Tuliosikia first time in america mwanzo hadi mwisho wa nyimbo
@nicelemoTripleFive2 ай бұрын
We jamaa ni genius sana una vipaji kibao, Yan una mziki wako peke Yako tu mtu hawezi iga.. Sometimes naonaga unapoteza mziki wako unapofanya majukumu Yako ya Uchawa ila kikubwa Ridhiki inapokuwepo. Ahsante Kwa mziki mzuri
@rockonsonmlandi28182 ай бұрын
Mziki wote amemuiga neira mahley munigeeia
@marlodemarlove92812 ай бұрын
Hii imeanda 🎉
@dunkchainz72372 ай бұрын
Hii Idea alishaitumia Naira Marley 2022 mwanetu hapa karudia tu 😅
@collinsnyoro14502 ай бұрын
Chawa wa mondi barikiwa sana, alafu kam Kenya tutoe collabo ya 1st tym in Kenya😂😂😂, hongera sana baba levo
@Jaydannychawaboy.2 ай бұрын
Nimekuwa wa kwanza jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂
@EspecialSanga2 ай бұрын
Unazingua like Za nn
@godfreykeita98042 ай бұрын
Acha ushamba
@Jaydannychawaboy.2 ай бұрын
@@godfreykeita9804 na bado 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
@King_damizo2 ай бұрын
Nenda kwa P DIDDY utapata fame na like zaidi ya izo tano 😂😂
@yokoi-u3g2 ай бұрын
Kwaiyo unataka lawalawa
@josiahii3782 ай бұрын
Juzi nimeota naenda america ndoto ikaishia katikati nitafika tu
@RamadanPaul2 ай бұрын
Oya umetisha kinoma babalevo❤❤❤❤
@Lilmg332 ай бұрын
Umekaza kaka ongeza magia tuponyumayako tutasapotikilajambo Zuri utakalolifanya
@arabgandaempire2 ай бұрын
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@hasanimagonya67642 ай бұрын
Oyaaaaaa homeboy Hili jiweeee ni mbwaaaaa umea Tangu Tambo, Tambo remix, Mrembo mpka sasa Bado unakiwashaaaa balaaa homeboy ✊✊✊
@chidmsafitz2 ай бұрын
chombo kwa hewa 🔥🔥🔥🔥
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x2 ай бұрын
Mes amis du Congo où nous sommes 🇨🇩 êtes vous d'accord avec baba lovo ?
@richardpatrick35902 ай бұрын
Likes sio chakulaa.
@geohmakerseven2 ай бұрын
Umeamuaa umfate Diddy na ulivo Nona wewe na pua iloo jamani like zangu Mwaisaaa Mimi Sina baya
@kissmanbashimeofficial2 ай бұрын
Umekuwa diamond iyi muziki ime hit saana
@STARBORNHB2 ай бұрын
GOMA LANGU KANIBIA STUDIO HII 😮😮 SIONGEI SANA
@Sanagangke2 ай бұрын
Kati ya @Sanaboy na baba levo yupi noma (mkali)
@Saidinyamweru2 ай бұрын
Mtu wa vibe🎉🎉🎉🎉 huyu b levo baa ni génius kwa pigo hizi za vibe
@PrinceAmos-y8t2 ай бұрын
Nakubali sana baba levo😂😂😂😂😊😊🎉😊🎉😊🎉😊😊😊
@sidegrenade20432 ай бұрын
Ngoma gali sn umauwa from zanzibari 💯💯👍
@BarbaraPatience-qt9ccАй бұрын
Nimekuja kusupport Baba Levo huyu jamaa anaroho safi
@ibrahjokes50552 ай бұрын
Hujakutana na mume wa boss wako kule😅😂😂 ila goma kali🎉💪💪
@ChrisLed-i1m2 ай бұрын
ina shangazi sana mwanamuziki kama baba levo ni siku yake ya kwanza nchini Marekani
@Jay_run2 ай бұрын
Home boy k town kigoma ni noma🎤🥁🎹🎸
@clichytraveller68972 ай бұрын
Sema goma lina vibe no matter what
@TobeSwitch-by6ji2 ай бұрын
MTOTO WA LUKUGA🔥🔥 GLOBAL AFTER COMASAVA🔥🔥🔥💯.
