Mama shiko, uliposikia wachira anatola South Africa ukaingiwa na tamaa ukamkaribisha kwako hapo ndio ulijichimbia shimo. Wachira ataharibia hata shiko maisha. Mungu awasaidie
@mjombawallace4966Күн бұрын
Ndio
@BintiDanfordКүн бұрын
Nikweli
@sandraawourКүн бұрын
Aki mama shiku will make men hate single mom akiii😢😢😢shiku one day u will ask forgiveness
@rahabmaina3240Күн бұрын
Wanatuchomea aki and we need husbands
@GladyKalekyeКүн бұрын
@@rahabmaina3240😂
@lynsanaipei3197Күн бұрын
Men are not all the same, just be honest when getting into a relationship
@ErnestNgaireКүн бұрын
Hakuna..shiku is right...daughter will always remain dad's little girl
@ericgathii1387Күн бұрын
@@ErnestNgaire where was that dad For 10yrs. What if they died of hunger?
@vitalicecharleswamagemo8527Күн бұрын
Huyu Mama ni mikora akwende huko😂😂😂😂
@husseinnjoroge4437Күн бұрын
Huyu mama ni poison Dangerous
@susanngugi2489Күн бұрын
This girl is confused want to put baba mlezi jail
@PurityNthenya-s4qКүн бұрын
Uqweli
@43naomimКүн бұрын
I believe her.
@wairimukagia4321Күн бұрын
God, may your will be done on this whole saga because your judgement is always fair and just.
@victormaina9343Күн бұрын
I said it before Wachira will do anything to fix this man and now Shiku has said it..baba mlezi be careful of wachira or else you will end up in prison!!!
@lizpitah3500Күн бұрын
This gal will cry tears mingi sana
@vianneykaskalavi53622 күн бұрын
Kuishi na single mother inahitaji moyo pole baba mlezi wewe pia rudi kwa mkeo😃😃😃
@susangichuhi1043Күн бұрын
Bona all thru hawajazaa pamoja? Something is cooking na Samaritan hataki kusanitize baba mlezi
@vianneykaskalavi5362Күн бұрын
@@susangichuhi1043 mlezi anaangalia matako na matiti ya daughter mkora kama bibiake
@lucymacharia4134Күн бұрын
😂😂
@paulkaranja9257Күн бұрын
Hana mtoto, Hana title deed, anafuata matako za Ciku.....bure kabisa
@Roxana-q5jКүн бұрын
Kwani umesikia wameachana na make wake si labda ako na ndoa mbili
@maggieshi690Күн бұрын
Baba aliona ukitongozwa akiwa south Africa utalilia choo juu hakuna SA unapelekwa uta loose everything mtoto mjinga qweli😢
@faithmusyoki8684Күн бұрын
She can never regret
@christine4072Күн бұрын
Huyu msichana ananisinya kama wangu😢😢😢weuh how dare she😢😢😢
@rosemaryjoseph9414Күн бұрын
Huyo mtoto ni WA mlezi. 💯
@Theblessed-v9y3 сағат бұрын
Mtoto ni kijana mwenye kuoana ata baba kijana alisema ivo
@GladnessJustineКүн бұрын
Shiku babako mlezi akiachana na mamako wewe ndo sababu,,,muongo kama babako wachira,,,damu mbaya,,damu ya uongo,,damu ya laana ptuuuuuuu🙌🙌🙌🙌
@lucynyakioКүн бұрын
Walai hiking kisichana nikijinga
@DorcasBett-t4eКүн бұрын
Ukweli
@SoziSozi2020Күн бұрын
shiku wacha tuniseme mimi hapa ninatamani nijue babangu sababu babagu mlezi hajewai nipenda kusoma nilijisomesha mwenyewe mahali nilifika shiku utajuta siku mojo☝️☝️☝️
@SusanKamau-b2nКүн бұрын
Hugs mama ciiku,you are hurting and dying inside,all will be well soon🙏
@wairimukagia432123 сағат бұрын
God have mercy on this family.. Baba Ciku na mama ciku wamekosewa sana na ciku, Wachira, cucu na babu yake. How can ciku allow Wachira to bring shame to baba ciku na mama ciku? Baba Ciku mlezi and mama ciku are the best parents I have ever seen
@JospridahMwongeliКүн бұрын
Nipeeni baba mlezi ..ni very understanding
@JoanWambui-o7bКүн бұрын
Huyu sai hawezi taka mtu tena walai
@naomybosibori95042 күн бұрын
Waaaah madhara ya kupenda wanaume wawili😢😢😢
@sophiasophie7964Күн бұрын
Ndio hayo
@kk-xl2ppКүн бұрын
@@naomybosibori9504 being confused
@FatumaJenebyКүн бұрын
KISHA NDOGO NDOGO!!
