Baba levo uwa sikupendi na sikuelewi ila leo nimekuelewa big up sana
@reaganhassan1565 ай бұрын
Mpaka hapo nimejua babaLevo ni mtu Mzima na Una jielewa saana, Big Up
@TajiriChuiwadunia5 ай бұрын
😂😂😂😂umelogwa weweee
@igomambeyamatukiotv65365 ай бұрын
Wapi mkorofi tu huyo
@denicdaud47025 ай бұрын
Kama umemskiliza b levo vzr Kuna kitu Cha kujifunza😊
@BahatiDominick-zf3li5 ай бұрын
Kweli kuna funzo hapo
@artist_mtulivu77995 ай бұрын
Kama maelezo ni haya baba levo uko sawa 🙏
@djstoppa22515 ай бұрын
Saf sana baba levo maelezo mazur sanaa na unauamuzi wa ki utu uzima hiy ndio akili muache mtoto ajifunze
@achouraachoura57635 ай бұрын
Kwa sasa atakua na adabu BABA levo..kama kadundwa kweli..☑️📌
@madukurumwanileles79095 ай бұрын
Baba Levo ni mtafutaji ndo maana hajapigana,Sasa hapa Hamo atamlipa pesa ambayo ni kama ameokota dodo chini ya mti wa mkwaju,kupiga Kuna madhara yake!,jamaa anaenda kuvuna pesa Kwa Hamo kimdhamdha tu,Hongera Baba levo
@user-mr1di6ex9x5 ай бұрын
Kamali haina mashiko selikalini
@kibandachasimu5 ай бұрын
unaijua Sheria wewe?!
@georgenzai13555 ай бұрын
Mwanzo umepigwa kasino 😂😂😂😂
@annieteddy37025 ай бұрын
Afu cameras zitasaidia sana kuonesha ushahidi
@sylivestermwasile42035 ай бұрын
Jiloge sehemu kama izo uone kama kunasheria
@richkaja33175 ай бұрын
Levo ubahati mbaya sanaa ulikuwekwa ndani nw umepigwa na harmonize duuh Pole sanaa acha uoga harmonize maskini tu
@bonphacearon24285 ай бұрын
B levo nakuelewa sn ila wapuuuzi hawawez kuelewa point yko...ugomvi sio kitu sahihi kweny maisha haya jmn hujui unaegombana nae kama unakichwa kigum kama mbao huwez elewa...
@taseleli91815 ай бұрын
Huyo baba levo mwenyewe mdomo wake hauna break wacha anyooshwe hawezi pigwa bila sababu kuna jambo hapo😂😂😂😂😂
@SilaMinanda5 ай бұрын
Ww msenge na huyu mama level anamshobkea sana
@junelatifah13855 ай бұрын
You did good baba levo from +254
@user-jx7fc2ej6g5 ай бұрын
Baba levo uko sahii ugomvi sio mzuri kiukweli.
@juliusnyerere53935 ай бұрын
Ugomvi sio mzuri wakati kila siku mjinga huyu anawasema maneno mabaya mitandaoni Kama msenge baradhuli. Hana anachokiweza. Lake ni domo tu. Kama mwanamme angepigana. Aone mm Aaah ooooh ugomvi hauna maana ndio kwanza mjue leo wapumbavu wakubwa angetolewa meno hasa Akajua. Kumbe anajifanya Simba kumbe simba wa karatasi. Mjinga mmoja. Hakuna atakae mlipa. Polisi mambo ya ulevini ni yao wenyewe Hawaingiliii kati.
@mohamedkige25355 ай бұрын
daaaa nakukubali mkuu unajua kujieleza sanaaaa
@Masta3135 ай бұрын
Kutumia Maguvu kushapitwa na wakati Respect B Levo
Nafikiri angeendelea kumsemea baba yake diamond bila kumkandia harmonize..ugomvi una chanzo ndgu😅😅
@user-vu6pd7pg9e5 ай бұрын
Akilet ujinga apigwe sio kilamtu anaitaj chaw
@BensonLukwambe5 ай бұрын
Wewe ni mzungu!?
