Nimesoma comment zote lkn bahati mby çijaona hata coment moja ya kumuombea like mwalim janet uyu janet ni mzuri ci hapa mpeni like zake bac🎉🎉🎉🎉🎉
@OmyCrez3 ай бұрын
Wewe mbona haujamuombea?
@Wandie0sborne-er1zq4 ай бұрын
I like this Sophie, mwalimu Janet is the reason I'm following it, 🇸🇿🇸🇿🇸🇿🇸🇿
@othmanhamad78875 ай бұрын
Kumbe Mwalimu Janet hata akiwa kwny uhalisia ni mzuri vilevile❤❤❤,hongera Teacher unaigiza vzr sn yani km ni uhalisia vile👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@rajabdibwa64155 ай бұрын
Crew nzima ya baba Olivia imecheza vizuri! Kongole🎉🙌
@justingeorge24514 ай бұрын
Mungu akufanikishe zaidi kimataifa pia katika eneo hilo la uigizaji piga kazi mama Nakupenda sana ❤
@jacquessaidialimasi23884 ай бұрын
Napenda sana kuigiza kwa uyu dada, nili anza mufatiliya Tangu UHURU N'a GARAMA YAKe, anafanya vizuri sana piya baba Olivia amemaliza sana, mimi nimuigizaji kutoka DRC Congo, 🇨🇩 Kalemie tapenda kama Host ukiniunga naye
@rashidgona18084 ай бұрын
Tanzania nzima sasa kipaji na uigizaji kiko juu kuliko kazi zengine zile hongereni Sana mnaiinua inchi yenu kupitia Sanaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌹🌹💯💯
@gilbertuisso33854 ай бұрын
Well done Mwalimu Janeth, mme Perform vizuri
@nouraynaasheikhunkabir37495 ай бұрын
Criss favor umetisha sana kwenye hii interview, umemchomekea amefunga zaidi afu ni mpole sana Hana sijui no comments 😂😂
@salimbilali51745 ай бұрын
Uyo dada walai ❤❤❤natamani ata ningekuwa mm Baba Olivia
@hendricksjohn62015 ай бұрын
Gani asingekuwa na mke hakika mi ningemwambia amuoe mwlim Janeth ila kwasababu ni muislamu amuoe mke wa pili ❤
@SarafinaNyamvula5 ай бұрын
Nakukaribisha Kenya mwalimu Janet ❤❤❤
@MdNasr-jm8pj5 ай бұрын
Mwalimu wke Olivia uyoo🎉🎉🎉 Nakupenda bure
@safarivahocha80775 ай бұрын
She is so cute. I love personality
@Manudhi3 ай бұрын
I love her So beautiful 💕💕💕😍
@SheihanShabab5 ай бұрын
Mwalimu Janet mule ndani katisha sana mpak nataman wawe mke na mume❤
@yvesninezereza5 ай бұрын
mwalimu ila we ni mzuri❤😂tena we ni mzuri sana
@timamulituto5 ай бұрын
sema Kalembo sana aka kadada napenda sana 🎉🎉
@OfficialTMD124 ай бұрын
Daaah nakukubali sana mwalimu❤❤
@abdullasalimkhatib31774 ай бұрын
I appreciate mwalim Janet🎉😊
@khatibukibwana15364 ай бұрын
Come on ticha good kazi,Gabo aaaaah amazing
@addolphfrank89144 ай бұрын
Sina cha kusema mmetisha sana kwenye hii series kongole kwenu,ila Gabo ni moto sana hongereni nyote.
@eliapendakileo5 ай бұрын
Huyu dada ni zaidi ya mtu kwenye kazi yake namkubali sana ingawa nimekuwa nikiangalia vipande vidogovidogo chukua🥀🥗🌷Yako mwalimu unaweza
@henrymwakajumba5 ай бұрын
Thanks guys interview nzuri sana! 🙏🏾🙏🏾
@mwimamjanja91095 ай бұрын
16 hatujaona
@henrymwakajumba5 ай бұрын
@@mwimamjanja9109ijumaa hii!
@viralvideostz82505 ай бұрын
Weka 16
@shavakhantz79605 ай бұрын
Lete vitu kaka baada ya hiii @henrymwakajumba
@gloryjimson98315 ай бұрын
Tuwekee bhana vipande viwili kwa wiki hii movie tunaipenda sana tafadhari Henry
@swalloonpoint23065 ай бұрын
We also need Olivia here
@SalmaRandu4 ай бұрын
True
@muksinarchard64965 ай бұрын
Congratulations to this woman She is a good performer in Baba Oliver movie
@lovirinaa5 ай бұрын
Mufanyie interview Olivia pia
@ShabaniShabani-vj7fe4 ай бұрын
Kwa ufupi mm mwalim Janet nampendaa sanaaaa by Salim from kigoma mm ni ajent wa kampuni ya aifolaa
@leandrebutoyi20074 ай бұрын
Tunapenda Baba Olivier sinema nzuri sna
@faridaali28204 ай бұрын
Hongera sana mwalimu Janet yani umetisha kila mahali asey ❤❤🎉🎉
@ChidyMfululu4 ай бұрын
Nakubali kaz za gabo nakupenda pia mery ulivyo pita kwenye move umependezesha na upo size fit
@MdNasr-jm8pj5 ай бұрын
Wanawake wengine hawajazaa lkn wanapenda watoto hatar🎉🎉❤
@matesojosephluzu36985 ай бұрын
namkubali vibaya mnomno mwalim janet🥀🥀🥀🥀🥀🥀
@gideonchipepo84055 ай бұрын
Congratulations to you my dear you know
@zakariaJohn-c1i5 ай бұрын
Nakupenda bure mwalimu Janeth
@JustinHoran-bo7rr5 ай бұрын
3:00 yupo vzr uyo dada dah hatar
@JanethJeremia-nj2mk5 ай бұрын
❤❤❤❤sana mwalimu janeth wa jina wangu nakupenda mno
@ukweli2555 ай бұрын
Unaonaje niwe Baba Oliva wako
@SharifaRashid-tg9kx5 ай бұрын
@@ukweli255Yan ww umenifanya nicheke mno
@PhonexPhonex-u8e5 ай бұрын
❤❤❤ nakupenda sana mwalimu janet❤❤❤
@omarbushir5 ай бұрын
Nimekuwa shabik wa movie ya baba olivia kisa huyu demu tu😅😅😅😅nilion kwny clip tu
@MesaidMwachuo4 ай бұрын
Kwn hkna next episode
@glorymanga36505 ай бұрын
Tunakupenda sana mwalimu❤
@mrliverpoolynwa76415 ай бұрын
Ni mzur sana kwa kweli mwalimu Janet❤❤❤
@bonny-kofficial92724 ай бұрын
Kiuhakika full season 1 imetisha sana,hivyo tunaomba tuletewe season 2 please
@ayobamvuzecamile4414 ай бұрын
Mwalimu Janette Nawapenda sana Kutoka Rwanda Kigali
@starlonejadamskp82245 ай бұрын
Nampenda mwalimuuu 🎉
@HappyGeorge-r1c4 ай бұрын
Jaman VIP kuhus season 2 Maan mmetisha sana madam jjjjj
@nelsonswai51804 ай бұрын
Kule kwa movie la baba olivia wameuwa sana aisee waliwaza mbalii sana
@JeannetteManirambona-o6m5 ай бұрын
Mwalimu mwalimuuuuu tunakupenda san❤❤
@Khadija1234-k8v5 ай бұрын
Tunampenda sana mwalimu
@BrownCmg5 ай бұрын
Me nampend sana madam Janet ndyo sabb ya kuifatilia hyo muvi ❤
@peteryohana68835 ай бұрын
Baba Olivia ni booonge la movie,nimeipenda
@DINASSOUR5 ай бұрын
Mwalimu..ana saut nzuri .. very cute
@kombo.ibrahim34605 ай бұрын
Good explanation 👏 madam 💐
@MpogoloJunior4 ай бұрын
Hongera mwalim Janer
@johnkamira22365 ай бұрын
My fav actor
@ShafiiAmisi-h3w5 ай бұрын
Mm nakukubar kinyama❤❤
@harithwhite5892 ай бұрын
Ni tamthilia yenye sound quality bora sana kuwahi kutokea hapa kwetu,nani mwengine ameliona hilo.
@marthageorge50435 ай бұрын
Mwalimu kipenzi chetu😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@NIYUBUNTUMECHACK-jw2db2 ай бұрын
Season 2 zimetoka. Wazee?
@KusiriyeOSawe5 ай бұрын
Mwalimu wa olivia nakupenda upo makini kwenye kuelimisha jamii na baba olivia upo vizuri kwenye misimamo
@DieubonMutsira4 ай бұрын
Naku kubali sana mwalimu janeth
@ZekaniS5 ай бұрын
❤❤❤mwalimu janety I love so much❤❤❤
@TumainiMbati4 ай бұрын
Kapole bhana Hadi raha
@LucyRafeali5 ай бұрын
We dada mzuli sana Mungu akutunze
@JohnPeter-l2f4 ай бұрын
Uje umuhoji na Olivia amekuwa saiv kazuri kale katoto 🎉
@yassinyunuss58745 ай бұрын
uyo sister anajuaa😘
@philipachikindubi51284 ай бұрын
PRETTY GIRL, I LOVE HER ,MWALIMU JANET
@AhyadAbubakary5 ай бұрын
Mwalimu I love you
@IssaMangaya-l5g5 ай бұрын
Mnajua ani mnajua tena🎉🎉🎉🎉
@AdamNdaki-n6q4 ай бұрын
Mh mjitahid mtuletee season 2 jaman tena kwenye tv is better more
@israeluronu99585 ай бұрын
Nakupenda sana mwalimu 😂
@AdelaidaJohn-l7b4 ай бұрын
Mrembo jaman❤
@bedabeda63485 ай бұрын
Uciogope kuitwa mwl. Mimi naona ualimu upo ndani ya damu yko kuongea,kujieleza kunaonesha ww ulipaswa kuwa mwl.
@JamesKagumisa5 ай бұрын
Yupo vizur sana kwenye sanaa yake
@peteryohana68835 ай бұрын
Naidownload kila nikiitazama ili nirudie mara kwa mara nielewe
@FphabianTZ06404 ай бұрын
Aise ni kitu kizuri sana, if possible muendelezo uendelee tu
@DidaAlly-iz1it5 ай бұрын
Kwani izo nywere zake😂😂😂
@rashidmsenga61674 ай бұрын
Hongera
@Philipomhapa4 ай бұрын
kwenye hii movie kitu Cha kwanz kilicho nivutia jinsi Gabo anavyo igizaga na Cha pili baad ya kukuona tu alinivutia huyu mwalimu daah aise movie ameigiza vzr san
@abdulazizjeizan-vx1mc4 ай бұрын
Uzuri wa mwanamke sio urembo sio sura wala mumbile uzuri wa mwanamke ni tabia njema tabia nzuri na dini
@baraka-h7s4 ай бұрын
dada kaupigamwingi sana mungu amuangazie mafanikioyake
@SalehOthman-s4v5 ай бұрын
Madam ❤
@safarivahocha80775 ай бұрын
Mwalimu ni tittle ya heshima sana baada ya Mungu. Hakuna tittle nyingine yeyote inayoweza kuifikia. Hata Nyerere bado anaitwa Mwalimu, kwakua tittle ya Mwalimu ni kubwa kuliko ya Rais au Baba wa Taifa. Hata nabii Issa ( Yesu) aliitwa Mwalimu.
@shabanimasini97325 ай бұрын
Acha kudanganya umma wew
@AgreyAlloyss5 ай бұрын
ukweli ni upi
@ph_money4 ай бұрын
@@shabanimasini9732ukweli ni upi
@MaryNelson-f3b4 ай бұрын
@@AgreyAlloyssNURSE
@emmanueldkulwa18243 ай бұрын
True, wenye akili timamu tu ndo watakuelewa point yako!!!
@IssaMangaya-l5g5 ай бұрын
Mlikuwa wapi kuigiza kama hv tangu 2000 Watu wanachukia bongo movie kumbe ninyi mlijificha2 Em fanyeni selikali iweke wizara ya movie alaf gabo awe waziri😄😄😄 ww naibu
@OfficialManyama-uy1bj4 ай бұрын
Watu wameshanizalishia demu wangu🙄🙄
@RamaAli-x7h5 ай бұрын
Wamefanya kazi nzur sana😂
@mohamedmwinyi32615 ай бұрын
❤❤❤ makopa ya mwalimu Janet
@salmabasil3855 ай бұрын
Natamani angerithi nafasi ya mimi mars kama maria
@AbdenegoMusafa-z1h4 ай бұрын
Napeda Sana film zenu likini naomba namba za Madame janet
@gideonchipepo84055 ай бұрын
Umejibu kweli mwalimu
@RashidiMaliki5 ай бұрын
Mnajitahidi sana kulimisha watu nzr sana nmeipenda sana
@hatangafelix55984 ай бұрын
Nampenda huyu Dada. Hivi ameolewa
@emmanuelrobert47574 ай бұрын
Ipo vzr na amecheza vzr mbna mwendelezo akuna piia
@MohammedBakari-q8d2 ай бұрын
2naomb baba Olivia 2
@arceillearceille81904 ай бұрын
I'm asking myself a question, in the last episode, Janet was pregnant, I want to know father, is baba Olivia pregnancy's author??😂😂😂
@evalynekapoloni98864 ай бұрын
Mimi ukija Kenya nitakuita mwalimu 😂😂
@MaryMmole-en9qz5 ай бұрын
Waoooooh kina mary tuwazuri jamn wajina wamimi
@nasrachimamy5 ай бұрын
Hayo yote majina ya uwigizaji kepennz Star mpk ujue jinalake halis kipengele
@allymtunge55305 ай бұрын
Wanampenda hy mwana mke mzur
@CharifaRachidi5 ай бұрын
Ohoo jaman nampenda sana uyu dada jmn
@selekiwande33865 ай бұрын
Mimi siangaliag move Ila hiinnimeifuatilia a to z Ila tunawadai waimalizie baba Olivia opsode 16@&17