Baba Levo anaonekana ni mtu wa husda saaana,hata ukimtizama tu unaona,he’s not comfortable or confident enough close to other,hata pumzi yake anaitowa kwa mbali saana ndiyo maana anaongea sana hata na vingine haviendani na kazi yake,na hapo utakuta roho haina amani kumuona chege apo karibu,tunzo mbili na hiyo kazi wapi na wapi,you not need talking all that,kama kujuwa una tunzo mbili watu wameshajuwa unazo😂