HII SASA SIFA/TAZAMA ALI KAMWE AKIWALISHA CAKE ZA CHAMA WANANCHI JANGWANI

  Рет қаралды 70,560

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер: 126
@michaelpengo8730
@michaelpengo8730 3 ай бұрын
Yanga mna Raha sana. Naweza kusema miongoni mwa watu wenye Raha duniani na Yanga mpo kwenye Top 10.🎉🎉🎉
@MosesTumusime-cz1dc
@MosesTumusime-cz1dc 3 ай бұрын
Kutoka Rwanda shabiki muziri wa Yanga kutoka utotoni jamani Jangwani tujiandae kutafuta ubingwa Tena mwaka ujao Kilala heri team yetu mungu mwema awe nasi
@MosesTumusime-cz1dc
@MosesTumusime-cz1dc 3 ай бұрын
Yaani Jangwani tuko zaidi team uwanjani tu tuko family ndani ya uwanjani na inje ya uwanja kbsa
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 3 ай бұрын
Mpira ni burudani zaidi ya dk 90 za ndani ya uwanja. Hongereni sana viongozi vijana kwa ubunifu wa kiwango cha SGR.👏👏👏👏🤪🤪🤪
@MasterG-dc1tx
@MasterG-dc1tx 3 ай бұрын
Hahahahaha wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tuenjoy tu maana tunaweza viva timu yangu young Africans,asanteni washabiki wenzangu na uongozi wote,hatuna dogo,daima mbele mwiko nyuma
@SuhuurFarxaan
@SuhuurFarxaan 3 ай бұрын
😂😂😂duuh ila yanga nangoja 10 za master ki na 39 za screen protector ntazila hizo
@ismailseleman2952
@ismailseleman2952 3 ай бұрын
Munguawajalie wotemlioletakeki
@SIMONHERMAN-qv2ln
@SIMONHERMAN-qv2ln 3 ай бұрын
Mpora wa Bongo bana...😢 Ndo maan wachezaj wa kigan wakja Huwa hawapasahau
@Hassansalum-j3k
@Hassansalum-j3k 3 ай бұрын
Jamaniee maoniyangu chama mwenyewe ndioangewalisha wanachama mashabiki wapenzi iliaoneshe mapenziyake kwetu.
@Maryc2G
@Maryc2G 3 ай бұрын
Yanga haina dogo, yanga inafurahisha sana 💚🇹🇿
@EstherMulinga
@EstherMulinga 3 ай бұрын
Hio sherehe ya keki chama yupo hapo kwenye keki anaziona
@JosephNgasa-j7l
@JosephNgasa-j7l 3 ай бұрын
Tunamtaka mamelodi tunahasra nae
@ShidaMgala
@ShidaMgala 3 ай бұрын
Hii ndo inaitwa utajua hujui😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 3 ай бұрын
Hawa vijana yanga wamefiti kwenye kitengo wallah wanakela hawa hhhhh
@RamadhanMabwabwa
@RamadhanMabwabwa 3 ай бұрын
Mzee mpili anatia neno kimya kimya idara ya ufundi😂😂
@WatuShazi
@WatuShazi 3 ай бұрын
Chama,,chama kwell msichiukulie poa mnshaumia so kdog
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤😅
@25code
@25code 3 ай бұрын
Jambo tunalo na tunatamba nalo.karibu chama.na umeingia k wenye chama la kweli
@rachelsamwel5359
@rachelsamwel5359 3 ай бұрын
Walikuja wachezaji wa maana kama Pacome na Jeshi wamefanya mambo makubwa lakini mapokezi yao yalikua ya kawaida tu
@AngelMbanga
@AngelMbanga 3 ай бұрын
Ivi chama kwa mapokezi haya unatuaidi nini wannch ??? Yanga rahaaaaaaa
@vwambanjichibwe4893
@vwambanjichibwe4893 3 ай бұрын
🇿🇲🇿🇲
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 3 ай бұрын
Kweli wanainchi hatuna jambo dogo🤣🤣🤣🤣🤣
@SanchezMutiti-ie8ed
@SanchezMutiti-ie8ed 3 ай бұрын
Wakwanza
@kessysenga8700
@kessysenga8700 3 ай бұрын
Suda yanga sijamuona hapo jaman mmemsahau wapi?
