Рет қаралды 1,836
Baadhi ya wakulima katika kaunti ya Kiambu sasa wameanza kutumia mbinu maalum ya kuendeleza kilimo bila matumizi ya udongo. Kilimo hicho kimewapa wakulima wengi haswa walio maeneo yaliyokumbwa na changamoto za maji na hali ngumu ya anga fursa ya kuendelea na utoshelevu wa chakula.