No video

Kamwe asema mechi yao dhidi ya Augsburg imeondoa migogoro ya ndoa

  Рет қаралды 95,314

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

#MpumalangaPremiersInternationalCup2024: “Kuna watu walikuwa na shidashida kidogo za ndoa, matatizo yameanza kupungua” maneo ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe akizungumzia namna mechi yao ya leo dhidi ya Augsburg ilivyoleta neema kwa baadhi ya watu.
Ametolea ufafanuzi kuhusu ushiriki wao kwenye michauno ya #MpumalangaPremiersInternationalCup2024
Matokeo ni FC Augsburg 2-1 Yanga SC
#MpumalangaPremiersInternationalCup2024 #Mpumalanga #YangaSC #FCAugsburg #AUGYNG

Пікірлер: 173
@christophernilongo364
@christophernilongo364 Ай бұрын
Hongera Sanaaa msemaji mwenye weledi Na ufundi wa level ya kimataifa. Unajua brother
@RICHARDDEFAO
@RICHARDDEFAO Ай бұрын
Amina MUNGU BABA MWENYEZI atulinde dhidi ya maadui Naamini tutafika mbali
@thobiasmwambeta6990
@thobiasmwambeta6990 Ай бұрын
Kipa wa Yanga Big up sana
@user-wg2vl1rh4l
@user-wg2vl1rh4l Ай бұрын
Big up Semaji mwanaume haogopi mapambano
@LucasMapolu
@LucasMapolu Ай бұрын
Hongera,sana,yangakazi,lnderee,
@RodgersBartholomew
@RodgersBartholomew Ай бұрын
Pongez nyingi sana team yangu 🎉 Mungu azidi kuibariki ifike hatua za juu zaidi 🙏🙋‍♂️
@user-th4ns4sw6h
@user-th4ns4sw6h Ай бұрын
😂😂😂😂 me mwenyew ndoa yangu imetulia baada ya kuiona yanga
@magrethmakauki235
@magrethmakauki235 Ай бұрын
Kwa pira hili yanga iko vizur sana
@katowawambura4652
@katowawambura4652 Ай бұрын
Tumeridhika kabisa Wanayanga, hasa ukilinganisha na ligi Ugerumani
@juliusjkalela9164
@juliusjkalela9164 Ай бұрын
Team ety iko vzr mungu ijaalie team etu ifike mbali katka michuano ya caf champions league 💚💚💚💛💛💛💛💐💐💐❤️❤️🌹🌹🌹
@user-cv4yi5hz9b
@user-cv4yi5hz9b Ай бұрын
Inshallah 🙏🤲🏻🤲🏻🏆✅🔜😊
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 Ай бұрын
Inshaallah 🤲
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 Ай бұрын
Amina
@allysaleh8272
@allysaleh8272 Ай бұрын
Inshallha biidhin I llhahi taala 🙏
@sultanrichardson5487
@sultanrichardson5487 Ай бұрын
Kwa timu gan sas
@neemaerasto1842
@neemaerasto1842 Ай бұрын
Ali kamwe umetisha sana kwa maneno yako
@hafidhlabdi-sq5rp
@hafidhlabdi-sq5rp Ай бұрын
Hapo nyuma Kuna kikao Cha Engineer,andre mitne na Gamondi
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Ай бұрын
Nimefurai sana kuona timu yangu
@athmanjnr3231
@athmanjnr3231 Ай бұрын
😂😂😂😂😂Ali Kamwe wee kiboko na hyo maneno yko
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
Tx Galax itapendeza..... Hii match ikionyeshwa kuliko kuficha ficha kama makolo ubwela waliochezea 6 😂😂
@juliusjkalela9164
@juliusjkalela9164 Ай бұрын
Binafsi nzengeri ananikooshaa nakbali wapendwa wangu pamoja tunaweza
@user-wg2vl1rh4l
@user-wg2vl1rh4l Ай бұрын
Hata ingekuwa tumefungwa 2 -0 cc tungefurahi kwa 7bu hii timu kwa stori sio level yetu lkn kilichotokea kocha wao amethibitisha au tunasemaje wananchi?
@user-kj2pj9ot2v
@user-kj2pj9ot2v Ай бұрын
Yanga songa mbele tupo nyuma yenu DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
@ElibarickSiyanga
@ElibarickSiyanga Ай бұрын
Yanga rahaaaaa
@Samweldlemaanda
@Samweldlemaanda Ай бұрын
Hapo sawa yaan yanga hii kolo atakula 10
@lodricklema9593
@lodricklema9593 Ай бұрын
Yanga ipo vizuri sana
@ChimbaeBalenga-qg7ci
@ChimbaeBalenga-qg7ci Ай бұрын
Ila ally kamwe ww unajua kukera sana
@RashidShidhani
@RashidShidhani Ай бұрын
Jumanne Balekeeeee😄
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 Ай бұрын
Kuwa msemaji professional, sio blaa blaa. Kujisifia kwingi, badala ya kujifunza na mechi. wajerumani wamepiga coordination na touch za hatari. Tumeona beki ya Yanga ilivyokuwa ikisumbuliwa. kwa Yanga Marx Zengeli amecheza vizuri.
@RukiaKanyoni
@RukiaKanyoni Ай бұрын
Hongera sana Yanga.
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk Ай бұрын
Sio yanga tu hata Wana Simba wameridhika
@neemaerasto1842
@neemaerasto1842 Ай бұрын
🤣🤣🤣🙆🙆❤️eti taulo na ndala za hotel 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wew ni noma sana
@malietamaliet
@malietamaliet Ай бұрын
😂😂😂achana na interview hii mimi nimezoom tu kikao kule nyuma kinakitu litakufa jitu
@bakarimavura7226
@bakarimavura7226 Ай бұрын
Safi sana semaji la caf ndugu Ali Simba
@SalimuShemndoa
@SalimuShemndoa Ай бұрын
Nic
@brianbalozi7199
@brianbalozi7199 Ай бұрын
Shida ya yanga hawakubali matokeo
@producerjm3314
@producerjm3314 Ай бұрын
Unataka wakubar vp ndugu
@samwelmasunga8293
@samwelmasunga8293 Ай бұрын
Jmn ifike sehemu tuwe na mabadiliko sana lkn mda wote yanga akifanya vzr bdo anaonekana wa hovyo hata simba akifanya vzr bdo kila upande wana fanya hovyo hv kwann tusiwe wazalendo tu Yanga in short wameupiga mwingi kama kwel ww ni mwana michezo ebu kubari tu kuwa kwa sas yanga ni fire 🔥 😂😂😂😂 hata simba akicheza vzr tuta mpa maua but this time to-morrow utakuwa nani daima mbele nyuma mwiko .
@johnsonMazoya
@johnsonMazoya Ай бұрын
ira tumejitaidia Sana mungu atusaidie tutafika mbari wenye roho mbaya na chuki mungu atashughulika now 🙏🏿🙏🏿
@SalumuWawa
@SalumuWawa Ай бұрын
Ally Kamwe una udhi sana
@AminaTanzania
@AminaTanzania Ай бұрын
Tumepoteza nini sasa mchezo ya kirafikituu haina umuhimu ata
@amosimussa3360
@amosimussa3360 Ай бұрын
😂😂😂 we chalii una maneno ya shombo duuh daima mbele nyuma mwiko
@kollysam6463
@kollysam6463 Ай бұрын
Bwana Ally Simba
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Wenzenu waliocheza kipindi cha kwanza sio waliocheza kipindi cha pili. Lakini mmegongwa😂😂😂
@ShabaniMcharo
@ShabaniMcharo Ай бұрын
Ni 2/1 sawaa
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
MWITENI ALLY SIMBA LAKINI KIPIGO CHENU SIMBA KIPO PALEPALE
@eliambwilojr1918
@eliambwilojr1918 Ай бұрын
Tumeridzika na kiwango kilichooneshwa na yanga yetu
@mrskingo7142
@mrskingo7142 Ай бұрын
Jumanne tena😮
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe Ай бұрын
Eti madunduka walifungwa 6 ?
@ThomasGai-kz5cu
@ThomasGai-kz5cu Ай бұрын
Semaji wakati mwingine maswali ya msingi yajibiwe na majibu ya msingi. Punguza utani.
@BOAZMWANGOGE
@BOAZMWANGOGE Ай бұрын
hana point uyo anabwabwaja tu
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 Ай бұрын
😂😂😂ndoa zilizokua na mgogoro zimepona🎉🎉🎉🎉🎉
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 Ай бұрын
Stress za magoma zinawatesa UTOPOLO 😂😂😂
@AminaTanzania
@AminaTanzania Ай бұрын
Afrika nitimu kubwa sana hiyo hata yanga ni kubwa inaubira sana yanga kwa tanzania
@user-gk9wq5pl6l
@user-gk9wq5pl6l Ай бұрын
Wapewe maua yao wanajangwani Sina mashaka timu yangu
@user-kr2qr8vx1x
@user-kr2qr8vx1x Ай бұрын
Gamondi pisi sana...tunaomba wote wapangwe Kwa zam. Tunakuombea sana sana kocha wetu ...wasikae sana bechi tunakuomba sana sana kocha wetu ...wewe ndio mpambanani na wachezaji tunaomba na tunakuombea Kwa mungu.
@jacksonmbewe-pl2nl
@jacksonmbewe-pl2nl Ай бұрын
kwan hii account y gamondi au matumiz mabay y bando
@lizacontractors1924
@lizacontractors1924 Ай бұрын
Ahaaaa
@JacklineMbuya-ym1ri
@JacklineMbuya-ym1ri Ай бұрын
Mpra umepigwa
@thobiasmwambeta6990
@thobiasmwambeta6990 Ай бұрын
KATIKA WASEMAJI WA OVYO NI WEWE SHIDA UNAONGEA UONGO KUTUPA HABARI YA UONGO KUWA WAPINZA I WAMEFINGWA WAKATI SIO KWELI HAWAJACHEZA MECHI YOYOTE,,INAMAANA WEW NI SIMBA KWELI NDIO MAANA UNAIONGELEA ILI IPATE HASIRA NA KWELI WAO HAWAJAKUJIBU KWASABABU WANAJIELEWA
@stevenghambi3471
@stevenghambi3471 Ай бұрын
Wewe ndo simba
@asmaSheha
@asmaSheha Ай бұрын
Kwan km kwel mbn wanafch
@chrisantfredrick663
@chrisantfredrick663 Ай бұрын
Acha kuteseka upate amani ndugu utakufa mapema
@christophersizya2574
@christophersizya2574 Ай бұрын
Pacome yuko wapi?
@kessysenga8700
@kessysenga8700 Ай бұрын
Makolo vichwa vinawauma
@japhetindobeji7239
@japhetindobeji7239 Ай бұрын
Ayo yamagoma yamekujaje hapo
@KassimSibiya-m7x
@KassimSibiya-m7x Ай бұрын
Magoma anakusubiri urudi😂😂baba
@SelemaniLingamka
@SelemaniLingamka Ай бұрын
Acha ushamb roh inakuuma wakat boli umeinjoi
@SalumMahimbo-e4l
@SalumMahimbo-e4l Ай бұрын
Tumeona kipimo kizur mmejishindia nyuma mwiko😂
@user-ug1nv3xl4d
@user-ug1nv3xl4d Ай бұрын
Kweli semaji dua muhimu maana wenye husda ni wengi
@leonidaskyarubota8145
@leonidaskyarubota8145 Ай бұрын
Umelowa
@JuxSule
@JuxSule Ай бұрын
Kwaniukiduniyani kunawatu niwagonjwa wakuelewa
@shagison_official
@shagison_official Ай бұрын
Jumanne😂😂😂
@AsaphuNguvumali
@AsaphuNguvumali Ай бұрын
So mbaya vijana wako vizur
@user-ul2qg8ds6f
@user-ul2qg8ds6f Ай бұрын
Madunduka + kolo tarehe 8 watapigwa 8 Kwa mpira huu😂
@BabaNuria
@BabaNuria Ай бұрын
😂❤❤❤
@MwalimuAdamu
@MwalimuAdamu Ай бұрын
Kamwe kavaa nembo ya simba mkono wa kushoto kumbe magoma anasema kwel
@shanelmbunga1301
@shanelmbunga1301 Ай бұрын
Kipa ndo yuko vizuri sio wachezaji
@user-rh9qy1qk2k
@user-rh9qy1qk2k Ай бұрын
Kipa ni kocha sio
@JumbeOjaso
@JumbeOjaso Ай бұрын
Wakati. Mwingine Ally kamwe kuwa professional, usidhani unaongea na watanzania tu . Kuna tafsiri na dunia inaona Azam sport, Acha utoto that's international tour. Yanga ina fuatiliwa na watu wengine duniani. Sikiliza clip hii halafu jitafakari.
