TUKO PAMOJA WADAU WANGU TUENDELEE NAYO MAONI YENU TUNAYAZINGATIA SANA🙏🙏🙏🙏🙏
@LeilaAdija6 ай бұрын
Tuko pamoja Kaka ang
@emmanueljohnthankslord14116 ай бұрын
Imekaa poa sana
@catherinengina68026 ай бұрын
Asante Sana Kwa KAZI nzuri hebu endeleza episode next 🎉🎉23 vile
@YohanaMollel-qt2sf6 ай бұрын
Jamani babakarobo Mimi namuitaji zugiyati nampenda sana naomba mawasilianoyake
@ButoyiRukiya6 ай бұрын
Nayipenda saana ❤ ila mmekawiza 😢
@mikemaiyo68306 ай бұрын
Leo ni mwisho wa mwezi ombi langu ni East Africa ndo nyumbani Kwa Kiswahili ❤❤
@elizabethkatoko88676 ай бұрын
❤❤❤❤ much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@DotoMhagama-b3n6 ай бұрын
Waooooo Leo nimewahi Toka Tanzania
@Kabungulu_jean6 ай бұрын
Napenda sana iyi movie ninge penda mukuwe n'a itia mbiyo Ku réseau je suis du Congo j'aime bien la langue swahili🇨🇩🇨🇩
@MoosesKuloba6 ай бұрын
Ninawapata vizuri sana nikiwa nchini Kenya. Mm ni Moses kuloba
@HassanBambaza-e8k6 ай бұрын
Nimewahi sana Leo jmn naombeni like zenu
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص6 ай бұрын
Kazi nzuri sana ila inahuzunisha kuona baba karobo na mwanae karobo wanateseka
@mkacibeiib72786 ай бұрын
jamani napnd sana hii movie nimejifunza meng sana lkn sijapt hata like hata moja jmn kweli 🎉🎉😢😢
@KelvinSisa-t3t6 ай бұрын
Leo niwahi kutoka kenya wapi like za baba kalobo
@shannybabby56556 ай бұрын
Jaman nimelike.Watu weng sana na mim naombeni like hata moja😰😰😰
@josephmlazier13916 ай бұрын
Mpaka namhurumia baba karobo ilhali ni movie aki natamani sana nione vile itaisha
@nshimiyimanaalex64676 ай бұрын
Ndugu wapendwa nyote munaweza kbs pia tunawapenda Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@nshimiyimanaalex64676 ай бұрын
Kumbe zujati ndie musingi wa finamu hii
@sospeterkinunda6 ай бұрын
Aseee tamthilia Ina ujumbee Sana tusipende Sana kuwanyanyasa walemavu tuwapende Sanaa kutoka kusinii .......penda Sanaa hii movie....tunaoipendaa hii tamthilia tujuane me number one❤❤
@SubiraJuma-y4iАй бұрын
Me number two
@MaryNjeri-zc4uo6 ай бұрын
Waoooo Leo nimewahi Toka Kenya 🎉🎉🎉❤I love the movie naeza taka pia Mimi kuja niwajoin
@Junior-l4u4p6 ай бұрын
Naomba anaekuja nyuma yangu naomba aniachie like bila loho mbaya😂😂 nakupenda sana bab kalobo
@GeraldMbesere6 ай бұрын
Broo kipaji ni kipaji tyuuu hakika unakipaji broo ukiangalia hii movies unaweza sema kweli kumbe hinafikisha ujumbe kwa jamii broo mungu hakutangulie ufanye makubwa zaidi ya hii❤
@athmansadiki63416 ай бұрын
Asante sana Baba karobo umetisha Sana hatari wajulia sana kucheza movie yako aise na wajua kuongea kingereza nakubali Baba karobo
@Agnes5506 ай бұрын
Strong team🎉🎉 wakenya tulike hapaa ❤❤❤
@Agnes5506 ай бұрын
@Aviel254-1 done
@PerisMokeira5 ай бұрын
❤❤
@MsafiryChitema6 ай бұрын
Good job brother movie nzuri sana hongera 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KasineIshara-hg8pj6 ай бұрын
