BAADA YA CHAMA KUTUA JANGWANI ALLY KAMWE APANGA KIKOSI CHA KWANZA

  Рет қаралды 23,287

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер: 35
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 3 ай бұрын
Ila Sisi yanga wavivu my like wavivu ku view wavivu ku comment wavivu kuingia uwanjani wavivu kujisajiri lakin kulalamika aahaa
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 3 ай бұрын
Wakumbuke Kwenye Hicho Kikosi NZENGELI Hayupo Bado Hapo😂😹😹
@MaickoUdoba
@MaickoUdoba 2 ай бұрын
Jiye yang's mmefeli pakubwa mtaniuliza msimu ukiaanza
@Ramadhani-fn7zk
@Ramadhani-fn7zk 3 ай бұрын
Pamoja xna wananchi tabulele raaaaaaa
@FabianiAllex-sz2yx
@FabianiAllex-sz2yx 3 ай бұрын
Daa kwerii kunawatu jamani wamenunaa leo😂😂😂😂
@ShamiruYusuphu
@ShamiruYusuphu 3 ай бұрын
Umutuuuuuuuuuuu alikamweeee wewe
@DannyMasuka-ut4oq
@DannyMasuka-ut4oq 3 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@QuizitoDanielDaniel
@QuizitoDanielDaniel 3 ай бұрын
Furah tele kwa Chama!
@YUAJAALDO
@YUAJAALDO 3 ай бұрын
Hatuli ila tuna nenepa Asante viongozi mungu awazidishie
@djgaswamitulinga7185
@djgaswamitulinga7185 3 ай бұрын
Nyuma ya dube akae chama kushoto pacome kulia aziz k
@RaphaeliAgustino
@RaphaeliAgustino 3 ай бұрын
Tupe laha baba
@godsonmgisha5517
@godsonmgisha5517 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Ndillehmalove
@Ndillehmalove 3 ай бұрын
Pak waseme
@daudmoshi6623
@daudmoshi6623 3 ай бұрын
Yanga tafadhari jitahidini jezi ya chama ije ime printiwa jina lake ,, sio MTU akaprint mwnyewe apana bhana
@MauBonde
@MauBonde 3 ай бұрын
Ninachojiuliza ataingia kwenye mfumo wetu wa teamwork na sio ufather au kuridhika na mshahara.watoto wa jangwani daima mbele nyuma kwety mwiko...asije kuwa kama skudu makudubela.
@GabrielyMinde
@GabrielyMinde 3 ай бұрын
Mi sisemi licha ya mateso ayaaa iyo ndio nyimbo pendwa yawale jamaa msimu unao kwenda kuanza 😂😂😂😂😂
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 3 ай бұрын
Kaondoka chama kaja mutale mtoto mdogo miaka 22 kwa hiyo hakuna hasara zamu yenu kuchukua majina simba wanachukua vijana mbwembwe zitaisha kweli simba ina vipaji amefanya mazuri alipo kua simba malizieni uzee ujana wa simba
@LinuskalokolaNicolaus
@LinuskalokolaNicolaus 3 ай бұрын
Wahooo makoloal wanatetemeka jamn dah😂😂😂😂 yanga haoooooooo msimu huu makolo wataisoma namba😂😂😂 I love you yanga
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 3 ай бұрын
alliy kamwe unafaya vizuri sana nduguyetu nasisi tukonawewe lakini kunamakosa yanafayika usikasirike kuhusu ndugu yetu jamayetu manji manji likuwa mukezaji wetu wazamani alitupa furaha sasa yeye ametagulia mbeleya haki hata siku 2 hazijapita wewe unaigiya mitaani kufaya furaha ya chama ugesubiri siku 3 chama yupo yanga ipo kwakweli sio vizuri sisi tupohuku marecani tulishagazwa kuona wewe ukomitani kwa furaha bada manji kufa
@ngwenyaflorence3193
@ngwenyaflorence3193 3 ай бұрын
Jamani mayele arudi yanga yanga ilikuwa inatetema mpaka kanisani
@GELLARDJOHN
@GELLARDJOHN 3 ай бұрын
💚💚💚💛💛💛
@GELLARDJOHN
@GELLARDJOHN 3 ай бұрын
💚💚💚💛💛
@makolosaid5232
@makolosaid5232 3 ай бұрын
Of course yanga inafurahisha.
@MarkoJohn-y8n
@MarkoJohn-y8n 3 ай бұрын
Chama sawa je mfumo wa miguel atauweza?
@firedon2463
@firedon2463 3 ай бұрын
Unafurahia ukiwa wapi
@DicksonNkosi-o6k
@DicksonNkosi-o6k 3 ай бұрын
Timu kubwaa
@JacobMungopele
@JacobMungopele 3 ай бұрын
Ameisha uyooo
@charlesmwaipasi2884
@charlesmwaipasi2884 3 ай бұрын
Yanga hatuna mbambamba
@KidiruKidiru
@KidiruKidiru 3 ай бұрын
Rahaaaa sanaaaaaa
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 3 ай бұрын
🟢🟡 young forever
@Jacksonnyalla
@Jacksonnyalla 3 ай бұрын
Yanga daima
@luganokibona7328
@luganokibona7328 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@eliyaernest2221
@eliyaernest2221 3 ай бұрын
😂
@danielbenard9053
@danielbenard9053 3 ай бұрын
❤❤❤
@mutokabalibanga317
@mutokabalibanga317 3 ай бұрын
Toto jinga sana hili
FISTON MAYELE APIGA SALUTI KWA MAXI/NITARUDI YANGA/MSIKIE.
5:26
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 31 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 32 МЛН
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 16 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 31 МЛН