HUNA MAMLAKA YA KUTANGAZA MWEZI, SERIKALI MULIANGALIE HILI, MUFTI PEKEE

  Рет қаралды 69,826

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@HussainMaula-d1g
@HussainMaula-d1g 8 ай бұрын
Mimi ningeona vizuri mngewakemea wale wanaopiga madufu wakacheza huku wamechanganyika wanawake na wanaume ila suala la mwezi Lina ihtilafu tangu enzi .
@mrafm7285
@mrafm7285 8 ай бұрын
Subhanallah kumbe bakwata mnapelekwa tu
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww 8 ай бұрын
Pole sana babu elimu imefika suna inapandaa bidaa inaporomoka,
@NasoroZubery
@NasoroZubery 8 ай бұрын
Iko wazi sana kak….
@Atw0ka735g
@Atw0ka735g 7 ай бұрын
Mashallah Mola akuweke na atutunzie..
@abubilal4319
@abubilal4319 8 ай бұрын
Samaha Mufti tumekuelewa, umeongea kwa uchungu mkubwa Allah SWT akuhifadhi, akupe subra na kulla kheir Mufti wetu, InshaAllah Bibarakati Nnabiy S.A.W chombo hicho kitapatikana!, utashambuliwa kila kona lakini kuwa na subra InshaAllah!!, Ramadhani hii iwe sababu ya Waislam kuishi kwa Umoja, Upendo na kuvumiliana..... Aamin🤲
@ahmadiomari6913
@ahmadiomari6913 8 ай бұрын
Nashukuru sana kwa maneno yako mufti. Ila nimesikitika sana kumbe kuna mwaka mufti alipewa amri kutoka juu akawafungulisha watu. Dah na wewe uko kwenye kiti cha huyo aliepewa amri kutoka juu akawafungulisha waislam. Nakushukuru sana kwa kuwazindua wananchi akili vichwani mwao. Asante Allah aluhifadhi uzidi kutupa siri zilizopo zaidi. Asie elewa hekima ya mola hatoelewa kamwe
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 8 ай бұрын
Mufti kasema kulifanywa ubabaishaji wewe hujafahamu tu huo ubabaishaji ulifanywa na nani?
@muhidinally3753
@muhidinally3753 8 ай бұрын
Sheikh Mufti hauko sahihi. Mufti ni wa Bakwata sio wa Tanzania. Usichoelewa ni hiki Bakwata ni NGO iliyosajiliwa chini ya RITA ukweli huna mamlaka juu ya Waislam wote wa Tanzania isipokuwa wale wanaoikubali Bakwata. Na kwa tabia yenu ya Bakwata sisi hatuwakubali kabisa.
@musamusa6374
@musamusa6374 8 ай бұрын
kwan wew taasis yako imesajiriwa wap kama sio bakwata
@zanmedia5225
@zanmedia5225 8 ай бұрын
Usiseme sisi ndugu, sema ww ndio huikubali
@abdusam
@abdusam 8 ай бұрын
Hatuitaki bakwata..tawi la kanisa
@Domy726
@Domy726 8 ай бұрын
Shida baadhi yetu hatuheshimu viongozi wetu,yaaani tunaujuaji mwingi. Mufti umeeleweka
@RAMADHANIMohammed-vv6bx
@RAMADHANIMohammed-vv6bx 8 ай бұрын
Naomba nikusaidie kitaalamu mwenye haki ya kutangaza mwezi ni mufti au kadhi kitaalamu muulize sheghe unae muamini
@ismailmuna1604
@ismailmuna1604 8 ай бұрын
Allhamdullilah Mola Akupe Umri Na Afya Mufti Wetu Hakika Uyasemayo Hata Nyumba Ikiwa Haina Kiongozi Basi Huwa Ni Baraza Ya Kahawa Anaesema Aseme Lakini Haya Usemayo Mufti Wetu Ni Hakika Allahkarim Ndio Mjuzi Wa Yote
@AbuuMuhsin
@AbuuMuhsin 8 ай бұрын
Kazi ipo!!!!!!! Tutafika tumechoka saaaana. Allah atuongoze in sha Allah
@nassibdoma5408
@nassibdoma5408 7 ай бұрын
Allah Akbar mungu akusamehe shekhe sabab hili natamani kuona mtumia nafasi yenu kukaa chini kuunganisha waumin wawe kitu kimoja sasa mwagombea kutamgaza mwezi mbona kila mwak tunatangaziwa nahawa Hawa ndugu zetu ambao hawataki kuchanganya dini na siasa
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 8 ай бұрын
Hawa wanaingia uchungu wanaona watu wanaelewa, zamani walikuwa wanatubeza wakisema sisi ni wachache.
@saidtembele3070
@saidtembele3070 8 ай бұрын
Hakika
@RehaniKharidi-st4oe
@RehaniKharidi-st4oe 8 ай бұрын
MaashaALLAH shukrani Sana mh mufti uneongea jambo muhimu sana hapawezi kuwa majogoo katika Zizi moja lazima awepo mkuu wao
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 8 ай бұрын
Huyo ni jogoo kwa dhehebu lake mim nisie kubwa dhehebu lake haliwezi kuwa jogoo langu Abadan kama idadi haiswaliwi mpaka serikali itoe amri ya kutangaza mwezi bakwata imefilisika kiimani na kwa mwislamu mwenye Elimu hawezi tena kumfuata huyo mtu
@mohamediabdirashidi1099
@mohamediabdirashidi1099 8 ай бұрын
Mm sijakuchagua niache bhanaaaa😂😂😂😂
@saidtembele3070
@saidtembele3070 8 ай бұрын
😂😂😂 dah shekh bwana
@awadhally1052
@awadhally1052 8 ай бұрын
😂😂😂😂kwel kabisa
@omaryseshambi
@omaryseshambi 8 ай бұрын
🤔🤔
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 8 ай бұрын
Mashaalah Mufti mungu akulinde kila jamii ina kiongozi wake na sisi ww ndo kiongozi wetu.na mwenye mamlaka ya kutangaza mwezi ni ww.
