Naomba tujuane wale ambao wazazi wetu hawajatugawia vitu na hawatatugawia kabisa tunatafuta vyetu kwa jasho letu wenyew ,,maan hizi mali za wazazi huwa zinaletaga maafa makubwa ,,ila Hawa walistahili kuishi hapa maan pia ni mali za mama yao ,,sema mze mlimvuruga kwann hamjaenda harusi yake🤣🤣😂😂😂😂🤸🤸🤸🤸👌👌👌👌💃💃💃ndo ujue pesa inanguvu kuliko mkono mtupuu
@aisatahaisatah26124 жыл бұрын
Nilishasema vya wazazi wang nivyakwao ntatafuta vyangu
@aisatahaisatah26124 жыл бұрын
Mkono mtupu haulambwi
@daudichawo2404 жыл бұрын
Kwa mzeee ni noma
@mashakafundiinatafakarisha55214 жыл бұрын
Ukiisha kuwa MTU mzima was miaka 18 kuendelea tafuta na wewe Mali yako hiyo ya mzee haikuhusu
@abdalahmaganga81834 жыл бұрын
😝😝😝😝
@edsongamuga73754 жыл бұрын
Mlitakiwa kwenda kwenye harusi ya mzee !mnaona sasa kawaletea balaa😛😛😛
@chainbre2754 жыл бұрын
Hahahaha kbsa lazima wafwata amri ya baba juu yy ndo mwenye Mali
@unambwenaiman53554 жыл бұрын
Walichokosea ni kumsusia harusi yake,pia wanacholalamika ni nn?Mbona kila mtu alishapewa chake hicho kilichobaki na yy auze,
@shameemrashid52194 жыл бұрын
🤣🤣🤣dahhh mzee kaleta jiko watoto wasusa
@susans44904 жыл бұрын
😂😂😂
@lucyshirima78624 жыл бұрын
Kwann hamkwenda kwenye harusi roho mbaya tu
@uwezowamunguutendaokazi30434 жыл бұрын
Tatizo siyo Mzee ni uyo alie letwa . mtangulizeni Mungu kwa yote. MUNGU MKUU awasaidie. Amen.
@BabyRas59274 жыл бұрын
Kbsaaaa Mama wa kambo. Sio mama ..wanabadilisha sana babazetu....hii kitu ishatokea kwetu ....maana hata babangu aliuza boma letu na kuoa mke mwengine na alitutenga sisi familia yake...ila mungu n mkubwa sahii wanateseka hadi wanaona Aibu..
@gennesmoraa93804 жыл бұрын
Nooo!aliyeletwa sio shida!shida Ni kutoatendi harusi,pili kumbuka Mzee anaitaji kambani$ atulise Poli nayo inaitajija so mnataka aishije?jilekebisheni nyie.
@nkeshigomegwa16862 жыл бұрын
@@gennesmoraa9380 ni kweli kabisa watoto walitakiwa kujua baba pia anahitaji mtu wa karibu kumsaidia n.k
@goodneema30564 жыл бұрын
Kwa ujinga wao wanatakafungua mirathi na mzee bado yuko na migufu yake, pumbaff sana. Maamuz yake nimeyapenda, uza vyote kula bata mzee wangu!!💪💪
@khadijajuma78732 жыл бұрын
Na wazee wakiamua ndio utajuwa kama hujuwi
@msangazimsangazipapaandomb87614 жыл бұрын
Hilo eneo ni lake, lipo kwa jina lake so ana haki ya kufanya chochote kwenye eneo lake. MPIGIENI MAGOTI awasamehe, otherwise hamna haki yoyote hapo ni pake. Tafuteni Mali zenu, nyinyi ni watu wazima.
@faridaaloyce76723 жыл бұрын
Asante MUNGU kwa kuniepusha na migogoro
@fancytulula95374 жыл бұрын
Wacheni mzee aoe mke, upweke waua. Nyinyi mko na wake zenu na familia zenu.. Jipangeni. Mama alikufa miaka mitano iliyopita, kweli, amejaribu. Ameishi miaka hii yote pekee😳
@shabbynyoni29224 жыл бұрын
Duuuh hatr mzee bado anautak ujna kama unamkubari mzee acha like hap
@chunanachu25294 жыл бұрын
Hamjui hatma yenu wazee wazima mwacheni baba yenu aenjoy maisha hamjui alitafuta vipi Mali hizo mnataka kula kilaini
@hashimrashid98853 жыл бұрын
Wewe ni tahira sasa amewazaa kwa nini wamechuma wote na baba yao..Mzee malaya tu
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Akili hauna kwaiyo hao watoto aliwaza ili wakalale nje wewe kweli chizi maarifa
@wakembetajaphary36482 жыл бұрын
Wamwache mzee ale kwa Amani watamuua kwa presha khaaaa
@f.a60434 жыл бұрын
Mzee asome alama za nyakati haya maisha yanapita tena kwa haraka sana tena kuna maradhi ambayo yanatukabili kila mmoja wetu covid 19 TUNAISHI KWA NEEMA TU YA MUNGU SIKU ZOTE Mzee MUNGU AKUJALIE UPATE HEKIMA NA BUSARA NYINGI HAYA MAMBO YA DUNIA NI YA MUDA MFUPITU
@mcmaulidkambayamau14944 жыл бұрын
sasa ndugu zangu mnalilia mali ambazo mmiliki mwenyewe yupo wala hajafa nanyi bado ni vijana pambaneni mjenge vyenu jamani
@biancamass89214 жыл бұрын
mc Maulid Kambaya mau ajabu
@dennismtoma36264 жыл бұрын
Madada mazima yanashindwa kuholewa yanagombania Mali za babu
@reginamanyangu66824 жыл бұрын
Yaan ni ujinga mzee ni Mali yake
@salmasaidy874 жыл бұрын
Yaan nyie watoto oneni hata aibu mali za mzee mwachen mwenyewe ale chake pambaneni mpate na nyie mbona bado mnanguvu sana tu. Aibu kweli jaman
@maryamoscar4384 жыл бұрын
Wangeenda kula mpunga wa mzee yasingetokea
@halimamasai22344 жыл бұрын
Hongera Babu kwanza unajua kuchagua halafu mali ni yako wasikubabaishe hao. Kila la kheri na mke mpya maisha marefu na afya njema
@witneyjerry12934 жыл бұрын
Si mligoma kuhudhuria harusi? Mngejua mngeenda kupiga mpunga dadii na mbege,sahv mambo yangekua shwarii
@rosemarycharles4814 жыл бұрын
Hahahaha Naona walijisaau
@judithmoses8354 жыл бұрын
Hahaha Yan wew
@zalhayahya24134 жыл бұрын
Hahahahaaaa
@maryamoscar4384 жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@Amneamne-qi2du4 жыл бұрын
Kosa lenu kwanini hamku hudhuria harusi yake babu kaka silika
@katibatanzania30894 жыл бұрын
Safi sana izomalizake embu jipatilizeni nyny tafuteni zakwenu
@rukiamohammed50314 жыл бұрын
Mke mdogo mbn anafanana na amber rutty kwa mbali jmn au macho yangu
@m.mmarckus62984 жыл бұрын
Hata mm nimeona
@mcrecho52394 жыл бұрын
Ambar ruti mtupu
@haniphermuscatoman65544 жыл бұрын
Uwiiii jamaniiii 😄😄😄
@dantweve9824 жыл бұрын
Mama unabloku huku anatokea huku"niwamiaka mingi huyo mama amekwepa mishale mingi
@uncleelly45434 жыл бұрын
Kweli🤓😂😂😂
@tmt26429 ай бұрын
😢😢😢Mbona watoto wenyewe kama walevi tu..Mali za Baba wanalilia..Wako timamu kweli hawa😢😢
@genovevatarimo70234 жыл бұрын
Nendeni mkatafute vya kwenu alaa mnategemea kwa dingi enu.hahaaaaaa ujana wenu mnataka kuufanyia nini kam a ujana wa dingi enu aliweka hizo sehemu
@maryamoman13704 жыл бұрын
Haswaa wapambane waache uvivu
@annaishebabi49404 жыл бұрын
Haaaaa!we mzeee acha uongo kwahiyo doctor alisema usimpe mke wako v2 vitamu kwasababu ya sukari manake sijaskiaga mtu akiambiwa asishirikiane na mke au mume kwa sababu ana ugojwa wa sukari
@martinseveina63064 жыл бұрын
3and 8
@khamismaulid68394 жыл бұрын
Mzee ana kichaa ashaona shimo amejisahau huyo msichana ameoa ndo kaburi lake
Aisee kupitia tukio hili tujifunze mengi,la kwanza ukipewa eneo kabla ya kujenga hakikisha umekabidhiwa ilo eneo kwa Maandishi.pili hakikisha nyumba unayoijenga uwe na Hati.sasa Kama umejenga bila maandishi kuwa ilo eneo ulikabidhiwa na nyumba pia si itauzwa?,maana bado inaonyesha ni mali ya mzee.poleni sana Mungu yupo jitahidini kama ni haki yenu mtapata tu.pia jitahidini kutafuta mpate kwa jasho lenu.Mtegemea cha ndugu ufa masikini.
@raynittu45994 жыл бұрын
Mzee nouma kweli. Umegawa viwanja watoto wamejenga tayari.miaka 87 unahangaika na wanawake.watakuua hao.
@enock72714 жыл бұрын
Mzee kajieleza tu vzr
@jamilairakoze66004 жыл бұрын
Sasa uyo mzee anafanya kazi nzuri kweli duuuu 🤣🤣
@oscaroscaroscar79744 жыл бұрын
Huyu Mzee jamani mvi nyeupe adi kwa ndefu Soon atakufa kwa presha kwanza kwa nini Anafanya ivi jamani au Shangishangi alolioa lina mpelekesha 😳
@mengikiguruwe67504 жыл бұрын
Mzee ni mchapakazi na 'Campsite'/kambi za utalii sehemu kadhaa zikiwemo Loliondo/Wasso, Engarasero/Lake Natron n.k aidha wengi wa watoto wake ni tegemezi na wafujaji; Mzee km huyo ni lazima awe na msaidizi wa karibu (Mke) wa kumhudumia kwani mwisho wa maisha ya binadamu ni atakapokufa hivyo huwezi kumyang'anya mali zake eti tu amezeeka; Nawashauri hao watoto wamwangukie baba yao kwani Mzee Kamakia ni mwelewa!
@alphoncembasa17752 жыл бұрын
Yes upo sahihi . Hao watoto watafute Mali Yao.
@emmanuelzwallo39332 жыл бұрын
Kabisa.wamwache auze ni vyakwake.
@yahayaolomi10572 жыл бұрын
Nao watafute kama.baba Yao alivyotafuta
@abdallahmwasiho15212 жыл бұрын
Acha atumie pesa yake nyie ndy mnamsumbua
@Mpakauseme3 жыл бұрын
siwez kujenga ktk uwanja wakupewa na wazazi bila maandishi yakueleweka never na sitakikusikia ujinga km huo, aisee sasa hao kazi wanayo
@peterjohn19694 жыл бұрын
Mzee upo sawa sawa 👍
@vallemaparadise76204 жыл бұрын
Chini ya jua hakuna km mama .Baba kumkana mtoto kwake sawa ila hajamjua huyu mwanamke anataka pesa yake na siyo huyu babu ,akikamilisha lengo lake atamwacha babu hoi.
@peterjohn19694 жыл бұрын
@@vallemaparadise7620 tatizo wao ndo walipaswa kumfanyia mzee wao kwamfano kumjengea nk sasa wameingia chaka mzee kaona iyo ni zarau sasa atakavyo amua akuna wakumpinga ndomaana vyombo vya usalama vinashindwa vinawaangalia vinawaona wajinga wapiga kelele tu.
@auntdorah91414 жыл бұрын
Rudin nyuma sasa...tumieni kanisa(watumishi wa Mungu) tumieni Wazee wenye hekima muombe msamaha...msishindane nae,jishusheniii! mzazi ni mzazi....na ana haki zake na nyie mna haki zenu... Baba wahurumie wanao. Mtangulizeni Mungu wapendwa.
@japhetnnko73984 жыл бұрын
Kwel wjishushe kw mzee kulko kushndan bab ni baba tu
@marymfugwa8474 жыл бұрын
Waziri wa aridhi anahusika nini hapo? Kama mmeolewa tafuteni vyenu na waume zenu.
@victorianganyagwa52234 жыл бұрын
Mary Mfugwa tenaaaa👌🏼
@jescajulius80234 жыл бұрын
Ni haki yao kuolewa ni urafk t unaweza ukavunjika mda wowote dear
@ilovejesus93034 жыл бұрын
😂😂😂
@godmanmullar41544 жыл бұрын
Mary Mfugwa shikamoo watafute vyao maboya wamuache dingilai ale vyake
@musakaphu45814 жыл бұрын
Walikataa kwenda harusini mzee akachukulia spotii tu yaani barida wala hakuita media alizimia zake kanisani tu
@raheemahamees64102 жыл бұрын
Mnataka kitonga Mari zake Izoooo
@husseinally58804 жыл бұрын
Kweli mapenzi yana-run duniaaaa!!!
@immaculatakadyanji59274 жыл бұрын
😀😂😃
@monicakaskazi18174 жыл бұрын
Makubwa hayo wanawake ni nyoka
@amanistephano52084 жыл бұрын
Bora wamzuie asiuze mali zake maana. Akiuza atafilisika na atakae chukua pessa zote ni yule mwanamke. Hatimae mzee atarudi tena kuwalilia shida watoto wake. Na hapo ndo itakua mwisho wa maisha yake.
@leokamil62844 жыл бұрын
True
@alexlingwendu67804 жыл бұрын
Ndo maaana Mimi sitaki kabisa vya wzazi wangu,wala babu yangu wala ndugu yeyote .Bora kutafuta vyangu tu
Kwani document za hayo maeneo mliyopewa na mzee wenu mliandikishwa nyie kwa majina yenu au mliendelea kutumia jina la mzee?? Kama jibu ni ndio mlitumia jina la mzee poleni sana mzee ana nguvu kubwa ya kushinda hiyo kesi sababu bado ni mmiliki halali wa hayo maeneo na maboma😇
@sabrinaislam42004 жыл бұрын
Nyie wtt wapuuži Sana tafuteni chenu KM alivochuma yy mnajuwa aližipataje hižo mali
@johasaeed3914 жыл бұрын
kashawapa tatizo ndo hilo alishawapa urdhi
@rosemarycharles4814 жыл бұрын
Haha
@elidadnyalema20644 жыл бұрын
qusey OMAN hao ndo wale watoto ambao hawajishugulishi wakiwa wanaona wazaz wao wakiwa na hela...
@paulgwau57934 жыл бұрын
Watafuta zakwao mwacheni ale bata
@paulgwau57934 жыл бұрын
Mzee uza mali zako
@berthamakortha83872 жыл бұрын
Baba siii alishaga gawa. Sasa ni nini tena uyo baba anataka. Kaowa mama tofauti sana umri wake.
@memoryngambi70034 жыл бұрын
Mambo yote haya no siku za mwisho, matukio yote haya yapo kwenye maandiko kwamba ndugu watainukiana.
@hosianaeliud2434 жыл бұрын
Mimi nawaza akiuza kote itakuajee???akiumwa nani atamuuguza zaid ya watt maan kimada anaeza kula zake winga akuna anaejua 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@agnessestoni56314 жыл бұрын
😂😂😂😂limbwata hilooo!!! Mzee kashapewa limbwata jamani yani hapo aelewi asikiiiii!
@nancykasuti99304 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😅😅😅😅
@neemamwalyenga80804 жыл бұрын
Agness Estoni babu kashafinyiwa kwa ndani🤣🤣🤣
@vailethadolf16714 жыл бұрын
Agness Estoni 😁😁😁
@saudajuma60634 жыл бұрын
Mzee waambie watafute chao,,hawakuja harusini hivyo hawana ushirikiano
@JaneMkinga2 ай бұрын
Siyo unyanyasaji ni Mali yake Ana haki nyie ndugu. Hapo ni hekima ya mungu iwasaidie hapo siyo kwenu tafuteni vyenu.ila ngozi nyeusi tunapenda mteremko😢😢😢
@barikiarastus87704 жыл бұрын
Kwanini hamkwenda kwenye harusi ya baba yenu. Hamna adabu kabisa hamuwezi kuyaheshimu hata maamuzi yake. Inaonekana mmeshirikia kutoenda harusini. Sasa pambaneni na Hali yanu.
@ruzindazajonas85062 жыл бұрын
Mbona mzee huo anataka kumaliza vibaya na vijana wake? Wapi hutaweza kutupa watoto nje, na usipokua macho utamalizia maisha yako vibaya mzee! Usiwasumbui watoto!
@nover80354 жыл бұрын
Itakuwa nyie ni wa Dar😂😂😂 tafuteji mbona ni wakubwa!?
@wemakalamu35384 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@abdallahhamza96894 жыл бұрын
Episode 2 please
@bernardkihiyo19454 жыл бұрын
jmn dah watoto wangeenda tu kwenye harus alaf pia siku zote mzaz wakiume au wakike akioa au kuolewa inauma coz mnawaza anakuja kututawala
@bernardkihiyo19454 жыл бұрын
kwani hapo sikutawaliwa tayar haijalish una umri gan kwa mzaz na mali zake
@penigozbert11564 жыл бұрын
Unawezaje kuwatawala watu wazima kama wale jamani
@bernardkihiyo19454 жыл бұрын
Peni Gozbert haijalish wanaumri gan siumeona wanalalamika wangrweza kujitawala wangelalama
@saumsaum19162 жыл бұрын
Mama ana jasho lake,lazima wtt wapate urizi;anataka awazulumu wtt kwa ajili mke mwingine huyo mm atamlani huko aliko kisa kuoa na huyo mke anampa jeuli
Ni Kweli huyu mwanamke ndie hanaye mpeleke sha Baba yanu. Pole sana kwa watoto. Mzee hajitabuwe kapewa chakupewa na mke we tokazamani urithi haunyanganywi.
@romwaldoamsi27834 жыл бұрын
Yaani wachaga tunapenda Sana'a mchezo wa kuchikuchi:hahaha..ety mtu na ndevu zake bado anamtegemea Mzee wake,shwaheeeh gonga like kama tuko pamoja
@Mimi-wf7mb4 жыл бұрын
Acha ushamba wewe. Laizer siyo wachaga
@jonathaneliabu22984 жыл бұрын
romwaldo amsi @hata hivyo sidhani kama ni wachaga hawa ni waarusha
@gililwise4 жыл бұрын
Tangu lini laiza akawa mchaga fikiri kabla ya kutenda.na kunena
Mwacheni mzee ale maisha na Mali yake, nyie tafuteni Mali yenu.
@asmarashid7434 жыл бұрын
Ni kweli but hata watoto wanahaki
@japhetkavishe23474 жыл бұрын
@@asmarashid743 mtu akiwa bado hai ana haki ya kubatilisha miradhi hyo ni kwa mujibu wa sheria humwambii kitu akiamua na mali yake.
@abubakarihamissi41784 жыл бұрын
Kabisa hao watt wasenge watafute vyao
@mivunjoc.miyego14274 жыл бұрын
watoto wakubwa hivyo mnagombania mali ya urithi? acheni ugomvi wa kijinga tafuteni mali za kwenu? hamuna mahakama ya kusikiliza kesi ya kunyangaánywa mali uliyopewa!
@denicmsigwa51994 жыл бұрын
Haswaaa mzee Yuko vizuri huyo wewe hajakurupuka
@khamisawadh73332 жыл бұрын
Mwezi1 Uliopewa KakusadiaSana
@abeidmayanga8094 жыл бұрын
Maeneo yake hayo waziri lukuvi alimsaidia kuyanunua
@nehemiabakevya91494 жыл бұрын
Poleni sana kwa matatizo msikate tamaa
@maligeltabatholomeo81284 жыл бұрын
Uyu mzee kalishwa ubwabwa Poli na uyo mke wapili na Kama aligawa Sasa saizi anahaha Nini? Kama aligawa atulie tu apo muombeni mkuu wa mkoa apo awasaidie
@noelsimon33204 жыл бұрын
Sheeeeeeee mseee Simon umetisha
@patriciakidaha82964 жыл бұрын
Wewe mzee muogope Mungu.. Hata marehemu mke wako anakuona unachowafanyia watoto hapa duniani, angalia umri wako na dhambi unazotafuta
@chuwimkali5474 жыл бұрын
Ukisha kufa umekufa hakuna unachokiona duniani tusijidanganye watafute vyao tuu
@swaumukareemu92474 жыл бұрын
Mwanaume anaweza owa hata kama umekufa leo din inamruhusu ila kibinadamu ndio tunaona kakosea.. ukifa na yako yamekwisha .. wanawake ndio hata din imetuamrisha mume akifa ukae enda
@hajjshabani96834 жыл бұрын
Hilo somo la hapo juu ni zuri kwakujifunza 1 ukifikia miaka 18 jihesabu wewe umekuwa mkubwa anzaa kutafuta maisha yako chap chap.2 hiyo nyumba shamba linahitaji kizazi kingine /zingatia hayo ukifika umri wa miaka 18 ndungu shukuru mungu chapa lapa kotkote katafute kinatakachopatikana .usipoteze muda buree na vitu vya watu.
@khadijamwandumbya30324 жыл бұрын
Wazazi ni MUNGU wa duniani kwanini washindane na mzazi?? Kama mzee ana dhambi basi hata wao wana dhambi wange enda tu kwenye harusi umepewa bure halafu unaleta dharau haaaaaa!!! Nyenye kea.
@waukweelinikkon65554 жыл бұрын
Mzee uko sawa tuu kudai mali yako,sema tatizo uliisha wapa na tayari walianzisha miji yao,sasa unapowanyang'anya sasa ivi hawatakuelewa Kabisa kwa maana walikwishawekeza hapo.
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Mzee kavu san huy🤣🤣🤣🤣🤣nimenunua ndio man nimeuza ndio man mie sitak vya kurith
@fatumaferous18364 жыл бұрын
Jamani kwahiyo mnataka akae bla mke??
@nicodemuhamaro55334 жыл бұрын
Katafuteni mali zenuuuuu achaneni na mali ya mzeeee.Mlimchangia????Mwacheni Baba amalizie maisha yake.Epukeni Laana.
@mariamhpilipo71894 жыл бұрын
Mbona sisi hatujalisi lakinitunamali tafuteni zenu hizonizake anahaki
@pattymzee14 жыл бұрын
Tatizo ni kubweteka, ujinga tu watu wazima na nguvu zao wanamhangaisha mzee kutaka wapewe plot za bure
@jescajulius80234 жыл бұрын
No mami ni za mama yao lazima wapate kidogo
@ilovejesus93034 жыл бұрын
@@jescajulius8023 za mama kivipi wakati mzee bado yupo hai? Au sheria zinasemaje? Si ni mali yake bado
@mabubakitambi65994 жыл бұрын
Inauma na Ni mhimu kuhitaj Mali, ukute mzee hajawapeleka shule alikuwa anakula bata afu Leo alete za kuleta,,
@lucyshirima78624 жыл бұрын
Haaaa mwacheni mzee ajilie vyake ngombe azeeki maini maaaaaaaaaaaaaaaa
@MS.independent89344 жыл бұрын
sasa kama kashaga wagawiya anauza je tena? huyo mwanamke alie owa anampeleksha mzee sn na ndio chanzo cha matatizo hayo yote
Dingi mjanja kawapa urithi kwa maneno Dokumaa hajawapa
@rahelmakyara61214 жыл бұрын
Acheni ujinga katafute I chenu
@righton194 жыл бұрын
Kazeew kanapenda madem kichz sasa uzee wote huo bado unataka uroda
@dionsangoa14284 жыл бұрын
Dah nilikuwa sijamsikiliza dingi ni nomaaa😹😹😹😹😹😹😹
@saidinalmsofethatsgoodwaya64544 жыл бұрын
hahahaha dingi bado machine hahahaaaaaaa
@khadijasalum23024 жыл бұрын
Hiyi mzee mbaya sura tu anaonesha kudhulumu watoto wake bure hajui dhulma haidumu kisa mwanamke
@pendobaharia69224 жыл бұрын
Wakubwa wazima ovyooo c mnunue viwanja vyenu mnakataa asioe ili awaoe nyie watoto wengine cjui mkoje muachen auze si Mali yake
@zacqtv98554 жыл бұрын
We unaongea usiku yajua yasikukute
@poureenkunambi64134 жыл бұрын
Mzacky Charles kabisa hajajua tu,hii kitu sio kabisa,pesa zikiisha hapo unafkir ataenda ap? Hapo mwanamke anatka pesa tu,pia hao watt n haki yao,ila mzee kapikwa madawa huyo
@a.s.afishfarming62254 жыл бұрын
Acha maneno wewe yani umepewa kiwanja umeahajenga halafu wewe unanyang'anywa
@rosemarycharles4814 жыл бұрын
Nanyie vpi tafuten zenu bhana
@sizmaggymaggy56774 жыл бұрын
Ilekitu iko muombe mungu sababu akizema amupi. Hiyo nimaliyake
@adijaniyonkuru97314 жыл бұрын
Mutafute byenu, amna haya
@magrethjohn34634 жыл бұрын
Mzee alichokosea nikuwapa viwanja alafu wamejenga ndo aje achukue siyo haki alafu hata hivyo Mali katafuta na mama yao Mimi ningekuwa Mimi hiyo nyumba ningeibomoa alafu auze kiwanja bila nyumba
@paulinasemindu39994 жыл бұрын
😂😂😂
@benhorta51214 жыл бұрын
😂
@WinWilly41624 жыл бұрын
Siku zone usiamini mtu anayebadilika walitakiwa kuvitafutia hati za majina yao mapema,kama hawana hati hiyo bado ni mali ya mzee
@khadijamalifedha47864 жыл бұрын
Hahahaha
@zaharajuma50194 жыл бұрын
Magreth John tatizo niwao kumtenga baba yao niasira tu nauzee Hawa watoto ndo walitakiwa wamsikilize tu
@winfridaemmanuel11464 жыл бұрын
Mzee anachokifanya Ni sawa maan Ana haki kufanya hivyo kosa Ni ninyi kujenga eneo la home hizo gharama za kujenga na ninyi umri wengne umekwenda Ni mtihani poleni Sana , Ila hamwezi kusaidiwa na yeyte tafuteni pa kukaa tuu mmwachie mzee maana mlivyomsusia nae amekasilika kwa sababu hiyo
@kessynurutajiri49404 жыл бұрын
Sasa ninyi Watoto hamtaki Baba yenu aoe? Eneo ni lake akitaka kuuza Boma lake Mzee aachiwe auze.
@cecygeorge44434 жыл бұрын
Uza baba ulitafuta mwenyewe
@monicakaskazi18174 жыл бұрын
Atajuta baadae
@rosemarykatogomusanga16194 жыл бұрын
Mbumbavu Sana nyinyi watoto wa mzee. Kwanza nyinyi ni watu wazima. tafuteni chenu Vipi nyinyi. He has arght ya kuhusa akule Chake. Kabla kufa. Ni Sawa au. Si. Sawa?? Commends Jamani!!!!!
@Mamatonny20654 жыл бұрын
Poleni sana. Kumbukeni kuwa Mali za urithi zina mikosi sana. Nasema hivyo kwa sababu na Mimi yalinikuta!.
@fatmabhai28122 жыл бұрын
Mbona huyu b harc ni Ambaruti au?
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Mali si zake ndio shida🤣🤣🤣anafany anachotak chezea ww kutafuta kwa jasho😀😀😀muachen mzee amalizie mali zke na ujanani
@imeldabamba37794 жыл бұрын
Na wazee wa kichaga wakorofi htr😂😂
@tausingomeni25684 жыл бұрын
@@imeldabamba3779 kumbe 🤣🤣mie kanifurahis pole aliposem si zangu eeh ndio za kwangu😀😀
@moriscollins44944 жыл бұрын
Hahahahaha Godfrey ww mwenyewe umecheka kwenye mahojiano huyo mzee namkubali sana mana dawa ya moto ni moto tu....Awakuja na yeye anauza mali....mtegemea cha mtu hufa masikini
@happinessmillanga9824 жыл бұрын
Kama aliwapa na wakajenga sasa anataka nini! Hawa wazee wakuowa ukubwani ni shida sana
@jenniferlukambuzi3564 жыл бұрын
Very true, Kama anauza viwanja, basi inabidi awarudishie watoto wake thamani ya nyumba zao walizozijenga kwenye hivyo viwanja alivyokuwa ameishawagawia.
@tulymuhando964 жыл бұрын
Mke anafanana na Amber ruty
@ibrahimmzee5354 жыл бұрын
Nyie tafuten vya kwenu watu wazma mnaanz komalia vya urith
@victorianganyagwa52234 жыл бұрын
Ibrahim Mzee shangaa ss ng’ombe hazeeki main km anjiweza wamuache aoe tu mzee wa wt nn ch ajbu
@verdianabanabi59434 жыл бұрын
Toka huko katafute vya kwenu acha vya urithi mmeishakuwa.
@chayogasperi97834 жыл бұрын
@@verdianabanabi5943 Sio wamekua , ni wazee kabisa , hawana haya wala aibu wanalilia urithi Baba hajafa . Baba yao alitafuta , na wao si watafute ili watoto wao waje warithi , Babu nimempenda bureee , anawajambisha kuanzia serikali ya kitongoji mpaka polisi anatamba yy tu .
Tena mzeee katumia hekima kubwa sanaaaa,,,miezi sita kwa mwanaume yatosha,,tenaaaaa kaoa kwa Harusi,,mngetakiwa mumuonyeshe ushirikiano,,,tafuteni vyenu inaonekana hamkutaka baba aowe
@evashayo59144 жыл бұрын
Yaan wanawake sisi yesu snatuona
@uwimananadia60664 жыл бұрын
Uku kwetu 🇧🇮🇧🇮kama mze ashatandikwa viboko 🤔🤔🤐
@portinagodson50474 жыл бұрын
NYIE MNAOSEMA SIJUI WATAFUTE VYAO VYA BABA YAKO UKIONA HAVIENDI SAWA NI SAWA KUVIPIGANIA BABU ANAONEKANA ANAPENDA CHINI HUYO.
Mrs dulah au zena kihondo. Angekua kafa tunge sema wanataka Mali yupo mzma kagawa mwenyewe at wanazo waskubal kuzuru miwa babu kanogewa chn limwata lmemkolea
@Fatima-sv5gp4 жыл бұрын
Sadakta na hawajuwi uo mke alooa an nia gani wengine huolewa kwa yao tu lkn si kwakuwa wanapenda
@paulkizila85363 жыл бұрын
Mzee mbaya uyo
@jafaryjey4 жыл бұрын
Tafuteni za kwenu NYAMBAFU! Kwanza hamkumsindikiza baba yenu wakati anaenda kufunga ndoa na kiburudisho chake
@hajimnubi45814 жыл бұрын
Millard hii story hujaicover vizuri umetuangusha,haijakamilika,haieleweki
@nesielias3174 жыл бұрын
Mzee Hana makosa nyie watu wazima katafteni vyenu, Sasa mnataka mzee awe bachela na mzinifu acheni ujinga
@monicakaskazi18174 жыл бұрын
Mzee atakufa vibaya huyo
@imanmodern2 жыл бұрын
Chezea wachaga kwa uroho wa mali 😂😂😂😂
@devothaagustin77674 жыл бұрын
Tafuta mbona mpo watu wazima mzee alipambana mwenyewe ni ruksa kuuza au kuwapa
@zaharajuma50194 жыл бұрын
Mimi naona huyo baba hana kosa Ila watoto hawamtaki mke wababa yao kaona ngoja nitawakomesha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lucychacha44494 жыл бұрын
Nikome mimi bondeni kijenge mko wap mzee kaoa lini uyu 😂😂😂😂 Dunia cmama nishuke jaman
@elimwazembe36314 жыл бұрын
Kweli mtegemea cha ndugue hufa angali masikini .kwamimi ninavyojua kisheria mtt hana sababu yoyote ya msingi kumzuiya mze kuuza nyumba wala shamba .ila mkewe tu ndoanaweza kumzuiya .mtt wake kazi yake nikumshauli tu .kisheria wamechemka
@asiakilea25904 жыл бұрын
Jamani mzee vya kwake lkn kafanya kazi kuvitafuta 😀
@samonlinetv61064 жыл бұрын
Sahihi lakini alishawapa na wamejenga,,basi awalipe gharama za ujenzi
@Diamondvideomix4 жыл бұрын
Kuna mtu kampaa limbwata huyo sio Bure kesi km hiz baadae atakuja kujitia
@asiakilea25904 жыл бұрын
@@samonlinetv6106 kweli bana
@abelmshanga75194 жыл бұрын
Nyie watu wazima amuhoni haya mwenyewe akiamua nyie kama nani
@abelmshanga75194 жыл бұрын
Kama wewe mwanamke mtu mzima unadai urithi hovyooooo