZ".. ilikua n bada ya Simba kfngwa na Kagera Sugar kwa mkp na smba alkua hajapoteza mech ktk lig.. Fatlia youtube utajua zaid
@samwelmerikiolmpila2330
@samwelmerikiolmpila2330 Жыл бұрын
SIMBA bwana, tumefikia hatua hii ya kwenda siku moja kabla ya mechi na kushinda 😂😂😂😂
@Ram_1893
@Ram_1893 Жыл бұрын
Unaweza ukaona ni jambo rahisi ujue 🤣🤣🤣
@samwelmerikiolmpila2330
@samwelmerikiolmpila2330 Жыл бұрын
@@Ram_1893 acha tu, 😂😂😂 ila tumetoka mbali sana, toka kufungwa gori 5 miaka ile!!!!
@Ram_1893
@Ram_1893 Жыл бұрын
@@samwelmerikiolmpila2330 Tulikua tunafungwa ila kuna vitu muhimu tunajifunza
@samwelmerikiolmpila2330
@samwelmerikiolmpila2330 Жыл бұрын
@@Ram_1893 kweli kabisa,walikuwa wanatucheka sana
@fettykilango2814
@fettykilango2814 Жыл бұрын
Hongereni sanaa simba sports club 🤍♥️🦁 we are unstoppable
@Ram_1893
@Ram_1893 Жыл бұрын
Hii ndo Simba SC 👊🇹🇿
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 Жыл бұрын
Yaanj unawakusanya Mayele Aziz ki na morisoni ndo unaupata uwezo wa chama. Chama nimtu na nusubwanae🔥🔥🔥
@laurenciabenard1295
@laurenciabenard1295 Жыл бұрын
Ni jitu Hilo likuuuuuubwa
@nelsonjonathan7660
@nelsonjonathan7660 Жыл бұрын
@@laurenciabenard1295 😂😂😂😂😂
@oseikwadwojunior707
@oseikwadwojunior707 Жыл бұрын
Augustine Okrah!!!
@zahariasongolo9362
@zahariasongolo9362 Жыл бұрын
Najaribu kufuatilia kama CAF wakikubali wenzetu wacheze nao apa TAIFA na cc tukawamalizie game Yao Sudan
@idayamataifakey7813
@idayamataifakey7813 Жыл бұрын
Simba nguvu moja 💪❤️💯
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 Жыл бұрын
Nishauri tu kwa mabeki wetu kuna matukio wanazubaa sana..lile tukio la penalty wanachelewa kwenda kuokoa endapo Kuna rebound.. pia kwenye tukio la offside Manura kaokoa lkn wao wapo nyuma ni kama wamemwacha Manula apambane peke yake..Wale jamaa wapo sharp sana kwenye matukio
@funnyhouse5896
@funnyhouse5896 Жыл бұрын
Great performance, this is simba (nguvu mmoja)
@mwajabuabdallah3544
@mwajabuabdallah3544 Жыл бұрын
Safi sn Aishi manula
@salumungassa9217
@salumungassa9217 Жыл бұрын
Wakimataifa tujuane apa 🦁🦁🦁
@johnkimea270
@johnkimea270 Жыл бұрын
I love ❤ simba god humble you
@mayalabahati3544
@mayalabahati3544 Жыл бұрын
This is simba
@annasitti120
@annasitti120 Жыл бұрын
CHAMA ,,NOOOMAAAA
@nizytz7273
@nizytz7273 Жыл бұрын
Yanga Ni Kama mwenge hautoki nje ya nchii😄
@catherinejohn5043
@catherinejohn5043 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@thomasnaibala6171
@thomasnaibala6171 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 Жыл бұрын
Hahaha!
@benadetasewando2007
@benadetasewando2007 Жыл бұрын
@@themoredwamichano8636 😂😂😂😂
@jacobnduya798
@jacobnduya798 Жыл бұрын
Hongera Mnyama umetisha sana
@oseikwadwojunior707
@oseikwadwojunior707 Жыл бұрын
Augustine Okrah mojohh
@yussufmashaka8895
@yussufmashaka8895 Жыл бұрын
This is best match ever
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Жыл бұрын
Wametunyima penalty ya wazi. Bora tumeshinda.
