BABA WA MAREHEMU MAISHA ASIMULIA KWA UCHUNGU MWANAE ALIVOKUFA MIGUUNI KWAKE

  Рет қаралды 20,364

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

3 жыл бұрын

JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP
LINK.. chat.whatsapp.com/JkSQagAXcla...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA KWENYE GROUP LETU LA TELEGRAM
LINK. t.me/joinchat/SuUqvRhRgJ9CXdk...
INSTAGRAM TUNAPATIKANA KWA JINA LA MAXIMUMTVONLINE
LENGO LA MAGROUP HAYA MAWILI NI KUUNGANA KUWEZA KUSAIDIA WATU WENYE MAZINGIRA
MAGUMU..MARADHI..WASIO NA PAKUISHI ..MATUKIO YA UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA..HABARI ZOTE ZA KIJAMII TULETEE HAPA
TUPIGIE 0625466848 PIA WHATSAPP TUNAPATIKANA

Пікірлер: 201
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP chat.whatsapp.com/JkSQagAXclaAAv1INM4qpV GUSA hapo KUJIUNGA PIA KUNA GROUP LA TELEGRAM LINK HII JUUNGE SASA t.me/joinchat/SuUqvRhRgJ9CXdkT1A3YzA WHATSAPP NAMBA 0625466848 KWAAJILI YA HABARI ZOTE ZA MATUKIO NIPIGIE NITXR WHATSAPP
@muanaidimbondei5905
@muanaidimbondei5905 3 жыл бұрын
Wana family mpoleni sana kwa msiba mungu amlaze mahara pema peponi 😭😭😭
@fatmaaly3056
@fatmaaly3056 3 жыл бұрын
Baba anaonekana hali ngumu tumchangieni aweze kuka vizur
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
nikweli my wazo lako
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Yap tutafanya hvo
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
well spoken my dear am a Kenyan but hata kama nita chelewa mungu yuko I will try my best muhimu nipate majina za kutuma sababu niko ulaya na siwezi tuma through m-pesa labda money gram
@mariamdjae9825
@mariamdjae9825 3 жыл бұрын
@@judithmelvinealuchio8968 unaweza kutumia m-pesa, tigo kwa kutumia WorldRemit, hapo hapo pesa anazipata, nijia rahisi sana wt wengi tunatumia kutuma.
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 3 жыл бұрын
Naam kbs maskini
@aminamnungamo8081
@aminamnungamo8081 3 жыл бұрын
Ni kweli kaka zair akapimwe na pia nawaomba kama ombi tumchangie pia na uyoo kijana kafanya kazi kubwa xana na niwachache wenye moyo km uwo tumchangie aanze biashara yake kwa wema ario ufanya
@mamukassim4075
@mamukassim4075 3 жыл бұрын
Amina mnungano sawa kabisa.
@aminamnungamo8081
@aminamnungamo8081 3 жыл бұрын
@@mamukassim4075 Poa mamy mana aliacha mda wakujitafutia lkn akaamua amsaidie rafiki ake na ni kijana mdogo xana yule nae.
@halishmwarua2957
@halishmwarua2957 3 жыл бұрын
Poleni sana family kaka zahir mungu hakuzidishie moyo huu 🤲🤲 huyu babayke yuwataka husaidizi pia maisha sio mazur plz miximum tv
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Yap naona Ila nitajitahd tufanye Jambo kwaajili yake
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
@@maximumtvonline please naomba number majaliwa any time nitatuma chochote am a Kenyan leaving in Italy niko heart broken this my number please munitumie majina au vile naweza tuma nikipata kitu +393511869046
@halishmwarua2957
@halishmwarua2957 3 жыл бұрын
@@maximumtvonline in sha Allah tuko pamoja
@manahiljamal8053
@manahiljamal8053 3 жыл бұрын
Pole Sana Baba kuwa na subra Kwa kipind hich kigumu
@fallymetoo191
@fallymetoo191 3 жыл бұрын
Allahumma ghufirlahu warhamhu waaskinahu filjannat 🤲🇧🇪
@bintsulaymansuleiman668
@bintsulaymansuleiman668 3 жыл бұрын
Amiin
@rehemahamisi9971
@rehemahamisi9971 3 жыл бұрын
amina
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 3 жыл бұрын
Allahumma Aameen Yaraab Alaameen 🤲
@ziadasalim1459
@ziadasalim1459 3 жыл бұрын
Aamini
@hawa4968
@hawa4968 3 жыл бұрын
@@ziadasalim1459 amin
@mamuually5579
@mamuually5579 3 жыл бұрын
Mungu awajaalie subra familia yote kwa ujumla,,,,marehemu amenikumbusha ndugu yangu,,in sha allah mungu atusame na kutuongoza soteni
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
Poleni ndugu na familia kwa msiba. Mungu amlaze pema kwenye wema
@watakaniitaje1215
@watakaniitaje1215 3 жыл бұрын
Basi kaka ake huko village ana jijustfy kwamba alikua anamuuguza Jamani Rest in paradise mkaka
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 3 жыл бұрын
Siunajua tena wengi wetu ni waongo sana
@helenamusa432
@helenamusa432 3 жыл бұрын
Allah awatie nguvu wote wana famly tulimpenda MAISHA sema mungu kampenda zaid
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 3 жыл бұрын
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki, pia baba Mungu awatie nguvu jamani.