@EdifonceSylvester5 ай бұрын
Mkuu shida wote walikuwa wamelewa ata baba lovo alikuwa maji mzee
@makilimsimu24515 ай бұрын
Angalia suala lako watanzania wangapi usikosee nchi adabu kaka wataje ambao hawana uelewa unajua wewe ,,alafu jifunze kuandika koment itakuja kula kwako
@MuhammadNasra-jg7qc5 ай бұрын
baba levo ulifanya jambo nzuri kijiepusha na shari❤
@elishamwakasege97945 ай бұрын
YES NAITWA BABAKE NA LEVOOO😂😂😂 LEO NIKO DUBAI NAHAKIKISHA MNAJUA KILA KITU😂😂WAPI LIKE ZANGU
@hassansammy10765 ай бұрын
Pole sana baba levo jembe letu
@Surprised3DModel-ev4zr5 ай бұрын
Pole sana baba levo
@jumannemagawa50955 ай бұрын
Uposahihi baba levo, ugovi hauna faida yoyote zaidi ya hasara.
@user-rr6vu7oe1y5 ай бұрын
Kabixaa
@chonjohousesofdrinks5 ай бұрын
Asante baba lavo kugombana niushamba muache dogo ajione kashinda
@magomakabanja4805 ай бұрын
Huyo Harmonize Hamjui Baba Levo Akaulize Police Traffic wa Kigoma Ugomvi wa Baba Levo Kweli Baba Levo ni Mstaarabu Halafu Harmonize Mbona Anajidhalilisha Kua Hana PESA Mpka Agombane Kisa Million 5
Braza we ni bonge la mwanamziki ila unafeli sana kwenye huu upande namkumbuka sana Yule Baba levo wa miaka ya 2000
@icclcharters33895 ай бұрын
Hapa baba level ame play smart sana,Nia na madhumuni nikumtoa upepo dogo,Watu wapo serious na maokoto so utamtishia kumpiga mwenzako anaibeba kama agenda mkamalizane mahakamani au mfanye mediation ale chake👍Big up sana lkn pia kusameheana ndio ubinaadam pia
@mugishalaurian33115 ай бұрын
Udhalilishaji na masimango plus fitina anazomfanyia harmonize kwanza ashukuru Mungu tu, aendelee kumsemea babake daimond bila kuingilia mkate na hustle za watu..ngoja achapwe apunguze mdomo
@georgeabdallah28975 ай бұрын
Babalevo acha kamari
@khadijanjama87215 ай бұрын
Baba levo ana akili ndefu atapiga hela kwa kipigo kama nikweli amepigwa anazingatia maokoto 😂😂😂
@emmanuelaben-df6yr5 ай бұрын
Kaisha jichanganya kwenye maelezo kusoma alikuwa amelewa
@user-qq6mv6vh3e5 ай бұрын
Kabisa
@RamcyeeJunior254-nb9cj5 ай бұрын
Skiza story Wacha kukomet ujinga
@neemawekab23065 ай бұрын
Baba levo his very mature ❤
@archbordygodfrey26145 ай бұрын
Safi sana baba levo mfundishe adabu huyo mtoto hajielewi mibange tuuu
@karimjuma40195 ай бұрын
Kuma. La mamako hawezi kumfundisha adabu jeshi subir uone inaishaje hii
@fredykaitani5955 ай бұрын
Utafirwaaaa
@josephlorri4315 ай бұрын
Afundishwe ustaarabu..harmonise ni jinga fulani,tabia za ushamba.. mambo ya primary
@user-vb2tg3yt8i5 ай бұрын
Mujinga tu ww
@Zuu6735 ай бұрын
Ni kweli bangi hajielewi
@user-rl4mm1vi2e5 ай бұрын
Muungwana akivuliwa nguo asimami uchutama👍
@WilliamSHABANI-d9tСағат бұрын
Naweye unaongeya sana ban
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp5 ай бұрын
Good job harmo anakuchafua sana kunabaki Yule echi baba naye
@malianonicass70295 ай бұрын
Aibu yenu kugombea pesa 😅😅
@MarizLucas5 ай бұрын
Acha ujinga we matako unashangilia ugomv