Mimi niwa ine kutoka Congo DRC🇨🇩🇨🇩 nataka like za baba kalobo
@stephenkitho76926 ай бұрын
Mimi ni Steve from Kenya zimiminike like za baba karobo
@Phoebenafula6 ай бұрын
Nipitie pia kaka
@ZuleikhaMvury6 ай бұрын
❤❤❤
@Steward-HO6 ай бұрын
Kazi nzur by kibanio from Tanzania
@ErikianendovuluAmisi6 ай бұрын
Kaka😂😂akujui 😂
@ErikianendovuluAmisi6 ай бұрын
Kaka😂😂akujui 😂
@Steward-HO6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@aminakenyaa93376 ай бұрын
Hamchelewi jamani mim naipenda sana hii series karobo na babake one love ❤🎉
@Hadijawashuma6 ай бұрын
Watatu kukoment wa tatu kuangalia mwageni like kwa mama kalibu og na baba kalibo
@MosesMakokha-tg4ki6 ай бұрын
Napenda kazi Yako baba karoboo hauchelewi
@بيتيكينيا-س1و6 ай бұрын
Ww fashion wacha ujinga mm sikupendi mtu kama hakupendi achika mbona unanganganyi nn hebu mwache baba karobo nakupenda sana bakarobo❤❤❤
@ellahjonas48816 ай бұрын
Huyu fashion hajielewi
@Sarahnjoki-ro8yh6 ай бұрын
Yani huyu mwanaume ananikera twaweza mwita kipenzi kilazimishi
@lilimoswambu99346 ай бұрын
Yaani ananikera sana
@Mumlion26245 ай бұрын
Huyu niking'ang'aa
@janendenge12655 ай бұрын
😂😂alf n movie c kwel
@ELISHADAICHOIR-c4u6 ай бұрын
😅😅😅😅😅et hata kinyangala unakipapasa huon, ikawe Hela mama karobo weee Kwan wee kuwezaaa ,UGOMVI TU KUWA MKE MWEMA AAAAAAAAAAAAAH
@jemeswambua31746 ай бұрын
Mnakuwanga sawa sana
@AsiaSaid-z4h6 ай бұрын
Nzuri sana shida mnachelewesha sana eposide alafu ikiwa ndefu sana haitanoga
@MercySilvester6 ай бұрын
Namba 1
@MugishaEmelyne6 ай бұрын
Mimi kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 napenda sana hiii movie
@jeniphaally-p8r4 ай бұрын
Vikundi seemugan
@jeniphaally-p8r4 ай бұрын
bulundi seemugan
@JoycebarakaEster6 ай бұрын
Afazali mama kalobo kaja dunianii kumkomboa mmewake pamoja na mtoto kaloboooo❤
@GalgaloGolicha-ih2dt6 ай бұрын
I am ethiopia . Lakini mim nko kenya
@BothainaBothaina-k6c6 ай бұрын
Tunakupenda Baba karobo unatufunza Sana mambo mengi mungu ashidi kukuongezea 🎉🎉🎉🎉❤❤
@SivalinganaClara6 ай бұрын
Bora hâta mumeituma sasa asanteni jamani
@VictorineKavira3 ай бұрын
Ok merci pour votre retour kazi nziri sana kutoka congo 🇨🇩🇨🇩👍
@JosephKatana-o5e6 ай бұрын
Hongereni sana kwa kaz nzur na yakupendeza watching from Kenya
@guillaumekasapa6 ай бұрын
palenisana baba kalebo nipo Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ZeinabBakar-je4nr6 ай бұрын
Kanzi nzuri
@officialtizedy42136 ай бұрын
From Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 We are watching it here. Big up team . This is really and messages scenes. May God bless all of you
@KepsonJohnNamufwakage6 ай бұрын
Namiye munipe like South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@EleuterioMangoni6 ай бұрын
Naomba like hata 6 jaman, nainjoy vzr nikiwazangu Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@benjamimantoniomangoni67656 ай бұрын
Kkkkkkkkkk, na wewe humo?
