Dizasta Vina - Nobody is safe 4 (Official Music Video)

  Рет қаралды 243,497

Dizasta Vina

Dizasta Vina

Күн бұрын

Music Video of Dizasta Vina performing NIS4
Category: Music
Song title : NIS 4
Artist: Dizasta Vina
Music: Ringle Beatz
Audiomack - audiomack.com/...
Soundcloud - / nobody-is-safe-4
Nobody is safe 4 - myurls.co/diza...
Other Musical contents
Audiomack - audiomack.com/...
KZbin - / dizastavina
Deezer - www.deezer.com...
Apple music - artists.apple....
Mdundo - mdundo.com/a/2263
Genius - genius.com/Diz...
Boom play - www.boomplay.c... - artists.spotif...
Connect with Dizasta Vina on social medias
Instagram - / dizastavina
Twitter - / dizastavina
Facebook - / dizastavina07
sw.wikipedia.o...
Business: Pan.authentik@yahoo.com
Website - bio.link/dizas...

Пікірлер: 728
@johnizoboy
@johnizoboy 3 жыл бұрын
Ati mlisema kuna watu wanaimba ngumu???? huyu jamaa ni concious sanaa ni suala la muda tu
@geraldosepeter3302
@geraldosepeter3302 3 жыл бұрын
Nobody is safe kwa kweli.
@luckylakey0613
@luckylakey0613 2 жыл бұрын
Mwamba hatari nimejikuta Spotify nikadownload kila kitu chake acha speaker ipasuke. Love from🇰🇪
@ZakaZakazi-c5d
@ZakaZakazi-c5d 25 күн бұрын
Toka nilipo anza kusikriza ngoma za huyu mwamba najiona hata uwezo wa akili yangu umeongezeka katika kuchanganua mambo nakubari sana hiki kichwa 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
@imranabdul3929
@imranabdul3929 3 жыл бұрын
Hii si ya kupigwa disco😄😄😄😄
@godmbwanga8658
@godmbwanga8658 3 жыл бұрын
Dizasta toleo la mwisho
@kigotymeentertainmentkigoy4858
@kigotymeentertainmentkigoy4858 3 жыл бұрын
Naamini wenye akili ndio wanaelewa hip-hop ya dizasta usiwaze kuona wengi hawaelewi maana wapumbavu huwa hawaelewi vitu vya maana.
@engmanyaki_charles9871
@engmanyaki_charles9871 5 ай бұрын
Amini kwamb tukutanee s.mix mkali
@viceboirapper1121
@viceboirapper1121 3 жыл бұрын
Kitaa naishii kiuswazi kama sijaendaa shule
@kinjeketilewaii654
@kinjeketilewaii654 3 жыл бұрын
Ahsante saaana
@simbamabande2967
@simbamabande2967 3 жыл бұрын
Simba wa teranga na nina nguvu zaid ya drogba
@SimoniAlex
@SimoniAlex Жыл бұрын
Ww jamaaa unajuwa xan
@Alegria_doPovo
@Alegria_doPovo 3 жыл бұрын
Media zimekaa kimya tuu wakati kuna kichwa huku
@colemanMartn
@colemanMartn 3 жыл бұрын
Naishi kwenye dimension ambayo n miungu tu ina settle
@jumaibrahim4297
@jumaibrahim4297 3 жыл бұрын
Nadani tumeshakubaliana kuwa Dizasta ndo Emcee mkali aliyebaki bongo
@Abby_Shawn_KE
@Abby_Shawn_KE 28 күн бұрын
Daah, huyu jamaa ni HATARI
@kevinnyasaka872
@kevinnyasaka872 3 жыл бұрын
Mimi ndo toleo la mwisho wa hiki kizazi
@joshuamakota6714
@joshuamakota6714 2 жыл бұрын
Natengeneza pesa kwa ujuzi nloupata bure
@williamnazzareno8889
@williamnazzareno8889 3 жыл бұрын
We ndo Toleo la mwisho la viumbe wa aina yako 🙌🙌🙌🙌🙌
@morichtv1318