@rashowshine78495 ай бұрын
Kumbe msanii wenu ana njaa😂😂😂
@Zuu6735 ай бұрын
Posh kamchuna
@amsiabbas38095 ай бұрын
Ugomvi sio mzuri cha kufanya jiepusheni maneno maneno ili mpunguze maadui
@mwanaidhassan99775 ай бұрын
Kabisa huyu anamdomo sana kiherehere sana
@joshuajilani55325 ай бұрын
You'hv proved us the you real kumbee midomoo matupigiaa mtandaoni mnaa helaa kumbee hamnaa kituu hadi mwapiganiaa pesaaa Bure kabisa
@sangbforever5 ай бұрын
Good interview ❤ Sang b forever best rapper 💪
@TausAbasi-jf2xx5 ай бұрын
Omba omba wa kasino mamba moja harmonize
@HamisRamadhani-uq3bt5 ай бұрын
Pesa mwanaharamuuu daaaah mungu atusaidie katka kutafta lizikiii
@user-lh6nm6dq5w5 ай бұрын
Acha uwongo
@rashowshine78495 ай бұрын
Huyu mmakonde kumbe ana njaa mamae sema kupambana kizimbani na mtu ashakaa jela ajipange😂😂
@taseleli91815 ай бұрын
Ajipange na nini nawe umesikiliza upande mmoja then unaanza hukumu kwanini hakupigwa mwingine kuna la kujiuliza hapi huyo baba leo ana mdomomdomo sana wacha aoneshwe😊😊😊😊😊😊
@Zuu6735 ай бұрын
😂😂😂posh anamchuna
@SilaMinanda5 ай бұрын
Kwani nani huwa ana msakama mwenzie kati ya huyu na Harmonize? Na hapo katunga stor tu kuhusu Harmonize ili amharibie brand. Katumwa
@habililailo2715 ай бұрын
Tatizo unaachama sana siku nyingine watakutoa macho kama sio meno sheria itapita lkn ww huna meno au macho au whatever utakae pat harara ni ww
@user-vu6pd7pg9e5 ай бұрын
Manen mengi sio kilamtu anatak uchawa
@mjukuuwasembuzi5 ай бұрын
😅😂puñguza uwongo wew ni kihelehele sana hongera jeshi🙏
@zenamshana81405 ай бұрын
Jaman, pesa haina undugu 😢
@neemakalugila76745 ай бұрын
Baba Levo pole
@samngala1285 ай бұрын
Baba levo ,I win today take this money
@ericko-2545 ай бұрын
Big up Temboo,,ungepoga mdomo🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@obedymwilenga74905 ай бұрын
Babaelevo upo vizuri
@sidemelodytz64875 ай бұрын
Mwenye akili atamuelewa baba levo. Wasio na akili watamtukana baba levo.big up bro b levo b
MIMI NASEMAGA USTAR KAZ SAANA …. JUST IMAGINE HARMONIZE ANAKUA CHAWA HUKO CASINO ANI ANASUBIRI BOSS ASHINDE NDIO YEYE APATE MTAJI WA KUCHEza …. Na Ukiona mpaka mtu anapigania Million 3 TUJIFUNZE KITU APO …😅😅 maisha Yana rank kwa kwel mtu anakula hela kwenye kamali 1B PLUS DUH nimelia😢
@kiya09105 ай бұрын
Huyo harmoniza ana ushamba Sana ajifunze kuishi nawatu jiga yy mpuzi moja yy
@kikumbaalain86195 ай бұрын
❤❤
@inearclassictz12335 ай бұрын
Omba omba haooo wanagombani 10m za boss
@EmmanuelMoses-pb1zh5 ай бұрын
Mm nimeipenda tu kwenye Take This Man
@dismasgomano2685 ай бұрын
I am Form+225 thanks
@user-uh5ly3ye2v5 ай бұрын
Pole ndugu umepigwa na kitu kizito
@LeahGibebe5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@madukurumwanileles79095 ай бұрын
Aibu sana mmakonde Naye wa kugombania Hela! Pamoja na kumiliki Magari na majumba ya kifahari!,na umaarufu wote huo!,angewaachia hao machawa wagawane,mjinga sana ndo maana anaoa wanawake wazee!.