@kichecheBurund2 ай бұрын
🎉🎉🎉ndaniii in américan ...achana n'a.... Mwijaku ...😂😂😂amefika akuonesha kituucha dhamaniii🎉
@JumanneShambi2 ай бұрын
Haichukui nafasi ya daktari 🙌
@UwimanaAzizaАй бұрын
Nakubali babalevo kwa iy ngoma
@laurentwilson-db4ir2 ай бұрын
Kigoma One❤❤❤
@abdoulayesow88262 ай бұрын
Another level 🥰🤩🥰🔥
@Majestino2 ай бұрын
Mara ya kwanza baba Levo kaimba ujinga, wimbo gani auna maneno, aina mahana ata moja
@alexcheriance37232 ай бұрын
B levo baa kichupa hiki baba ❤❤❤❤❤
@huaweime15582 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Kali Sn BBL Noma!!!
@Dr.Chosen12 ай бұрын
Ngoma Kali Ila I Naitaji kuapata sauti ya collaboration na mtu mwingine na asiwe mbongo nakama ata kuwa basi awe fundi Kama doto Magari mana ngoma Kali sana
@International_Bwoy2 ай бұрын
Kama Unamkubali P DIDDY Ngonga Like Twende Nalo 🎉😂😂
@AllyBabu-kr6lg2 ай бұрын
@@International_Bwoy 😂
@rammyMpwapwa-f1o2 ай бұрын
BABA LEVO VIDEO UKASHOOT UKO UKO AMERICA
@empafricatv2 ай бұрын
Ila b Revo Ba ANAJUA 🎉🎉🎉🎉🎉
@marlodemarlove92812 ай бұрын
Midundo hatari sana 🥰
@luvboynyamz272 ай бұрын
B Levo Ba 🔥🔥🔥, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@AbuuBayser2 ай бұрын
Angalia usije ukakutana na p didy uko😅🎉🎉💪🏿
@SitaniRongo2 ай бұрын
Anazingua uyooo 🎉🎉🎉😢😢😢 minajuwa number one song way
@AliMuyaTz2 ай бұрын
Daaahh Alaf mi bado kutoboa…why‼️ let’s make #AliMuyaTz VIRAL 🎉🎉
@fadybeatz2 ай бұрын
Bonge la ngoma 😮😮😮 sijategemea
@mahamuduhassan68752 ай бұрын
Kuuuuuuubababakeeeeee humu tu humu tu 🙌😂✊🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏
@erickabel62012 ай бұрын
First time in America global hit 😅🎉❤
@hadijakwiru-vy1ls2 ай бұрын
Twalib kweli hostel gospel p1 sound like that
@ezrannko17652 ай бұрын
Deliver Us
@mashabikiwaharmonize2 ай бұрын
Mwizi hoyooo kaiba wimbo wa NAIRA MARLAY wa Naija 😂😂😂😂
@masumbukomoussa9772 ай бұрын
Umeshakula ndugu?
@ramayonline22812 ай бұрын
Na ataingia pesa
@ramayonline22812 ай бұрын
@@masumbukomoussa977😂😂😂😂
@kondeson2 ай бұрын
Big big song brother mpk nataman kucheza akat sijuw🦾🦾🦾
@kanyagamdogo5602 ай бұрын
BAba levo sio mtanzania angalia ngoma ilivyo kaliiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@katembovictoire20662 ай бұрын
Babalevo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@venasvitalis78632 ай бұрын
B levo baa fundi majumbaa unajua Sanaa keep going na nyumba inaishaaa😮😮😀🤣
@franciscassian2 ай бұрын
😂😂
@EdwinAdAstra2 ай бұрын
Nenda na wese la parachuti kabisa. Kubaya huko
@albartdastani34122 ай бұрын
Fundi majumba❤
@kissmanbashimeofficial2 ай бұрын
Noma saana
@ChrisPopkidz2 ай бұрын
You Did 🎉🎉🎉
@maombibahati-b6v2 ай бұрын
makubwaaaaa😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@reallygody3602 ай бұрын
Hili chupa amerekodia kwa didy mbn kali😁😁😁
@MayungaJilala-e5i2 ай бұрын
MSHILIKISHE MONDI HILO GOMA LAKIMATAIFA
@RobertKarumuna2 ай бұрын
Baba levo huwaga anatoa hit tupu🔥🔥
@Uhsei2 ай бұрын