@TimbiloSaid-qc5bs
@TimbiloSaid-qc5bs 8 ай бұрын
Huyu mzee ananitia hof ivi anasoma katiba ya tz kweli?
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n 8 ай бұрын
Unataka waislamu wenzako washikwe na serikali, nilikuwa nakuaminia sana lakn huko unapokwenda siko
@awadhally1052
@awadhally1052 8 ай бұрын
Huyu kapagawa na mauzushi yao katika dini
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 8 ай бұрын
Huyu ni Tawi la Serikali isiyo na dini na anataka Sisi tulip na dini tumfuate Kwa lazima Kwa kutumia rugu la Serikali!duuu!Marupurupu,gari,nyumba vyote vya bure vinamtia kiburi!sasa tujiulize ikiwa Serikali haina dini lkn inatuchagulia viongozi wa kutusimamia Sisi wenye dini(Waislamu)Tu mbona Wakristo Serikali haiwaingilii wala kuwachagulia viongozi wao?na kuwapa haya wanayowapa Bakwata?hapa kuna nini?angalieni vizuri Wakristo wao wanasali ktk siku Tafauti kila wiki na wamepewa mapumziko na hiyo Serikali isiyo na dini siku mbili yaani Jumamosi na Jumapili vp hapa mbona hatujasikia maneno ya kukatana na kuwekana vizuizini?na wala hawajalazimishana ninnani ana mamlaka?Kwa kweli huu mchuzi mwekundu Kwa wenye njaaa ni shida sana!Ikiwa aliyetuletea hii dini"ALLAH SUBHANA WATAALLA"ametuambia "HAKUNA KULAZIMISHANA KTK DINI"vipi huyu aliyechaguliwa na wasio na dini anawezaje kumlazimisha au kuwalazimisha Waislamu walio na itikadi tofauti na yeye?
@AishaMkwata
@AishaMkwata 8 ай бұрын
shukurani ume sema kweli kweli mashaallah wanaopinga maneno yamfuti akili hawana nahawata kuwa naakili mpaka wajitambuwe
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 8 ай бұрын
Waisilamu wa Tanzania hawaja wahi kumchagua mufti wala kadhi na kila muisilamu ana madhehebu anayo ifuata kuwa ni sahihi kwake sasa wewe suuf unataka ufanane na anae fuata kitabu cha Allah na sunna za mtume Mohamad. (S a w)
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
@@hajikatanje5961 kwani nchi gani haina madhehebu?, na je mufti wao alipigiwa kura na waislamu?
@daudbusumbi3230
@daudbusumbi3230 7 ай бұрын
Mipango ya serikali haitengemei kalenda ya kislamu, kalenda ya serikali ni ile ya kitwauti, iweje kuwe na ulazima wa serikali kujua hili? Iweje Mufti utangaz mwezi kwa kulingana na serikali ni si mwandamo?
@rashidyyusuph4386
@rashidyyusuph4386 8 ай бұрын
Wazushi ndio walivyo jambo la kidini waengemezea kwenye serikali Kuna mafungamano gani kati ya serikali na masuala ya kiiman?? Serikali ya Tanzania ina dini au watu wake ndio wana dini?? Usitake kila mtu aendane na madhehebu yako waache watu wale uhuru wa kufanya walionalo jema katika madhehebu yao Wala Usitake serikali kuingiza kwenye huasama na wananchi wake
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 8 ай бұрын
Hongera sana mufti wetu Lisimamie Jambo hili la mwezi, kuweka adabu katika dini
@HassanAbuukhayraatMagesa
@HassanAbuukhayraatMagesa 8 ай бұрын
Waislaamu wanaelewa zama hizi hamutowapeleka ahalsunna wapo vizuri maashaallah
@KoleYasini
@KoleYasini 8 ай бұрын
Allah nijahalie imani na elimu
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q 8 ай бұрын
Umemsikiliza vizuri? Ni kama yuko usingizini! Hayuko sahihi! Waislam hatupelekshwi na ukubwa wa mtu. Tunaongozwa kwa Amri ya Allah! Zingatia hilo!
@NasoroZubery
@NasoroZubery 8 ай бұрын
Daaaah Mufiti anamchongea muislam mwenzie kwa ma-twaaghuut,,, et akamatwe atiwe ndani daaah🙄 Inna lillahiii……..🙌
@HamadMaavere
@HamadMaavere 8 ай бұрын
Naam Hilo halina ubishi Mwenyezi mungu amesema tuzitii mamlaka zilizowekwa.
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 8 ай бұрын
Kwahiyo hata ukipotshwa sawa lazima utii? Hapo Kuna jambo la kuchukuw mwezi ni mmoja huu ni upotoshaji husiokubalika et
@LatwifSued
@LatwifSued 8 ай бұрын
Safi sana mufti wetu nimekusoma sana m,/mungu akulipe Kila la kheri
@majondejohali5259
@majondejohali5259 8 ай бұрын
Kumbe kweli mmechaguliwa serikali sio na waislam
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
Kwani mufti wa nchi gani kapigiwa kura na waislamu?