@sawdasamsan4895
@sawdasamsan4895 3 жыл бұрын
Poleni sana mungu awape subra family yote mliofiliwa
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
Pole sana wana familiar kazi ya mungu haina makosa inauma sana sana
@swaumujuma6333
@swaumujuma6333 3 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa mungu awajalie subraa🙏🙏🙏
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 3 жыл бұрын
Poleni sana waifiwa mungu awape nguvu kikubwa kumuombea dua ishaallah 😭😭
@du8284
@du8284 3 жыл бұрын
POLENI SANA WAFIWA, KAKA ZAHILI MUNGU AKULINDE NAAZID KUKUPA MOYO HUWOHUWO
@kisamwaya3137
@kisamwaya3137 3 жыл бұрын
Daaa hongera sana kaka zahili mungu akubariki nimependa sana unavotujuza asante sana
@salehkhalfan1473
@salehkhalfan1473 3 жыл бұрын
Mungu ailaze roho hamarehem mahali pema peponi na amsamehe makosa yake na kk zahir husen mwenyezimungu akupe afyanjema na maisha marefu yenye mafanikio ww na familiya yk amin
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Amen..Asante sana
@fahadfahadmaabadmzee7437
@fahadfahadmaabadmzee7437 3 жыл бұрын
Hakika Tumchangiye Jamani Mfiwa
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Kweli familia yaonekana hali ngumu jamani
@abumoyo5341
@abumoyo5341 3 жыл бұрын
Inalilai waina hilai rajiuni (sad moment)
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 3 жыл бұрын
jamani hata Baba ana nguvu am a Kenyan but am heart broken niliona kama maisha amepona but I need only the names coz niko Europe majaliwa next month I will send something Baba take heart may God give the whole family 🙏🙏🙏 I can't finish it 💔😭😭😭💔🙏
@zainaramadhan7769
@zainaramadhan7769 3 жыл бұрын
poleni sana family baba anasema kakuacha Alama
@shanifesto9037
@shanifesto9037 3 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa,,,pole sana baba dahhh inauma.
@salehalbasam41
@salehalbasam41 3 жыл бұрын
Poleni sn wafiwa jmn inauma ila tulimpenda lkn mungu kampenda zaidi yt mungu amsamehe yote ampe kauli njema
@omanimujsa9756
@omanimujsa9756 3 жыл бұрын
Maskin
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 3 жыл бұрын
Baba pia anamachungu kweli
@WaridawaridaWarida
@WaridawaridaWarida 3 жыл бұрын
Ndugu tujalieni wakati mnapo sikia mtu anaumwa ili apatiwe msaada wakuokoa uhai wake hakuja hata ndugu mmoja wa kumtazama wakati mpo wengi kwenye family pumzika kwa amani mdogo wangu maisha 😭😭😭🤲
@katherinasamwel3937
@katherinasamwel3937 3 жыл бұрын
Kweri binadamu sisi sikitu ime niuma sana poleni wafiwa 😭😭😭
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 3 жыл бұрын
Ingawaje sote tutakufa lkn kaka yetu ugumu wa maisha ndio ulimmaliza kwa kuhifikiria. Mungu amrehemu, mbele yake nyuma yetu🤲🤲🤲🇰🇪
@maulidali7603
@maulidali7603 3 жыл бұрын
Jamani hii familia ina.matatizo maana hawakushtuka ugonjwa wa marehemu umekosa utu Mungu ailaze rohoyake pema peponi msameh dhambi mpe kauli thabit
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 3 жыл бұрын
Allah Mkubwa atwafariji Allah atakupwni Imaan ziyada na subra Aameen
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
Daaa jamani ndio maana marehemu maisha alikuwa anakataa kwenda kwao kuwa akienda kwao atakufa kumbe masikini baba ni Mzee maisha ya hapo nyumbani ni magumu.Pole sana baba na mama pamoja na ndg wote kwa kumpoteza mpendwa wenu maisha Mungu wa mbinguni aendelee kuwatia nguvj ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho.Na pia napenda kukushukuru na kukupongeza sana kaka Zahir kwa moyo wako wa upendo umejitahidi sana kupigania uhai wa maisha lkn kwa mapenzi yake Mungu kaamua kuuchukua uhai wake lkn pamoja na hayo bado umejitahidi kwenda nyumbani kwao na marehemu Maisha Mungu akubariki sana uendelee kuwa na moyo huohuo ulionao hakika Mungu ndiye atakayekulipa.