@Chiboy-bx7wo4iy3u6 ай бұрын
Tuko pamoja brow🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@EleuterioMangoni6 ай бұрын
@@benjamimantoniomangoni6765 baaa na ww unainjoy???? 😋😋
@متعةالمشاهدة-خ2ظ6 ай бұрын
❤❤❤
@EleuterioMangoni6 ай бұрын
@Aviel254-1 good sana
@Prettyrodah6 ай бұрын
Pongezi kwa baba karobo😍😍jameni naombeni izo likes
@petermutua39466 ай бұрын
Wa qwanza tokea 🇸🇩 🇸🇩 Naombani likes jamen
@MrUhakikaTz6 ай бұрын
Mr uhakika
@RasskinongoKinongo-ig1wd6 ай бұрын
hilo shepu ungelivalia nguo ndevu ungenoga sana dada ake
@ibrahimally19456 ай бұрын
Umeona ee avae nguo ndefu
@LylahMrombo6 ай бұрын
❤❤❤from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪waiting for 23
@JanetRiziki-ut2is6 ай бұрын
Waaaah ya leo nmeipenda mno kazi nzuri sana mbarikiwe ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@kingchiefking92656 ай бұрын
Leo jamen wakwaza kutoka🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nipe basic ata like kumi
@StephenMutisya8566 ай бұрын
Likes za wakenya
@Phoebenafula6 ай бұрын
Nipitie dada
@Phoebenafula6 ай бұрын
@Aviel254-1 🙏🙏🙏
@ClaudeNiyonkuru-wv2ve6 ай бұрын
Waaa oOoOO Yani sijuwi nisemaje ilii nifulaha tupuu
@TherenceMUGISHA-it1qf6 ай бұрын
Sasa jamani Baba karobo hana nguo nyingine mbona hajawahi kubadiliaha???😂😂😂
@FattyDapetty-tj9vr6 ай бұрын
Dakika za jioooooon Kaz nzuli ❤❤❤❤❤❤
@SakinaAbdallah-mo4dh6 ай бұрын
Jameni fashenin uso mweupe lakini miguu jameni mbona usijipaka na miguu pia😂😂
@maylucson0016 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@sadahajihaji7976 ай бұрын
Simpendiii
@arikibok47355 ай бұрын
Courage ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@FatumaMohamed-py6fg6 ай бұрын
Nic hii mov inanitoa machozi ip very much
@السنتكينيه6 ай бұрын
Woow,,,hii nayo ni kali ata kuliko kanumba from kenya
@Officialtz016 ай бұрын
Toeni maoni nyie acheni kuomba like. Oni lako likiwa zuri utapata like hata 25k ❤❤
@lilimoswambu99346 ай бұрын
Hapo sasa twataka maoni c kuomba like tuu
@ignitiussilungwe79306 ай бұрын
Pole sana Baba Karobo Wanao kuba riyana na Mimi gonga Like
@Emmajose-t8t6 ай бұрын
Likes za mama karobo original na karobo from Kenya
@ChristabelShumira6 ай бұрын
Movie nzuri sanaa,,ila mama kalobo fekii daaah 😂
@ChristopherBonfils-dk1tx6 ай бұрын
Akuna kuchelewa kbs
@maylucson0016 ай бұрын
Tunawapenda sanaa from kenyaa good job🎉🎉🎉🎉karoboo mwananguu mungu akuongoze kwa yako nzurii
@stevedavid11986 ай бұрын
Great Like za kenya 🇰🇪 nipewe marafiki
@madymag69266 ай бұрын
Kazi nzuri sana baba karobo Nakukubali sana❤❤❤❤
@MARYNAGUJustin6 ай бұрын
Mhmhmh nilikuwa naiwaza waooooooo cjachelewa sana
@خديجه-ه3ف6 ай бұрын
Wallah mimi nakupend baba yangu kipofu jamani nasubiri eps 23
@MariamMariam-h8h6 ай бұрын
Wa pili leo naombeni likes zangu🤣☝️
@Hadijawashuma6 ай бұрын
Watatu Leo naombeni like Zang hata 5 Leo nimewah jaman🎉🎉
@biashahassan12326 ай бұрын
Baba karibo pole kinyangala kimekusumbua wallah😂😂😂😢
@AmenaMm-r5t6 ай бұрын
Waoo imefik saf san mupew maua yen 🎉🎉🎉🎉🎉
@zachariamakale6 ай бұрын
Zacharia omali makale from Kenya mimi naunga mukono zuchard aolewe na Mr Jacob na huyu kinyangara aolewe na fashoni.