@ZuberiWaziri-h7d
@ZuberiWaziri-h7d 8 ай бұрын
Wewe ni kaimu askofu mkuu inshallah na mungu akuangamize kama alivyoangamiza matwaghi waliotangulia
@AibumuadhikaasimKidocho
@AibumuadhikaasimKidocho 8 ай бұрын
Yani sijawahi kukusikiliza leo ndio nakusikiliza na ndio nimekujua innalillahi wa innailayhi raajiun dduh.yani nakuonea huruma wewe na chama chako namuomba Allah awaongozee. subhanallah😭
@khalifamahondo191
@khalifamahondo191 8 ай бұрын
wewe ndo uliepotea ndugu yangu,,,heshimu viongozi wako wa dini
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si 8 ай бұрын
Watamheshim wa bakwata sisi hatuwezi
@hafsa118ll
@hafsa118ll 8 ай бұрын
Subbhallah ,dunia imekutawala Mwenyezimungu akuswamehe,
@mariamshaban4518
@mariamshaban4518 8 ай бұрын
Muogope allaha yaan binadamu wenzako unawaita vijigooo allaha akuongoze ktk sunna
@muhammadbakashmar3166
@muhammadbakashmar3166 8 ай бұрын
Hii sakata ya kutangaza mwezi mpaka kiama haiishi. Na tena si Tanzania tu bali sehemu nyingi tu. Teknologia ya kuangalia mwezi ipo. Tuitumie.
@kdrama_lovers406
@kdrama_lovers406 8 ай бұрын
una kitu kaka utafika mbali🙃
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 8 ай бұрын
😂😂😂😂. Yaani dahh ama kweli kunabaadhi ya waislamu ni majaahil wa kupindukiaa ! Ndio maana watanzania maisha wapo nyuma hawana wanalolijua ila wao ubishii tuuuu 😂😂😂 dahh hatari kubwa Allah atuongoze
@husseinomar4294
@husseinomar4294 8 ай бұрын
Daaahh !! waislaamu wengi wana mtihani !
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 8 ай бұрын
Mama Samia usikubari kukamata watu hata wakikuletea hayo maoni Yao. Wanataka kukuharibia Hao.
@awadhally1052
@awadhally1052 8 ай бұрын
Chizi huyu hajielewi
@MohammedShehe-x8p
@MohammedShehe-x8p 7 ай бұрын
Ikiwa mama samia atakubali kukutana nao basi awaite pande mbili ambazo za bakwata na hawa masalaf akina sheikh qaasim na wenzie Allah awahifadhi, kisha iwe live tuone Nani yupo Sawa tumfate na sio aite upande mmoja tuu kama anavyotaka uyu shee apa
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 8 ай бұрын
Uko Vizuli Sana Mungu Kaumba Dunia Lakini Amwgawa Nchi Ivo Nchi Moja Ikikengeuka Inaweza Kujifunza Kwa Nchi Nyingine Kama Mamlaka Ni Yako Basi Simamia Haki Iyoiyo
@aboushams9171
@aboushams9171 8 ай бұрын
Jamaa kashika mamlaka tu na lazma anataka wafuatwe wao tu😅😅😅
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 8 ай бұрын
Sasa ndio uisilamu mwezi ni kadhi hakuna makosa sasa tukufuate ww unao ilimu ya kuongoza umma
@HAMZADADI-y9p
@HAMZADADI-y9p 8 ай бұрын
Wewe mwenyewe unafuata mwezi uliotangaziwa na mufti au kadhwi wa huko saudia ,shida iko wp?ACHA CHUKI ,DINI HAIENDI UTAKAVYO WEWE,TARATIBU NDIO HIYO DUNIANI KOTE WENYE MAMLAKA NDIO WANAOSIKILIZWA ,WE UNAMSIKILIZA MUFTI WA SUUDIA ,ACHA SISI TUMSIKILIZE MUFTI WETU WA TZ.
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 8 ай бұрын
Hio hadidhi huijui umetowa tafsir sio sahihi
@awadhally1052
@awadhally1052 8 ай бұрын
Chizi huyuuu
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 8 ай бұрын
Hadithi gani anayoijuwa huyu!ni hewalla Bakwata tu!
@IddyKubo
@IddyKubo 8 ай бұрын
Naitwa iddy, bakwata ciitambui. Nano kakuchagua wew, Bakwata imeazishwa nani
@FadhiliBakari-dl9yc
@FadhiliBakari-dl9yc 8 ай бұрын
Mwezi na mambo ya muungano wapi na wap
@ShabaniManyakala
@ShabaniManyakala 7 ай бұрын
Asant😢 allah akuongoze
@amaxyz138
@amaxyz138 8 ай бұрын
جزاكم الله خير الجزاء
@SaidMchonjo
@SaidMchonjo 8 ай бұрын
We Mzee ushafelii , nenda kajirudie kujitazama Tena utajigundua madhaifu yako .. polee sana kumbe mshapaniki huna busara kabisaa waongoze haohao
@anifasekumbo9273
@anifasekumbo9273 8 ай бұрын
ungekuwa na busara na wewe usingemdharau mzee wako
@hanspop6961
@hanspop6961 8 ай бұрын
Uko Sahihi Mufti Allah Akuhifadhi
@FadhilSalum-cl1ty
@FadhilSalum-cl1ty 8 ай бұрын
mche allah mzee wangu dah
@suleimanally223
@suleimanally223 8 ай бұрын
watu msome kwanza muelewe sio mufti tu ndo aseme kama nikudanganywa madhambi mnapata wote😢
@swaadiqbulbul
@swaadiqbulbul 8 ай бұрын
alhamdulillah nimesikiliza hoja za pande 2 shida ipo kwenye somo la uongozi "kiongozi ni nani?" maana kuna watu wanajiita viongozi kumbe ni feki, nk. hawajakidhi kigezo
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n 8 ай бұрын
Bakwata imeundwa na Nyerere na wenzake,
@SabraAbdilnasir
@SabraAbdilnasir 5 ай бұрын
Allah atuongoze katika haki
@ShamsiMikdad-bj7me
@ShamsiMikdad-bj7me 8 ай бұрын
Masha allah muft allah akuhifadhi
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 8 ай бұрын
Amui fadh kwa lipi jema alilo wafanyia waslam watz au kuutazama mwezi ndio mung amweeke sana acha upumbavu wee
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 8 ай бұрын
​@hassanmpwepwe3826 haha utabaki na uhasidi insha Allah mungu amuhifadhi mufti na mtume s a w asema tuombeane mema sasa ww wahabi wacha chuki zako nyinyi mawahabi wapotoshaji mwamzushia mtume tu na kufanya mtume s a w kama nyinyi wahabi munakazi
@musamusa6374
@musamusa6374 8 ай бұрын
@@hassanmpwepwe3826 kaka yan hata hutaki muislam mwenzio apate kher ndo umekua na roho mbya kias icho
@masjidhamzainstitute8890
@masjidhamzainstitute8890 8 ай бұрын
Subuhanallah poleni saana yani mnatambwa kwa ni jambo haliwezekani na bado mwahitaji nguvu kutoka kwa utawala!?
@swahibually8349
@swahibually8349 8 ай бұрын
Yaani haliwezekani vipi?
@rasheedmbaraka7199
@rasheedmbaraka7199 8 ай бұрын
Muft unakili kbs kuwa mwezi mnatangaza kwa kufuata amri ya serikali...daaaaa Allah akuongoze
@hassanisihaka910
@hassanisihaka910 8 ай бұрын
Sikiliza maneno ya Mufti usikurupuke kwa سؤالفهم Mlionazo Wewe ufuate mwezi wa Uarabuni ambao hawangalii mwezi wanaopangiwa na mamlaka mcheni Mungu Swaum siibada ya Masihara
@hassanisihaka910
@hassanisihaka910 8 ай бұрын
Kila kitu kinasheria yake
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta 8 ай бұрын
Hujanielewa mufti, tuliza mawazo Kisha irudie Tena clip hii
@hassanlibingai8811
@hassanlibingai8811 8 ай бұрын
Umesikiliza vizuri au unaongea tuu?!
@suleimanally223
@suleimanally223 8 ай бұрын
daah 😢
@jumadinya3796
@jumadinya3796 8 ай бұрын
Mashaakllah nimekuelewa sana kutangaza yeye alikua anawaambia wenzake sio dola wala waisulamu wengine mbona hakuna ubaya wa kusema mwezi umeonekana anayetaka kufunga afunge kila. Moja afanye Ibada yake anavyo jua kila mtu ataulizwa yeye mwenyewe asante serekali haina dini wahusiki na mwezi wasumamie amani na utulivu watu wafanye Ibada kwa Amani
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
Hakuna wenzake. Amri ya kutangaza mwezi wa nchi yetu anayo mufti. Hao wenzake wote wanaona suudia haina haja yeye kutangaza. Serikali yenu ya kiyahudi ikitangaza nyote mnaona huko kwenu. Tuliokuwa tu nasubiri kujua mwezi wa nchi yetu ni sisi waislamu tu watanzania. Nyie tizameni saudia mtapata taarifa zenu. Haikuhusuni kutangaza nchini mwetu. Vibaraka wa mayahudi malizaneni huko huko, kila mtu asikilize serikali yake.
@jumadinya3796
@jumadinya3796 8 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 kwsni hii dini niya Mfti au dini ya ALLAH Elewa ibada ni ALLAH natutafunga bila kuingilia muhimili wa mtu au cheo cha mtu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
@@jumadinya3796 dini yako wewe sio ya Allah sw. Kwasababu Allah sw dini yake ina adabu kamili na katufunza tumtwii mufti. Sasa wewe dini yako fanya utakavyo
@jumadinya3796
@jumadinya3796 8 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 Tumfuate Kiongozi wetu S. A. W. na kitabu na suna ndii muongozo wetu mwezi moja duniani waisilamu yoyote ni ndugu atakapo ona yiyote mwezi sisi. Sote duniani tufunge hakuna huu mwezi wa. Tz juu pia moja kwanini tunabaguana kwa ajili ya mwezi mbona mabaa yamejaa karibu na msikiti hamsemi mnanyamaza
@mbwanasendaro4707
@mbwanasendaro4707 8 ай бұрын
Upo sahihi Mufti Asiye kuwa na kiongozi, kiongozi wake ni shetwan
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 8 ай бұрын
Amin kwa sote. Ramadhan Karim.
@jumamasoud1188
@jumamasoud1188 8 ай бұрын
Upo sawa Mufti
@Saalimmakasia
@Saalimmakasia 8 ай бұрын
Tz kila mmoja Ana uhuru wa kuabudu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
Kabisa, lakini hana uhuru wa kuingilia mamlaka isio mhusu
@mkude
@mkude 8 ай бұрын
Mbona mwaka juzi hamkukubali mwandamo wa kenya mlipisha na mkakataa mwezi wa kenya.
@kyd-t1p
@kyd-t1p 8 ай бұрын
Halikua baraza la waislamu kenya waliotangaza ule mwezi, ni taasisi tu ya kawaida. Nakumbuka kesho yake Kadhi wa kenya ndo akasema watu wafungue
@SalumuMatimbwa
@SalumuMatimbwa 8 ай бұрын
@@kyd-t1p kenya kuna kaz ndio mweny mamlak na amepewa mamlaka na serikal sio muft shekh na ndio alitangaza hapa tz ujanj mwing watu hawakusudii dini wee nikikwambia ukiona mwez unatoa taarifa wapi huwez nambia lakin saa 1 unambwa mwz haujaonekan
@sawtsalaf
@sawtsalaf 7 ай бұрын
Kumbe mnalazimishwa na serikali na mnasema utafikiri ni vizuri. Mnadhima juu ya waislam, Wallah mtazilaum nafsi zenu siku ya kiyama.
@allysunday8614
@allysunday8614 8 ай бұрын
Hotuba nzuri sana.....ilitakiwa itolewe jana..... na kuweka msisitizo kuwa wenye mamlaka ni BAKWATA....Safi Sana
@Rajabukiteu-o3o
@Rajabukiteu-o3o 8 ай бұрын
shekhe mwezi ni wajana sio leo huwo
@abiabi9353
@abiabi9353 8 ай бұрын
​@@Rajabukiteu-o3owewe jahili wakiwahabi nani kakupa mamlaka hayo
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 8 ай бұрын
Mamlaka hayo Bakwata imeyatoa wapi?
@abiabi9353
@abiabi9353 8 ай бұрын
@@ibnhassan9980 bakwata wamepewa na mamlaka ya nchi. Je wewe umepewa na nani
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 8 ай бұрын
@@abiabi9353 weka marejeo???
@ahmedhamis
@ahmedhamis 8 ай бұрын
Inalillahi wainailayhi rajiwun.😢😢😢😢 Tanzania ni jamhuri ya muungano tunajua umeeleweka lkn nimefurahi kusikia ATAKAE FUNGA NA AFUNGE🙏🙏🙏 Allah azipokee na azikubali swaumu za waja wake maana hatari sana
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 8 ай бұрын
Mimi ni mkristo,ila waislam walio wengi mnadharau viongozi wenu.which is not good, actually you should change this manner,,.Heshimuni uongozi au mamlaka zenu.
@seydouside4081
@seydouside4081 8 ай бұрын
kwa ushauri uliobora .. sisi waislam.. hatupo kama ninyi . tunasoma na tunaelewa .. ndio maana tunajuwa hainamana ukiteuliwa kuwa kiongozi Kuna vingineulvyosomea zaidiyamwengine.. kitabu chetu nikimoja na mitumewetu ni haohao na mungu mmoja.. kama wanona wanaingilia uongozi wao.. wao ndio wanapaswa wakaishitaki taasisisi iliotanagaza mwezi sio kuwatuma serikari iwakamate . itaifungulia kesi ipi wakati serikari Haina dini..
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 8 ай бұрын
@@seydouside4081 Kama umemwelewa mufti Ni kwamba kipindi Cha miaka ya raisi mkapa,Kuna kiongozi wa juu wa serikali aliingilia maswala ya dini na kumwamrisha mufti wa kipindi hicho atangaze kufungua ramadhani,kitu ambacho hakikubaliki.ndio maana mufti ameomba wanaotangaza mwezi kuonekama waache kwa Sababu taratibuu za dini yenu kiongozi mufti au wasaidiz wake ndio wanapaswa kutangaza.Na Pili kuhusu kusoma elimu ya dini,kila mtu amefika level yake,na mpaka ameteuliwa kuwa kiongozi anaelimu angalau ya kuongoza waislam,na anashirikiana na wenzake,, ndio maana ya uongozi.pili uongozi Ni wetu Ila waislam mnakiburi Cha kwamba mtu akiwa na kielimu kidogo anamwona mwenzake hafai hata kumwongoza,, kitu ambacho ndio zarau zinapoanza.jiulize wew elimu yako Ni sawa na ya mufti?.jisemee nafsi yakoo usisemee watu wengine.utajua mnaenda kwa chuki,,, Dini kamili Ni ukristo huku heshima ni kawaida,tunanidhamu kwa viongozi,na kiongozi akikosea anaonywa,lkn sio kumkejelii
@fatmasherallysherally537
@fatmasherallysherally537 8 ай бұрын
Kwani bakwata na uongozi wake tulichagua sisi?? Be educated. Hatuwatambui
@MukramRwakatale-ly1lz
@MukramRwakatale-ly1lz 8 ай бұрын
Acha kuongea usilolijuua
@Jifunze36
@Jifunze36 8 ай бұрын
Waislamu wanaangalia haki na kukweli iko wapi sio kiongozi ikiwa Atakosea, Hata wewe ukiacha viongozi wako ukafata haki na ukweli utakua muislam. Karibu sana katika dini ya kweli, ninakuombea dua saaana 🤲
@SidenzoEnzo
@SidenzoEnzo 8 ай бұрын
Mungu amrehemu shehke Ilunga, alishawahi kusema umufti hawezi kupewa mtu mwenye akili hata sikumoja. Watapewa watu wa aina Zuberi
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 8 ай бұрын
Wanawake wanakwenda uchu wala haikuumi.inasikitisha sana
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
Ata wakienda uchi, Qur-an imesema LAA IQRAHA FIDDIN, usiwalazimishe. Kama tulivyokuwa hatukulazimisheni nyie mawahabi mufungu ramadhan ya mwisho msile mchana. Hapana, nyie kuleni tu machana wa Ramadhani ya mwisho kama kwenu ni dogo Hilo, ila msiingilie MADARAKA. Hstukulazimisheni mfate dini. Mamlaka ya dini haikuhusuni paka nyie
@faiswalhamza7761
@faiswalhamza7761 8 ай бұрын
Sas ww ni mwesilamu kweli? Au uko kwenye ushabiki tu. kw7b mtume anatuambia muumin kweli ni menye kuzia ulimi wake na manen machafu chunga sn maneno yako kijana.
@abdallahsuwed65
@abdallahsuwed65 8 ай бұрын
Kuna neno chafu hapo ​@@faiswalhamza7761
@samorajama8833
@samorajama8833 8 ай бұрын
umechelewa sheikh Bahati nzuri watu wanasoma na mitandao inaelimisha vibaya mnoo
@moudyngereza
@moudyngereza 8 ай бұрын
Ninachojua mm serikali haina dini na imempa uhuru wakuabudu kila mtu kwa imani yake hvyo waliotangaza jana wamewatangazia waumini wao na hakuna kingine
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 8 ай бұрын
Hata kama haina dini ila kuacha kila kitu holela ni vurugu lazima iwepo mambo yaende kiutaratibu
@moudyngereza
@moudyngereza 8 ай бұрын
@@AllyMaya-yj3xd kwn kuna vurugu gani iliyotokea sababu baraza la ansaar wamewatangazia ansaar wenzao tatizo liko wap kama umemsikiliza vizur mift utagundua kuna chuki inaendelea ndani yake lkn sijaona tatizo lolote kwa ansar kuwatangazia waumin wao
@saidtembele3070
@saidtembele3070 8 ай бұрын
​@@AllyMaya-yj3xdvurugu ipi? Kwani walioanza kufunga walikuja kwako kukufanyia fujo, kuna ulichopungukiwa au ndiyo wanachama wa BAKWATA wanapungua.
