Baba Olivia Episode 03//Single Father & Daughter rescue A Helpless Man who caries a secret.

  Рет қаралды 321,401

Henry Mwakajumba

Henry Mwakajumba

Күн бұрын

#GaboziGamba (Baba Olivia) Anachelewa kazini baada ya kumsaidia mtu alie poteza fahamu.Bila kujua huyo mtu ame patwa na nini, anapiga simu kumuita mwenyekiti wa kijiji ambae nae anapendekeza mtendaji wa kijiji anatakiwa kuwepo hapo kutoa utatuzi ya sinto fahamu hiyo.Hofu inazidi kati yao kwani Kuna kijana alie kuja kumuuliza binti wa jirani anaonekana kama sio mtu wa kawaida na hakuna anae jua dhumuni lake kuu.
-----------------------------------------------------------------------------
GaboziGamba (Baba Olivia) is late to work after helping a person who had lost consciousness. Without knowing what had happened to that person, they call the village chairman, who suggests that the village executive should also be present to resolve the confusion. Anxiety grows among them because the young man who came to ask about the neighbor's daughter seems unusual, and no one knows his true intentions.
#HenryMwakajumba
For business:
mwakajumbafilms@gmail.com
instagram: / henrymwakajumba

Пікірлер: 543
@gonnetheboss1708
@gonnetheboss1708 4 ай бұрын
Jamani wote tunao mkubali gabo na kazi zake gonga like hapa
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 4 ай бұрын
Namkubali sana
@emmanuelqaday6949
@emmanuelqaday6949 2 ай бұрын
Mbccy 8:17
@IsmailKitanzi
@IsmailKitanzi Ай бұрын
❤namkubl san uyu mwamb anajuwa
@GfgGgh-v5z
@GfgGgh-v5z 4 ай бұрын
Wi-fi za bure tujuane tupo na baba Olivia mpaka amuoe mwalimu 😂😂😂😂
@JustinaHerbeth
@JustinaHerbeth 4 ай бұрын
😂😂😂 tuko apaa
@GfgGgh-v5z
@GfgGgh-v5z 4 ай бұрын
@@JustinaHerbeth pamoja sana
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Na hakikisha hawazimi hiyo WIFI usije pitwa!😂😂😂
@GfgGgh-v5z
@GfgGgh-v5z 4 ай бұрын
@@henrymwakajumba 😄😄 pamoja sana babu yake Olivia 😍
@EL-Protabolisa_Le_King
@EL-Protabolisa_Le_King 4 ай бұрын
We naweee😂😂😂😂
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 4 ай бұрын
Kwani nimechelewa kuna wane 4 from Oman 🇴🇲 nishawagaiya like wote bdo mm tu hamjanigaiya
@kabintmpase1544
@kabintmpase1544 4 ай бұрын
Tupo watumia wifi za bure
@Aishwaraimasiennah
@Aishwaraimasiennah 4 ай бұрын
​@@kabintmpase1544tupo sana😂
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 4 ай бұрын
😂😂😂😂Kabisa 😂😂jua kali 😂😂bey bey😂😂Mimi nipo na baba olive 😂😂
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 4 ай бұрын
@@faudhiasalum7279 ww unanionea Kabisa😂😂😂
@beautifulafrica6886
@beautifulafrica6886 4 ай бұрын
😂🤣🤣😂🇴🇲🇴🇲🇴🇲❤❤❤🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕💕💕
@OmaryGandi
@OmaryGandi 4 ай бұрын
Unachelewesha aisee wangap wapo pamoja na mimi
@AlfaiatariadepalmaMustafa
@AlfaiatariadepalmaMustafa 3 ай бұрын
From Mozambique 🇲🇿 Hapa wadau wote wa Sison hi Nisha wapa like zenu kasoro Mimi 2. Basi nipeni zangu angalau kidogo
@HassaniselemanPwicha
@HassaniselemanPwicha 3 ай бұрын
Haaaa vp uko amego
@salimrama8499
@salimrama8499 4 ай бұрын
Badilisheni siku ya kupost new episodes at least iwe siku mbili kwa wiki au siku tatu ama ata kila siku episode moja!!! Hayo ndio maoni yangu
@almaarifonlinetv
@almaarifonlinetv 4 ай бұрын
