Balozi amezungumzia maisha yake kuliko bidhaa anayotangaza😀😀😀
@enoszaka-tx8qw4 ай бұрын
baba levo unajua sana kazi yako 👏👏
@user-tm8lq3rc1l4 ай бұрын
Huyu ndo blue chawa mwenye akili
@AckriniSikulumbwe200029 күн бұрын
English ya levo bbhana
@omarybakunda25544 ай бұрын
Baba levo piga kazi mi naona una akili
@chusseboywcb28084 ай бұрын
Kubali sanaaa bimanyumba unamadini sanaaa Hua unaongea kama utani kumbe umemaliza unamadini Sanaa
@lodrickmwambene1334 ай бұрын
Maisha sio lazima utoke familia tajiri au msomi sana nikujuwa kujichanganya na kujitoa akili nakutanguliza Mungu baba levo na mwijaku wamefanya hivi na maisha yanaenda sio rahisi mwanaume kumeza pride yako kujishusha kwa mwanaume mwenzako all the best my brother
@walengamwamaua-ws6io3 ай бұрын
Toka huko mtafuta pesa kwa nguvu, hujamsamea mjinga babu
@piusnkwale4 ай бұрын
Mbona hamuulizi ishu za mikataba? waandishi bwana.kuna issue za msingi kuliko personal issues.watu wanataka kujua kuhusu hizo tiles,zinapatikana vipi wewe unauliza ishu za njaaa.dah
@mussamalogo56404 ай бұрын
Hawa waandishi wa kibongo wanafeli
@ramadhanimtetu36564 ай бұрын
Uandishi wa kisasa ni biashara Hawa waandishi wanauliza Yale wanayoona yatauza bidhaa Zao kwa wateja wao watumia MB Mitandaoni kufurahi
@Suleshmond3 ай бұрын
Mkatataba ni baina ya watu wawili sas wew ni wangapi unataka kujua kuhusu mkatataba
@comsmkemwa26714 ай бұрын
Lugha sasa😂😂😂😂
@husseinkonz51924 ай бұрын
Machawa katika ubora wao 😂😂😂
@ISSACCECYTIN4 ай бұрын
BABU LEVO😂😂😂😂😂
@bahofufilm4 ай бұрын
BABU LEVO
@bagenihuduma15694 ай бұрын
B levo hao waandishi hawajakuona hiyo kola. Au wana wivu nao