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Amen Elizabeth..mungu atatulipa sote kwa mioyo ya huruma
@baidyniak3488
@baidyniak3488 3 жыл бұрын
Yasikitisha sana! Niko na imani wangekua na uwezo wangemkimbiza hosipitali ila umaskini jamani ! Mola ilaze roho yake pema Peponi!
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Maskin huruma baba pia anajikazaa lkn uchungu moyoni Amaa kwelii kifo Hakina taarifa kifo Hakina umri unaondoka kijana unamuacha mzee innalilah😢😢tumche Mola tupate saaada huko tuendako
@marrionwatima797
@marrionwatima797 3 жыл бұрын
May our God in heaven give u peace n strength baba to go through this, Mr zahir ur reward is a waiting u.
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Amen..
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 3 жыл бұрын
Huyu mzee ana hali ngumu..hata nikama hakuwa na hela ya kwenda Dar kumwona mwanawe. Mungu akupe nguvu mzee. Kenya
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 3 жыл бұрын
Allah akutie nguvu 😭
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 жыл бұрын
Poleni ndugu zetu Allah amlaze mahala pema peponi Aaamin
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 3 жыл бұрын
Niseme pia stress zimechingia.Lkn yote tumuachie MUNGU maana tukisema sana tutakufuru
@hopechriss8739
@hopechriss8739 3 жыл бұрын
Mm nawaza jmn cjui kwaajali ya umbali wa safar kuchoka na ugonjwa ndyo maan kafa arak masiki 😭😭😭pumzika kwa amani maisha rafiki
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Allah kampa nguvu marehemu ili afike kwao kifo kimkute
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 жыл бұрын
Masikini.poleni sana nanyi watangazaji mungu awalipe leo na kesho
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Amiin
@fahmaali8945
@fahmaali8945 3 жыл бұрын
Pole sana
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Allah kapanga yote tushkuru kwa kila kitu tuseme Alhamdulillah
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 3 жыл бұрын
Mungu awape subira mtihani kweli
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 жыл бұрын
Masikini umasikini Shida jamani mungu atunusuru namaradhi magumu
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Alhamdulillah hajazalisha nje kwahio hana kosa la kuacha mtt wa nje ya ndoa
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 3 жыл бұрын
Pole baba kikubwa ni kuomba mungu ampokee salama huko aliko 😭😭😭😭💔💔💔
@asiakinia9344
@asiakinia9344 3 жыл бұрын
Innalillah wainnailaih rajiiun masikini yule kaka amefarikie Allah ampe kauli thabit poleni family na mtihan 😭
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 3 жыл бұрын
baba m.mungu akufanyie wepesi kwa kipindi kigum cha msiba wa ndugu yetu maisha m.mungu amfanyie wepesi kwa safali yake insharrah
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa yani wanyumbani maisha rufiji kibiti
@nellyrhn4349
@nellyrhn4349 3 жыл бұрын
Mungu amupumzishe maali pema kaka yetu maisha inauma sana ila akuna gisi.kabisa
@naythardarling1115
@naythardarling1115 3 жыл бұрын
😭😭😭Ndugu jaman mnaudhi xn mnafanya mpk tufikirie vibaya 🙄🙄 mpo wengi tena wakubwa mmeshindwa kuja kukaa nae at least kumfariji jaman msishangae marehemu ugonjwa ulikuwa unazid xabbu akuwa na familia yake hata ya kumfariji jaman😭😭😭 watanzania wenzangu mnakwama wapi?? Au mmekula mtt wenu c mseme tuu manake kila nikiwaza jinx mlivyomtenga ainipi maana kabixa nipo dxb ila naumia xn kama ndugu yangu namuona kwan mm ni mtzd pia
@zabiyafahmikhamis4873
@zabiyafahmikhamis4873 3 жыл бұрын