Nenda kwa mkojani bro 😂 anapost kila siku
@BrendaJimmie-hj1lf
@BrendaJimmie-hj1lf 4 ай бұрын
😂
@Gamba81
@Gamba81 4 ай бұрын
​@@almaarifonlinetvkatoa maoni tu upaswi kumjibi hivyo kuwa na hekma
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 4 ай бұрын
​@@almaarifonlinetv😂😂😂
@bestkilimanjarohike
@bestkilimanjarohike 4 ай бұрын
Usijali
@Ciza-ferouz1
@Ciza-ferouz1 4 ай бұрын
Napenda kingereza cha uyu dada alivyo ongea na mzungu 😂
@JasmineYasry
@JasmineYasry 4 ай бұрын
Kama mimi nimependa
@Egline-x3k
@Egline-x3k 4 ай бұрын
Finally the comment I was looking for 😅😅😅😅😂😂😂😂
@Ciza-ferouz1
@Ciza-ferouz1 4 ай бұрын
​@@Egline-x3kis too much😊
@marryammarryamestarry731
@marryammarryamestarry731 4 ай бұрын
Yani uyoo ndo Mimi kabisaaa 😂😂
@kwisa4899
@kwisa4899 4 ай бұрын
kingeleza kipi kaongea 😂😂😂😂
@francispendaely7239
@francispendaely7239 4 ай бұрын
Aseeh, Gabo muwe mnatuwahishia kututumia hii tamthilia ni nzuri sana
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 4 ай бұрын
Wanacheleweshaa
@uiptv365
@uiptv365 4 ай бұрын
May God bless the whole crew Ihi movie (series) ni premium kabisa 💯💯🙌🏽🙌🏽
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana ubarikiwe na wewe sana!🙏🏾
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 4 ай бұрын
Nampenda sana olivia❤❤❤❤❤❤❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante kwa muda wako!! 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 usituache njiani Subscribe ujiunge na familia ya BabaOlivia! ❤❤
@GoodluckMdaraga
@GoodluckMdaraga 3 ай бұрын
Location ya hii movie ni mkoa gani mkuu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 ай бұрын
Mwenyekiti muda wote anawza kula tu😂😂😂
@NancyPeter-t2i
@NancyPeter-t2i 4 ай бұрын
Ww acha tu
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Kila mda ana njaa!😂😂😂😂
@beautifulafrica6886
@beautifulafrica6886 4 ай бұрын
🤣😂🤣😂🤣😂
@bahatishughuli
@bahatishughuli 3 ай бұрын
😅
@SuleymanMnkologwe-q8j
@SuleymanMnkologwe-q8j 3 ай бұрын
Kula kwanza kaz badae😊😊
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 4 ай бұрын
D Mbili kwenda mbele ndio tunafahamu movies za huyu Gabo. One amongst the greatest actor in our region.
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Wenye D za kingreza cha Siwema je?😁
@OthumanSangaly-hp6ld
@OthumanSangaly-hp6ld 4 ай бұрын
nawachukia san hawa watu wanao omba likes akii kwan video ni yenuu!!!
@djbahangala4729
@djbahangala4729 2 ай бұрын
Jamani 😂😂😂
@MinnahRaj
@MinnahRaj 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂yawaaa
@yeremiaaweda3843
@yeremiaaweda3843 Ай бұрын
Uko km mm cpendagi wanaoliliaga likes
@BensonNelson-s4g
@BensonNelson-s4g Ай бұрын
Yani wana shobo wamekua ombo omba
@AshuraShafii
@AshuraShafii Ай бұрын
Bola ata ulivosema mana wanakela utafikili chkula
@Espiboy2
@Espiboy2 4 ай бұрын
Wakwanza Leo nipe like zangu
@greyjames4768
@greyjames4768 3 ай бұрын
Mwakajumba, Mimi binafsi nikupongeze kwa utofauti ulonao kuanzia, Location, picha, Sauti. N.k kuna ubora wa Hali ya juu, Level za Netflix 🏌️‍♂️
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 ай бұрын
Asante sana ndugu 🙏🏾🙏🏾
@OswardSanga
@OswardSanga 2 ай бұрын
Mke wa jran nae n fundi jmn❤❤
@titoelisha8954
@titoelisha8954 2 ай бұрын
MC wa 40 40. Arobaini!
