BABU ROHO KUTOKA PEMBA AWATAJA PANYA RODI

  Рет қаралды 6,110

RVS Online Tv

RVS Online Tv

Күн бұрын

#HABARI #UPDATE #HABARI #RVSONLINETV #BARAZALAWAWAKILISHI @RVS Online Tv #ZANZIBAR #MAPINDUZI CUP
Join this channel to get access to perks:
/ @rvsonlinetv
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/KZi1LtLlTmX...
Follow this link to join my Whatsapp group via SmartPhone :
chat.whatsapp.com/KZi1LtLlTmX...
Kwa Habari Moto Moto na zenye uhakika wa kina Si kwengine ni #RVS #ONLINE #TV, Fahari ya WaTanzania wote
Ili Kuwa wa kwanza Kupata Taarifa Zetu basi unge bofya Neno Lilo Andikwa #SUBSCRIBE pamoja na alama ya #KENGELE ili upate habari Zenye Uhakika
== JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NASI RVS ONLINE TV ( +255 772 666778), ( +255 719 700015)
⚫️ Email: rvsteam2020@gmail.com OR rvsteamhabari2020@gmail.com
TEMBELEA WEBSITE YETU YA RVS ONLINE TV👇👇👇👇
👉👉👉👉: www.rvsonlinetv.com
FACEBOOK: / rvsteamhb
INSTAGRAM : / rvstv2020
TWITTER : / online_rvs
*** WATCH EP 1 YA DINI NA JAMII KUHUS MASUALA YA NDOA, URITHI PAMOJA NA MENGINE MENGI CLICK LINK BELOW TO WATCH
• #LIVE🔴HIZI HAPA NDIZO...

Пікірлер: 20
@adamally6
@adamally6 Жыл бұрын
Subhanallah yni mmefrah kumuon huyu mzee kwel anajuulikana cna wallah mm tangia npo mdogo namuona anafanya kzi hii ya kumtangaza Allah allah akufadh na atupe mwisho mwem sote
@soudabdallah5442
@soudabdallah5442 Жыл бұрын
Oooh mashaallah mzee nmemkumbuka tangia na soma xhule mungu amuweke jmn
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 Жыл бұрын
Mzee mwenye ikhlaas kila wakati anamtaja Allah mashaallah
@barghashally7791
@barghashally7791 Жыл бұрын
Huyu mzee maashallh namkumbuka na kazi yake hii ya kumtangaza allh (Rohoni ALLH) (MOYONI ALLH) (AKILINI ALLH). allh amlipe firdaus ya juu
@mohamedsaid3313
@mohamedsaid3313 Жыл бұрын
ALHAMDULILAH huyu ni mtu mzuri sana Allah amhifadhi
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Shukran Mzee wetu!
@alinassor391
@alinassor391 Жыл бұрын
M.mungu ampe umri mrefu mzee wetu huyu na ampe nguvu ktk maisha yake
@RVSONLINETV
@RVSONLINETV Жыл бұрын
AMIIN
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 Жыл бұрын
Kipaji huyu jamaa ana msimamo na maisha yake yote yuko na Allah Alhamdulillah
@radhiaali8043
@radhiaali8043 Жыл бұрын
ما شاء الله تبارك الرحمن الله يحفظك sheikh mau
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 Жыл бұрын
Babu roho, Allah amsimamishe katika njia yake, amsamehe makosa yake. Ampe mwisho mwema.
@RVSONLINETV
@RVSONLINETV Жыл бұрын
AMIIN
@tawasirihamisi126
@tawasirihamisi126 Жыл бұрын
MASHA ALLAH
@kassimomar7589
@kassimomar7589 Жыл бұрын
Shehe mau
@imranfundi6761
@imranfundi6761 Жыл бұрын
Doooh kumbe bado yupo huyu
@GumzolaGhassani
@GumzolaGhassani Жыл бұрын
Sheikh Maulid (Allah Amhifadhi na Ampe Radhi Zake) amekuwa akiifanya da’awah tena ya peke yake kwa zaidi ya miaka 40 sasa. Tangu nafunguwa macho nyumbani kwetu, yeye alishaanza kulingania na vibao vyake vyenye mawaidha.
@RVSONLINETV
@RVSONLINETV Жыл бұрын
amiin
@othmanally7446
@othmanally7446 Жыл бұрын
Allah ampe umri mrefu Mzee wetu huyu mm namkumbuka tokea tupo skuli hapo wingwi miaka ya 1998 , 2000,nk Kila akipata mda anafika kutuaidhi na kutulimgania kwa neno la roho hasa wakati WA mapunziko risesi, Allah amuhifadhi inshaallah.
@maalimthauratjuma7746
@maalimthauratjuma7746 Жыл бұрын
masha Allah m.mungu amlipe ujra mwema mzee wetu amemaliza kila kitu kuhusiyana na binadamu kuumbwa kwake nakuletwa duniyani Allah atuongoze katika njia iliyo nyooka achukuwe amana yake kwenye miili yetu hali yakuwa ameturidhiya Amiin Allah Akbar
@vich2mussa997
@vich2mussa997 Жыл бұрын
Amin hakika anazungumza haki ilio kamili mungu ampende
MZEE KUTOKA PEMBA ATANGENEZA BOTI YA FIBER KUPITIA MADUMU YA MAFUTA
13:12
Bin Nyange Media
Рет қаралды 4,1 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
MJI MKUU WA PEMBA NA UHALISIA WA RAMADHANI
8:53
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
KARIBU PEMBA KISIWA CHA HISTORIA
5:13
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 3,2 М.
SASA HII NDIO PEMBA MPYA
11:16
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,3 М.
SHUHUDIA ALICHOKIFANYA ALI "MCHAWI" MBELE YA MKUU WA MKOA
8:35
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 62 М.
Kumbe Pemba ni ya zamani sana
10:58
Weyani Tv
Рет қаралды 13 М.
ZIARA YA MAALIM SEIF SARIF PEMBA - FULL
44:43
RVS Online Tv
Рет қаралды 28 М.