@morichtv1318 27 күн бұрын
DIZASTA VINA ni toleo la mwisho kwa hii generation
@nickminja704
@nickminja704 3 жыл бұрын
kijenge tumeshusha bendera nusu mlingoti kwa maan leo litakufa jitu
@hamisfufuru6294
@hamisfufuru6294 3 жыл бұрын
Sio Montra Tu Wengi hatujaelewa Daaah hawa jamaa kama umetega shule huwezi kuambulia chochote
@silakatundu1516
@silakatundu1516 3 ай бұрын
Uyo dogo n moto wa kuotea mbali mm kka fan mkubwa wa hiphop na freestyle nampa salute
@petersimon2115
@petersimon2115 3 жыл бұрын
Mpaka tugonge namba 1
@davidjoseph9776
@davidjoseph9776 2 жыл бұрын
Dah.. wew jamaa huwa sichoki kuskiliza ngoma zako Coz zna package hatar
@farajiabdallah2781
@farajiabdallah2781 2 жыл бұрын
Mitaa inakuelewa sana dizasta unajua sana mwamba
@ronaldissack4403
@ronaldissack4403 2 жыл бұрын
Leo ndio nimeambiwa nimskize huyu mtu,na kweli nimeamini huyu ni shida asee....rap tam mpaka mamadam wanaapriciate
@AfroDemoz
@AfroDemoz 3 жыл бұрын
tisha sana mkuu nakubali jangili aliye kabiziwa beto
@shaddyqualityfurniture3595
@shaddyqualityfurniture3595 3 жыл бұрын
Mi ni toleo la mwisho la viumbe vya aina yangu 🔥
@darprprime3492
@darprprime3492 3 жыл бұрын
Ime shine medulla vingi navijua na siringi jamaa aah 😷😷😷💪💪💪💪 Mi Ni toleo la mwisho kwenye taifa la Aina yangu 💪💪💪💪
@aloycelucas3969
@aloycelucas3969 4 ай бұрын
Jamaaan unajua mpaka unajua sanaaa sijuii bongo wanashabikiia hip hop ya virazaa
@donprince9752
@donprince9752 3 жыл бұрын
Noma bro
@erickmanucho1009
@erickmanucho1009 3 ай бұрын
Kendrik wa bongo mzee we ninoma 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@allanmussula5643
@allanmussula5643 3 жыл бұрын
style yako ime inspire the culture(tamaduni),ime inspire Manengo,Shoulin, Nacha, Boshoo, young killer, maarifa uyu big thinker na rapcha..this is good art😀😀😂
@zachariamanga1061
@zachariamanga1061 3 жыл бұрын
Sanaaaa nmemuelewa hapoo sanaaa na ni kweli
@NellyMbugi
@NellyMbugi 10 ай бұрын
Shida wenye Wana kata awaja be inspired
@TheRealAtomeec55.
@TheRealAtomeec55. 3 жыл бұрын
Hahahaa!! Nlichokuwa nakisema All Day kipo hapa👉 2:53 Jipgie makofi kama Umeelewa😃😀
@danielngotto9195
@danielngotto9195 3 жыл бұрын
Motooo sana zaidi ya moto wenyewe
@dankirunda1796
@dankirunda1796 3 жыл бұрын
Simba wa Teranga af nna nGuvu zaidi Ya DROGBA Professor TUNGO 👐🔥
@Gtwice
@Gtwice 2 жыл бұрын
Mamaaaeeee ukiendelea kwa ivi huna mpinzani
@ShaqueeBlackrapper
@ShaqueeBlackrapper 3 жыл бұрын
KALI SANAA HESHIMA TELE MKUU ✊
@barakayusuph4617
@barakayusuph4617 Жыл бұрын
out of this world 🤒
@esmnyumbani1212
@esmnyumbani1212 3 жыл бұрын
Duuh dizasta umetisha ngoma kali kinoma
@batrabandatv1826
@batrabandatv1826 3 жыл бұрын
Sijui kwann hupeleki mziki wako media bro believe unafans wengi sana wanao kujua na wasio kuja wakisikia mziki wako wataamini
@adamzullu5036
@adamzullu5036 3 жыл бұрын
Kazi kali moto ule ule🎧
@nickminja704
@nickminja704 3 жыл бұрын
asee d n noma asee si utan atatukisema fid q aenge ves amna kitu anaweza fanya apa ila izi media ban mamae
@Ogtydan
@Ogtydan 3 жыл бұрын
Final ...... Ime toka 📌 Bado hatia 5
@drwicho9906
@drwicho9906 3 жыл бұрын
hahhahaha, oya hii mbona imekuja ghafla. we ndio mwalimu wao!!!!!!umeuaa mmadogolasi woteee
@Sportycorner
@Sportycorner 3 жыл бұрын
Hii sio ya Kuitwa nyimbo hii, hii sio ya kupigwa Disco hii 🔥 🔥 🔥
@hassanlamata2312
@hassanlamata2312 3 жыл бұрын
😂😂😂😂wazee nimerudi tena baada ya kusikiliza kwa makini sana hi ngoma nimekubali ni hatari sana🔥🔥🔥 mwanzo niliona kama safe 2 ndo kali zaid, 🤔🤔huyu mwamba anaandika asee inabidi utulize boga lako kumuelewa
@yoshuaemily3021
@yoshuaemily3021 3 жыл бұрын
Mimi ni zigi nae ficha stimu mtaan...... Panorama Country.......💥💥💥💥
@tomplexbrigedier2282
@tomplexbrigedier2282 3 жыл бұрын
Broh unachna kizungu zaidi sawa kma nas
@kadolistanthony9841
@kadolistanthony9841 3 жыл бұрын
Nasimamisha kichwa kina mwaga madini
@twahahungu52
@twahahungu52 3 жыл бұрын
hii sio ya kupigwa disco hii this one is legendary.............dizasta vina
@crysonmwinuka3108
@crysonmwinuka3108 3 жыл бұрын
Toleo la mwisho laviumbe waaina yangu 😂🙌✊🔥
@officialleetz608
@officialleetz608 3 жыл бұрын
Tupo trending mungu ni mwema Dizasta Vina #1
@Official_adasco
@Official_adasco 2 жыл бұрын
Last time kupenda hiphop ilikua ni nyimbo ya Hisia na hapo verse ya One the Incredible ndiyo iliyonishawishi. But this dude ni next in level.
@MathematicsInTZ
@MathematicsInTZ 2 жыл бұрын
Wewe ni msanii mwenye uwezo mkubwa sana Tanzania na nafikiri Afrika Mashariki nzima. Nyimbo zako zina ujumbe wenye kujenga jamii. Kinachoumiza ni kwamba bongo fleva imenunuliwa na watu wenye pesa hivyo inakuwa ngumu kuwaona nyinyi wenye vipaji msio na pesa kwenye platforms kubwa bongo. Msikate tamaa ipo siku Mungu atafungua njia, msanii kama wewe unapaswa kupewa mikataba ya baishara za taasisi za serikali kupeleka ujumbe kwenye jamii.
@hassaniddi3868
@hassaniddi3868 4 ай бұрын
Kwa hili chupa utafikiri ngoma imetoka miaka hii,big up sana kwa majani na mnyaluu pamoja na nature bless nyingi sana
@dickmlawa8843
@dickmlawa8843 3 жыл бұрын
Dizasta niwamoto kuliko jua ✍️👊
@derickdeus56
@derickdeus56 3 жыл бұрын
aaaaah we jamaa ni noma ngoma ni kaliiiiiii sanaaaa!!!!!!
@g-father9352
@g-father9352 2 жыл бұрын
Kali
@DanielLugwe
@DanielLugwe 5 ай бұрын
Itakua moto sana ikujee💯💯💯
@dimoclassic_tz8334
@dimoclassic_tz8334 3 жыл бұрын
Proffessor wa vina🙌🏾....nainjoy kumskliza huyu braza knoma✊🏼 HIPHOP 4Life
@japhetshirima8697
@japhetshirima8697 2 жыл бұрын
Yule mwana tusimjibu , tumpe reference kwenye hii blunt daaaamn!!!
@privernnorens23
@privernnorens23 2 жыл бұрын
Kuna Dizasta Vina 🙌🙌🙌 halafu kuna hiki kichwa Mex Cortez....Uwiiiiii!!!
@extraordinarythug
@extraordinarythug 3 жыл бұрын
me nitoleo la mwisho wa viumbe wa aina yangu
@OVMiNG
@OVMiNG 3 жыл бұрын
Ukiacha lyrics kali ambazo zitapingwa na mfinyu wa akili pekee, kuna hii IDEA ya kudrive GARI BOVU na kulitengeneza... Kuna ujumbe mzito kwenye idea ya video kisha compare na idea ya ngoma🔥🔥🔥
@luganomwambulutukutu5000
@luganomwambulutukutu5000 2 жыл бұрын
Kaka genius @davista vina pekee ndo anaweza kufanya alicho fanya inaimba hip hop iliyoalibiwa na kua mbovu lakini ameamua kuitengeneza iwe imara hakika huyu katoka nje ya hii galaxy
@alliymohamedalliy6524
@alliymohamedalliy6524 Жыл бұрын
🤦‍♂️ Wachache tunao elewa ulicho kiongealea. Appreciate 🥂
@user-age
@user-age Жыл бұрын
Kama umeelewa maana ya hiyo gari... Kuja posta tujadili 😅😅😅 huyu ni mtu ni master🎉🎉🎉
@abdallahamisi3051
@abdallahamisi3051 2 ай бұрын
Hio yamaanisha ywaendesha hiphop ispokua imekufa
@barakaedwin176
@barakaedwin176 3 жыл бұрын
💣 💣......Mfano wa mundu au beto/...MC mtundu kwenye mental/...facts zina-shout beyond yur reasnable doubt, naish kwenye dimension ambayo miungu tu ina-settle/......🎤🎤
@Francismagellanga
@Francismagellanga Ай бұрын
Na bado hawampi mchizi heshima anayostahili😢. IQ 🔥🔥 NO one can match this skillz
@franciscojonja1164
@franciscojonja1164 3 жыл бұрын
Kuna mudah unajiuliza hio HIP HOP wanayo i promote wao ni ipi kwa sababu Hip hop tunayo ijua na kuilewa sisi ndio hii hapa ✊🏿
@ayubudanieli4484
@ayubudanieli4484 3 жыл бұрын
Sijui mwisho ila najua naenda wap💥💥💥
@changatz1625
@changatz1625 3 жыл бұрын
Bro yaan ngoma yako hainikifuu we nomaaa sanaaa
@geophreylusekelo
@geophreylusekelo 3 жыл бұрын
Genius......akili n nyingi mnooo
@officialmankezo2064
@officialmankezo2064 3 жыл бұрын
Utaishia kuomba msaada kwa mungu baba bless, hahahahaaaa brother shikamoh
@martinefredrick7473
@martinefredrick7473 3 жыл бұрын
The best MC kina kirefuuu panoramaa Toleo la mwisho la viumbe 🙌🙌🙌🙌
@YuzzoMwamba
@YuzzoMwamba 3 жыл бұрын
Yuzzo mwamba nilikuwa hapa for no body is safe four ......🙌
@hassanlamata2312
@hassanlamata2312 2 жыл бұрын
Niko hapa leo ilanyieeeee🤔🤔🤔🤔huyu jamaa ni hatar sana
@benjaminwangwe3895
@benjaminwangwe3895 3 жыл бұрын
Marapa wote bongo dizasta ni namba moja
@revolutionintanzania4842
@revolutionintanzania4842 3 жыл бұрын
Dizasta mungu wake mungu wa rap unaandika bro king of underground mitutu inakofichwa bro tuzo mbona awakupi mziki wabongo SEMA ucwaze gheto unatuzo zakutosha uku mbeya cku unakuja kuchukua njoo na titaniki
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 Жыл бұрын
Huyu mtu ni nusu mtu nusu jini....nusu big nusu pac
@allanezekiel2724
@allanezekiel2724 3 жыл бұрын
Media lazima waogope mwamba
@mustaphasolyambingo5851
@mustaphasolyambingo5851 2 ай бұрын
Ety broo ilo gari linamaana gani
@giselltarimo7867
@giselltarimo7867 3 жыл бұрын
Hujawah niangusha kaka pgap sana mwanangu
@3kumahiri867
@3kumahiri867 3 жыл бұрын
Jamaa unazidi kuandika sana, Dizasta unaandika sanaaa. Hii ngoma umeandika sanaaaaa ase dah🙌🙌 Power respect 🔥🙌 Hili ni jiwe
@mastomasto9799
@mastomasto9799 2 жыл бұрын
We mnyama kumamake
@marionogongo
@marionogongo 2 жыл бұрын