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 ай бұрын
😂😂😂👍🏽
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@vumiliarichard9347
@vumiliarichard9347 2 ай бұрын
😂😂😂mke wa jiran ananipa rah Kwa mzungu
@warstones0666
@warstones0666 4 ай бұрын
Uyu mdadaa Asiyejua kiingerezaa Ndo Anaifanyaa Hii Movie Inogee japoo Badoo Anaonesha kama anajuaa Ilaa Ndo Nmemkubalii
@ChefMichael-us2lh
@ChefMichael-us2lh 4 ай бұрын
Maudhui mazuri, waigizaji wametimiza wanachotakiwa kufanya kwenye uhusika wao can't wait to see the next episode
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana karibu kwenye Familia!
@monicawanza9911
@monicawanza9911 2 ай бұрын
40 40 yaani arubahini😂😂😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 ай бұрын
😂😂 Ndomanake!
@TantineZuzu
@TantineZuzu 4 ай бұрын
Big up sana team nzima kwa Kazi nzuri sana ❤❤🇧🇮🇧🇮
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana!
@SarafinaNyamvula
@SarafinaNyamvula 2 ай бұрын
This woman has made my day ❤😂😂😂😂😂"small sponge" kigodoro ...can't stop laughing 😂😂watching from Kenya 🎉love you ❤TZ people. 😂😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️ we love you more!
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Ай бұрын
Congratulations , anakuambia sio shule tu hadi vyuoni , Forty forty ( Arobaini) R .I. P tired to eat ndio kafa huyo😂😂
@manuelymanuely-ly7gs
@manuelymanuely-ly7gs 2 ай бұрын
Niko Ep ya 2 tamthilia ni nzuri sana but mwenye kiti anaonesha hajui neno "PRIVATE" ila anajua "VERY SERIOUS"😂
@amouralshabiby7543
@amouralshabiby7543 4 ай бұрын
Gonga like hapa twende sawa 🔥
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh 4 ай бұрын
Mbona mnakawizag ivo jmn mambo mazur km haya mnatakiw kutujali mara kwamara jmn dj wetu
@emmanuelmbele3030
@emmanuelmbele3030 2 ай бұрын
😂😂kizungu kigumu
@AliMkumbukwa
@AliMkumbukwa 4 ай бұрын
Salm nyingi kutoka kahama
@ShedrackBishaza-qd4vq
@ShedrackBishaza-qd4vq 4 ай бұрын
Karibu masumbwe
@AliMkumbukwa
@AliMkumbukwa 4 ай бұрын
Kwel kaka lhmis moja ntfka apo
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana, share na wadau link ya series!🙏🏾
@fadhilhamdu7063
@fadhilhamdu7063 2 ай бұрын
Mwalimu pisi imenyooka alafu ,mtoto anajuwa sanaaa❤
@LucyRafeali
@LucyRafeali 4 ай бұрын
Kingereza shikamoo
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 ай бұрын
Katarina😂😂
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@keyla3641
@keyla3641 4 ай бұрын
Jamani series nzuri sana hivi ndio michezo yetu inatakiwa kueti kazi nzuri sana
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Shukran sana!
@Benson-MCharlesB45
@Benson-MCharlesB45 4 ай бұрын
😂😂🙌🙌 Dah uyu mama kanichekesha sana hii ngeli ilienda na mafuriko 😂😂
@nicholauscharles4263
@nicholauscharles4263 4 ай бұрын
Hakika wewe ni muigizaji wakipekee unayegusa jamii kwa mambo yanatokea na kuwapa elimu. Mungu akuongoze katika kila njia.
@IsmailKitanzi
@IsmailKitanzi Ай бұрын
Naombeni kuukiza had leo hiiiiiii epsodi ya ngapi jaman mm nimechelewa kuijuwa km tamu ivi
@aishaomar2287
@aishaomar2287 4 ай бұрын
Mwenye kiti ati "umetoka uko kote hadi uku kufata privat?" Allahuma Ghufrilahum warhamahum wa-asqanahum filjannah 🙏...kazi nzuri team Gabo🎉🎉🎉
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
❤️
@RajabMalibiche
@RajabMalibiche 2 ай бұрын
Ameeeen
@PhynolThinker
@PhynolThinker 4 ай бұрын
Tok Tok to rest in peace 😂😂😂😂
@AlexMshani-g2b
@AlexMshani-g2b 3 ай бұрын
Tunaomba mtuletee episod kilasiku mojamoja muv hii nikali sana
@sifamugwaneza8774
@sifamugwaneza8774 4 ай бұрын
Kazi nzuri sana Baba Biry #Gabozigamba nakubali sana kazi zako kaka mkubwa🔥🔥🔥
@prezgal8869
@prezgal8869 4 ай бұрын
Rest in peace mzee Korongo
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️❤️
@maryamomar9094
@maryamomar9094 4 ай бұрын
Like kwa kaka gabo ❤❤
@FatumaKhalphan
@FatumaKhalphan 4 ай бұрын
Thank u dj from china naeinjoy usituache njian jmn😢twende mpaka mwisho
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana, Hii utakimbia mwenyewe, Subscribe na share kwa ndugu na marafiki!
@EmmanuelNgolelwa
@EmmanuelNgolelwa 4 ай бұрын
Sawa sawa twende kazi gabo
@SalumuZomba-xb5bz
@SalumuZomba-xb5bz 4 ай бұрын
Wow❤
@danmpare7778
@danmpare7778 4 ай бұрын
Aisee part ya huyo mama na mzungu nimecheka kufa daah Yani watanzania kifunzeni English japo kidogo jmn
@Aishwaraimasiennah
@Aishwaraimasiennah 4 ай бұрын
😂😂😂
@WinnyMurutu
@WinnyMurutu 4 ай бұрын
😂😂😂
@AthumanMachera
@AthumanMachera 4 ай бұрын
Ubaya mnatukuza sana vya wenzenu, kuna machina hawajui hata cha kuombea maji wanatembea na wakalimani tupende kiswahili chetu
@holykim2713
@holykim2713 4 ай бұрын
Anajuwa kingereza ila hapo ana act tu
@kandoxgiftgift5924
@kandoxgiftgift5924 4 ай бұрын
​@@holykim2713we umwkuja vizur 🎉 sio kwamba hajui kiingereza ila character yake ndo imemruhus acheze ivo kiukweli movie imenyooka
@nasraAl-b1w
@nasraAl-b1w 4 ай бұрын
Acha leo niwape mimi😂😂😂
@Kenny-Balt
@Kenny-Balt 4 ай бұрын
Like zangu Leo jamani
@nolanraphael8502
@nolanraphael8502 4 ай бұрын
mjitahidi bas muwe mnapost kwa wiki mara 3 maaan movie nzuri snaaa
@FatmahHamisi
@FatmahHamisi 3 ай бұрын
Wale wa small sponch tujuane😂😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 ай бұрын
🤣🤣🤣
@WilliamsBIRIKURE
@WilliamsBIRIKURE 4 ай бұрын
Gabo zigamba mbona mwamba kbsaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ anatisha bongo movie
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 Ай бұрын
Filamu nzur ila Saut ya nyuma ipunguzeni watu wanakuwa hawasikiki vzur wakiongea
@selemanpaul2710
@selemanpaul2710 4 ай бұрын
Fantastic movie
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante! Tafadhali subscribe ujiunge na familia ya Baba Olivia!
@MariamuMahir
@MariamuMahir 3 ай бұрын
😂😂 mie huyo dada mchaga ndiyo ananiacha hoi😅😅
@SurprisedCherryBlossoms-eo1qd
@SurprisedCherryBlossoms-eo1qd 3 ай бұрын
Good job brother gabo from Kenya
@NdanuValeria-bu1xr
@NdanuValeria-bu1xr 4 ай бұрын
I’m first one from Uganda 🇺🇬
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Welcome to the family!❤️
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 Ай бұрын
Hiyo kijana mungembeba kumpereka hospital ingekuwa unyama maana home akifia humo kwake rungu linageuka,lln pia mungekuwa mumeongeza washiriki ikiwa ni moja ya kugawana tonge.Ni mawazo yangu tu.
@HEDRICKBAHATI
@HEDRICKBAHATI 3 ай бұрын
Movie nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 ай бұрын
Asante sana!
@AbibaZakeo
@AbibaZakeo 4 ай бұрын
Waoooo mambo mazuri
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante, share na watu wako wa karibu nao wa furahie utamu!
@OMARYKAHUNGO-mn4mf
@OMARYKAHUNGO-mn4mf 3 ай бұрын
Nimekurupa sijakunywa hata chai 😂😂😂 ila Mwenyekiti 😅😅
@dearchotay5569
@dearchotay5569 3 ай бұрын
Mwenyekiti eti kwahiyo umetoka uko kote umefata private 🤣🤣🤣
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 ай бұрын
😂😂😂
@NEREHAACHIENG
@NEREHAACHIENG 13 күн бұрын
Imechezewa mkoa gan wazee nisaidieni😢
@KakaYoyo-nv8fb
@KakaYoyo-nv8fb 3 ай бұрын
Gabo❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮
@floramidaho3010
@floramidaho3010 4 ай бұрын
Uyo mwenyekit mbele zake nyuma zetu...ALLAH AMPE KAULI THABITI.INSHAALAH
@LovenesJohn-bh1yv
@LovenesJohn-bh1yv 4 ай бұрын
Kwamb kafariki😢😢
@TunuAdam-gc9rc
@TunuAdam-gc9rc 4 ай бұрын
Ndyo
@nurusamath310
@nurusamath310 4 ай бұрын
Mie mwenyewe nkataka niulize Mzee amerudi Inaonekana hii movie imerekodiwa mda mrefu Ila ndio inatolewa sasa maana hajafariki mwaka huu etty
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
🕯️🕯️🕯️❤️
@kandoxgiftgift5924
@kandoxgiftgift5924 4 ай бұрын
​@@nurusamath310 hii movie ina zaid ya miaka miwil ntangu imetangazwa nafikiri tangu 2021
@sierabravo848
@sierabravo848 Ай бұрын
Gabo basi jrb pia kuongea harakaharaka unaonge polepole mno
@vumiliarichard9347
@vumiliarichard9347 2 ай бұрын
Yan sik zot nalia na mapenz kumbe Kun movie nzur tu uk 😀Gabo ww ni noma🔥🥰
@RickshabyVlogs
@RickshabyVlogs 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 rest in peace im talking there🤣🤣🤣🤣
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 4 ай бұрын
Gabo so vema kumwokata mtu na kumpereka ndani akiwa kwenye iyo hali je akifa
@hafidhlupamba6872
@hafidhlupamba6872 4 ай бұрын
Ndio maana wameigiza nifundisho kwasis tunaeona
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 4 ай бұрын
@@hafidhlupamba6872 aaaaaaaaasaa goood
@hasaninasibu2836
@hasaninasibu2836 4 ай бұрын
Mnao omba like huwa mnazifanyia nini?
@SaraphinaEdward
@SaraphinaEdward 4 ай бұрын
Wambie😂😂😂❤
@homemadestory4871
@homemadestory4871 4 ай бұрын
Japo nimechelewa but nmeangalia and i enjoyed it...Mungu awabariki nyote mloshiliki katika kazi hii nzuri❤️
@hamisiadam1452
@hamisiadam1452 2 ай бұрын
Namkubali sana gabo wote mnao kubaliana na mimi gonga like hapa TikTok napatikana kama mwana wa Adam fb pia hivyo hivyo
@LucyJosephat-c1t
@LucyJosephat-c1t Ай бұрын
😅😅 uwii katarina
@IsackHombelo
@IsackHombelo Ай бұрын
Gabo we ni mfano wa kuigwa❤❤❤❤❤
@nyuliiiddy8423
@nyuliiiddy8423 2 ай бұрын
Small sponch (kigodoro) kingereza hiki, apana
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@Ellybeny
@Ellybeny 4 ай бұрын
Mwalimu ndio muimbaji wa. Hii voice nina uhakika ❤
@AminaSaidi-up2rj
@AminaSaidi-up2rj 4 ай бұрын
Ndo yeye
@Rhymh-g7q
@Rhymh-g7q 3 ай бұрын
😂😂Kumbe mzungu n mwizii😢na uyo Dada nae anatalk too much in ceremonys
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 ай бұрын
😂😂😂
@RayBMusic
@RayBMusic 3 ай бұрын
Jaman mtuwahishie mwendelezo bas 🙏
@Nedyjr
@Nedyjr 4 ай бұрын
Leo na mm nimewahi jaman naombeni like zenuuuuu😊
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 2 ай бұрын
Yaan hii movie wala siwezi kuitabir
@erastopascal
@erastopascal 2 ай бұрын
Mzungu mwizi😂😂😂
@AloyceMashore
@AloyceMashore 2 ай бұрын
Kingeteza cha dada apo hataree😂
@Edgarmunubi6
@Edgarmunubi6 4 ай бұрын
🫡🫡🫡🫡
@SamTumwesiger
@SamTumwesiger 3 ай бұрын
Small sponch 😂
@alainchristiansugira5175
@alainchristiansugira5175 4 ай бұрын
Nice movie
@salimNdendya
@salimNdendya 4 ай бұрын
Muvi kali sana hongeren
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana tuna shurukuru Sana!
@Rahema123
@Rahema123 4 ай бұрын
Ila brother unachelewesha sana kipenzi chetu 🎉🎉
@MERCY_LINE-l3b
@MERCY_LINE-l3b 4 ай бұрын
Kweli
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Ungepende mala ngapi kwa wiki?
@kandoxgiftgift5924
@kandoxgiftgift5924 4 ай бұрын
​@@henrymwakajumba atreast vipande vi3 au vi4 kwa wik au ikiwezekana kila baada ya siku moja unaachia kipande kimoja
@EmmanuelJoseph-q8b
@EmmanuelJoseph-q8b 2 ай бұрын
Ndy baba olivia 2naomba mfanye ata mara2 kwa week mara1 inakuwa ganzi😢
@simeonmazigo5918
@simeonmazigo5918 4 ай бұрын
Yaan Kila akipiga anasema Tukoshambani hapa we ukowp" Hiv muandika script akuandikie kilakitu huwez hata kujiongeza? Ila Waigizaji wa Bongo😅😅😅😅
@BerthaModest
@BerthaModest 4 ай бұрын
Mazuri yote ujayaona umeona hilo tu bongo nyoso
@lamine_yamal19-o1y
@lamine_yamal19-o1y 4 күн бұрын
Small sponge 😂😂😂
@vailethmwakipesile6698
@vailethmwakipesile6698 3 ай бұрын
Aseee nilimiss Sana hi
@Abduli-ow2xh
@Abduli-ow2xh 4 ай бұрын
Ata mie jamani nawashauri kwa wiki ata mala Mbili muachie kigongo🖥
@brudatv3539
@brudatv3539 3 ай бұрын
Mtendaji ajaambiwa tukio lipo wap lakin kafika 😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 3 ай бұрын
😂😂
@hamisisalim
@hamisisalim 2 ай бұрын
Ila mama watoto wawili anajua sana
@mercyally-no3xv
@mercyally-no3xv 3 ай бұрын
jmn mbon mnachelewesha muendelezo nani yupo pamoj na mimi😢
@ayubuantony9059
@ayubuantony9059 4 ай бұрын
Bonge la move
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 4 ай бұрын
Asante sana! Subscribe kama bado basi ujiunge na familia!
@AbudaraAhija
@AbudaraAhija 4 ай бұрын
M sierewii Venetia vipande vingapi
@mundekephilippe1499
@mundekephilippe1499 3 ай бұрын
Gabo punguza basi fanya episode 2 kwa week
@BahatiBakari-v5p
@BahatiBakari-v5p Ай бұрын
Fote fote 😂😂😂😂😂
@rahmaoman470
@rahmaoman470 4 ай бұрын
Shukln but mnachelewa kutoa
@SWERESWERE-l3t
@SWERESWERE-l3t 2 ай бұрын
❤I say hii mbna kalii❤
@Nick_Van_Gee_6
@Nick_Van_Gee_6 4 ай бұрын
Tamthilia kaliii sanaaaa lakini mnachelewa sana kutoa episode mpya
@wizzyluck26
@wizzyluck26 4 ай бұрын
Na Mimi wa nane bhac au ndo wakwanz tuh
@HermanPetro
@HermanPetro Ай бұрын
kabic🙏🙏🙏
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
ZAZUBA-Staring -GABO ZIGAMBA/RIYAMA ALLY/MAMA ABDUL/SENJELE/KONA
53:05
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI  | Love Story
40:44
DONTA TV
Рет қаралды 1,6 МЛН
MOYO EP [01]💞 love story
23:27
Rhyhno films
Рет қаралды 3 М.
KISS MY PAIN 1:IRENE UWOYA /HEMED PHD
53:23
Halisi tv
Рет қаралды 973 М.
Baba Olivia Episode 17 Season 01Finale❤️// Single Father Story
31:59
Henry Mwakajumba
Рет қаралды 288 М.
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19