@saidmaida5990
@saidmaida5990 8 ай бұрын
Kama atakuwa tayari kutangaza yeye mufti Mara 2 aseme yeyesianataka yeye ndio atangaze
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
Uhuru ni wa kuabudu na sio wa kujipa mamlaka. Kwani nyie mawahabi serikali yenu si saudia?. Hamtosheki mkishakutangaziwa saudia bali mnataka mtuchanganye sisi wafuasi wa Tanzania hio haikubsliki. Uhuru wa kuabudu sio wa kuhodhi mamlaka ya nchi yetu.
@JumaMpingo-x5b
@JumaMpingo-x5b 8 ай бұрын
Allah atuongoze sote ila umechemka
@hamischilinga6706
@hamischilinga6706 8 ай бұрын
Ila bakwata nyinyi ni wababaishaji sana ukiona kenya hamuutaki mpak uonekenae kwenu
@jumannewabare
@jumannewabare 8 ай бұрын
Leo wanakuambia wanataka kushirikiana na Kenya sijui waliokuwa wanaitumia mwanzo imebadilika
@AllyAmanzi-y8i
@AllyAmanzi-y8i 8 ай бұрын
Usiingize serikar na ili jambo ndo Tatizo ulonalo Usiwasemehe waloanza kufunga kisa wewe umechelewa ili so sawa sawa Usiisemee elim tofauti na ilivyo
@AymanNasoro
@AymanNasoro 8 ай бұрын
Kila mmoja ana haki ya kuamini na kuabudi anachokiona kinaendana na sheria
@MnemoMfaume
@MnemoMfaume 8 ай бұрын
😢
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 8 ай бұрын
Sharia unaijua lakini?
@AymanNasoro
@AymanNasoro 8 ай бұрын
@@abdulkhaliqmuhammed456 Kaulize chekechea
@laylayl5166
@laylayl5166 8 ай бұрын
Mungu akulinde shekhe kwakwelo
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 8 ай бұрын
Huyo analipwa na serikali na anaamriwa mengine afuate yasiyoendana na Qur an
@NasoroZubery
@NasoroZubery 8 ай бұрын
Bakwata mmeshaishiwa nguvu saiv,,, watu walishajitambuaa shekhee😂
@KapondaZenaida-g3z
@KapondaZenaida-g3z 8 ай бұрын
Mungu akusimamie mufti inshallah
@hajikatanje5961
@hajikatanje5961 8 ай бұрын
Kwa hiyo mamufti kumbe mnapewaga maagizo kutoka juu ili watu waswali idadi du kweli bakwata ni roman katolik
@manhajsalafafrica
@manhajsalafafrica 8 ай бұрын
Sheikh anataka msaada kutoka serikalini ili viongozi wa taasisi nyingine wapigwe ndani
@khalfanhamis7198
@khalfanhamis7198 8 ай бұрын
Bakwata ni tawi la kanisa Maneno ya Shekh ilunga kapungu yako Sahihi
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 8 ай бұрын
Basuta nayo ni tawi na mayahudi
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 8 ай бұрын
Basuta ni chombo sahihi Kwa waislam waliojitambua,
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 8 ай бұрын
Kwanza mkumbuke bakwata mko wachache Sasa hivi watu wamesoma Sana
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 8 ай бұрын
Wew alokwambia mpo wengi ni nani? Kama unataka kujua tunaofuata bakwata ndo tupo wengi angalia siku ya iddi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
Kama hamuendi kuswali pamoja sehemu moja nchi nzima wanawake na wanaume na watoto pahala pamoja basi msingekuwa na mtu na mngeona haya na aibu mawahabi. Bakwata hawaenei na humo misikiti yote Tanzania hufurika mpaka nje na ni wanaume wa tupu . Sasa wewe sijui mlevi hua unaropokwa tuu?.
@OmariBakari-bg8ur
@OmariBakari-bg8ur 8 ай бұрын
Shekhe mche mola wako kulu man alyha fan
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 8 ай бұрын
Hizo Pete tu mashaka matupu
@MustafaKomanya-p9g
@MustafaKomanya-p9g 8 ай бұрын
Swadakta, tatizo uvivu wa kusoma, hususan history na jiografia
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 8 ай бұрын
Kibri sasa hiyo,hakuna mahali uliambiwa utangazie watu mwezi,mzee umechemsha round hii 😂😂
@catchall9364
@catchall9364 8 ай бұрын
Sheikh, haya anayoyaongea Mufti ndivyo sheria ya dini inavyosema, kama huamini nenda Saudia kajifanye unatangaza mwezi kwamba umeonekana sehemu nyingine uone kitakachokukuta..
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 8 ай бұрын
@@catchall9364 wacha uongo,dini gani inasena lazima yeye aseme rungeni,na pia aseme fungueni? Atoe ata adithi Moja japo dhaifu isemayo hivyo
@mohamedS-yd9wh
@mohamedS-yd9wh 8 ай бұрын
Mufti wetu Allah akubariki tupe elimu tatizo ni kijana wengi wanajiona ndiyo bahari elimu
@jafarijande
@jafarijande 8 ай бұрын
Kazi ya watu wa serikali nyinyi ni kuwa na sheria zenu sio sheria za mungu😊
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 8 ай бұрын
Kwel kaka
@jeanmugisha9377
@jeanmugisha9377 8 ай бұрын
LAKINI HUYO NI MUFT ASSALAM ALAYKUM WARHMATULLAH WABARKATUH
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 8 ай бұрын
Anachoongea huyu ndio sheria
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 8 ай бұрын
@@IsmailJuma-zb5nikwako
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 8 ай бұрын
​@@IsmailJuma-zb5nikwani mufti anachaguliwa na nani?
