P MAWENGE : RAPA NAMBA MOJA NI CONBOI, SIJUI NAMBA MBILI NA TATU / YOUNG LUNYA SIO KING

  Рет қаралды 15,511

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@march13jr77
@march13jr77 Жыл бұрын
Hapo kwa conboi nakuunga mkono Bro P 🙏 jamaa anajua sana Rap
@Igweezysirleem
@Igweezysirleem Жыл бұрын
P mawenge ni mambo byaaad kwa kuflow🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪 repin
@hidoxtz3559
@hidoxtz3559 Жыл бұрын
Conboi family we are here👇👇
@jobuish
@jobuish Жыл бұрын
MAWENGE MAZAAA KALAPAKAAA 🔥🔥🔥🔥BEAT LA CHID UMELILAWITI VIBAYAAA MNOOO CHALIII WE MBAYAAAA MAN💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿🎶
@ayrunyjtayruny279
@ayrunyjtayruny279 Жыл бұрын
Gosto das suas músicas p Mawenge e o meu favorito é GROUP ADMIN
@mokayaayomah5258
@mokayaayomah5258 Жыл бұрын
P Mawange ,reminds me of Ngwair,easy lyrical master.big up!from Nairobi respect.
@kiatu
@kiatu Жыл бұрын
Observation nzuri-hip-hopers wengi-wao wana elimu ya juu zaidi kuliko bongoflavians . Kuna sababu nyingi mojawapo wamezaliwa kwenye “middle or high class families” sio vijana ambao wana hasira sana ya maisha, mziki kwao ni kama hobby fulani. Hapa naongelea %. Upande mwingine mziki ni njia pekee ya kujitoa kwenye umaskini ndio maana unaona tofauti. Mtazamo wangu.
@baredwamane5487
@baredwamane5487 Жыл бұрын
Yeap
@GideonsGBGodfrey
@GideonsGBGodfrey Жыл бұрын
True broo
@chenge3223
@chenge3223 Жыл бұрын
ni kweli yan ni watu ambao hawajatoka dhiki saana afuu hawa mind mambo ya mauzo
@salimmwabundu958
@salimmwabundu958 Жыл бұрын
Sahiii pindi la planet linakimbiza sanaaa...welldone Lesa
@RechoShao
@RechoShao 11 ай бұрын
Huyu jamaa namkubari xana p mawenge Namuona Albert mangwear 100
@yascoguidezanzibar
@yascoguidezanzibar Жыл бұрын
Uyo mdada ni mnoma sana anajua kupresent❤
@richardmloha1762
@richardmloha1762 Жыл бұрын
Mawengeee🔥🔥🔥🔥
@juliusngowi952
@juliusngowi952 Жыл бұрын
P the MC..P MAWENGE is genius
@bablonbizy7267
@bablonbizy7267 2 ай бұрын
P nakkubali sana
@AthumaniHamisi-u6u
@AthumaniHamisi-u6u Жыл бұрын
Mawengee. Waueeeeeee
@ibraaahmwanyello6233
@ibraaahmwanyello6233 Жыл бұрын
Baaaabek Aloooo P ni mtuuu na nusu.......Saloote boss
@demask3423
@demask3423 Жыл бұрын
Lessa uko vizuri madam. Nakukubali sana. Haujui kukosea..
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 11 ай бұрын
Huyo dogo mwandishi mwenye 🧢 ana maswali ya kindezi
@Gulamiddi
@Gulamiddi Жыл бұрын
Noma sana😂
@msolidwagalilaya6094
@msolidwagalilaya6094 Жыл бұрын
Kwa sasa tangu aondoke Dullah.... Huyu dada anafanya vizuri sana aiseee ni bonge la presenter aiseee ana confidence sana
@rogatusmeleki1660
@rogatusmeleki1660 Жыл бұрын
P mawenge my hero wa sasa after Zizi
@youngsoldier8775
@youngsoldier8775 Жыл бұрын
Oyeeeeh
@rajabuomy487
@rajabuomy487 Жыл бұрын
Mwenyew nakubal sanaaa
@khalidgugu4964
@khalidgugu4964 Жыл бұрын
🎉🎉Kiwalani Kid Bway
@elishaelishaedward9454
@elishaelishaedward9454 Жыл бұрын
BomBrax Baby unajua
@mussayohana4449
@mussayohana4449 Жыл бұрын
Surely
@chenge3223
@chenge3223 Жыл бұрын
oya p unajua mkali
@moseskaiza4448
@moseskaiza4448 Жыл бұрын
Huyu Jamaa ni Hatari Sanaa.Im ur No. 1 Fan Bro.👊👊👊
@NsajigwaV3
@NsajigwaV3 Жыл бұрын
Safi sana kaka
@realdondee
@realdondee Жыл бұрын
Appreciated
@josephkibeya2534
@josephkibeya2534 Жыл бұрын
J Cole wa bongo
@Wauswazi_Ke
@Wauswazi_Ke Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪mnyama Mawenge
@gastonerobert2026
@gastonerobert2026 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@hassanihussein2731
@hassanihussein2731 Жыл бұрын
Uyu mtoto anamwali yakiwaki sana sasa uyo mbuzi anaingiaje kwenye interview ya p
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles 11 ай бұрын
Jamaa kuuliza kuhusu lunya kapuyanga ni maswali ya kuprovoke pumbavu.