@user-md9iy9qn1k5 ай бұрын
Hana kitu njaa tupu hana cha gari wala nyumba za mikopo zote hizo
@kingsleynsshukuru26935 ай бұрын
Baba levo uo niuashamba mwenzako daaa ukamucukia wewe vipi sababu diamond anakuliasha vipi mwanangu
@bakarially2535 ай бұрын
Hongera sana Muha mwezangu sisi waha sio wanjonge lakini sisi wasitarabu sana lakini tukiamua huwa sisi ni watoto sana
@deboramartin81115 ай бұрын
Ila kuandika hamjui
@mzansi275 ай бұрын
Waha tangu eanza kufirwa, mjini, mmegeuka vituko vitupu
@@kassioothemiracle1688 wewe nina uwezo wa kulisha familia yenu yote na changanya na ukoo wenu alaaaaah
@liberatusjackson50455 ай бұрын
@@deboramartin8111ww mshamba kg.ndoo habari ya mjini
@mjunimashauri53115 ай бұрын
Ukiacha uteam fundi majumba ametudhihirishia artists wetu ni njaa yaaani Sio pombe 3m ni ya number one artists kupigania na kuleta unable ni njaa inatusumbua
@malianonicass70295 ай бұрын
Hiyo ndo point mzee hawana pesa wanalilia milioni tatu 😅😅
@rerisamba5 ай бұрын
Tena ameenda nyakua pesa za omba omba
@user-wp4hl1mu9p5 ай бұрын
Safi sana bado daimondi
@avax57175 ай бұрын
Baba Levo bwana.. 😂😂 jisemeage wee
@anordgerison86395 ай бұрын
Anajifanya na Tajili kumbe Harmonize n masikini Kama masikini wengine ...!!!!!
@user-vu6pd7pg9e5 ай бұрын
We zako zko wap
@user-vu6pd7pg9e5 ай бұрын
Nawe jifanye tajili tukuone
@user-yj5es1jw8c3 ай бұрын
Upo sawa bos
@luqash_luqman97445 ай бұрын
😂😂😂mkiambiwa wasani wa kenya ni Matajiri kuliko wa bongo hamwaminii onenii sasa ukwlii😅😅😅😅wanangangania za watu njaaaaaa itawauwaaa
@franccoz945 ай бұрын
TATIZO wasani wa bongo wanafeki sanaaa maisha,hawaa wasin s ndoo wanatuaminisha kua wanapesaa sasa wagombaniana mil 10 ya kupewa kweli
@robertulaya64195 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@francisdjkakras32555 ай бұрын
Wew baba levo unafaa unyoshwe vizuri hio mdom itaisha
@kaindooreld-ej2kg4 ай бұрын
Armoniz Kakosea sana Baba levo wanakigoma tukonyumayako
@Timoclement5 ай бұрын
Safi sana Baba levo mda mwingine status yake asitumie vibaya mfundishe kidogo
@user-wu8qe4fv4j5 ай бұрын
Nimekuelewa kbs
@mamy82205 ай бұрын
😢😢😢😢😢kumbe wasani wakubwa wanafanya Ivo harmonize sio ivo 🥺🥺 nakupenda baba levo wetu pole
@robertulaya64195 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@issalyanali41195 ай бұрын
Angevunjwa pia,,mwehu
@cngeze5 ай бұрын
Acha mdomo ,Asante Harmonize
@aminakawawa58005 ай бұрын
😂😂😂
@athumanimhanga20535 ай бұрын
Kumbe maisha yenu wasani ni ya kisenge😂😂😂😂
@mashramadhani19895 ай бұрын
Acha uchoko harmonize mshamba tu
@mckobatz58615 ай бұрын
Endeleeni kumchochea na kumfanya aone yupo sahihi kuvunja sheria ila sheria itapomrudi msije kumhukumu au kumlaumu Baba levo na kumwona hana busara huruma na hekima kwamba ingefaa wamalize nje ya mahakama whereby hawa ni public figure kitendo cha kuwaacha wafanye watakavyo mbele ya uso wa sheria ni kuudhalilisha utawala wa sheria wa nchi hii. Ikumbukwe hakuna aliye juu ya sheria plus kupigana ni mambo ya kishamba tena ya kizamani
@kini80765 ай бұрын
😂😂
@MrTop-wj7no5 ай бұрын
B Levo umefanya poa sana tu kutokumrudishia kipigo hii ni Tz bana sio nchi ya Vita kama kakushambulia kweli ataadhibiwa tu
@SambweteMtepa5 ай бұрын
Babalevo Hana uwezo wakumpiga harmoniz
@raymondclaud60265 ай бұрын
Wewe ulikuwepo???😅😅😅
@alristv35995 ай бұрын
Baba levo fanya kweli, ajifunze
@RahmaAwadh-ul9yu5 ай бұрын
Harmo kaonyesha ushamba wa hali ya juu sanaaaaa
@hidayaally99775 ай бұрын
Kashachunwa hana kitu
@dicksonmoshi74805 ай бұрын
usimlaumu harmonize , ikiwa mpaka sasa hajatoa kauli yeyote
@RahmaAwadh-ul9yu5 ай бұрын
@@hidayaally9977 🤣🤣🤣
@shau-macgyver86035 ай бұрын
Yaani amekufikia sehemu ya kukukunja mwehu wewe bado Yule jinga la mwanza
@malianonicass70295 ай бұрын
Msijitoe ufahamu ni aibu kwenu 😅😅😅 kugombania pesa
@Gyptechne_0015 ай бұрын
Baba levo mjanja.,hicho kipigo anatengeneza hela..siku hizi watu hawapigani.
@Zuu6735 ай бұрын
Hana pesa aibu gan hii kugombania 5milion😂alafu anajiita tajiri
@dotojohn93165 ай бұрын
Mm nakutaka wew mbwa nipo mwanza
@mpajikulwa56295 ай бұрын
Baba levo umezingua Sana kaka angu unapigwaje na mtoto mdogo? Umetuzalilisha Sana watu wa kigoma unapigwa kinyonge umesahau utoton
@christinewomanoffaith54795 ай бұрын
Mi nimesikiliza nimemuelewa Kuna vitu sio sifa,mwisho wa siku hasara tu na una familia inakuangalia
@majaliwamaginyula93275 ай бұрын
Iv kweli wewe baba levo na uzima huo na ujanja wako unaeleza kupigwa na harmonizer acha longolongo Mzee big up harmonizer unetukomeshea kenge ya kigoma
@dotojohn93165 ай бұрын
Mbwa ww
@daudykasherente86675 ай бұрын
Safi levo
@user-kg7of9fr5x5 ай бұрын
Hahahahaha Wana utopolo wote wawili mtajijua wenyewe
@kondeboywashanzu78144 ай бұрын
Ata ungepigwa vzri,Bdo haujapigwa
@HawaKingodi-lw4lm4 ай бұрын
Angepigana kwapesa zakupewa na mwanaume mwenzie
@matutaathman56605 ай бұрын
Baba levo wacha uchawa , vijana watakudharau
@gracejerome71475 ай бұрын
Nimefurahi sana kubondwa uyu mkaka😊
@taseleli91815 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jordanmwamlima75795 ай бұрын
Baba Levo Leo unamuita Harmonize tajiri😂😂😂 si unasemaga Hana kitu kabisa, gawaneni tu😂😂😂
@malianonicass70295 ай бұрын
Na Hana kweli ila baba levo anasemaga sasa hi I harmo ana pesa ila sio zamani
@jindamjukuu84405 ай бұрын
😊😊😊wamekuchapa 😅😅😅 pole
@deulemwangolo5 ай бұрын
Baba Levo utawacha Ufala,,,, lazima umuheshimu Jeshi
@user-ly2tv5og1n5 ай бұрын
Ugomvi hauna maana kabisa.