@peninahwemali2021Күн бұрын
This is the lesson learned
@AgnesKamau-h6jКүн бұрын
If u have moved on always be truthful instead of such a shameful incident
@ANNEMAKA-j4rКүн бұрын
Baba shiko defend your marriage but just let shiko go,wachira is after your separation so don't give him what he wants
@sophiasophie7964Күн бұрын
True
@rahabmaina3240Күн бұрын
What about mama Shiku who accept wachira when married to baba Shiku mlezi mama Shiku is the cause of everything hapa baba mlezi ajitoe before it too late
@lynsanaipei3197Күн бұрын
so true
@anthonyjohn-sm5tbКүн бұрын
Here no judgement we only need to pray for this people and our society and stop leaving in deceit and shame but in fear of the lord.
@margaretmurugi322Күн бұрын
Baba mlezi umesema words powerful sana,that mtetezi wako ni Mungu....wachira na mamake watakipata juu niwao wamekorogea shiku mauongo.
@UserantelopeКүн бұрын
Sanitise baba ciku mlezi
@marygachau272Күн бұрын
Even if ba Shiku has another family no one should blame him coz he has played a great role to this family like his own.
@SalomeTumboКүн бұрын
@@marygachau272nikama atarushiwa kesi ili atoke hapa jamani
@rosemuthoni8109Күн бұрын
Ukweli kabisa
@edithandunguru3405Күн бұрын
@@marygachau272There is no where he was asked and denied
@rebicahmutishКүн бұрын
Watoke wakwende, hao wote wako confused good move baba mlezi.
@sweetheart68132 күн бұрын
Ciku isikuwe umekuwa brainwashed na baba mzazi umuekelee baba mlezi hivyo unasema ,bona hujawahi sema iyo kitu be4 ,maongo na wivu hiyo ni uchawi baya sana ingiingia kwa familia
@sophiasophie7964Күн бұрын
Imagine
@sophiasophie7964Күн бұрын
Wacha wakwende wakiendanga
@BintiDanfordКүн бұрын
Huyu binti na baba ake mzazi nisawa kabisa wako na roho mbaya wameungana kumtoa huyo baba mlezi hapo siku ya kwanza kuonana na baba yake hakuonyesha dalili yoyote yakutendewa ubaya na baba mlezi na haya maneno yakumtaka kimapenzi aliyaazisha baba yake mzazi kwahyo hilo bomo limetengenezwa kumtoa huyo mzee
@gracemburu6355Күн бұрын
Blood is always thicker than water don't blame shiko..I don't fight blood relationship,this problem could have been well solved by elders.