@monicalucas3738
@monicalucas3738 3 ай бұрын
Alafu hii biashara ya kusalimia Salam moja hatutaki ubaguzi wa dini, timu ya yanga ina wakristo na waislam .
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 3 ай бұрын
Kabisaaa ,
@moshintagata100
@moshintagata100 3 ай бұрын
Sisi niwanainchi tunahitaji salamu mbili asalam lekum pia na bwana yesu asifiwi bilashaka mumenielaewa
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 3 ай бұрын
tatiz imesemwa kiarabu .kiswahili maana yake amani iwe juu yenu .yohana 20 ...19
@Victorrwezimula
@Victorrwezimula 3 ай бұрын
Naipenda sana yanga jaman❤❤❤❤❤❤
@rachelsamwel5359
@rachelsamwel5359 3 ай бұрын
Huu sasa ni ushamba na ujinga watu na elimu zenu mnafanya vitu vya kipumbavu
@bakarmpilyzegreat
@bakarmpilyzegreat 3 ай бұрын
Hatunaga show mbovu
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 3 ай бұрын
Umependeza hiyo
@odilomwakamela4889
@odilomwakamela4889 3 ай бұрын
Kadi ya kuwa mwanachama wa Yanga naipataje na ni shiling ngap ?
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 3 ай бұрын
Alosema hasainiiiiiii Mbona kasainiiiiii alosema hasain mbona kasainiiii Tunae chama tunaeeee Tunae chama tunaeeee Tunaechama tunaeee tunae twatamba naeee
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 3 ай бұрын
Ma Dada keki siku ingine wa vae chochote kinacho onyesha mapenzi yao kwa Yanga Sports Club Tafadhali
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 ай бұрын
Mzidishieni sifa awatende km Mayele maana mmezidisha tena hamjali km tuna msiba Wa Manji au kawakosea nn mpaka mnafuraha kupitiliza
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 3 ай бұрын
tumeshazika waislaam hatuna maombolezo ya wiki nzima hata akifa nan
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 ай бұрын
@@eidallyeidally5093 Ile siku yakuzika mmeanza shangwe hamuoni haya
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 3 ай бұрын
💛💚💛💚💛😀📸 Daima Mbele Nyuma mwiko
@CosmaMwale
@CosmaMwale 3 ай бұрын
Hasa chamamwenyew hayupo hapo
@ashorass4431
@ashorass4431 3 ай бұрын
Nice
@VicentMbise
@VicentMbise 3 ай бұрын
Yanga nimeikubali
@silasjacob-j2l
@silasjacob-j2l 3 ай бұрын
njie niwapumbavu badala yakuomboleza mzamin wenu kafariki nyie mwala keki kwahio umeowa alieachika af unatamba hahaha
@hanifamziray277
@hanifamziray277 3 ай бұрын
Haaaa.watajuta waoooo😂
@JeromeKasembe
@JeromeKasembe 3 ай бұрын
wananchi hawana shoo mbovu
@emmanuelfrance
@emmanuelfrance 3 ай бұрын
Mko vizuri sana wananchi
@danielbenard9053
@danielbenard9053 3 ай бұрын
💛💚💛💚
@matendojumanne5823
@matendojumanne5823 3 ай бұрын
Yanga haoooo daimambele nyuma mwiko
@mbwanaoch9886
@mbwanaoch9886 3 ай бұрын
Sisi hao
@NestoryFrances
@NestoryFrances 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@Faharitvplus
@Faharitvplus 3 ай бұрын
Muuza cake kapata Fursa ya kutangaza biashara ya cake
@LucasMganga-f6l
@LucasMganga-f6l 3 ай бұрын
Young bab lao
@saidmasengo7988
@saidmasengo7988 3 ай бұрын
CHAMA TUNAYE NA TUNARINGA NAYE🎉🎉🎉🎉
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 3 ай бұрын
jamani mim naupenda sana uwongozi wa yanga,wana mfano wa kuigwa.ningependa kwetu Moçambique tuige tanzania,.😊 nawapenda sana yanga.
