“Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwanae kuuhukumu ulimwengu bali auokoe ulimwengu. ✝️
@alonchobasamiye684411 ай бұрын
Amen
@JonathanNelson-l8h11 ай бұрын
Mimi ndimi wa kwanza😂 tafadhari like zinifikie popote nilipo
@lenakassian-pr3dy11 ай бұрын
Mzee kinyonyoke ataree anauza pumbunza mbuzi wee vipili pili ataree😂😂😂 uswazi raha
@faidhacute11 ай бұрын
Uyo Mzee mkaanga nyama mbon kama kafosiwa kuhojiwa😂