@violeteliza6300Күн бұрын
Seems huyu mzee ako guilty as charged
@LindaLinda-h2zКүн бұрын
People here can't see beyond they just blame shiku kwani kumlea si mama shiko amekuwa na pesa ya kulea mwanawe hala
@irenesteve9765Күн бұрын
Aki this gal😮,i wish ajue tu wht she's doing?mimi mtu awezi chukia my mum akimtusi then tukue kimoja n yeye 😢never,the gal will regrets one day😮
@omarimakokha8297Күн бұрын
Ciku I really pray for you open the eyes of your mother arudi kwa baba yako
@irunguwanjiru526015 сағат бұрын
Sitetei baba mlezi lakini aaaaai shiku nikama anandanganya walai
@CarolNdumbi2 күн бұрын
Huyu baba mlezi hana title deed waaah ataenda😢
@faithkanana76342 күн бұрын
Huyo ni mmeru hataweza kuamuka na tractor hapo wabaki na plot hasira wako nayo 😂 woiii mungu saidia mama
@shadrackamani76752 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣.
@faithkanana76342 күн бұрын
@@shadrackamani7675 true ni wabaya sanaa kwanza wakie plot na nyumba unaweza kufa hata naomba wasikizane
@lenniefei6710Күн бұрын
He can demolish the entire house na ajiendee....
@lenniefei6710Күн бұрын
He can demolish the entire house na ajiendee....
@deekiki1924Күн бұрын
"Hiyo akili ndio utaingia nayo kwa ndoa" perfect point Mama Ciku coz truly Ciku nii muturiku taki
@mumblessed0012 күн бұрын
Waiting Waiting kuna mtu atatoka hivo
@boboskyramaa9916Күн бұрын
Good move baba mlezi, this mama shiko is hiding alot from him...something fishy with mama shiko coz she always talks with wachira, shiko is totally undisciplined lady who will end up on streets thinking wachira will help her
@OderoregeКүн бұрын
But umeskia documents za boma zina soma nani ??
@hellenkathambi8694Күн бұрын
True
@barygarcia3128Күн бұрын
The mlevi fool has woken up..😂😂 ulicheswa kababa mlezi
@joyngai7802Күн бұрын
Sijawai ona mtu mjinga kama Shiku. Ati baba alisema wah😂
@rahabmaina3240Күн бұрын
Yes that is the way to go Hawa ni conwomen baba Shiku better you marry a widow mwenye hatakuletea Aibu
@goodluckmsoka3660Күн бұрын
Kagua simu ya Baba mlezi Naya Shiko utapata ukweli wote
@ndettothejuice3094Күн бұрын
This was a good family if mama ciku never welcomed wachira in the first place but now wanakaa ni kama wamerogwa.
@lucynwaweru4510Күн бұрын
Baba mlezi ako na Bibi mwingine,, sanitiz ifanyike
@rizeshikuКүн бұрын
Atakama ako na Bibi mwingine si shida Bora he provided
@margretnjoki8440Күн бұрын
Ata kama ako na Bibi mwingine huyu ni mwanaume na nusu wachira na huyu unaweza changua Nani??? Saa kupata mwanaume anakupea ata ndazi hivi ni shinda respect kwa Baba mlezi manze🫡
@reubenmwangi6772Күн бұрын
It's doesn't matter polygamous is allowed by the law as long as mwanaume ako capable of providing his families
@amoskambo8991Күн бұрын
Kwani walikuwa ni WaMeru.
@Jane-fi8on2 күн бұрын
Eagerly waiting for Mzee’s other family to come on set. I would like to hear from them. Look for them Samaritan.
@MillicentAseyo2 күн бұрын
Baba mwezi with your calmness let these family alone even if you fight you won't succeed, umetenda yako n let the lady go back to her husband yy ndio alikudanganya the guy not sleeping on your bed😅
@Dear070522 сағат бұрын
kwa cucu ni mimi KFC🤣🤣🤣
@lenniefei6710Күн бұрын
I saw that coming......Play stupid games, win stupid prizes !
@vivosereniКүн бұрын
Wacheni na shiko kaende... hana shukrani ... yaaani unalea mtoto miaka mingi lakini anakuondekea na madharau ! let her go .. she will come crying ...