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 3 ай бұрын
Mpili alitakuongeza keki ale😂😂😂😂
@CasianMchalo
@CasianMchalo 3 ай бұрын
Nawashukul sana
@OlivaMHANDO
@OlivaMHANDO 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤I Love it, umwaaaaaaa
@PhilomenaSteven-x9h
@PhilomenaSteven-x9h 3 ай бұрын
Nyie ndo mnafanya mambo yawe magumu km kamali je mtaficha wapi sura zenu
@PaschalHose
@PaschalHose 3 ай бұрын
Afu nasikia mwakani KAPOMBE tutatambanae
@BakaryOmally
@BakaryOmally 3 ай бұрын
Nashauri tuwe na wimbo wa utambulisho wa timu yetu ambao utapigwa kabla na baada ya mechi utawapa hamasa wachezaji kupambania timu
@innocentntabanganyimana2111
@innocentntabanganyimana2111 3 ай бұрын
YANGA 💛💚 team tunaipenda
@HusseinAlly-zp7sb
@HusseinAlly-zp7sb 3 ай бұрын
Yanga daima🎉
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 3 ай бұрын
🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🤣🤣🤣🤣🤣
@EstherDouglas-c5w
@EstherDouglas-c5w 3 ай бұрын
ILike it🎉❤
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 3 ай бұрын
Hongereni Sana hayomambo msimbazi hayapo kwann wachezaji wasije yanga namnaiyo lazima kuonesha mapenzi kwa wachezaji
@terrence9477
@terrence9477 3 ай бұрын
Mkianza msimu, nitaleta keki kwa Pacome, lazima msimu uanze kwa mbwembwe
@dittosanga3358
@dittosanga3358 3 ай бұрын
Welcome friend chama to Young Africans
@aziziabeid6052
@aziziabeid6052 3 ай бұрын
Ku?
@Maryc2G
@Maryc2G 3 ай бұрын
Mikeki kama yote 🧁🥮
@PhilomenaSteven-x9h
@PhilomenaSteven-x9h 3 ай бұрын
Punguzeni izo sifa mnaonekana washamba bana
@Sunshine0222
@Sunshine0222 3 ай бұрын
Dah hii timu kubwa sana
@neemamollel6972
@neemamollel6972 3 ай бұрын
Sisi ni zaidi ya familia
@JANE-jv4eq
@JANE-jv4eq 3 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@IsaahTz
@IsaahTz 2 ай бұрын
Dar yanga Daima mbele nyumba mwiko,
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 3 ай бұрын
Ku. Be mzee mpiiili upo
@exautmwalukasa2092
@exautmwalukasa2092 3 ай бұрын
Nyie yanga nyie hizi ni sifa sasa yanga tam taman
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 3 ай бұрын
💚💛🇹🇿
@officialchokod1304
@officialchokod1304 3 ай бұрын
❤❤❤❤ 😂😂😂
@anithqpaul3923
@anithqpaul3923 3 ай бұрын
Hayawi ayawi sasa yamekuwa
@JasmineSelemani-c2w
@JasmineSelemani-c2w 3 ай бұрын
jasmine wajina wangu asante
@AgenesMugema
@AgenesMugema 3 ай бұрын
Makombe yaendelee🙏🙏🙏🙏
@vicentsagudasheyi564
@vicentsagudasheyi564 3 ай бұрын
💛💚🖤
@PillyLushete
@PillyLushete 2 ай бұрын
Kalibu yanga Haina njaaaaaa
@nicksonmlay542
@nicksonmlay542 3 ай бұрын
Wananchi Wamefurahiiiii💚💚💚💚💚💚💚💚✅
@ramadhanmanyacolour5236
@ramadhanmanyacolour5236 3 ай бұрын
The hevent cakes ofisi Jasmin
@ZuberiMaulid-s5d
@ZuberiMaulid-s5d 3 ай бұрын
@planctv5961
@planctv5961 3 ай бұрын
Yanga 🙌
@GodliverByarugaba
@GodliverByarugaba 3 ай бұрын
Matako yenu
@SanziNzige
@SanziNzige 3 ай бұрын
Wanayanga NI washamba mpaka mwisho wa dunia.kwaakiri yenu chama ndiyosba?. na mabango mnabandika ya Nini Sasa mbona Simba chamba hakubandikiwa mabango?. Nyie kila kitu bango mmekuwa mademu?.na nyie hamna timu timu ya akina mwigulu!. Chama amekuja kubeba majinihayabebwi na watoto.na chama lazima Ana wa kwake hapo.mko hapa
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Mpira ni furaha Sasa makasiliko ya nn
@MlingaSawack45
@MlingaSawack45 3 ай бұрын
Pole kolo kwa povu
@gracemtonga3263
@gracemtonga3263 3 ай бұрын
Kolo hutoooooooo😂😂😂😂😂😂
@BraisonIssack
@BraisonIssack 3 ай бұрын
Oya uko sahihi kila kitu bango wasenge
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 3 ай бұрын
Yanga raha
@gastonfuraha
@gastonfuraha 3 ай бұрын
🔥🔥🔥
@MobileMobigo2
@MobileMobigo2 3 ай бұрын
Yanga
@ommyzubery8358
@ommyzubery8358 3 ай бұрын
Tusipitilize sana shangwe wana yanga kuna na wachezaji wetu wengine nao wasije kujiona kama nao hawana thamani kwani nao wametutoa mbali jamani inatosha hayo mapokezi yasije yakazidi mipaka huo ndio ushauri wangu DAIMA MBELE NYUMA MWIKO!