@MaimunaMaimuna-t6w5 ай бұрын
🎉😢😢😮😮😅❤
@AshuraKigoma-vf7wb6 ай бұрын
Dah kazi nzr kaka angu mungu awabariki team yote mfike mbal🎉🎉❤❤ love u from turkia
@Phoebenafula6 ай бұрын
Wa mwisho kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 jameni Rudi mnipea likes kwanza❤❤❤
@athmansadiki63416 ай бұрын
Namkubali sana karobo pia ni Mtoto mzuri sana anajua kuakti upande wake ❤nawapenda nyote na munatuletea sinema kwa wakati❤❤🎉
@ExodeKibondo6 ай бұрын
Baba karobo haoni kinyangala ana ki papasa papasa tu naomba like niko congo Drc Est bulongo secta rwenzori.
@HarunaDanielmbanzeofficial6 ай бұрын
Leo nimefika mapema patamu hapo
@SumaiyaFadhili6 ай бұрын
Jmn naombeni like na mm tafadhar
@josephmuiruri29906 ай бұрын
Wakwanza Leo kutoka Kenya like
@adexhadexh6 ай бұрын
Moja hiooo😅😅😅😅
@ronickimaendeleostar45646 ай бұрын
Ya kwanza kutoka Kenya nibeeni like
@Phoebenafula6 ай бұрын
Nipitie kaka pia
@dainesslaizer6 ай бұрын
😂😂😂😂😂@@Phoebenafula
@winnymal67026 ай бұрын
Sawa
@judithauma-b7u6 ай бұрын
Nipeeni si nibeeni nawe
@nurafedrick3786 ай бұрын
Bora ujekivingine umsaidie mumeo mana waliojotolea kumsaidia akili zimebadilishwaa
@EssrAmita6 ай бұрын
Good 👍👍 job
@MrUhakikaTz6 ай бұрын
Wakwanza from Kenya 🇰🇪 nipeni like zangu
@majanjajunior57066 ай бұрын
Nice one brother❤
@patrickcosta196 ай бұрын
Top 10 💪🏾💪🏾
@foryou92316 ай бұрын
Napenda sana karobo yani ako serious sana🎉🎉🎉🎉
@EsterWavu-it7fg6 ай бұрын
Sijawahi.pewa like hata moja jamani😩😩😩
@Yasbaby-od3fb6 ай бұрын
Wa congo🇨🇩🇨🇩 ebu toweni like apa
@JonasSumeChanel6 ай бұрын
Kutoka Moro naenjoy nikiwa zangu ghetto like kama tano tu nipeni
@nanajosepmwsimon43665 ай бұрын
Am watching this from Zambia and am really enjoying this ❤🎉😊
@JaneWanjiru-g3c6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ from Kenya
@LeonideErnest6 ай бұрын
Asante sana kwa kazi nzuri mungu awabariki maana inatufundisha wengi
@AmuriBilly-sb6us6 ай бұрын
Mimi japokuwa nachelewa nipe like zangu kutoka Congo 🇨🇩💪
@lucyjuma-nl2ko6 ай бұрын
Fasheni unanikera kinoma I say kama hupendwi sio lazima ungangane..... Halafu mama karobo uhusika umeuvaa vizuri hongereni sana
@estermpare40786 ай бұрын
Basii nilijuaa hii tabia ya kuomba like ni watanzania tuu !! Kumbee hadi wakenya😂😂😂duuh kweli wasiojielewa wengii !! Unakuta jitu zima linasema mimi wa kwanzaa naomba like😢😅😅😅duuh
@joycemaregesi186 ай бұрын
Kama vile limeshiriki kwenye movie 😂😂hayajielewi kweli
@GloryJackson-s1h5 ай бұрын
Me nkajua kuna elaa wanapokea ili na mie niombe like😂
@MamafaithAbraham6 ай бұрын
baba joan pole kwa yote ila mungu atamlipa kubwa zaidi
@AminaMohammed-u7j6 ай бұрын
Kama unampenda baba kanusu gonga likes hapa
@EmmyMo6 ай бұрын
😂😂😂jmnii
@brigithimwikali74685 ай бұрын
Imeweza
@LewisHamiltonGLD6 ай бұрын
Wanao mkubali karobo tujuane hapa Kwa maua yake 🎉🎉🎉🎉
@kalubisubira71826 ай бұрын
Hongera Baba Kaloba
@HawaaNasoro6 ай бұрын
Namkubali sana karobo na namchumba wake akiwa mkubwa atamuowa