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Жыл бұрын
con boi ni mnoma nkwere,engezene mike chombo kkbwa ich bana
@AbdulNgolle
@AbdulNgolle Жыл бұрын
Cannabino Ghost
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 Жыл бұрын
Haya ndio mahojiano ambayo msanii anapwaswa kuhojiwa watangzaji mkihoji kuhusu mziki aisee tutaenda mbaliiii. ......sio kukomaa kuhoji ety Wewe Baraka huna nidhamu nyambafuuu
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi Жыл бұрын
Hiyo Haina ubixhi Conboi ni rapa mkal ila hawamuon
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
P fundi xn
@MaulidiHimidi
@MaulidiHimidi Жыл бұрын
Wenge tunasubir collaboration na Dizasta
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 Жыл бұрын
P kwel mkali lakini bado Sana huwezi kuimba na dizasta vina unapenda Sana kujisifia mwenyewe mkali dizasta anaimba vitu vya kwenye jamii yetu sio kujisifia mkali
@MaulidiHimidi
@MaulidiHimidi Жыл бұрын
P,. Mwandish pia, acha umama
@raphaelchuche6281
@raphaelchuche6281 Жыл бұрын
​@@zainabmaulid9637sasa waimbe mara ngapi au ndo ufatiliii rap
@jastinarts
@jastinarts Жыл бұрын
Unaongea vyema boy
@jacksonimwasoni2510
@jacksonimwasoni2510 Жыл бұрын
Fundiii
@SHEDRACKILOMO
@SHEDRACKILOMO Жыл бұрын
Cannabhino
@saidtembele3070
@saidtembele3070 Жыл бұрын
Asee naomba anayekumbuka hiyo beat aliyoanza kuichania P ni ya ngoma Gani?
@bakarimikito4199
@bakarimikito4199 Жыл бұрын
Hiyo ni ngoma ya chid benz inaitwa mmenisoma
@saleheabdallah5461
@saleheabdallah5461 Жыл бұрын
Chid benz-Jiachie
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Жыл бұрын
Achana na mawenge wewe
@tracejeezy8917
@tracejeezy8917 Жыл бұрын
STUPIDITY INTERVIEW: JABIR SALEH atawakimbiza sana. Imagine Msanii anakula Muda Mwingi anaulizwa: U'king Kiwalani. Hujakaa sawa kidogo unapelekwa kwenye Story za Ndoa na Sanaa.
@josephjackson4923
@josephjackson4923 Жыл бұрын
Yaani Watanzania mna uvivu wa kufikiria sana, by the way Ungeandika heading ya Comment yako kiswahili tuu maana kiingereza chenyewe ni broken....Acha chuki za kipuuzi mbona interview nzuri tu cause interviewers tried to touch every angle of artist's life including those questions...
@18nationmedia46
@18nationmedia46 Жыл бұрын
@tracejeezy8917 hujitambui na ujui
@Adeen.1
@Adeen.1 Жыл бұрын
Stupid comment 😂
@jumazinga941
@jumazinga941 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Жыл бұрын
Achana na mawenge wewe
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 172 МЛН
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 14 МЛН
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 114 МЛН
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 19 МЛН
FID Q AWEKA WAZI ANACHOPITIA RICH MAVOKO, AMEMDISS NIKKI MBISHI?
16:25
EastAfricaRadio
Рет қаралды 23 М.
P MAWENGE ALIVYOPITA KWENYE BEAT YA OLODUMARE YA JOEL LWAGA
1:52
GOSPEL AFRICA MEDIA
Рет қаралды 32 М.
P Mawenge - Customer Care Ft Dj Gold & Foby
3:15
PMawenge
Рет қаралды 336 М.
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 172 МЛН