KISA ARDHI, BIBI HUYU ATEMA CHECHE AKIMTAJA HAYATI...MKUU WA WILAYA ATOA UFAFANUZI WAENDE MAHAKAMANI

  Рет қаралды 89

Balagumu Media

Balagumu Media

9 күн бұрын

Wananchi wa Mtaa wa Chikowa Kata ya Mbabala Jijini Dodoma wameiomba Serikali kutowaondoa katika eneo wanaloishi kwa madai ni mali yao lakini ikihitaji walipwe fidia.
Madai hayo yamekuja baada ya Serikali kupeleka tangazo la kuwataka wahame kwenye kupisha ardhi hiyo ambayo imepangiwa matumizi mengine ya Serikali tangu ilipokuwa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA).
Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Dodoma Alhaj Jabil Shekimweri amesema ardhi hiyo ilichukuliwa kisheria kwa ajili ya matumizi ya Serikali lakini akaomba wananchi kama wanaona iko haja waende mahakamani ili kutafuta haki yao.

Пікірлер
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 90 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,7 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 117 МЛН
PIGA KELELE (UVUVIO)//THE LIGHTHOUSE MINISTERS NRB
5:58
THE LIGHTHOUSE MINISTERS official channel
Рет қаралды 7 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 335 М.
Tengeneza Tabia Zitakazokupa Mafanikio - Eric Shigongo
14:14
Hamasika Tv
Рет қаралды 19 М.
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 90 МЛН