@fidelismuna9484
@fidelismuna9484 Ай бұрын
Acha unyumbu ww kwan hapo kakosea wapi au ndio unaishi kwa mihemuko tu nyambafu ww! Sijui nyie kolozidad mnafel wap
@JumbeOjaso
@JumbeOjaso Ай бұрын
@fidelismuna9484 Ahsante ,,umenijibu kwa tusi na Azam wanaona ni sawa,tusi hili kuwa highlighted reply. Azam wanaona ni sahihi kutukana kwenye jukwaa lao hili,kwa sababu tu nimemtaka Ally kamwe, kuongea na dunia badala ya mashabiki wa kariakoo.
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 Ай бұрын
​@@fidelismuna9484umempa jibu sahihi ni Nyumbu
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 Ай бұрын
​​@@fidelismuna9484acheni matusi, jibu hoja. JumbeOjaso amezungumza vizuri. mechi hii ni ya kujifunza, na kweli kwa timu ya ufundi na wachezaji lazima wajifunze kwao. Semaji yeye kujigamba tu, azungumze kiprofessional, kuzungumza mambo ya ndoa manake nini. wote washabiki wa yanga.. tunazungumza ukweli, hakuna usimba na uyanga hapa. acheni kushadadia kila kitu
@AlfredNkulizahe
@AlfredNkulizahe Ай бұрын
Kamwe umevaa kitu chekundu mkononi
@Sostere98
@Sostere98 Ай бұрын
Timu haiwezi kuwa surprise kama mashabiki wanaiona ikicheza kabla ya Yanga day. Msitegemee mashabiki kujaa siku ya Yanga day
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Ай бұрын
Hayo ni mawazo yako.Hata punguani ana mawazo yake pia
@Sostere98
@Sostere98 Ай бұрын
​@@yakobokuzenza6837Wewe ndo punguani, hata hujui miongoni mwa influence kubwa inayowafanya mashabiki waende Yanga day au Simba day ni kuona timu yao baada ya usajili mpya inachezaje. Sasa kama wachezaji wapya wote utawaona wakicheza kabla ya tamasha, tafsiri yake kiu ya mashabiki kuona wachezaji wapya itapungua, na kuna uwezekano timu ikaanza kukosolewa hata kabla ya siku ya tamasha. Timu si tatizo kuonesha mechi kipindi cha pre-season lakn kwa simba na yanga ambazo ndo zina huo utaratibu wa matamasha kuna kitu kinapungua, lakini timu zngne zinaonyesha mechi zao sababu hazina huo utaratibu wa matamasha kama sisi. Pia timu zingine ni kubwa hazina pressure ya kujaza uwanja kama sisi, wao kila tukio wanajaza
@reubenmakalla745
@reubenmakalla745 Ай бұрын
Siyo kila kitu chekundu ni cha Simba. Acheni ujinga wa rangi.
@issaadinaniissa6487
@issaadinaniissa6487 Ай бұрын
Hhhahaahhahahahahahhahahahah we tulia
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Ай бұрын
Marehemu mambosasa aliyekuwa golikipa wa simba ndo aliiba taulo na kukamatwa nayo huko Misri, nchi iliaibika sana kipindi kile.
@user-qi3wv8sf5j
@user-qi3wv8sf5j Ай бұрын
Mzee wa MSHIKEMSHIKE,WENZETU WANAPIGWA KIMYAKIMYA HUKO
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
AUSBERG ALIIFUNGA BEYERN 1-0 NA LEO YANGA KAPIGWA 2-1 KWA HIYO YANGA =BEYERN
@ShabnMande-gw1nm
@ShabnMande-gw1nm Ай бұрын
huyu ndio msemaji cio yule muimba gonjera
@JuxSule
@JuxSule Ай бұрын
Kwanimagoma nixhangaziyako ww
@user-pf6tl1jy8c
@user-pf6tl1jy8c Ай бұрын
Naulizajeeee mmegongwa ngapiiii
@FiniasBugobola
@FiniasBugobola Ай бұрын
Kwan wew umeonaje😂😂😂
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 Ай бұрын
6 kwa 2
@godblesshudson1564
@godblesshudson1564 Ай бұрын
7-2=5
@Samweldlemaanda
@Samweldlemaanda Ай бұрын
Hatujafungwa kama wenzetu waliokula 6 maanina
@EMMANUELPETER-qp6jr
@EMMANUELPETER-qp6jr Ай бұрын
5 kw 1
@hamadmohamedy
@hamadmohamedy Ай бұрын
Jana mngefugwa nyingi kipa ndo apewe mauwa yake kama sio kipa mzur mngekula nyingi sana usiwape watu nguvu bado timu haiko vizur
@yasinismail5837
@yasinismail5837 Ай бұрын
Ndo maana nae yuko uwanjan nae nimchezaji ulitaka tumshukuru mangungu au
@asmaSheha
@asmaSheha Ай бұрын
We kwel nikolo hlf ni mbumbumbu uzuri watim unaanxia kwa kip istosh Tim tulochez nay nikubw hvo kiwang kixur kimeonyshw kwa hio tunajipongez
@OfrahMsigala
@OfrahMsigala Ай бұрын
Umelongw ww ss kip sio mchezaj hahah kwel makol mpila hamjui sas kip kaz yak nn yul sio ayub Wal Manul w vp et kip ndo 2mxhukul kip w vp kip c moj y mchezaj au
@user-lm6wc8gw3z
@user-lm6wc8gw3z Ай бұрын
We kaizi kazi ya kipa nn au kazi yake ni kulala nonsense
@terrence9477
@terrence9477 Ай бұрын
Kwani kipa ni wa timu gani?
@TheMrisho
@TheMrisho Ай бұрын
Nilijua tu watakuja kutamba kufungwa 2-1
@VeronicaEmmanuel-t2v
@VeronicaEmmanuel-t2v Ай бұрын
Chezeni nao na nyie tuwaone wakina Debora
@chrisantusnditi8670
@chrisantusnditi8670 Ай бұрын
Utajua tarehe 8,dawa itakapokuingia.
@UpendoUpendomgani
@UpendoUpendomgani Ай бұрын
Wanao umia hawajifichi,kama vipi kujinyonga ruksa,mbona mapema sana!mkichelewa mtavimba mpasuke,kipele cha mwingine kikuwashe wewe?
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Ай бұрын
Furaha ya Nini wakati umepoteza Mchezo sababu kibao wee seme tu umefungwa bc
@WingoNamtema-u9l
@WingoNamtema-u9l Ай бұрын
Sasa unalia mwamba imekuuma
@terrence9477
@terrence9477 Ай бұрын
Yanakuhusu?
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@JanuaryJanuary-ln7wu
@JanuaryJanuary-ln7wu Ай бұрын
makolo wanasemaje
@JanuaryJanuary-ln7wu
@JanuaryJanuary-ln7wu Ай бұрын
❤ yanga we
@harshkirit6780
@harshkirit6780 Ай бұрын
Nguvu zaudaga tupu
@MwalimuAdamu
@MwalimuAdamu Ай бұрын
Du kwel yanga kiboko wanagongwa lkn wanashangilia
@user-bx9bp5dr5g
@user-bx9bp5dr5g Ай бұрын
Ndio walifungwa
@SalimuShemndoa
@SalimuShemndoa Ай бұрын
G
@shanelmbunga1301
@shanelmbunga1301 Ай бұрын
Umefungwa et umetoa tiba zwazwa kweli wewe kipa kakulinda
@user-kn3gn8rb4l
@user-kn3gn8rb4l Ай бұрын
Kwanikipa kazi yake nini manula zote kamba zile unateseka ukiwa wapi
@asmaSheha
@asmaSheha Ай бұрын
Tumefungw kwel lkn sio lig ss we let Tim yk itufung km utakuw nauwez
@user-lm6wc8gw3z
@user-lm6wc8gw3z Ай бұрын
Kwa hiyo kipa kazi ya uwanjani nnn au ulitaka alale kama yuko room
@user-wr1iu5re2c
@user-wr1iu5re2c Ай бұрын
Zizingatiwe tarehe Kama tarehe 5 jee tarehe 8
@Barakah2590
@Barakah2590 Ай бұрын
Semaji Fifa
@burnmotto1876
@burnmotto1876 Ай бұрын
Kupigwa kupigwa tu mbwa nyie
@user-qe2lb9ns8h
@user-qe2lb9ns8h Ай бұрын
Kama tulivyowanyuka nje ndani dadeki jaman mbona msimu unachelew kuanza
@user-pv2eu3rb7x
@user-pv2eu3rb7x Ай бұрын
😂😂😂😂 kaka sikupendi wewe nabado mtafungwa saana unajikuta unajua sana kuliko mungu. Mwaka huu hamna chenu jiandaeni
@user-lm6wc8gw3z
@user-lm6wc8gw3z Ай бұрын
Pole mchawi kolo na bado
@WingoNamtema-u9l
@WingoNamtema-u9l Ай бұрын
Angalia kwanza ni mechi ya aina Gani ndpo uanze kumkandia.