@paulmsape163
@paulmsape163 Жыл бұрын
Hii ni noma sn, Simba mambo ni moto
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 Жыл бұрын
vizuri Azam,saiv nna upload mapema. Agizeni vinywaji hapo ofisini kwenu nakuja kunywa
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Hongera Simba
@zarinatv2024
@zarinatv2024 Жыл бұрын
Utopolo wanatamani Simba ndo ingekuw timu yao🐸🐸🤣🤣🤣
@johnkimea270
@johnkimea270 Жыл бұрын
I love you simba
@alhabibnachoaly3018
@alhabibnachoaly3018 Жыл бұрын
Israel mtoa roho 😂😂😂simba raha
@aminamazinda3645
@aminamazinda3645 Жыл бұрын
my simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@nenyelamhandomhagula9713
@nenyelamhandomhagula9713 Жыл бұрын
Hatua iliyofikia SIMBA duh imenifanya nibadili bahal yang atakaye nioa ataje majina ya wachezi wa SIMBA TU bas ndoa inapita🤣🤣🤣🤣🤣
@fundiwelding146
@fundiwelding146 Жыл бұрын
Aishi manula Muhammed husein Shomari kapombe Inonga Mkude
@sinyoritamwakyambiki5203
@sinyoritamwakyambiki5203 Жыл бұрын
8
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 Жыл бұрын
Jamani Simba jumapili tuimalize vizuri. Tusifungwe tena na UTOPOLO.
@saidwambura7293
@saidwambura7293 Жыл бұрын
simba anzisheni tv yenu yakuonesha mipira,mbona livepol wana tv yao ya mpira.
@oseikwadwojunior707
@oseikwadwojunior707 Жыл бұрын
Augustine Okrah Mojah
@abduliimsafeer7906
@abduliimsafeer7906 Жыл бұрын
Simba daima nguvu Moja 🐕♥️♥️♥️♥️
@gracejoseph9451
@gracejoseph9451 Жыл бұрын
Simba umenipa raha
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 Жыл бұрын
Simba bravo bravo bravo Wakimataifa Kwa Hakika mmetufurahisha
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 Жыл бұрын
Sacko ilikuwa ni penalty kabisa. Haya mashindano waweke VAR
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Hongera saaaaaana simbaaaaaaa
@mamalamama7010
@mamalamama7010 Жыл бұрын
Kama angetangaza baraka mapenja tungeinjoi zaidi kwa kuwapamba wachezaji wetu
@crazydaddy9217
@crazydaddy9217 Жыл бұрын
Tanzania kuna vichwa vya wendawazimu na kuna simba
@badrumbarouk3377
@badrumbarouk3377 Жыл бұрын
Anae jua anajua tu
@kostaagnasi9266
@kostaagnasi9266 Жыл бұрын
Simba mmejua kutupa raha mashabiki wenu
@marselinarweyemamu4034
@marselinarweyemamu4034 Жыл бұрын
Moses phili ni 1 tu Tanzania nae anajulikana km Musa
@thomasnaibala6171
@thomasnaibala6171 Жыл бұрын
Wanaosema de agosto ni dhaifu wanamatatizo ya akili
@benjaminfifi5627
@benjaminfifi5627 Жыл бұрын
mmmm hawa jamaa sio dhaifu
@thomasnaibala6171
@thomasnaibala6171 Жыл бұрын
@@benjaminfifi5627 de agosto ni timu ngumu sana na ndio maana simba wanachukua tahadhari zote maana hiyo ni timu ngumu pia watu wengi wansema nirahisi maana simba kashinda lakini wanasahau ubora wa simba kuwa simba imekuwa bora sana natokea kenya
@official_farajiasangoda7071
@official_farajiasangoda7071 Жыл бұрын
Chama awezi kufunga bila yakuwalisha watu majani
@Ram_1893
@Ram_1893 Жыл бұрын