@modyworldmody4297
@modyworldmody4297 8 ай бұрын
Kweli mufti.... Wape muongozo..... Allah akuhifadhi na alinde umoja wa umma
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 8 ай бұрын
Akugee wew muongozo mchumia tumbo mwanzako
@RamadhanKibiriti-lr6cy
@RamadhanKibiriti-lr6cy 8 ай бұрын
Kwan mlitangaziwa kweny misikiti yenu nawatu wenu? Au kuna jambo
@Mufti-c7t
@Mufti-c7t 8 ай бұрын
Hahaahaa misikiti yenu na watu wenu? Subhana llah waatasimu bihablillah jamiaa ndio inafanyakazi apo kueni makini dini haiko sawa na vilabu vya mpira tena muwe makini sana na kauli
@RamadhanKibiriti-lr6cy
@RamadhanKibiriti-lr6cy 8 ай бұрын
Kwanza uelewe kushikamana nikwenye jambo gan hapo ndio Shida ilipo hujaelewa
@Mufti-c7t
@Mufti-c7t 8 ай бұрын
ikiwa sijaelewa sasa na yale maneno ya Allah jee "ingieni kwenye uislamu kammil" pia yanamaana gani tusiwe tunabagua baazi na tunapendezwa na baazi " shikamaneni kwenye kamba ya Allah " tusichague baazi ya vitu shekhe
@RamadhanKibiriti-lr6cy
@RamadhanKibiriti-lr6cy 8 ай бұрын
Kuchagua nilazima kwasababu kuna Haki nabaatwil
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 8 ай бұрын
Viongozi wengi ndio wanaupoteza umma hapo tuu alipo msemea sheikh hemedi panaonekana kitu nyuma ya pazia kiujumla tumuogope Mungu sote duniani tutaondoka na simameni ktk haki uislam ni mmoja na mola wetu ni mmoja tusiabudiane sisi kwa sisi tumuabuduni mola
@seifkhalfan1881
@seifkhalfan1881 8 ай бұрын
Serikali haina dini mzeee
@rajabungatanda630
@rajabungatanda630 8 ай бұрын
Sawa serkali Haina dini Lkn inasimamia mambo ya dini pale inapotekea Sinto fahamu
@ahmadkhamis6494
@ahmadkhamis6494 8 ай бұрын
​@@rajabungatanda630mbona haisamamiii ulevi uzinifu wizi inasimamia mwezi tu
@ahmadkhamis6494
@ahmadkhamis6494 8 ай бұрын
Hiii nchi haina dola ya kiislam kwaiyo wache watu wafate kwa mujibu wa ufaham wao
@rajabungatanda630
@rajabungatanda630 8 ай бұрын
@@ahmadkhamis6494 ulevi wizi uzinifu pia inasimamia ndomana ikawekwa jela na wapo waliofungwa kwa makosa hayo na wapo waliopata hukumu mbalimbali Au ujui ?
@KassimSalim-bj1yd
@KassimSalim-bj1yd 8 ай бұрын
Huyu mzee kachanganyikiwa
@selemanmaulidi3012
@selemanmaulidi3012 8 ай бұрын
Shekhe dah mitihani, mtume mwenyewe aliletewa taarifa ya mwezi ,na wala hakusema kamata weka ndani sisi hatujauona, Allah akuongoze
@muhidinally3753
@muhidinally3753 8 ай бұрын
Ukiona hivi hukubaliki
@zaichuu8879
@zaichuu8879 8 ай бұрын
Omba allah akujaalie imaan na si elim tu,maaana mtihani
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 8 ай бұрын
Akaa utasubir sana sheikh
@anuaryally6204
@anuaryally6204 8 ай бұрын
HATUKUTAKIIIIIII
@binseif2216
@binseif2216 8 ай бұрын
Mufti wallahy umeongea point
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 8 ай бұрын
Point ipi?
@allysuleiman7422
@allysuleiman7422 8 ай бұрын
​@@AliSalim-yu4mohuna akili wewe
@MasudiAli-o8q
@MasudiAli-o8q 8 ай бұрын
Wallah hajaongea pwent
@SaidMadai-n7k
@SaidMadai-n7k 8 ай бұрын
​@@MasudiAli-o8qkaongea point kw mujibu w kiongoz w waislam 2liemchagua n kuona atufaa ku2wakilisha kinyume y hp m2 kusema asemalo k uhuru 2 hasa mambo y kijamii ndani y dini 2taporwa umoja w waislam ikiwa haitazingatiwa n ndio mafundisho ya dini kuwatii viongoz ktk ss iyo kusema ivo nafac yk km kiongoz
@binseif2216
@binseif2216 8 ай бұрын
@@AliSalim-yu4mo Hivi wewe wakat wa mtume na baada yake walikuwa wanapata taarifa nchi zingne kupitia mawasiliano yapi?
@abubakarshaban6118
@abubakarshaban6118 8 ай бұрын
Niko Indonesia mwaka wa sita huu... Hiyo ya 10:44 sio kweli... Taasisi za mwezi ziko zaidi ya moja.