Ngoma kaali
@ramadhankazungu6199
@ramadhankazungu6199 Жыл бұрын
💥💥💥
@amanmwambapa1892
@amanmwambapa1892 3 жыл бұрын
Nimeona kweli hapa hakuna mtyuu aliyebaki salama
@johnjenks9519
@johnjenks9519 3 жыл бұрын
Watakuelewaa tu mi sina shaka na uwezoo wakoo
@chuxdanieldnl9076
@chuxdanieldnl9076 3 жыл бұрын
Ipo Kama vina inang'ara Kama dizasta
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 3 жыл бұрын
Hizi kwanin hazipigwi on air, daah!! Sio kawaida
@Jamal11-t7r
@Jamal11-t7r 11 ай бұрын
my best rapper 🔥🎤
@Elly_corner
@Elly_corner Жыл бұрын
Dizasta keep it up brother, unajua sana mwamba
@jumawaroad3006
@jumawaroad3006 3 жыл бұрын
The best rapper all time for me braza dizasta wewe nikama nabii wakizazi cha rap TANZANIA kwangu sijaona kwa kizazi hiki
@Thomsgrand
@Thomsgrand 3 жыл бұрын
utasem mkonO wa mungu umeNdika hii...sio malaik ni mungu w rap@Dizasta
@ablemuxic7334
@ablemuxic7334 3 жыл бұрын
Kaka nitabaki kuwa shabiki yako milele
@VjayVilony
@VjayVilony 3 ай бұрын
Aaasante asaaanteeeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢
@negzerobacteria
@negzerobacteria 2 жыл бұрын
Yan huu jamaa mbna anakumbiz sana
@LugomboMaKaNTa
@LugomboMaKaNTa 3 жыл бұрын
RINGLE NA DIZASTA= MAJANGA PLUS 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@officallymbonde9257
@officallymbonde9257 3 жыл бұрын
Ww mwenyewe noma sana broo
@LugomboMaKaNTa
@LugomboMaKaNTa 3 жыл бұрын
@@officallymbonde9257 Sio kama hawa majambazi bro! Asante
@robifilosomaniofficialonli4272
@robifilosomaniofficialonli4272 3 жыл бұрын
Aiii.Dizasta vina tisha sana.
@antonrichard2249
@antonrichard2249 3 жыл бұрын
imefanyika kazi sana kuleta tiba sahihi kwa ubongo ,tiba ya kufungia mwaka hii
@stiffmenake4700
@stiffmenake4700 3 жыл бұрын
Nitaendelea kusema kwamba dizasta ananifanya niishi kwenye future alf niishi kwenye past at the same time wakati huo nipo present... This nigga is too far
@williamjoseph5284
@williamjoseph5284 3 жыл бұрын
Kaka unaweza sn
@MrChickeNns
@MrChickeNns 3 ай бұрын
Nakubali 🔥🔥🔥
@dominickntajinya1550
@dominickntajinya1550 3 жыл бұрын
Umekuja kuwapa msongo wa mawazo kweli! %usiache KUTABASAMU%
@simonsweka7305
@simonsweka7305 3 жыл бұрын
Verse no 3. Haha haha haha mbombo ngafuu.
Dizasta Vina - Best Friend
8:28
Dizasta Vina
Рет қаралды 263 М.
Dizasta Vina - Nobody is safe 5
6:07
Dizasta Vina
Рет қаралды 152 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Domani Munga - "MUNGU 6" (Official Music Video)
4:56
Wakadinali
Рет қаралды 249 М.
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
EastAfricaRadio
Рет қаралды 771 М.
Adam Shule Kongwe ft Dizasta Vina- Wa Ngau (Lyric Video)
4:48
Adam Shule Kongwe
Рет қаралды 10 М.
Dizasta Vina - Nobody is safe 3 (Official music video)
5:36
Dizasta Vina
Рет қаралды 202 М.
2030
6:34
Roma Mkatoliki - Topic
Рет қаралды 10 М.
Mzee wa Upako akichambua Muscular feminist ya Dizasta Vina
9:11
The Diary of Dizasta Vina
Рет қаралды 11 М.
Conboi Cannabino TILL I DIE Official Video
3:17
Conboi Cannabino
Рет қаралды 390 М.
Dizasta Vina - Muscular Feminist
9:05
Dizasta Vina
Рет қаралды 117 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН