Jamani tukiwa wawazi kabisa hii series ya BABA OLIVIA ni nzuri sana 🔥
@PhynolThinker6 ай бұрын
Hii ndio maana alisi ya jasiri akubaliki kwao hii movie ingechezwa ulaya ingetikisa dunia🎉 congrat my brother ur made it🎉 and keep going🧠
@Feisal712Ай бұрын
Nice movie nawapenda sana ❤❤
@KwizeraDivine-y1i28 күн бұрын
Tunaipend pia
@Official.alainpatrick6 ай бұрын
yaani tanzania nzima baada ya kanumba nilikuwa sijawai kusukia ama kuona mtu anayeweza kutunga story nzuri yenye kuvutia kama huyu jama pia wasani wake wako vizuri kwa kweli nimependezwa saana love from Australia for more nitawajulisha kwa zawaidi kuu ahsante❤
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante ubarikiwe ❤️❤️🙏🏾
@zotto_boy6 ай бұрын
Olivia bonge la actress , 💥💥💥🥂💥 God amsimamie industry isimvuruge mbeleni🥂🥂🥂🥂💪
@elishabrand96256 ай бұрын
Gonga like za kutosha na kama mnataka iwe inaachiwa kila siku ,gonga like za kutosha Hapa
@timebakar6 ай бұрын
Kwanwew ndounaiachia
@elishabrand96256 ай бұрын
@@timebakar kama hauniamini Basi wewe waalike watu wa like za kutosha hapo
@SaraQueen-tm5dr5 ай бұрын
We ndo director
@msbeckie46936 ай бұрын
The chemistry between father and daughter is beyond acting❤
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Absolutely ❤️
@southpole13786 ай бұрын
wacongo tunawasapoti sana tuu nivile tu amjui gabo zigamba mad respect
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante sana ❤️🙏🏾🙏🏾
@RehemaIssa-ii6kr6 ай бұрын
Nampenda sana Olivia jamani asa akiongea dah nafulai sana
@JamaliAbass-pd3nq6 ай бұрын
Hivi Siwezi Uziwa hii move nimalize kuangalia,,,,Hii best movie mwaka huu
@RamadhaniKitala-gx6wc6 ай бұрын
Olivia honger ni mjasiriamali wa kesho inshallah 🎉🎉
@VexMaizoOfficial6 ай бұрын
🧭🤳 like zangu tafadhali jamani walau kumi maana sijawahi hata pata like. From Mozambique 🇲🇿
🧭🤳 tunaongea baadhi Tena sana, kuliko wa kenya. shida ipo kwenu maana mna tutupa sana, amtu jali, ni jirani tumepakana tu mto wa Rovuma.
@ukhtymwana406 ай бұрын
Sinime sahau kama leo Ijumaa lakini wa 18 team strong nawakilisha Oman 🎉🎉🎉
@omarhussein-iq7yg6 ай бұрын
Nawakilisha 974 🇶🇦
@NeemaNixon6 ай бұрын
Tupo pamoja mpka hubz zituuue team hamam😂😂😂
@omarhussein-iq7yg6 ай бұрын
🤣🤣🤣mafi mushkil
@MiriamShani6 ай бұрын
Mpk ni mefeel happy tuko pamoja
@ukhtymwana406 ай бұрын
@@MiriamShani karibu saham nipo
@ZuwenaAbdulla6 ай бұрын
Aisee nimekaa nikajua km mm wa kwnza oman team tunawakilisha
@CharoJohnson6 ай бұрын
Olivia mamaaa nakupenda walah❤❤❤❤❤ muheshimu sana dady❤
@AnnoyedCheese-qg6is6 ай бұрын
Kazi nzuri sanaa kutoka kwa gabo
@hemedynamkwanga29286 ай бұрын
Hiv like mnazoziomba munazifanyia nn nipen bac na mim
@muksinarchard64966 ай бұрын
Hii movie Kali Sana siku zote Gabo ni mwamba Sana 🔥
@omarhussein-iq7yg6 ай бұрын
Kama tunavyoeka subra hadi tumeletewa episode ya 6 ya tamthilia yetu nzuri yenye mafunzo mazuri...basi naomba sote tuwe na subra vile vile kwenye maombi yetu kutaka kujibiwa..nawatakia siku njema na ndugu waislamu ijumaa karim inshallah❤🙏
@JohnKirumbi6 ай бұрын
Sawa sawa
@ashatwaha68866 ай бұрын
Inshaallah
@monarose60916 ай бұрын
Napenda baba Olivia anavyo ishi na mwanawe in shaa Allah mwenyez mungu anijali mume atakae ishi na watoto wake kama ivi
@MwanamkasiBakari-pb2gw6 ай бұрын
Amiin thuma Amiin
@hajisalym76516 ай бұрын
Nakubali
@KindaKindaki-u1q6 ай бұрын
Kila kipande muwe mnaweka namba ili tuvielewe
@brianmalea7895 ай бұрын
❤
@TOMMPANTHER5 ай бұрын
HI
@malichanda31466 ай бұрын
Familia ya Luca wananichekesha sana wanajazana kwa baba olivia😂😂😂😂
@ScolasticaMtonga6 ай бұрын
Sauti ya olivia naipenda😊
@allyselemani785Ай бұрын
Hatari kama katuni yani
@MarthaAlly-y7s6 ай бұрын
Kazi nzuri sana gabo inanoga na huyó mwanao raha sana
@AlbertJr-u8q6 ай бұрын
Viazi kwenye kuuza ilibidii awe na chakufungia kama gazeti au mfuko, pia asishike kwa mkono atumie uma kumpa mtu.kuzingatia Usafi wa mikono.
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Amejufunza hapo! Asante 🙏🏾🙏🏾
@malichanda31466 ай бұрын
Hii movie nzuri sana aise hongereni sana❤❤❤❤
@dotoomary68896 ай бұрын
Olivia anajua sana ana kitu atafika mbal
@NewtonOskar6 ай бұрын
Tatizo sapot ndugu sawa sawa na jamila saiv tumemsahau
@innovalentino98876 ай бұрын
Very touching episode hapo kwenye mama yupo wapi na background inaumiza kifala sana🥲🥲, i feel it. Gabo Zigamba you know what you doing bruh keep it burning may our almighty guides you Kaka.
@henrymwakajumba6 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️❤️
@malcelalihawa60346 ай бұрын
Babaangu kipenzi, baba bora sanaaaa maisha yangu yana mengi kukuelezea wewe...endelea kupumzika pema peponi❤️
@henrymwakajumba6 ай бұрын
RIP, ❤️❤️❤️
@RamaDenge6 ай бұрын
Naa yulee dude mchoyoo Sanaa yeye kagaiwa chakulaa tenaa wenziwe hata kuwagaiya ndizii Moja kashindwaa
@mamasalhat6 ай бұрын
😂
@alkhudhertarek9766 ай бұрын
😂😂😂ndo kwanza ujuwe leo
@MwanatumuJumaa-rj4fg5 ай бұрын
Yule bahili hata wa fadhila
@DofaMweya-lu9zm5 ай бұрын
ndio ushangae,hata kutoa ndizi moja ampe olivia😢😢kyaa
@radhianuhu19745 ай бұрын
😂😂 ndo waja walivo
@munirakhalfan57166 ай бұрын
Tupo Omani 🎉🎉tunawaona Tanzania yetu❤❤❤
@CheefIrahim6 ай бұрын
❤❤❤❤
@JoharSeif2 ай бұрын
❤
@AsiaSharif-nt5sy6 ай бұрын
Best ever filamu mr gabo ur the number one actor in tz for real
@Twilumba6 ай бұрын
Namm nataman nimlee mtot wangu kama baba Olivia 🎉
@aishaomar22876 ай бұрын
Ni kuamua tu bila kujichanganya
@NaftaelyCylus6 ай бұрын
Niliishi maisha ya olivia na babaake kasoro tu jinsia yangu daah kweli movi imechezwa.
@AllyIbrahim-p3b6 ай бұрын
Gabo anajua anastahili maua yake🎉🎉
@farajangenzi43035 ай бұрын
Baraka zimfikie mwanamke mzaa chema alomzaa olivia she is very bright ❤
@zenamwasekaga74606 ай бұрын
Olivia nampenda sana❤ ila Lucas na Katarina akili hawana😂😂😂
@RehemaShindo-px7gt6 ай бұрын
KAZI nzuri yenye mafunzo mazuri,,much love from kenya
@fellybonny56186 ай бұрын
Napenda anavyomuita mwanae mama
@aishaomar22876 ай бұрын
Very sweet
@FocusMusicProduction2546 ай бұрын
Background ya music iko juu kiasi wakat Olivia na Gabo wakiongea. But for sure i do appreciate watching this❤much love
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Thank youu!
@SalumuZomba-xb5bz6 ай бұрын
Wow my lovely movie❤❤❤
@schadracnsengiyumva65255 ай бұрын
Huu jama Tanzania yote sijaona Actor zahidi yake.anajuwa kuigiza sana.Love from Burundi 🇧🇮 😍 ❤
@aishaomar22876 ай бұрын
Baba Olivia na meanao mwanikosha😂😂 ati alikua kipofu haoni,alijuaje wauza viazi,pengine alinusa😅 🙌...bwana Luca nae na jamaa zake yani wamekula hadi kuenda shamba nibasi,khaaa! 🤣🤣🤣 mwatuburudisha na mafunzo juu Gabo na team Mungu Awaongoze
@henrymwakajumba6 ай бұрын
😅😅👍🏽👍🏽👍🏽🙏🏾🙏🏾
@mauriciocristianomardes62956 ай бұрын
Hi familia ya luka jamani hiiiii 😂😂😂😂 Gonga like basi jamani, from Mozambique ❤
@VexMaizoOfficial6 ай бұрын
🧭🤳 😂😂😂🇲🇿 imefanyaj kwani??
@rosemaryrwabibi59086 ай бұрын
Yaaan uyu mama tina uwa anasura ya comed kabisa
@FaithJames-r1q6 ай бұрын
Ni comedian huyo Katarina karatu
@NanzariuAwadhi-jp3qw6 ай бұрын
😂😂😂
@AdhamAlliy-mg5py6 ай бұрын
Wew ACHA TU Yan najikuta nacheka tu wameuwA
@carloswekesa2545 ай бұрын
A big fan from Kenya. You are one of the best actors that I have known for so long.
@-kagerayetubw9jx6 ай бұрын
Nimejisau kuomba like
@katabaroonlinetv96886 ай бұрын
😂😂😂tukikupa like unauza au 😂😂😂haya ngoja nikupe like
@-kagerayetubw9jx6 ай бұрын
@@katabaroonlinetv9688 🤣🤣🤣pokea mauwa yako ⚘️⚘️
@salimNdendya6 ай бұрын
Asanteni kwa muvi kali
@gogirl20956 ай бұрын
Olivia na babake tunampenda 🇰🇪🇰🇪
@BerithaJohn6 ай бұрын
Jamani tunaomba episode ziwahi story nzuri sana
@EzekielKitambo5 ай бұрын
Napenda sana jinsi hizi family mbili znavyoishi💐💐
@hatangafelix55986 ай бұрын
Baba Olivia na Olivia mumeni inspire
@bakariluhala73326 ай бұрын
Greatest sina cha kusema daaah
@saidiabdallah79346 ай бұрын
Nakubali sana
@fatumakushonda42776 ай бұрын
Olivia nakupenda n babako,mnajua pk mna jua tena ❤🎉
@AbramisAbdullah25 күн бұрын
move ipo very nice 🎉🎉🎉🎉
@RoseMukoshi6 ай бұрын
From Kenya ❤kibaba jirani aezi achia jirani ndizi
@SaidSadiki-c6n3 ай бұрын
Jamani nampenda baba olivia jinsi anavyomlea mwanae naombeni like zangu hata 1000
@ChristinaDaniel-c4u6 ай бұрын
Hongeren sana move tam inafundisha inasisimua🎉
@falcom.41496 ай бұрын
This is "Rich daddy,poor daddy" ya Tanzania. It's best movie 🍿 ever❤
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante Sana 🙏🏾
@ZawadiSaidy6 ай бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥
@DottoDottoMoshi6 ай бұрын
Jamani hii stori inanifuraisha sana 😂😂🎉🎉
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asantee ❤️❤️
@anordlaurent87516 ай бұрын
Sana
@AliMkumbukwa6 ай бұрын
Uzul wa mwafrika anga angavu blue nyeupe Salam nyingi kutoka kahama Tanzania
@AjuwaeTz6 ай бұрын
Ngonga like kama unamkubal baba oliva
@martinoiddi-mc6yh6 ай бұрын
Kama tuna kubali movie hihi like🎉
@munirakhalfan57166 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Jahra2023-gm1qp6 ай бұрын
Baba Olivia umetisha
@-kagerayetubw9jx6 ай бұрын
😂😂😂jemsi anataka kufanya vya wakubwa kwa Oliva 😂😂
@bonita3296 ай бұрын
Wow napenda sana hii series kutoka kwenye nchi yangu Tanzania 🇹🇿❤ Naitizama kutoka germany ☺️🇩🇪 Please fanyeni kidogo ndefu ndefu please 😂
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
@aishajuma67066 ай бұрын
Olivia shukuru.babako yuakupenda san
@ChristinaDaniel-c4u6 ай бұрын
Hongeren sana move tamu inasisimua🎉🎉
@hassanomar34756 ай бұрын
From Bangladesh 🇧🇩
@margretnjuguna29496 ай бұрын
Kenya watching and love it
@AminaMwavitaАй бұрын
Congratulations keep it up good job 💞❤💕♥️🥰😍😘
@HusnaSaid-v5m6 ай бұрын
Mimi napenda sana kazi za jirani yangu gabozigamba
@OmariAbedi6 ай бұрын
Mambo mambo nikiwakilisha south africa ❤❤❤
@agrestaalpha10856 ай бұрын
I really need to see Olivia 😅
@chusseboywcb28086 ай бұрын
Gabo samahani olivia ni mwanao samahani lakin make mnapenda sana baba na mwana❤🎉
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Hapana ni kazi tu! 🙏🏾👌🏾💪🏾
@JoyNekesa-s4s6 ай бұрын
mnachelewesha sana jamani
@bentech_brand6 ай бұрын
creativity is in you brother
@nana-ld4yf6 ай бұрын
nakubali❤❤❤
@HarunaDanielmbanzeofficial6 ай бұрын
Napenda movie zako bwana baba olivia
@HarunaDanielmbanzeofficial6 ай бұрын
Tunaomba mwendelezo wa Baba Olivia part8 nakuendelea angalau mtupe part 3 Kwa wiki
@Rahema1236 ай бұрын
❤🎉Mpo vizuri baba olivia na team yako 🎉🎉penda shana 🌹
@ollenshamba5 ай бұрын
Nzuri sana hii move big up sana Gabo
@YoungblackPeople-qf7vx6 ай бұрын
Kuna move alafu kuna vitukooo hii ni MOVE SASA
@AsfSff-t8d6 ай бұрын
😂
@NeemaMassawe-t2t6 ай бұрын
Haswaaa
@fatuma46ramadhan186 ай бұрын
Wow nimewahi leo❤❤❤❤
@consolateurmgeni67726 ай бұрын
zigambo wakupe mauwa Yako🎉
@AlexChilumba2 ай бұрын
Kama unaamini hii filam ni funzo la jamii baba olivia nimwelimishaji Basi gonga like za kutosha japo kuwa nimechelewa
@ivymwalasa44716 ай бұрын
Wa baba wote wangekuwa hivi Amn mtu asingesema nani kam baba😀☺️☺️
@GatekaFatmaАй бұрын
Kabisa
@Mwanahamisally-kg8ym6 ай бұрын
Jamani mnakaa sana kutuletea
@PatrickFrenkMbogo5 ай бұрын
Malezi ya upande mmoja yana watesa sana watoto mama akimlea mtoto anamficha mwanae asimjue baba ,Baba nae kadhalika hii sio sawa mtoto anahaki ya kujua mama yuko wapi na Baba yuko wapi
@godrivermichaelsugwejo49796 ай бұрын
Hawa majirani wa Baba Olivia family ya luca😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@NuhuMetson-mt1vc6 ай бұрын
Wanatuua mbavu yan hamn episode tuschek
@rehemapeter86216 ай бұрын
Kazi nzuri❤
@henrymwakajumba6 ай бұрын
Asante🙏🏾
@ShufaaJohn4 ай бұрын
Jamn Olivia big up mtoto anajua sana ❤❤❤❤❤❤
@DanndannosdanielDannos6 ай бұрын
❤Nawafata baba
@MJSports-166 ай бұрын
Gabo Zigamba 👊
@munirakhalfan57166 ай бұрын
Tupo pamoja gabo namb one
@Amne-g7n6 ай бұрын
Nawaona watu wanavyo hangaika kutaka like mmh hemu leo nipeni like angalau 100 sijawahi kupata😂
@ibrahimkibwana73646 ай бұрын
Babu kubwa, tupo pamoja
@NasraKhalphan6 ай бұрын
Baba Olivia wakati anaongea na mama Tina alikuwa haja chonga ndevu matina alivyo muuzi tu. Baba Olivia alivyo ingia ndani tunaonyeshwa kachonga ndevu jaman daaaah 😄😄😄✍️
@danielchalamila82696 ай бұрын
Huu ni mchezo wa kuigiza hauwezi kuwa real kwa Kila kitu. Lakini pia , maandalizi kwa maana ya muda wa kukutana location,kupitiwa kwa Editor, muingiliano wa ratiba za waigizaji. All in all Zigamba kajitahidi sana, pia enjoy mchezo ndugu yangu usiwe serious sana
@mohamedsheealom87456 ай бұрын
Hatuitendei haki hii channel viwers kibeo lkn likes wanaomaba watazamaji badala kulike hii video wapate haki yao