@law93king
@law93king 3 ай бұрын
kitu cha kawaida sana wote huu ni utani wa jadi tu hata wao tumewaheshimisha msimu mzima na tutaendelea kuwaheshimisha bila ubaguzi
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 3 ай бұрын
Na pia nao walishawahi kufanya haya baaada ya kumchukua MORRISON tukaumia mpka JK akasema nasi tufanye kuwaibia sasa huu ndio mpango mzima 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@law93king
@law93king 3 ай бұрын
@@jumannemsengi2195 yeah ni vitu vya kawaida tu hata wao wachezaji wanajua
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 3 ай бұрын
Nao watandaliwa keki yao siku ya kufungua Kambi huko Avic Town!
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 3 ай бұрын
Kazi kulishana cake ila kuwalipa wachezaji madeni ya ...aaah
@daudimichael7338
@daudimichael7338 3 ай бұрын
Mchezaji gani anadai?
@ZuberiMaulid-s5d
@ZuberiMaulid-s5d 3 ай бұрын
@law93king
@law93king 3 ай бұрын
😂😂😂
@SelemaniIsmail-o4r
@SelemaniIsmail-o4r 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@MariaMsuku
@MariaMsuku 3 ай бұрын
Mwamba waka dugu
@AnithaMussa-k2s
@AnithaMussa-k2s 3 ай бұрын
Usanii
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Sawa msanii mwenzetu
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 3 ай бұрын
Msaniii anajulikana "MO"😂😂😂😂😂😂
@MarwaChacha-d8z
@MarwaChacha-d8z 3 ай бұрын
Simb
@ramadhanmanyacolour5236
@ramadhanmanyacolour5236 3 ай бұрын
Bosi wangu Jasmini Umenipa jukumu la kukutengenezea ofisi mpya hapa Temeke Stereo Bigbon karibu na mpaka tegemea matokeo mazuri kutoka kwetu
@marthageorge5043
@marthageorge5043 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@amanizavala
@amanizavala 3 ай бұрын
Nimeamni utopolo wenye akili ni wawili tu
@FatumaShabani-mp9vt
@FatumaShabani-mp9vt 3 ай бұрын
Lia 😂😂😂😂😋😋🤭
@mirajiali3926
@mirajiali3926 3 ай бұрын
Acha wivu kolo wewe hiyo ndio team ya wananchi
@SadamSarita-t7z
@SadamSarita-t7z 3 ай бұрын
Utopilo wengi akili hakua
@FatmaRajab-ll8gw
@FatmaRajab-ll8gw 3 ай бұрын
Unateseka ukiwa wapi nikiletee panadol za kenya
@SadamSarita-t7z
@SadamSarita-t7z 3 ай бұрын
Kwenye period yako niletee Panadol ukipona nikutafune
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 33 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 36 МЛН
Magoli yote 21 ya Aziz Ki NBC Premier League 2023/24
13:07
Azam TV
Рет қаралды 170 М.
FISTON MAYELE APIGA SALUTI KWA MAXI/NITARUDI YANGA/MSIKIE.
5:26
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН