SHUHUDIA ALICHOKIFANYA ALI "MCHAWI" MBELE YA MKUU WA MKOA

  Рет қаралды 62,964

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#Habari #KtvTzOnline
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc:Juma Maulid
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Пікірлер: 119
@suleimanrashid8957
@suleimanrashid8957 5 жыл бұрын
Kiukweli uongizi ni kipaji na majaaliwa. Nakupongeza sana mkuu wa mkoa Allah akuongoze Allah akujalie uwe mwenye kuipenda haki ufanye kazi kwa hujitolea na sio kwa ria. Kiukweli ww ni hodari. Allah akuongoze in shaa Allah
@shimuld6721
@shimuld6721 5 жыл бұрын
Ameen Yaarabil Alameen jamian
@swalehayoub4816
@swalehayoub4816 5 жыл бұрын
Mh RC Ayoub unapiga kazi kinoma, hongera sana usichoke!
@erickputto3490
@erickputto3490 5 жыл бұрын
Swaleh Ayoub
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 5 жыл бұрын
Ali Mchawi! Nakupenda kwa ajili ya Allah. Ikiwa shughuli hii iliotajwa umeifanya. Muogope Allah. Allah hapigi kwa fimbo. Jihatahadhari.
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
Shukran Ktv tz online hakika hii ni FAHARI yetu
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
zayyati yusufu hujalala
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
@@faizasaid8262 Yani hakulaliki mmpaka Ktv akate umeme hapo itakua🙌
@chumuali9168
@chumuali9168 5 жыл бұрын
Faiza Said naona mapema! Hhh
@chumuali9168
@chumuali9168 5 жыл бұрын
zayyati yusufu ..hujambo ukhty wangu
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
@@chumuali9168 Alahamdullah khofu kwako ukhty
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
Mtihani huu. Allah akupe umri wenye afya njema mkuu wa mkoa uzidi kuwasaidia wananchi kwa kila hali
@albassamjjamali9205
@albassamjjamali9205 5 жыл бұрын
amiin
@chumuali9168
@chumuali9168 5 жыл бұрын
Allahumma ameen
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
@@albassamjjamali9205 Allahumma amin
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
@@chumuali9168 Thumma amin
@ibrahimhaji214
@ibrahimhaji214 5 жыл бұрын
ampe afya na umri ila pia ajue sheria za manunuzi asipeleke watu kibubusa
@shimuld6721
@shimuld6721 5 жыл бұрын
Subhana Allah Mwenye enzi Mungu amhidi sio vizuri kudhulumu haki za watu ogopeni Mwenye enzi Mungu kuna hisabu huko tunako kwenda
@bayaanhumud4328
@bayaanhumud4328 5 жыл бұрын
maaaaaaaashaaaaaa Allaaaaaaaaaaah mheshimiwa mkuu wa mkoa pongezi kwa wingi nna kupongeza Allah azidi kukupa imani nguvu na afya njemaa uendelee kutetea wanyonge nakupenda saaannnaaa kwa ajili ya Allah jallah jalaal
@rashidnassor5608
@rashidnassor5608 5 жыл бұрын
Nimeanza kuwa shabikiako muda Sasa hongera bro. Mungu akuongoze
@idrissajumakona5871
@idrissajumakona5871 5 жыл бұрын
shukran...ktv Tz Online
@hamudsuad4193
@hamudsuad4193 5 жыл бұрын
Ayubu unafaa kua Rais
@chumuali9168
@chumuali9168 5 жыл бұрын
Swadaktaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@moviesseries9923
@moviesseries9923 5 жыл бұрын
Ni Kweli kabisa
@shimuld6721
@shimuld6721 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@ziadasalim8807
@ziadasalim8807 5 жыл бұрын
lnshallah tumuombee MWENYE ENZI MUNGU
@sullys2011
@sullys2011 4 жыл бұрын
💯%
@mubanassortz
@mubanassortz 5 жыл бұрын
*_Mungu Akupe Umri Mrefu Mh__*
@jumaame9302
@jumaame9302 5 жыл бұрын
Big up RC Ayoub.. Njoo kaskazin maeneo ya Kendwa na Nungwi mambo ya migogro ya viwanja ndomatupu.. Huku hkuna mkuu wa mkoa ila yupo msimamiz wa mkoa tu
@fifo262
@fifo262 4 жыл бұрын
Du
@aishahajiyahya3962
@aishahajiyahya3962 5 жыл бұрын
Mungu akusimamie na utendaji wk mzuri Allah atakulinda
@abdallahmohd3564
@abdallahmohd3564 5 жыл бұрын
ali mchawi ashatuzulumu sana hapa duniani tayari malipo yanatokea bado kwa Allah sasa
@mohamedseif9230
@mohamedseif9230 5 жыл бұрын
Na matapeli wenzake wako wapi? Kina Sonda, Juma vipesa na Fideli!!!!
@mwainehaji5722
@mwainehaji5722 5 жыл бұрын
mungu akuhifadhi na mahacdi
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 5 жыл бұрын
Mungu atusaidie, dunia watu wameiweka mbele,wamesahau kama Kuna Mungu
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
Uaminifu hamna tena Duniani. Watu! Tumuogopeni Mungu Jamani!!!!!
@fatmamohamed1099
@fatmamohamed1099 5 жыл бұрын
mmh mungu anakuona
@lucialeonard6734
@lucialeonard6734 3 жыл бұрын
Duh bwana Ali mchawi noma, ata mungu hamuogopi
@suleimanmohamed4367
@suleimanmohamed4367 3 жыл бұрын
Duh
@yussufmohamed7427
@yussufmohamed7427 5 жыл бұрын
Big up kaka
@BigBoss-jk6fk
@BigBoss-jk6fk 3 жыл бұрын
Yaani hawa ccm wanaifanya hiyi case aonekane ali mchawi ni tapeli pekeyake ukati ccm wamewapokenya waarab mashamba zao na kuwapa watu wengine kama heka
@fatmaalli4309
@fatmaalli4309 5 жыл бұрын
Tapeli kamfanya kitumbo
@aminahamadi4017
@aminahamadi4017 5 жыл бұрын
asante mkuu wa mkoa pongezi Kwako
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 3 жыл бұрын
Alli mchawi apigwe marufuku kujuhusisha na mambo ya viwanja na apelekwe mahakamani kwa utapeli. Watu wote waliuzuwa mara 2 watoe ushirikiano.
@intisaarsaid6858
@intisaarsaid6858 5 жыл бұрын
Nakukubali mkuu wa mkoa nakupenda bure
@asmaAsma-oi1pm
@asmaAsma-oi1pm 5 жыл бұрын
Rais wa 2020,tushampata ishaallah allah ajaalie,
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 5 жыл бұрын
Sawa sawa mkuu.
@mohammedjuma3978
@mohammedjuma3978 5 жыл бұрын
Huyu ali mchawi anaonesha magumashi kweli
@erickputto3490
@erickputto3490 5 жыл бұрын
mohammed juma
@SalmanKhan-eb7pt
@SalmanKhan-eb7pt 3 жыл бұрын
Tusimuhuku mtu.....hatujui uhalisia wa jambo hilo.....tusitumie sana negetive... Otherwise uwe unaujua uhalisia wa jambo hilo.....
@ibrahimhaji214
@ibrahimhaji214 5 жыл бұрын
sheria ya manunuzi "atakae nunua kitu kisicho cha halali basi hicho kitu kitabaki umiliki kwa aliyenunua" aliye uza ndio atawajibika kulipa deni la mmiliki wa kwanza.
@tumamapishi2184
@tumamapishi2184 5 жыл бұрын
uyo jamaa wanamjua kitambo kwa kua leo dereva wake kaibiwa duuuu
@ummulkurthumabeid2914
@ummulkurthumabeid2914 5 жыл бұрын
👏👏👏👏
@kimsamir965
@kimsamir965 5 жыл бұрын
Kweli hayo masuala yapo rena nayachukia sana hayo mambo hatamzee wangu kashafanyiwa hivyo kauziwa kiwanja akatapeliwa pesa nakiwanja hakuna alichopata vyote alizulumiwa.
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Ali mchawi Tapeli umemzulumu mke wangu but haki haipotei
@user-pr1xm3fk4c
@user-pr1xm3fk4c 5 ай бұрын
Wizi haswa Ali mchawi
@salmaelhinai833
@salmaelhinai833 5 жыл бұрын
Hakuna kitu kibaya km dhulma duh jina limemsibu
@jumaame9302
@jumaame9302 5 жыл бұрын
Daaaah!!! Ali mchawi kafanya mambo yake mpka RC kaondoshwa mkoa wa mjn magharibu
@swahibal-karama145
@swahibal-karama145 5 жыл бұрын
Hakika huyu bwana ALI MCHAWI nilichokisoma mimi ni Mbabaifu sana sana tu. LAKIN KWA HALI HIYO NAHISI KUNA WAKUBWA APO WANAKULA WANAKULA WOTE.