@karanujosephmwauramwaura9925Күн бұрын
Cameraman ako mahali strategic kabisa
@violeteliza63002 күн бұрын
Or may mtoto wa shiku ni WA baba mlezi ,,just wondering loud 😅😅😅😅
@lilianmanirakiza7875Күн бұрын
Am thinking loud too😬
@pamelamudogo5551Күн бұрын
True
@joyngai7802Күн бұрын
No Mwenye anamuoa ndio baby daddy
@cynthiaombongiКүн бұрын
She said baba mlezi ameshindia kumkatia....😂😂😂
@cynthycynth2222Күн бұрын
Inaeza kuwa 😂
@irenembithe305Күн бұрын
Kuna kitu fishy baba mlezi na shiku, sana u need to sanitize huyu baba mlezi
@mugishakakomere9474Күн бұрын
Ndiyooooooo awe sanitised mimi naona ka ukweli mu kinywa ya ciku na mu macho ya baba mlezi.
@treasureforashes3497Күн бұрын
Akutafutaye hakukosi, when getting his food. Money ,fees hukukumbuka unatongozwa , wewe ni muongo, and if ulitongozwa mama anakujia wapi kumdharau ?
@Wilky254Күн бұрын
Hooooo my God!!!!! 😳 😳 😳 😳 😳
@ThaddesusNyaenyaКүн бұрын
Kumbe kuku ni powerful hivi
@charlessunar2058Күн бұрын
ciku akili yake si mzuri
@nxjjfj4923Күн бұрын
Shiku, ameabiwa maneno ya uogo 😢 bba mlenzi n mtu Ako na heshima zke hyu shiku n kichwa gumu wachaneni na yeye aede
@hawababy120Күн бұрын
WEE CIKU UTAJUTA KWENYE MAISHA YAKO😮MAMA CIKU NAWWY KUMLETA BABA CIKU KULALA HAPO ULIKOSEA SAN .SAMARITAN SANITIZE PLZ BABA MLEZI NA CIKU TUJUE UKWELI
@JanewambuiWambuiКүн бұрын
Sama santise hizo mazimu ukweri ujulikane we don't want peace we want problems
@mjombawallace4966Күн бұрын
Kabisa omba simu ya Shiku na Baba mlezi kabisa
@Mariam-v2iКүн бұрын
Hapo kumethoka wawawawa 😊
@rachelwaweru13092 күн бұрын
I wondered what mama shikoku wanted when inviting Wschira in her house for 3 weeks.
@kk-xl2ppКүн бұрын
It means she never moved on aue ndege mbili na jiwe Moja aje
@perezaglimmuliga4539Күн бұрын
Huyu Mama Ciku ni kama Anapenda chuma sana abd she wanted to exprience ya kutoka SA
@kk-xl2ppКүн бұрын
@perezaglimmuliga4539 of course na ujue walikaa 13 yrs na sio divorce ni distance so the love is still flesh
@megaumojakitchen1599Күн бұрын
Ni malaya!
@marykaruri8994Күн бұрын
Big mistake
@mumbisandtmann89312 күн бұрын
If there is prove of what Shiko is saying huyu baba ndie atatoka
@patiencewatarethepoetmoifo907Күн бұрын
She's just insinuating things ....why did she cry upon being asked?She wants to appear clean.
@mumbisandtmann8931Күн бұрын
I guess was couched by Wachira @@patiencewatarethepoetmoifo907
Ukweli gani na unaona tu shiko mwenyewe ameshindwa kujieleza Kwani washira alikuwa malaika akaona kenye Kina endelea akiwa South Africa. Acha kulala kwa darasa
@MargaretMwapiaКүн бұрын
Msichana muongo hata hajielewi
@mumbisandtmann8931Күн бұрын
@@EverlyneOmungalalabda ata hio amelala huko Wachira ndie amefanya
@EverlyneOmungalaКүн бұрын
@@mumbisandtmann8931 mtoto kukula kuku kachanyikiwa zaidi
@mugishakakomere9474Күн бұрын
Na siyo ku mtongoza tu naona alikuwa ana mukula peacefully na ndiyo maana alipata bidii ku musomesha. Body language haiwaambiye chochote!
@PeterNgungi-qf9vhКүн бұрын
Shiku umekosea sana baba mlezi heshima ata kama Washira ni babako mzazi lakini ungefanya heshima kidogo
@cewaki799Күн бұрын
wanjiku is stupid and am very sorry, she should stick with her mom💔💔💔💔
@waa242Күн бұрын
Am in marriage for 25yrs but what my in-laws have shown me they can't have a share in my daughter's dowry kama mbaya mbaya
@CyruskiioКүн бұрын
I swear to god shiku utakuja kujua manaa y mama
@lucymaina7216Күн бұрын
Baba ya kijana alisema shiko alizaa na kijana wake wakiwa college..hii yote ni plan ya wachira.....he out to spoil cause he has failed.
@CheputiaStephenКүн бұрын
Mbna walitaja mtoi mxee akaona chini 😅
@lynsanaipei3197Күн бұрын
I stand with baba Shiko mlezi ❤
@justofavour9109Күн бұрын
Am happy the way this man so called baba mlezi amefunguka macho,na amejua the person he married, this woman ni nyoka 🐍🐍 she wanted to use this man kumfanyia maendeleo bt at long last ukweli umejulikana, uyu mama Bado anapenda wachira chini ya maji, and she was finally to kick him out ... Samaritan na ww soma our comments pliz sanitize uyo baba mlezi na uyo shiko we want to know mtoto wa shiko ni WA nani huenda Kuna mambo fiche Kwa hizo sim zao period ‼️ 👺👺👺
@terryortlieb5003Күн бұрын
TRUE
@estherkinyua914Күн бұрын
I said it
@MaryanneWanjiru-ok4coКүн бұрын
Tamaa ya uyu mama amejiharbia boma, kwann alimkaribisha Wachira kwa baba mlezi?
@MaryanneWanjiru-ok4coКүн бұрын
Tamaa ya uyu mama amejiharbia boma, kwann alimkaribisha Wachira kwa baba mlezi?
@jojoh-n5eКүн бұрын
Kazi South Africa 😂😂😂😂
@terezakioi2864Күн бұрын
Wanjiku wee nimkubafu sana
@DorcasBett-t4eКүн бұрын
Shiko ni mjinga kaa wachira I wish uyo kijana ameache juu ataoa shida
@jacintamumbi-c6vКүн бұрын
Wewe mama ulijikaanga mwenyewe
@rosemsaki1111Күн бұрын
HUTU MSICHANA HAJAFIKA HATA DARASA LA 3 HAHA AKILI HATA CHEMBE
@myanimalgallery.23692 күн бұрын
Hii kufukuzana ni juu amesemwa na shiko kuhusu kumtamani, remember shiko alisema ako na maneno....
@edithandunguru34052 күн бұрын
Lakini kwa nini alikaa kimya siku zote?
@susangichuhi10432 күн бұрын
@@edithandunguru3405Wagefikuzwa warudi wapi? Ndio maana anaambia mamake aache kuongea hio mambo asijiharibie
@susannjoraКүн бұрын
Ata pengine alioa mama shiku juu aliona kasichana karembo akajifanya amempenda@@susangichuhi1043
@myanimalgallery.2369Күн бұрын
Labda alisidwa ataanzia wapi, but mambo ikatokea akapata chance....@@edithandunguru3405
@myanimalgallery.2369Күн бұрын
@susangichuhi1043 but either way,mum shiko sioni akienda,she is the legal owner of that land,,not unless bwana mlezi ambomoe hiyo nyumba
@henrynuthu32442 күн бұрын
Baba mlezi tadhali sikiliza na mama shiku mukaa pamoja wachana na shiku aende kwa wachira and forget about her kabisa
@MthaMwalimuКүн бұрын
Good advice
@joyngai7802Күн бұрын
@@MthaMwalimuMy advice too
@BlessedMammyКүн бұрын
Mama doesn’t want to take the daughter responsible for messing up the ruracio and insulting them . She is still in denial of her daughters real filthy characters hence saying she’s not to be blamed yeye ni mtoto 😮😮😮a full grown 23years old woman ☹️
@AgnesKamau-h6jКүн бұрын
Yes because she want to use the step husband like a tissue she stole wachiras children including the one who was in womb she stole the plot through froud she also attempted to steal wachiras car after sleeping with him 4 three weeks. If u were a true woman those three weeks could be enough to tell wachira u moved on but due to your greed God showed ur dark side Tewhen she slept three weeks
@BintiDanfordКүн бұрын
Nikweli kabisa shida ya mama shiko kang'ang'ana na shijuw sijuw kwanini huyu mtoto yupo kama baba yake atawagombani ameshalishwa sumu huko kwao mama asipochunga anapoteza Kila kitu
@johnkamunyu99722 күн бұрын
God have mercy...mazao ya tamaa
@dancankamau3078Күн бұрын
Makofiii. Azae wake. Period.
@perezaglimmuliga4539Күн бұрын
I support these
@deeruta9894Күн бұрын
Na jasho yake? Nani atamlipa remember karma will fight back wht goes around comes around hiyo ni pesa yake n time pia. Kwani huyo baba mbona hakulea watoto wake ( care )? God is watching
@SolaisWambuiКүн бұрын
Samaa mahali ya faa ipelekwe Kwa baba mzazi sio kwa baba mlezi, Ali fanya vizuri malipo ni huko mbele
@micahkariuki1322Күн бұрын
Haaa sama leo hana mushene ya kutupea hamefungiwa nje! Why!? Tunataka kusikia umbea sama! Contents after Contents😊
@marydavid96352 күн бұрын
Si hawa watu wasikilizane wawe kimoja sasa haya mambo ni ngani
@wamzy1110Күн бұрын
Imagine that girl telling such a lie against her father ...baba chiku 2 !😮 . Kudos Mama Chiku for pinning her infront of Baba Chiku2. That is the way Sama should table facts that he gathers other than keeping silent.
@AgnesKamau-h6jКүн бұрын
How do you know bab mlezi anawekerewa the one who is telling the truth is the one who was wronged and she is right kudos shiku
@leahchristamakori6992Күн бұрын
@@wamzy1110 Shiku clearly said ni babake alimwambia
@elizanyaga3502Күн бұрын
Shiku amesema clearly that her dad (wachira)@@AgnesKamau-h6j
@Roxana-q5jКүн бұрын
@@AgnesKamau-h6jwachira alimwambia aseme
@wamzy1110Күн бұрын
Yes Agnes, Leah and Roxana, nilisikia Chiku akisema baba yake Wachira alimwambia aseme. Im just glad Mama Chiku alitable hiyo jambo wazi mbele ya Chiku na Baba 2. Secondly, imagine its so sad thatChiku at 23 years is pushing that lie. Surely
@leahchristamakori6992Күн бұрын
Shiku is lying that the dad wanted her if she was not lying hangekataa mama yake aseme.baba ndio anamweka maneno lying to her atampeleka south africa
@SamiraMulama-op6bmКүн бұрын
True.....
@ajellicaihugo8268Күн бұрын
Yes mama shiku, wacha dowry ipelekwe kwa wachira
@JaneWanjiku-x5xКүн бұрын
Samaritan muiruri umekesha kwa wenyewe kutoka last year dec 😂😂
@treasureforashes34972 күн бұрын
Shiko today if you drop dead ,you think wachira and your evil grandma will drop a tear for you ? Amelaaniwa anayemuabisha mamake,yaani the woman who loves you unconditionally, you have joined her enemies to destroy her' Enyewe Jesus said the enemies of man are people of his house hold, mama hata awe wazimu hakuna kama mama, ask the orphans they'll tell you...and life is karma
@susannjoraКүн бұрын
Matthew 10:36
@airojane1754Күн бұрын
Angekuwa babake mzazi hangewafukuza but juu nothing binds them together. Anawafuluza hivihivi
@merabshibuyanga2729Күн бұрын
Shiku ni muongo kama Wachira.Damu moja Maya sana.