@issaadinaniissa6487
@issaadinaniissa6487 Ай бұрын
Unafaa kuwa mke njoo Inbox
@Last403
@Last403 Ай бұрын
Kwani amekwambia wewe anakupenda, mpende hata mama yako inatosha tu.😂
@IdaAdek
@IdaAdek Ай бұрын
Ligi kuu hatuoni mpinzani
@JaphetBikayamba
@JaphetBikayamba Ай бұрын
Mmegongwa na namungo aliechangamka
@khamisally9559
@khamisally9559 Ай бұрын
Tarehe 08/08/2024 sio mbali. Tupo hapa.
@Samweldlemaanda
@Samweldlemaanda Ай бұрын
Ushamba huo wewe xi bor yanga kuliko waliokula 6
@NuruSeif-uf2ge
@NuruSeif-uf2ge Ай бұрын
Mpe uyoooo umbea tu
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
😂😂😂 piga kelele tu ... Huko wenzako wanahangaika na kuvunja mikataba ya akina deborah wameona ni afadhal awesu awesu na kagoma kuliko uhalisia wa wanachokiona huko Cairo 🤣
@fredypaul6714
@fredypaul6714 Ай бұрын
​@@Samweldlemaandaonyesha matokeo
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Ай бұрын
Naomba kujua yanga kucheza na tmu yenye mzungu hata mmoja ni lini?Jana wamekamia lakin wameliwaaaaaaa
@user-ki3eu4ek8z
@user-ki3eu4ek8z Ай бұрын
Yaani umeisha sahau ile mrete mzungu wa simba kwa kuwa umesema mzungu hata mmoja
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Ай бұрын
@@user-ki3eu4ek8z Simba walicheza na sevila je yanga walishawah kucheza na tmu gan ya wazunguuuui?
@user-bk4ug8tj3n
@user-bk4ug8tj3n Ай бұрын
Wala 7 tulieni Bado tunadeni Hadi tuwatoboe 10
@user-qe2lb9ns8h
@user-qe2lb9ns8h Ай бұрын
​@@user-ki3eu4ek8zusisahau bado tunaden nayie 7 ndogo mnoo
@silasjacob-j2l
@silasjacob-j2l Ай бұрын
magoma fc
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Ай бұрын
Pumbavu ,zako yanga haina uongoz mpaka dk hiii,magoma kakate rufaa Hawa wanongoza tmu kwa utaratbu wa Nan?
@Kasika-hi6hf
@Kasika-hi6hf Ай бұрын
Mbn Kama una uchungu? Angalia ucje kuzaa
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Ай бұрын
@@Kasika-hi6hf nikizaa nakuzaa wewe na injinia
@user-bk4ug8tj3n
@user-bk4ug8tj3n Ай бұрын
Hahahahaaaa Bado hujasema na utasemaaaa
@user-qe2lb9ns8h
@user-qe2lb9ns8h Ай бұрын
Ukifatilia sana mamb yasiyokuhusu utajiharishia mwishowe
@user-jq7is1hp7w
@user-jq7is1hp7w Ай бұрын
Ebu tuliza kipili pili chakoo😂😂😂 yanga baba lao💛💚💪😘
@athumanmapunda
@athumanmapunda Ай бұрын
Ali kamwe utaua watu kwa misemo yako wavulana wahudumu wa hotel wameiba taulo za hotel
@burnmotto1876
@burnmotto1876 Ай бұрын
Kupigwa kupigwa tu mbwa nyie
@UmmyHamisi-ru2rw
@UmmyHamisi-ru2rw Ай бұрын
Mbwa ww apo,afu kwan si kuna kolo TV si mkaangalie utumbo wenu,wanga nyinyi 😂
MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 05/09/2024
44:17
Azam TV
Рет қаралды 1,2 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 193 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 54 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 32 МЛН
Ip Man 3 | Rescue Scene
9:46
Cinewatch
Рет қаралды 2,6 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 193 МЛН