@shabanimkavu3404
@shabanimkavu3404 8 ай бұрын
Muft wetu Allah akulinde ishaallah 🤲🤲
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 8 ай бұрын
Mufti wenu, sisi wengine si mufti wetu kwasababu hakuchaguliwa na waislamu bali alichaguliwa na serikali ya kipagani isiyo na Dini
@anifasekumbo9273
@anifasekumbo9273 8 ай бұрын
serikali hiyo hiyo ndo unaifwata watoto wanaenda shule kwa serikali hiyo wanafunga shule kwa serikali hiyo tena ukidhulumiwa wakimbilia huko huko kwa serikali ikutetetee hakuna mkamilifu isipokuwa Allah tumuombeni tu Allah atupe mwisho mwema unaweza ukajiaminisha na mambo unayofanya ukajiona upo sahihi kumbe hakuna box kama wewe yule unayemdharau akawa bora tumche Allah ukweli wa kumcha tuache maneno @@mohdkhatib223
@QASSIMWAIGO-py3kq
@QASSIMWAIGO-py3kq 8 ай бұрын
Duuuuh kumbe pia mnafata amri ya kutoka juu jamani halafu mnataka tuwafate umetoa mfano
@abdulazizhabib4581
@abdulazizhabib4581 8 ай бұрын
😅
@awadhally1052
@awadhally1052 8 ай бұрын
😂😂😂kachanga nyikiwa huyu mufti wa wazushiiii
@MusaDadi-pd3jd
@MusaDadi-pd3jd 8 ай бұрын
Muft mbona umeng'ang'ania mamlaka tu we kwanza aliekupa mamlaka ya kutangaza mwez nani
@jeanmugisha9377
@jeanmugisha9377 8 ай бұрын
HIVI UNAELEWA MAANA YA MUFT ASSALAM ALAYKUM WARHMATULLAH WABARKATUH
@mansoorjalaludin429
@mansoorjalaludin429 8 ай бұрын
Sisi tunajua ni mufti Waliotangaza mwezi wamepewa mamlaka ni nani
@MusaDadi-pd3jd
@MusaDadi-pd3jd 8 ай бұрын
@@jeanmugisha9377 mi binafsi sina imani na bakwata kama sheikh anaweza kutangaza mwezi kwa shinikizo la kiongoz wa serikali unaanza kukiamini chomba kama hicho, huyo muft kama anaweza kuchukua maamuz kuwalisha watu eid mchana wa ramadhani kwa shinikizo la kiongoz wa serikali anawezaje kumtetea muilam ikitokea serikal imezulumu haki ya waisilam
@swahibually8349
@swahibually8349 8 ай бұрын
Sheria ya Dini ndiyo iliyompa Mamlaka,
@buremalyatabu3517
@buremalyatabu3517 8 ай бұрын
Kwahiyo ulitaka uje utangaze wewe?
@omaredhasaidal.obthani4775
@omaredhasaidal.obthani4775 8 ай бұрын
Huyu mzee kila anavyoozidi kuongea anazidi kuharibu
@halidmahundi1841
@halidmahundi1841 8 ай бұрын
Uhafidhina usiokuwa na mantiki 😅
@allysuleiman7422
@allysuleiman7422 8 ай бұрын
Elewa point Yake
@sportsentertainmentvideo6633
@sportsentertainmentvideo6633 8 ай бұрын
Alhamdulillah aalakullihali
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 8 ай бұрын
Wazo zuri sana mheshimiwa mufti
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 8 ай бұрын
Uko sawa tumezaliwa tumeikuta dinitusiipinge kama vyama
@AdmiringCorgi-rg5tj
@AdmiringCorgi-rg5tj 8 ай бұрын
MOHAMMED BACHU PIA KATNGAZA SIJUWI ALIKUWEPO MAENEO GANI HAAAAATA SIJUWI.
@AnuariSatari
@AnuariSatari 8 ай бұрын
Je India tuna pshana na mmarekana Sasa India kwa mangaribi naingia muda wapishana motor bad adabu dining Hana
@kimaroabduli
@kimaroabduli 8 ай бұрын
Sio kweli Jamia Mosque -Kenya walitangaza mwezi
@AymanNasoro
@AymanNasoro 8 ай бұрын
Wallah mufti ni ziro
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 8 ай бұрын
Ww wacha uhasidi wahabi alafu kiapo chako ati mufti ziro ziro nyinyi mawahabi wapotoshaji mwamzushia mtume tawhed tatu mulizitoa wapi na dalili hamuna nyinyi mawahabi ndio ziro
@AymanNasoro
@AymanNasoro 8 ай бұрын
@@saba-gv3mj Wallah ni zirooooooooooooooooo point zirooooooooooooooooooo
@AymanNasoro
@AymanNasoro 8 ай бұрын
@@saba-gv3mj We ni jahil kalale
@MakameMufadhil-n8d
@MakameMufadhil-n8d 8 ай бұрын
Ndio ukweli
@HAMZADADI-y9p
@HAMZADADI-y9p 8 ай бұрын
DINI C USHINDANI WA SIMBA NA YANGA,TAMBUA HILO,PIA DINI HAIKUFUNDISHI KUTUKA NA YEYOTE AU KUMDHALILISHA YEYOTE ,HUO NI MTIHANI KWAKO ,HESHIMU KILA MWENYE MAMLAKA HUJARIDHIA BASI TUMIA HEKMA KUMKOSOA NA SI KUMTUKANA HADHARAANI,WEWE HUYOHUYO UNAWATWII VIONGOZI WA SERIKALI WASIO WAISLAM LEO SUALA LA MWEZI UNMTUKANA MUFTI!!!, UTAKE USITAKE NDIO MUFTI WAKO TANZANIA KUWA MAKINI NA MANENO YAKO ,KUNA DHAMBI UJUE.
@HamduMasud-xw6qc
@HamduMasud-xw6qc 8 ай бұрын
Mufti tukuombe tu utoe maelezo vizuri juu ya hio mamlaka ya juu zaidi ya Mufti anaesimamia Imani za waislam na maelekezo ya kiibada.
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 21 МЛН
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 32 МЛН
風船をキャッチしろ!🎈 Balloon catch Challenges
00:57
はじめしゃちょー(hajime)
Рет қаралды 93 МЛН
Exclusive:Huyu ndio Sheikh Walid Alhad Kipenzi cha wengi
26:00
MUFTI DR. ZUBEIR AONGEA NA WAISLAMU - STOCKHOLM - SWEDEN
11:42
Nkussa International (Turuke Pamoja)
Рет қаралды 4,4 М.
Kunci dari Dakwah ( Salah satu hal yang membuat ustadz terharu )
34:05
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 21 МЛН