Ukatili wa kijinsia 😢😢😢
@benjaminfifi5627
@benjaminfifi5627 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@PatriciaEmanuel-rq4fz
@PatriciaEmanuel-rq4fz Жыл бұрын
27.6.23 still watching
@jamesmseyekii9131
@jamesmseyekii9131 Жыл бұрын
Asande mungu kwa kutapa ushindi
@hamedahameed148
@hamedahameed148 Жыл бұрын
Naona mtangazaji kapooza hapo angekua mpenja ingenoga sana
@superherotv1750
@superherotv1750 Жыл бұрын
Waombe usher kwe2 utopolo 2washaur
@wakembetajaphary6006
@wakembetajaphary6006 Жыл бұрын
Azam nyie kwann Simba wakiwa wanacheza huw mnaweka dk chache sana tofaut na Yanga huw mnaweka nying tuelewen nn achen bhana hii cyo mara moja
@rajabuathumani1586
@rajabuathumani1586 Жыл бұрын
Yani kesho hata biashara mjn itakuwepo Simba oyee
@zaharahassan8685
@zaharahassan8685 Жыл бұрын
Sion comment za vyura hapa mmeenda wapi? Leo
@bernaberna4159
@bernaberna4159 Жыл бұрын
Chama kubwaaa🦁🦁❤️
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 Жыл бұрын
Jmn Air manula apewe sifa yake pia hakika anafanya JITIHADA sana
@renatusmatungwa2508
@renatusmatungwa2508 Жыл бұрын
Duh hii ndo Simba
@betheltruetv2208
@betheltruetv2208 Жыл бұрын
Moses Philip na Clatus Chota Chama wanatakiwa washitakiwe kwa kesi ya udhalilishaji kwa wenyeji tena ktk nchi yao.😤.
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 Жыл бұрын
Unyama 💥🦁
@ibrahimsanga690
@ibrahimsanga690 Жыл бұрын
Refa anajitetea kwa Mzamiru kwamba haikuwa prnalty..duuh!!
@eliudijustinyindi5939
@eliudijustinyindi5939 Жыл бұрын
🔥🔥🔥💣simba
@pendenikinyamagoha32
@pendenikinyamagoha32 Жыл бұрын
Simba ni moto
@Mbugokilonda
@Mbugokilonda Жыл бұрын
Simba noma sana
@sicatz9204
@sicatz9204 Жыл бұрын
Waje tuwafundishe hawataki Hay😂😂
@krishkhoja1131
@krishkhoja1131 Жыл бұрын
#NguvuMoja❤️❤️❤️🦁👑
@kayokamwashalawe8760
@kayokamwashalawe8760 Жыл бұрын
Ama hakika Simba inatupa raha,asikwambie mtu.
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Жыл бұрын
Mi ni utopolo lakini hii simba ni ya moto
@phay_lyz0715
@phay_lyz0715 Жыл бұрын
😂😂😂
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 Жыл бұрын
Amia Simba ule kuku kwa mrija kaka 😁😁
@rashidkhamisjuma3714
@rashidkhamisjuma3714 Жыл бұрын
hapo ndio utajua kama yanga wanaturoga
@oseikwadwojunior707
@oseikwadwojunior707 Жыл бұрын
🐱🐱🐱 Simba mojjah
@augustinomichael228
@augustinomichael228 Жыл бұрын
This Simba brother tell us
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 Жыл бұрын
Mechi ya Yanga highlights dakika 21 afu mechi dakika 14 Azam achen kutuhujumu
@wakembetajaphary6006
@wakembetajaphary6006 Жыл бұрын
Hii nshawai sema yaan Simba huw wanawekewa dk chache tu lkn Yanga ni dk nying huwekewa daah n dhahr hao n yanga wanaofanya hz highlights
@oseikwadwojunior707
@oseikwadwojunior707 Жыл бұрын
It's unfortunate Asante kotoko is out of the champions league
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Жыл бұрын
Why Kotoko is not there?
@noelbryson7840
@noelbryson7840 8 ай бұрын
DOGO ISRAEL MWENDA UNAJUA BOLI SANA MDOGO WANGU 💪👏.
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Жыл бұрын
Shabalala unapinduliwa sana Dah
@geofreymwanika9549
@geofreymwanika9549 Жыл бұрын
Anatakiwa kocha alione hili ule upande wa shabalaa
@oseikwadwojunior707
@oseikwadwojunior707 Жыл бұрын
Augustine Okrah Mojjoh
@awamiabbas222
@awamiabbas222 Жыл бұрын
Muwe mnatuweke menchi nzima kuanzia mwanzo hadi mwisho tafadhari maana kama mimi mechi imenipita nikiwa safarini na natamani kuitizama upya
@gracejoseph9451
@gracejoseph9451 Жыл бұрын
Wanakela kweli
@stupendous1
@stupendous1 Жыл бұрын
Hiyo sasa itaitwa highlight??? ,, understand the meaning of the word (Highlights)
@alistairelias536
@alistairelias536 Жыл бұрын
Labda subiri marudio kwenye TV...
@tiyonaleomartine5075
@tiyonaleomartine5075 Жыл бұрын
Nice ball
@najmaally7556
@najmaally7556 Жыл бұрын
Narudia kuangalia mala ya 5
@benimwakasole7386
@benimwakasole7386 Жыл бұрын
Simba nguvu moja
@diamondplatinum3708
@diamondplatinum3708 Жыл бұрын
Mwendo wa 💪🇹🇿🇹🇿
@akberyuda5950
@akberyuda5950 Жыл бұрын
UTOPOLO MAMBO HAYA HAMUYAWEZI WAACHIENI SIMBA
@blockchain1203
@blockchain1203 Жыл бұрын
Mwenye Wivu ajinyonge
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 Жыл бұрын
Jifunze hukmu za quran gusa maandishi ya bluu kzbin.info/www/bejne/rIenp4B-fsSAl7s
@khairatkhamis5845
@khairatkhamis5845 Жыл бұрын
Simba ulaya
@leeabd9057
@leeabd9057 Жыл бұрын
Azam Jana mlichokifanya wapuuzi nyie mnaweka mechi hii kwenye ratiba ya marudio saa nne ucku tunakaa kusubiri afu mnaonyesha mechi ya Azam jaaaguul kabisa
@wakembetajaphary6006
@wakembetajaphary6006 Жыл бұрын
Cjui n kwann tu Low quality hv hakuna uangavu wa Pcha
@jamesmaneno2281
@jamesmaneno2281 Жыл бұрын
Haaaa kumbe watu wa yangu wanapenda kuangalia mamb ya Simba nimewaona kama 20 umu hahahah nipe laki 30 niwataje muwaonw alafu yanga wale wale 😂😂😂😂😂
@eliyamloy3490
@eliyamloy3490 Жыл бұрын
Kabla Simba hatujaletewa kocha zezeta kutoka Brazil kwa kweli mpira ulichezwa kwa kiwango cha hali ya juu sana lkn walipotuletea huyu zezeta Robertinho kila kitu kilikufa
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 12 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 97 МЛН
The Day Ronaldinho Showed Zidane Who Is The Boss.
14:05
RDHDComps
Рет қаралды 41 МЛН
MAGOLI YOTE 6 YA CHAMA TANGU ATUE SIMBA
8:39
Pascal Kabombe
Рет қаралды 540 М.
Highlights: Simba SC 0-0 Plateau United  - CAF CL 05/12/2020
21:21
Ronaldo & Ronaldinho will never forget Zidane's performance in this match
12:54
VSP7 FOOTBALL EXTRA
Рет қаралды 6 МЛН
Simba vs vita club 4 1 all goals Highlights
8:36
Jicholauswazi
Рет қаралды 667 М.
Футболист Ламин Ямал подарил дом семье 🥳
0:26
Which national team are you rooting for at Euro 2024?
0:17
Boomerang Sportsbook
Рет қаралды 3,9 МЛН