Broo nimesikiliza hii album yako Honestly you are the best Still you need something to add in your music, Jaribu ngoma zako ziwe ziko na chorus kali tena ikibidi fany na wasanii wakike, Example Angela wa konde gang Yule dada ana voco kali sana
@Dcvoicefull3 ай бұрын
Hyo n story telling afu kama hamjuh Mziki wa hip hop muwe mnanyamaza
@jameskotei85764 жыл бұрын
Weeeeenge nakukubali mwamba mimi ni moja kati ya watu ambao wanazikubali kazi zako kiukwel kabisa kutoka moyoni
@ismailhanya23274 жыл бұрын
Hata nikifa leo na nikifufuka baada ya miaka kazaa! Hii ngoma ntaikuta bado ipo hot💪💪💪
@agustinoezekiel3674 жыл бұрын
Ase,huu ni uhalisia wa mambo mkuu.god bless u.yaan Kali kimyama.
@daniikirunda71134 жыл бұрын
We ni mc wangu Bora kabisa
@SARAHMWESA-zm5kp4 ай бұрын
Majina bill gater kibosire mapesaaa😅😅😅😅
@FredOdhiambo-jc5uk2 ай бұрын
This song needs a video,
@doricewilliam68673 жыл бұрын
Oi tisha master🔥🔥
@richardemmanuel5984 жыл бұрын
Km Dizaster vina ✌ Big up P
@ItsFrankKAPANDE4 жыл бұрын
Amani kwako p mawenge mwing wa habar
@noelyrajabu1054 жыл бұрын
Mawenge on🔥🔥🔥
@kibandachasimu4 жыл бұрын
Boss mbona account yako imetimiza vgezo vya kulipwa Ila hujaiverify
@HdsportstvKenya4 жыл бұрын
Ku verify kivip mbona inamatangazo isha verified angalia video zingne utaona ads
@salimmhando22904 жыл бұрын
Verify 1m subs+ ..
@muniraahmed6244 жыл бұрын
Real hip hop😊❤
@PMawenge20184 жыл бұрын
Munira Ahmed thaaanx girl 😊
@ImasonJohn Жыл бұрын
ni hatari sana aseee
@georgebuzare29774 жыл бұрын
Kiukweli mimi bado nina tatizo na beat, na sio wimbo huu tu, namna ambavyo sampling inatumika kuunda midundo hamuwezi kuwa na midundo inayovutia Lazima kuwe na creative art kwenye upigaji wa midundo lakini ninachoona mimi ni marudio ya kilekile kinachofanyika kila siku Tutakuwa tunapoteza hazina kubwa ya mashairi yaliyoandikwa vizuri kwa kudharau ubunifu katika eneo la midundo Mdundo wa huu wimbo ni wa kawaida sana
@PMawenge20184 жыл бұрын
George Buzare naweza pata beat yako niiskie? Pengine tutaelewa zaidi tukiskia zako kama hutojali
@georgebuzare29774 жыл бұрын
PMawenge calm down brother, it’s all about personal opinion, nipe email address au namna ya kukupata
@jerrymmbando58534 жыл бұрын
P on fire🔥🔥🔥
@festodismas32184 жыл бұрын
my fav album 2014 ndo niliskiziliza yote at first
@juliusngowi9524 жыл бұрын
As usual..Genius from BomBronx🙌🏻
@kendrickalfred22663 жыл бұрын
I dont mean to be offtopic but does someone know of a way to get back into an instagram account? I stupidly forgot my password. I appreciate any assistance you can give me.
@caydengrady86263 жыл бұрын
@Kendrick Alfred Instablaster :)
@bnsofficial255 Жыл бұрын
P Genius
@jumannanda86 ай бұрын
Nyumba inasota dhik pesa ninayo mfukon
@jeremiahmsemwa832324 күн бұрын
Still hot rap 🔥🔥🔥
@osiahstimah4 жыл бұрын
Majuto mjukuu kwenu mm sitaki undugu nae
@lossoMovies4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Broo unajuaa snaa amna storytellin Mc kama wewe Tz
Dah Album ya mwingi wa habari kitambo bro, mimi ninayo ghetto nilinunua kipindi kile wakati inatoka. Kama hukubahatika kuipata mcheki #pmawenge (p the mc) au kwenye platform zake utaipata
@carlsonhunter6204 жыл бұрын
Tunataka vdeo😁😁
@theefambo7882 Жыл бұрын
P mawenge nice
@shabankadiria4164 жыл бұрын
Noma Sana hii kitu
@ngoshathepoweplayboy56993 жыл бұрын
Parra unanipa doz
@Yohbad7 ай бұрын
Uncle p hii beat niya song gani
@alimombasa44 ай бұрын
Biti amenyonga producer pallah hapa hapa bongo
@alimombasa44 ай бұрын
Nadhani ni makyub records
@mussangassa88784 жыл бұрын
Mawenge siyo p the mc noma
@shubebunyesi5424 жыл бұрын
Ndio mwenyewe mzee
@WestChoma01 Жыл бұрын
This is real hip hop
@Homlee_games Жыл бұрын
2023 💥 🔥
@christophermande63624 жыл бұрын
P mawenge we ni fire
@baloziwaghetto8144 жыл бұрын
MWAnandoa msalitii
@noahkyando84014 жыл бұрын
Man and a half
@malikiamariam29803 жыл бұрын
Yan bro. Unajua sana , ilitakiwa , upewe fiesta kila mwaka yan,
@PMawenge20183 жыл бұрын
Game yetu ndo hivyo tena, mpaka uwe mshaki wao mziki pekee hawana shida nao😂
@hasthilaly1774 жыл бұрын
mawengeee #nakubali
@flolafaustine37914 жыл бұрын
Mwanangu P
@jocomateci68813 жыл бұрын
Ngoma zako unazinyima chorus ya kuandika I don't know if you will get my point And home unasoma comment
@mustaphamohamed78314 жыл бұрын
Bonge moja la somo 😈😈
@midasmageto40674 жыл бұрын
This is straight fire!!! Naona una collabo na Nikki Mbishi?