Allah awape nguvu
@ashamasudi9441
@ashamasudi9441 3 жыл бұрын
poleni Allah awape subra kwa wakati ngumu mlionao
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 3 жыл бұрын
Poleni sana familiya mungu amipe subra kwa wakati uuwa mitiyani na kaka angu zahri mungu atakupa lako fungu kwa mola inshaallwaa azidi kukuongoza na malipo utayakuta kesho ahera inshaallwaa
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Inshallah
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 3 жыл бұрын
AMIN
@rehemaaithumani3076
@rehemaaithumani3076 3 жыл бұрын
Poleni sana mwenyeezi mungu amlaze mahali pema peponi😭😭😭😭🙏🙏
@husnahassan6289
@husnahassan6289 3 жыл бұрын
Pole sana mzee wetu Allah awatie nguvu kipindi hiki kigumu kwenu Ameen
@mariamothman7404
@mariamothman7404 3 жыл бұрын
Ila Zahir Allah atakulipa jaman unajitahidi sana wallah tena
@dalianakerefu490
@dalianakerefu490 3 жыл бұрын
Zahri mungu akuongoze pia unahuruma Sana kipindi kizuri Sana binadamu tusaidiane Dunia tunapita
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Tufanye harambeee Tena Jamanii Kama tulichanga kwenye ugonjwa lkn mungu kapanga yake.. Tuchange ili tujumuike kwenye Dua ya mwezi 10
@reginakisanga9308
@reginakisanga9308 3 жыл бұрын
Kabisa jambo jema
@africandarling6925
@africandarling6925 3 жыл бұрын
Daa Zahri mungu hatakulipa insha Allah
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Amiin Asante sana
@ahshbsbx2991
@ahshbsbx2991 3 жыл бұрын
Kaka zahir mung akutie nguv san allah akujalie nguv kabisa na pole san wafiwa allah ampe kauli thabitii🙏🙏😔
@mariamothman7404
@mariamothman7404 3 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa Allah awape subra katika kipindi hiki kigumu
@assilaibra4563
@assilaibra4563 3 жыл бұрын
Pole Sana Baba,
@janemusumba820
@janemusumba820 3 жыл бұрын
Pole Sana baba😭😭😭
@omanimujsa9756
@omanimujsa9756 3 жыл бұрын
Najua unapitia machungu gani dadangu pole sana
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Poleeee dada kazi ya mungu Haina makosa
@assilaibra4563
@assilaibra4563 3 жыл бұрын
Huyu Baba Anahitaji Msaada Nae Maana Aonekana Hali Yake Sio Mzuri Kimaisha.
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Saaanaa
@mariamselemani5208
@mariamselemani5208 3 жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia mwenyezi mungu awatie nguvu
@jimmymrema1653
@jimmymrema1653 3 жыл бұрын
Oooh pole sana mzèewangu
@leonardbigambo8554
@leonardbigambo8554 3 жыл бұрын
Pole Sana
@ashazubere3837
@ashazubere3837 3 жыл бұрын
Baba anajikaza 😭😭😭😭😭😭😪😪😪anaumia
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
Afadhali msingempeleka huko vijijini daah, hao wazee wasingeweza kumtunza na gonjwa kubwa namna ile, kwanza lishe na mengineyo daah
@naimasaid7763
@naimasaid7763 3 жыл бұрын
Inauma sana, poleni sana wafiwa
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
Pole baba
@aishahela1735
@aishahela1735 3 жыл бұрын
Inalilah waina ilayhirajeuun pumzika kwa aman kakang maisha
@rahiyaomari9585
@rahiyaomari9585 3 жыл бұрын
Poleni sana ndugu na familia wa maisha Allah awatie nguvu pia awap subra ktk kipindi hiki cha msiba wa kaka yetu maisha Allah ailaze roho yake mahala pema pepon Aamiin
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 3 жыл бұрын
Poleni sana mungu ablaze mahalipema peponi amiin
@faridaessa7844
@faridaessa7844 3 жыл бұрын
Pole sana baba yangu😭😭😭
@liliancrochet3129
@liliancrochet3129 3 жыл бұрын
Tumchangie baba😭😭
@dottnatt7110
@dottnatt7110 3 жыл бұрын
Allah atufanyie wepes tumsaidie apate hata kurekebisha nyumba anayoishi mzee
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 3 жыл бұрын
😭😭😭😭Mungu atawapa nguvu wafiwa
@khadijaomar2723
@khadijaomar2723 3 жыл бұрын
Huyu baba ayuko sawa kwa msiba uliompata pole baba
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 3 жыл бұрын
Dah so sad walahi 😭😭😭🙏🙏
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 3 жыл бұрын
Nauliza tu Mbona huyu baba na yule aliyepokea pesa wako tofauti sana? Ama ni macho yangu. Anyway mwenyezi Mungu amrehemu Maisha
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 жыл бұрын
Kweli mwanzo tulijua huyo ndo babaake hata alivokaa kiupole kumbe sio..hata Kwenye kaburi nilidhani babaake ni yule aliyekuwa anatuongoza kumbe sio huyo..baba ake ndo huyu
@fatemaligalawa4151
@fatemaligalawa4151 3 жыл бұрын
atakuwa mkubwa waukoox
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Babu hawezi kujielezea
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Poleni sana familia kwa kweli inauma 😭😭😭😭😭
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Dah jaman tujitahidi kuichangia hy familia 😥😥😓😓😪👐
@user-hw4ig6sx6d
@user-hw4ig6sx6d 3 жыл бұрын
Pore Sana baba
@mwanahamisirashidi3439
@mwanahamisirashidi3439 3 жыл бұрын
Jamani poleni sana
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
R.I.P poleni sana familia Mungu awatie nguvu
@sarahpatrick8012
@sarahpatrick8012 3 жыл бұрын
Mtangazaj msaidie uyo muuguzaji,INI linaambukiza ,wenye uwezo wa kumchangia mchangien apimwe mapema .Kama ana dalili atibiwe mapema .mi sina kitu jaman naishia kutoa machoz tu
@bryanfelix3771
@bryanfelix3771 3 жыл бұрын
Poleni wafiwa wote
@nurumanyanga3022
@nurumanyanga3022 3 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa wote
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 3 жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia mungu Awatie nguvu 😭😭
@naketizainabu7803
@naketizainabu7803 3 жыл бұрын
Pole sana Baba😢
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
Poleni jamani' msiba unauma kwakweli
@aishashaibu5641
@aishashaibu5641 3 жыл бұрын
Inauma jmn mungu amsamehe
@moanasaboud4399
@moanasaboud4399 3 жыл бұрын
Inna lillah waina illah rajioun Poleni sana
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 3 жыл бұрын
Pole baba yetu Allah Atakupa subra
@maryamabdul1335
@maryamabdul1335 3 жыл бұрын
Sina cha kusema zaid ya kumuombee dua ila nimuumia sana
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
Pole dada 🙏🙏🙏
@maimunamwaren5885
@maimunamwaren5885 3 жыл бұрын
Inauma sana sana
@felistersmejumaa5188
@felistersmejumaa5188 3 жыл бұрын
Jamani kufiliwa ni mtihani asikwambie mtu Maisha nenda salama kaka 😭😭😭 Allah akupe kauli dhabiti mkubwa wngu japo hatuna budi kujikubali Maisha 😭😭😭😭😭😭😭
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
pole sanaaa
SHEREHE ZA RIKA KWENYE KABILA LA KIMAASAI
8:00
UMOJA DAIMA MEDIA
Рет қаралды 843
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 12 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 38 МЛН
Что патологоанатом думает о смерти?
19:32
Раскадровка
Рет қаралды 9 МЛН
7 Weird Facial Expressions of a Narcissist
12:22
Danish Bashir
Рет қаралды 41 М.
ДЕДУШКА ВЫ ГДЕ? 🤣🤣
0:59
РЕАЛЬНЫЙ ВОВАН
Рет қаралды 3 МЛН
Такие сладости мама точно разрешит
0:22
Даша Боровик
Рет қаралды 3,3 МЛН
ЕНЕШКА 2 СЕЗОН | 2-бөлім | ТОКАЛ АЛЫП БЕРЕМІН
23:12
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
0:18
HaHaWhat
Рет қаралды 13 МЛН
Just a joke 😂
0:11
ARGEN
Рет қаралды 2,3 МЛН
В поисках семьи😢😱
0:56
Следы времени
Рет қаралды 9 МЛН