@sandraawourКүн бұрын
So sad😢😢😢aki
@mjombawallace4966Күн бұрын
Shiku anongea ukweli ndio baba mlezi mpaka alimtaka kima penzi
@gladysmueni2534Күн бұрын
I agree with you 💯%.
@frednyabuto733422 сағат бұрын
Samaritan sanitize baba mlezi na shiku ukweli iko kwa hizo simu zao
@NemuelOmbokaOmwengaКүн бұрын
Nashanganga sana swara zote zinafanana lakini mtoto swara anajua mamake. Shiko anajua babake. Na mama shiko stop kuraja Yesu wewe ndo jazo cha haha maneno
@TimothyKiplimo-pl1nnКүн бұрын
Lazima Hawa watu walikiwa wanakulana na mtoto ni ya baba mlezi😂
@Wilky254Күн бұрын
Sidhani... Ciku ni kichwa Mbaya
@joyngai7802Күн бұрын
Hakuna kitu kama hio.
@JaneWanjiku-x5xКүн бұрын
Please baba mlezi Ako na heshima zake
@lucynjoroge3801Күн бұрын
I like this camera man
@ClaraChenjemaКүн бұрын
Sanitize sanitize mlezi na chiku
@FanisOkotiКүн бұрын
lf lwas shiko lcould stick wth my mum no matter what huyo mama alichukuwa mtoto wa shiko na akamulae ...hw sure are u your grandmother atakupenda na mtoto wako kaa na yy for two month utakuja kulia ...sirahisi kupata mama kama mama yako hadi anakuandikia msichana wa kazi ..navile huku maisha ni ngumu aki ....utaregret lwish ungestick na mama yako hatakama nimbaya ama mzuri ....nakuhurumia only tym will tell
@FaithMuia-f3kКүн бұрын
Wachira ameharibu ndoa ya shiko na mama shiku
@SitterVikkieКүн бұрын
Hiyo kuku ulikula nilikuwa na nini juu huyo cucu yako simuamini anakaa mchawi utalia shiku
@josephinewambua8808Күн бұрын
Chiku please maisha haya chunga Sana mtoto wetu tunakupenda but you're not wise wanawake unyamazia mambo mengi Sana for the sake of their loved ones
@josphinemwaniki8397Күн бұрын
Wacheni kuongea vibaya kuhusu Ciku coz nikama kuna siri fiche hapa,sisi tumewaona kwa mtadao tu maybe Ciku anajua mengi kuhusu huyu baba mlezi.ikiwa aliabia ciku ako na manyujuri kubwa ni mangapi Ciku amepitia ju ya huyo baba mlezi,nitakuwa comfortable Samaritan akifanya sanitizer kwa simu ya baba mlezi.tena niulize wakati Wachira alikaa kwa hiyo nyumba week tatu baba mlezi ulikuwa wapi????.Ama uko na family engine na hatujui???
@lucymacharia4134Күн бұрын
Kuna Siri kubwa sana hapa
@susannjoraКүн бұрын
Already baba mlezi Ako na family mahali huyu ni gacungwa alikuwa Amweka juu aliona ako na shiku akajipretend anapenda mama shiku
@lucymacharia4134Күн бұрын
@susannjora mi shida yangu ni moja warundishe Kila kitu ya wachira, mungu atawapea amani Bure wataisha Kwa shida
@redemptorwayua9151Күн бұрын
Hii story sama ulikuwa unatuletea mara tatu sasa unaleta mara mbili aki,its very interesting that we need it 3 times a day
@elikanaambunya6435Күн бұрын
Let this child be please. Mtoto amelilia wembe mpe. Haitachukua muda kabla kuwatafuta. Hauezi vunja sahani ilikulisha. Ciko is crossing red line. I stand with Baba mlezi