@Bless-sk8uv5 ай бұрын
Ww baba LEVO acha kumdisi kwenye nyimbo zako punguza
@mupendaeugenie26005 ай бұрын
😅😅😅😅 kwakupenda kucheka wala kufurahi njo ukonaenda chokoza mwenye anakushinda nguvu pole sana mzee puwa aumuwezi jeshiii ule 🇨🇩🇨🇩
@@karimjuma4019 wendaa ujijui unajinsia gani mana mwanaumee akiongea kakojoee ukararee choko mmoja wewe
@Zuu6735 ай бұрын
Anajiita tajiri😂
@john_1trader5 ай бұрын
Dah mtu alimpiga mwenza eti millioni 5 na mnajiita wasanii hivi unashindana na chawa maokoto
@user-qq4wg7ib4k5 ай бұрын
Mm ndipo ninaposhangaa msanii mkubwa tena
@user-zp7zs8gk7y5 ай бұрын
Kumbe Baba levo ni mwanaume sikuwai jua Kama baba levo ni mwanaume me huwa najua ni mwanamke juu ako na mdomo sana harmonize amefanya kitu yenye nlitaka afanye anakuanga mwanamke house girl huko WCB Baba levo ni mtu anapenda ugomvi kwa wasanii wengine akipigwa ni vizuri
@user-pi6lb6nx3m5 ай бұрын
Sheria ifate mkondo wake, tukianza na bqbq levo unauhakika Gani kama huyo tajir hamjui, watu ote anaojuana nao we una wajua,kutwa umekuwa ukimtolea mqneno ya kejer nq dhalau khamonizi mala umuite kilandage,Hana pesa nyadundo, Sasa kakunyoosha ndo unasema kesi ipo mahakamani safi sana.
@salma_6j9755 ай бұрын
Leo kawa mpole
@Kaweza-mu6hy5 ай бұрын
Alafu amonaize anasema anayo Hela unagombea milioni 5 tajili gani
@faridalihondo33225 ай бұрын
Sasa million tano ndogo 😂😂
@christinewomanoffaith54795 ай бұрын
Harmonize kumbe hela hana😂 unanyang'anya hela walizopewq wenzio
@user-np5ry2bf5q5 ай бұрын
Kiki ya Baba Levo na Harmonize kuzima MAPOZ ya Diamond Platnumz imegonga mwamba⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️🇹🇿
@DENNISMUTUA-nf7qt11 күн бұрын
Harmonize aache kiburi kama anadai kuenda mbali,,awe role model aache uhuni
@mussandikumana35615 ай бұрын
B Levo amna mambo ya police 👮♀️ kila siku unamtukana kila siku
@muhamedyhusseni-ey5ui5 ай бұрын
Mbn mwijaku anamtukna diamond amuongei
@esthermutabuzi45825 ай бұрын
Kwani yeye Harmonize huwa hatukani? Alimtukana Diamond, Rayvanny, Kajala na mtoto wake...tena huyu kaka ana matatizo acha ashughulikiwe kisheria
@taseleli91815 ай бұрын
@@esthermutabuzi4582hao unaowataja aliwatukana wapi?Casino kulikuwa na watu wengine mbona hawakufanyiwa hivyo kwanini baba Levo? Eti ooh yule Tajiri hamjui Harmo inahusu? Mwambieni apunguze mdomo akiendelea hivyo atadundwa sana😂😂😂😂😂
@Zuu6735 ай бұрын
Kwa tusi gani?
@esthermutabuzi45825 ай бұрын
@@taseleli9181 Harmonize amshukuru sana Babalevo kwa busara alizozionyesha. Sidhani kama kuna mtu anaamini kwamba Harmonize anaweza kumpiga Babalevo🙄. Kama hujakomaa akili huwezi kumwelewa Babalevo.
@jumaibrahim97735 ай бұрын
Waambie unaijua jela
@khatibumasudi5 ай бұрын
Wewe pia ni chawa kama vile babalevo machawa wa wasafi
@johnsonchonja40325 ай бұрын
Harmonize anagombania mil 5 na baba levo? Hii ni aibu afu anajiita msanii mkubwa😂😂😂
@dianawalter79035 ай бұрын
Kupigwa ushapigwa hiyo ndo point😂😂😂 Sheria itachukua mkondo Atalipa faini ila kichapo umekipata🤣🤣🤣 Hilo ndo la msingi. Asante