If you want to feel the vibe of this Song Wear Earpods or Headset with a base
@Officialabshry2 ай бұрын
Leme try
@MrNdanguza2 ай бұрын
Kaliiiii sana duh december haituachi salama
@muslimcazola77202 ай бұрын
Hili goma n moja ya magoma yenye balaa sana🔥🔥🙌
@ankochoka2 ай бұрын
KAMA UMEUPENDA WIMBO HUU ILA HATUJAWAHI KUFIKA AMERICA, NAOMBA MNI-FOLLOW JAMANI😂
@witnaofficial2 ай бұрын
Wimbo haufai kuitwa wimbo ,utoto mtupu
@kizzkevin11972 ай бұрын
Ubunifu wahali yajuu sana a 🔥🔥🔥🔥
@sixmelody43492 ай бұрын
Baba levo usiende america kuna p Diddy mtu hatari hataaaaaaah aujuwihi
@masoudjuma81692 ай бұрын
Uhakika 🙌
@MeshackiAdam2 ай бұрын
Umetisha mkari 🔥🔥🔥
@SALIMININTUMBA2 ай бұрын
Gomaaaa kaliii 🔥🔥🔥🔥🔥
@Mcsceo2 ай бұрын
First Time in America unadondoka kwa Diddy😂..🔥🙌🏾
@nchimbuke72612 ай бұрын
😂😂😂😂Hawaku MDiddy😅
@ayamsbishowtz2 ай бұрын
Hit song❤❤
@charlesrashidi60282 ай бұрын
Big up mwanetu umeupiga mwingi ❤❤❤❤❤
@WycliffeAbdulLigare2 ай бұрын
Chawa mwenye akili🎉🎉🎉🎉❤
@ppcvk-f8x5 күн бұрын
Hakuna kazi hapo
@AllyHussein-u1m2 ай бұрын
P.Didy anahusika hapa
@ibrahimkhamis73562 ай бұрын
Love this song mtoto wa SIMBA...🔥🔥🔥🤝🤝🤝🤝
@JEANS-TZ2 ай бұрын
Tuna uza jeans za kiume aina zote jumla na rejareja tuna patikana karia koo mtaa wa Kongo na mchikichi andaglound ya Miami kalibuni sana 👖
@DeoglasYangaza2 ай бұрын
Kuanzia mbili napata kwa kias gan?
@JEANS-TZ2 ай бұрын
@@DeoglasYangaza zipo za 18,000 na 20,000
@jamesedward104428 күн бұрын
nikiwa moro nazipataje
@YamunguMatamya2 ай бұрын
First in America in America kuna P Diddy, @🎶🎶🎶
@BekaSix2 ай бұрын
First time in America uka kutana na Diddy we na bosi wako waseeeng** nyieee WASAFI BABY OILS CLASSIC
@rashidalihamad72282 ай бұрын
😂
@HassanMussa-vk3tj2 ай бұрын
Wewe kuma unatuchanganya sisitukobuzzy nakufilwa boss wako tuachekidogo
@AllyBabu-kr6lg2 ай бұрын
😅😅
@Gadesgb2 ай бұрын
Kimbieni diddy huyooo , aah bana nawatania 😂😂
@topic25422 ай бұрын
Wakenya turundikane hapa🎉
@AlexiSimba-s5b2 ай бұрын
music is beautiful🎉🎉🎉🎉🎉
@BukardCharles2 ай бұрын
Umekwenda kumuona shemeji yako pi did
@odaxcontawa2 ай бұрын
Hit song of all time😂😂🔥🔥🔥
@sowasowawetv85692 ай бұрын
Nimpole se mtama 🔥
@EliahGideon2 ай бұрын
Sema n kalii 🙌🙌🙌
@MuddySalumu-i2l2 ай бұрын
Noma sana fundi majumba
@JejemingaMinga2 ай бұрын
First time in America😅😅🔥🔥🔥🇲🇿
@AhmadChamoto2 ай бұрын
Remix na platinum simba🙌..🔥🌍
@ramayonline22812 ай бұрын
First born wa LUKUGA💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@IbniAbbas-yz3kt2 ай бұрын
Na baba wa P.didy😊
@ramayonline22812 ай бұрын
@@IbniAbbas-yz3kt ukiwa na upeo mdogo lazima uwaze kama unavyowaza wew
@PasakaRanda2 ай бұрын
Babaa levo huwa nyimbozake zina bit kali ila anachekeaha tu kwenye nyimbo
@MAZEGELEBOY_2 ай бұрын
BANGER 🙌🙌🙌
@johtv60952 ай бұрын
Nitasema❤❤❤❤❤
@chusseboywcb28082 ай бұрын
Hakuna wanoko kama bongo🎉
@AhazyStanley2 ай бұрын
Mapua Unatoa Ngoma et FIRST TIME IN AMERICA 🇺🇸 wakati upo mbalizi Mbeya 😂😂😂sema goma kali