@ally1702
@ally1702 5 жыл бұрын
Sasa wakiuziana watu wa serikali wanakuwepo wapi Mana najua kwenye kukabidhiana viwanja lazima masheha au madiwani wawepo Mimi nahisi wote lao moja wasikamate mmoja waulizwe na hao watu wa serikali pia from 974
@yaqoubsalim99
@yaqoubsalim99 5 жыл бұрын
Ali mchawi acha utapeli, kabla sijachomoa Betri
@fatmakhamis1018
@fatmakhamis1018 5 жыл бұрын
mhuuuuuuu Alimchawi hiiishida ndo ukafanya tumbo kubwa kama mla riba kumbe unakula haki za wanyongeeeee
@ayoubabdull1265
@ayoubabdull1265 5 жыл бұрын
Hebu tutulie tuone je uchaw utafanya kaz hapa kama kwel..
@khamisshehe8634
@khamisshehe8634 5 жыл бұрын
Hii imeshamiri kila pahala watu wamezidi kutapeli watu naomba tu wataftiwe hukumu ya kupewa matapeli kama hawa
@ukhtysakinaa7664
@ukhtysakinaa7664 5 жыл бұрын
Eti Ali mchawi 😂 ndo jina lake
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
Mm ndiomaana huwa sichukui namba za cm humu zakina Ali mchawi😲😳😞😆😂🤓👌👎👍👎
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 5 жыл бұрын
Bana wampaka matope tu hua maranyingi anakupa chengine
@ibrahimhaji214
@ibrahimhaji214 5 жыл бұрын
mkuu wa mkoa hajui sheria anafanya kwa matamanie yake, kama alikubali kuapa kuilinda katiba basi kurejesha umiliki kwa mmiliki wa kwanza basi ni kukiuka katiba jambo hilo lazima liende mahakama ya ardhi
@hamishamis9905
@hamishamis9905 3 жыл бұрын
Upepo wa kisulisuli huo😂😂😂😂😂😂
@MohamedMohamed-sc5oe
@MohamedMohamed-sc5oe 5 жыл бұрын
Ali mchawi wewe noma kweli. Yaani unaliza kijiji kizima.. Dah huyu baba kiboko😜
@rajabmaalim3375
@rajabmaalim3375 5 жыл бұрын
Ali Mchawi (by nick name) lkn si Mchawi wakati wote.. Mimi nliwahi kununua kiwanja kwake nikaghairi lkn alikua Mstaarabu na alinilipa pesa zangu zote.
@fifo262
@fifo262 4 жыл бұрын
Una bahati sana itakua ww
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Ndevu kubwa za suna huyo utapeli WA nini Tena unazambi ww
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Mali bila daftari hupotea bila habari vizuri kua usibitisho upo huenda haki akatendeka
@nachunachu7466
@nachunachu7466 5 жыл бұрын
Na mimi nimrdhurumiwa muheshimiwa nakupataje
@albassamjjamali9205
@albassamjjamali9205 5 жыл бұрын
ali mchawi 😆
@mrog2768
@mrog2768 5 жыл бұрын
Duuuhh
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 5 жыл бұрын
Rc yap kaz kaz
@alialibablly7010
@alialibablly7010 5 жыл бұрын
Sasa nyinyi serikali ndio muulipe sababu si ndio munachukua viwanja sasa huyo atawalipa wangapi mchampokonya yy nyinyi muchukue asipate mtu viwanja viwe vya serikali si kweli huu uwanaharamu mkuu wa mkoa unathibitisha
@suleimanbakar6097
@suleimanbakar6097 5 жыл бұрын
Hashuo kuiga tu at I ndio uongozi bora huo usanii tu
@windowclsc6839
@windowclsc6839 5 жыл бұрын
Ally mchawi nakuunga mkono mwenyew tapeli apa
@hudnadhamir1472
@hudnadhamir1472 4 жыл бұрын
Duuh
@fadhili2293
@fadhili2293 5 жыл бұрын
Ali mchawi ni mtata sana
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 5 жыл бұрын
Haki itendeke tu kila mwenye haki yake apewe haki yake
@sadiaabed6687
@sadiaabed6687 5 жыл бұрын
Hawa ndio wanaojuwa mambo
@jumamoo7915
@jumamoo7915 5 жыл бұрын
Ali mchawi.pole umeingiya chooo cha.kike kosa lako ni kumtiya mjini huyo dereva wa bosi tuuu ndio yote hayo yakatokeyaaaaa
@hassankitende3056
@hassankitende3056 5 жыл бұрын
Nasubiri nione huyo diwani mutamfanya nn
@aishahajiyahya3962
@aishahajiyahya3962 5 жыл бұрын
Nakuamuni Mkuu unatenda haki
@khadijamohammedsheheasemak1334
@khadijamohammedsheheasemak1334 5 жыл бұрын
duuur
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 5 жыл бұрын
Tabeli tu huyo km muhogo wa mpendae kazi yao kuzulumu tu wanyonge hawajui iyo iyo ardhi kesho inaenda kuwakaba Allah awape hukum hap hap duniani
@hassanmahmoue3034
@hassanmahmoue3034 4 жыл бұрын
Ukimfuatilia huyo alimchawi utakuta ni mtu kutoka PBA huyo
@aboudali5132
@aboudali5132 4 жыл бұрын
Bila shaka ww jamaa unahemewa nyuma sio bure.. Sasa maswala ya kumfatilia utakuta ni Mtu katokaPBA yanahusu vp hapo.
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Mali bila daftari hupotea bila ya habar
@ahmedwar.f.f5517
@ahmedwar.f.f5517 5 жыл бұрын
Dhulma mbaya tuiepuke tusitake kuonekanwa matajiri duniani kwa mali za utapeli azabu yake nzito siku ya kiama
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 5 жыл бұрын
Huyo.mkoamkoa.kiwaja.alicho.iba.ameshareje.sha.hahahahahahahahahahahahaha Zanzibar home people wrong world
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 5 жыл бұрын
Musimpake matope hicho kiwanja alikuzuwia tu.. Kilikua ni kiwanja cha yatima... Baada ya upelelezi kishapewa wenyew..
@aligoboz5641
@aligoboz5641 5 жыл бұрын
hata mm namkubali kuu wa mkoa kwa kazi nzuri
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 5 жыл бұрын
@@sadakhamis1261 yeye.mwenyewe.dio.kajipaka.matope.nduguzagu wa.Zanzibar chakusikiti.sha.kituo.cha.daladala.ufikiri.dio.ujiamulie.wala.haipendezi
@rayaukewenzanisheriakupend7973
@rayaukewenzanisheriakupend7973 5 жыл бұрын
@@khamisjuma4691 We All mchawi kitumbo kimekutoka kama huendi haja kubwa vile kwa kuwadhurumu watu
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 5 жыл бұрын
@@rayaukewenzanisheriakupend7973 tunazulu.miwakila.siku.na.haohao.wa.teteziwetu.inafurai.sha.sana
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 5 жыл бұрын
Makaratasi mahkamani sio mitaani.
@suleimankhamis738
@suleimankhamis738 5 жыл бұрын
Tapeli huyo mzee
@fatmaalli4309
@fatmaalli4309 5 жыл бұрын
Hafai hata udiwani huyo usimpe sifa bure wote hawo wamewazulumu wazanzibar waliwo wengi azabu ziwashukiye juuyawo
@cholloriyamiy8995
@cholloriyamiy8995 5 жыл бұрын
Hahahahah nani huyo ambae hafai kuwa diwani
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 жыл бұрын
Kwa nini wanawekammapori ngoja awatie adabu.
@tonysolomon2841
@tonysolomon2841 5 жыл бұрын
Mimi binafsi nishawahi kuuziwa kiwanja kisha kikauzwa tena pemba 2006
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 5 жыл бұрын
Wewe.dio.kipezi.cha.mungu ubiwa.nawewe.iba
@mustafaseif164
@mustafaseif164 5 жыл бұрын
Mm mwenyewe kaniuzia kiwanja ss sijuwi na mm changu kipo kwenye group gn 🤔
@omarganja1396
@omarganja1396 5 жыл бұрын
Huyu Ali Mchawi hana adabu hata yakuazima
@bakarali2631
@bakarali2631 5 жыл бұрын
Haina kilevi
@suleimanmuya5
@suleimanmuya5 5 жыл бұрын
Mbona watu wasiende mbele yahakimu kuziana Viwanja ndio ushahidi kamili musiamini mihuriyasikuhizi mtu Anaweza kutengeneza mhuri hats was president Ushahidi nenda kachukue mhuri wahakimu
@khamisame4732
@khamisame4732 5 жыл бұрын
Ilo jamaa tapeli tena tapeli haswa
@stonetown578
@stonetown578 5 жыл бұрын
Wala hakuelekea kujifanya mbabe hivyo mtu mzima ipo siku Allah atamtia mkononi huo uchawi wake hautomsaidia chochote, nampenda mkuu wa mkoa100%
HALI HII YAMTOA OFISINI MKUU WA MKOA MHE.  AYOUB
7:37
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 49 М.
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 17 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
KAULI ZA WANANCHI WA TUMBATU KWA SERIKALI KUHUSU KUEKEZA UTALII
9:43
MASKINI ! WALICHO FANYIWA MADADA HAWA HUKO MELI NNE ZNZ NI HURUMA TUPU
30:53
Kiswabi na Dongo_ Wizi wa mitandaoni
6:10
Jufe Film Production
Рет қаралды 304 М.
KAULI YA MWISHO KABLA MAUTI YA SHEIKH NYUNDO
4:07
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 197 М.
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 17 МЛН